AKOTHEE NI TAJIRI WA USHAGO!! KRG REACTS TO JAGUAR & SONKO FLAUNTING MONEY/ KASIPUL NI MSHAMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2023
  • #subscribe #Krg #Akothee #kasipul #jaguar #2mbilitv #Ringtone #2mbili
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 118

  • @thejirmas3104
    @thejirmas3104 Рік тому +20

    This guy saved me from a very big mess one time,I will never forget him...but may Allah bless him with good health and more wealth.I l❤him too,he is very hilarious.

  • @alexkmful
    @alexkmful Рік тому +7

    "Soma skripti Elewa skripti". Bughaa makes my day👍🤜

  • @winstonbwire4333
    @winstonbwire4333 Рік тому +15

    Akothe come back loading 😂😂

  • @joanakinyi2256
    @joanakinyi2256 Рік тому +41

    Vita ya Akothee na krg inaeza Bamba kushinda ya jaguar 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @ewetes254
      @ewetes254 Рік тому

      True,infact am waiting for it

    • @kevinabeba2735
      @kevinabeba2735 Рік тому +3

      Ati ni tajiri wa ushago🤣😂🤣🤣🤣! Enyewe hii inabamba🤣😂

    • @faiba078
      @faiba078 Рік тому

      100%

    • @njautony1447
      @njautony1447 Рік тому

      Akothee vs Bughaa mambo itatokota!!

    • @rosetuds6380
      @rosetuds6380 Рік тому

      😂😂😂😂😂

  • @Tmk5342
    @Tmk5342 Рік тому +3

    Hata pale sijui Akothee sana , this woman is rich

  • @machariamargaret1937
    @machariamargaret1937 Рік тому +12

    KRG is a very bright young man

  • @yvngtrayson
    @yvngtrayson Рік тому +3

    Krg to the world nampa mkono ako fiti kwa mziki he is my inspiration

  • @catherinemumbua8251
    @catherinemumbua8251 Рік тому +1

    KRG wow Kibwezi ndio home wow niice of you to perform there.2mbili tell krg nataka lift ya Kwenda hio show 😜

  • @radgamechanger2547
    @radgamechanger2547 Рік тому +7

    very crucial interview today.
    The talk iko mature sana leo hakuna kuropoka mingi

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Рік тому +2

    Waiting for Akothee❤❤❤❤
    NIPITIENI PLZ

  • @barackbrandon6401
    @barackbrandon6401 Рік тому +7

    nilikua nangonja KRG WALAI😂😂😂

  • @shikomary3047
    @shikomary3047 Рік тому +8

    Bitterness off high lever

  • @ibrahimtv6896
    @ibrahimtv6896 Рік тому +19

    Leo ni pewe like buana

  • @esendilumula4621
    @esendilumula4621 Рік тому +4

    Hakunanga pesa ya ushago na ya nairobi pesa ni pesa

    • @phillipmsamire7994
      @phillipmsamire7994 Рік тому +1

      Baanae 😂,if you are rich your rich whether in town or rural,,muhoho uhuru's brother leaves in Taveta the furthest end bordering Tanzanian and his a billionaire

  • @kennedygitimu315
    @kennedygitimu315 Рік тому

    A very wise and real person I know he careless with your judgement.

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 Рік тому +4

    Kweli kabisa KRG

  • @charleskabuchu7632
    @charleskabuchu7632 Рік тому +3

    The real OG

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 Рік тому +1

    2 mbili ambia KRG KRG nitumie 1k nibuy unga

  • @shammahboyke
    @shammahboyke Рік тому +1

    Krg anaeza kuwa serious at some point...hapo Kwa stress nayo ameuma ndani🎉🎉❤

  • @juliuskutu3412
    @juliuskutu3412 Рік тому +1

    Huyu jamaa kwani anaimbamga😅 sijui nyimbo zake😂

  • @stephtiffany977
    @stephtiffany977 Рік тому +3

    Aki krg you are Soo funny 😂😂😂😂😂

  • @tonnywaema5390
    @tonnywaema5390 Рік тому +1

    Sasa hii mambo itschemuka ukweli can't wait to see/hear Akothees reply 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @kevinkigo6835
    @kevinkigo6835 11 місяців тому

    Heshmaaaa 2 U KRG

  • @breezysaspect6172
    @breezysaspect6172 Рік тому +4

    🔥🔥🔥💯

  • @media1international279
    @media1international279 Рік тому

    KRG the Don is a book of WISDOM! 🙌

  • @shirzn
    @shirzn Рік тому

    I can't wait for madam boss comeback 😂😂😂

  • @CalvinceOdhiambo-nu5bi
    @CalvinceOdhiambo-nu5bi Рік тому +4

    The done Bughaa mwenyewe 👊👊😂😂😂

    • @CalvinceOdhiambo-nu5bi
      @CalvinceOdhiambo-nu5bi Рік тому +1

      Tumbilissss,,,,my all time broski come fuel with us at Total energies two rivers northern bypass 👊👊

  • @jackexclusive3930
    @jackexclusive3930 Рік тому +3

    Enyewe huyo pool ana mdomo sana

  • @smartpixafricatv9547
    @smartpixafricatv9547 Рік тому +3

    The Kenyan industry...interview after interview.Just a dialogue between celebs.

    • @2mbili1
      @2mbili1  Рік тому

      That's my format I don't know about others

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 Рік тому +4

    Kesho akothee atakujia krg😁😂 akothee amekataa kutajwa😂

  • @brendadhiambo450
    @brendadhiambo450 Рік тому +4

    😥😥

  • @riska4049
    @riska4049 Рік тому +3

    Ati cctv😂😂

  • @kevokeface8744
    @kevokeface8744 Рік тому +2

    Lero ni lero😂

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 Рік тому

    The Don

  • @kevinkiprop2124
    @kevinkiprop2124 Рік тому +1

    Tumbsh hapa umezaa njaa ingine hijawahi onekana 🙆🏻 ngoja utatuambia walai....katanuka

  • @divinahorina1894
    @divinahorina1894 Рік тому

    Wachana na Akothe

  • @johnndirangu1053
    @johnndirangu1053 Рік тому +1

    Mnajitangaza na utajiri wenu wa pesa, si mutuambie mumesaidia watu wangapi wasiojiweza, Bure kabisa

  • @ZABNICE
    @ZABNICE Рік тому

    😂😂tumbili kiswahili nimekipenda

  • @marywambui1556
    @marywambui1556 Рік тому +3

    bughaa is funny af🤣🤣🤣🤣🤣

  • @michalembanacho
    @michalembanacho Рік тому

    Krg ako na machungu hakualikwa harusi 😅😅😅

  • @kandietonny4597
    @kandietonny4597 Рік тому

    Aki this guy is funny 😂

  • @mosesdena4047
    @mosesdena4047 Рік тому

    they don hv Nothing ask this people if East Africa is on sale

  • @kalmaarufuofficial74
    @kalmaarufuofficial74 Рік тому

    Ati anajirecord na CCTV 😅😅😅

  • @user-hx5rq3hf7z
    @user-hx5rq3hf7z Рік тому +1

    Washamba na wapuuzi wa maisha.tajiri hajitangazi.wote wabinafsi

  • @bellaolum9768
    @bellaolum9768 Рік тому

    Waiting for her to respond, this boy will weep 😅😅😅

  • @estheropetu
    @estheropetu Рік тому

    😅😅😅aiii yawaaa

  • @isdorahtukiko4026
    @isdorahtukiko4026 Рік тому

    Men should compete themselves.
    Why everytime naming akotheeez.
    Krg, jaguar and the rest mind your own.

  • @_sultan_0fficial
    @_sultan_0fficial Рік тому

    Heri niskiee bugha😂😂hao wengine nizao

  • @justusmutua3785
    @justusmutua3785 Рік тому

    Karibu nyumbani bughaa kibwezi massive

  • @paulkamitha6401
    @paulkamitha6401 Рік тому +3

    Kiburi weka juu

  • @kelvinngugi631
    @kelvinngugi631 Рік тому +1

    Kama bugaa anakubali sonko ni Tajiri wewe ni nani😂

  • @user-lw7pd6ky8f
    @user-lw7pd6ky8f Рік тому +1

    Bughaaaaaa chemuka kabixaaaaa ata ikiwezekana tupande miaka millioni moja.

  • @bensonkioko29
    @bensonkioko29 Рік тому +4

    Akothee kuja na mwiko

  • @johnomondi1683
    @johnomondi1683 Рік тому +2

    Hamuezani na madam boss,juu hukualikwa Kwa harusi,krg shoga unapimana na mwana mke,wewe na akothee ni kama usiku na mchana

  • @suihtflava
    @suihtflava Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂
    Una tukana "village" girl? Enyewe jogoo wa shamba hawiki mjini 😂

  • @salmonandshrimpskenya254
    @salmonandshrimpskenya254 Рік тому

    Baddest guys miaka 650

  • @kph_news
    @kph_news Рік тому

    Hapa kwa kulima Cassypool ilbidi simu warecord na simu mbili 😂😂.

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 Рік тому

    Krg the Don❤❤😂😂😂😂😂

  • @deshyfx2954
    @deshyfx2954 Рік тому

    Skripti😂😂 achukue patent sasa

  • @marymwikali3926
    @marymwikali3926 Рік тому

    Apo kwa songo nkweli mm nampenda juu anajiamini

  • @triggers37
    @triggers37 Рік тому

    Ni applications Gani hizi zinaingiza pesa,,nichanueni bwana mnataka nikufe maskini @krgthedon

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 Рік тому +2

    11:20 he respected sonko stop misleading titles bro!

  • @bongasasa3895
    @bongasasa3895 Рік тому +2

    Hiyo kipara haifichiki hata kama iko chini ya ngong forest

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Рік тому

    KRG mziki hauna pesa kwa wanamuziki wadogo wadogo kama wewe, juagur, n, k lakini wanamuziki kama Harmonize, Diamond Alikiba wanaingiza pesa nyingi sana kupitia muziki!

  • @morrismwenda9138
    @morrismwenda9138 Рік тому

    Krg Ako na pesa kushinda Hawa wasanii wote pamoja

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya2262 Рік тому +1

    HAWA WATU WOTE NI WEZI.

  • @abdicbabakotena8566
    @abdicbabakotena8566 Рік тому +1

    Watu waache mdomo tuonesheni kama sonko ndio tutaamini lakini kwa sai SONKO ndio babayao

  • @PanyaMrembo-oo2qq
    @PanyaMrembo-oo2qq Рік тому +1

    Sasa aka kamutu kanatoa wapi pesa

  • @NesBwoy
    @NesBwoy Рік тому

    Bughaa mwenyewe 😂😂miaka ni 650

  • @gordythungu8954
    @gordythungu8954 Рік тому

    Huezi ambia watu hivo, Pia wewe ni chizi na hujui 😂😂

  • @sirodumo961
    @sirodumo961 Рік тому

    KRG boasts alot, those who are rich don't talk about it. Uhuru, Ruto, jimmi, and Raila etc they don't talk or boasts about their wealthy.

  • @demaya54
    @demaya54 Рік тому

    KRG hata kama nitakuoshea viatu itakuwa sawa kazi please

  • @go-Ahead15
    @go-Ahead15 Рік тому

    😂😂😂

  • @jaberlebz9052
    @jaberlebz9052 Рік тому

    I love bughaa

  • @loveyourworld
    @loveyourworld Рік тому +7

    Kuku wa Mjini hawaki mashambani 😂😂😂😂😂😂

  • @clevies3938
    @clevies3938 Рік тому

    Ako Na show maroroi ndio anasema ni nzito sana.

  • @welness133
    @welness133 Рік тому

    Lipa Nani ako napikini anadai kiruma Kwanza arafu uhesabu utajiri wako nkt

  • @queenvelnancyanguche9329
    @queenvelnancyanguche9329 Рік тому

    Hii pesa mnaringia na hata jirani zenu hawana chakula sio pesa wala utajiri. Tajiri ni yule aliye msafi kwa matendo yake kwa watu. Sio pesa

    • @jameskungu6223
      @jameskungu6223 Рік тому

      Wee peleka umasiki mbali,tafuta Bela acha wivu

  • @menyalewis
    @menyalewis Рік тому +1

    Huyu jamaa hananga kitu 😂😂😂

  • @ahmedabdikadir6672
    @ahmedabdikadir6672 Рік тому

    Akothe is rich ..you know what just Google it

  • @mugodo
    @mugodo Рік тому

    Baby mama is not a good title!

  • @markgeorge7426
    @markgeorge7426 Рік тому

    He braggs, though he is very wise from the way he talks

  • @luselose9944
    @luselose9944 Рік тому

    Fedha na dhahabu yote ni mali ya Mungu

  • @clintonodhiambo2537
    @clintonodhiambo2537 Рік тому

    If you aint rich stop hating 😊❤

  • @kevinibeere9356
    @kevinibeere9356 Рік тому

    SQ!! 🤣🤣🤣😅😅🤣🤣😅💀💀

  • @G_WasGlobal
    @G_WasGlobal Рік тому +1

    You people still lesser than me...I can combine all of them...and add them some cash...waaache ma show off.

  • @Kengele
    @Kengele Рік тому +3

    monkey mtru #kengele

  • @brevanskimunguiwalukana7847
    @brevanskimunguiwalukana7847 Рік тому +1

    Bidii bro interview yake bughaa humonitize mbayia

  • @blossomfashion
    @blossomfashion Рік тому +1

    Wakenya mko na ujinga! Huyu kijana anatafuta clout😂😂 lazima utaje Akothee ili utrend.

    • @phillipmsamire7994
      @phillipmsamire7994 Рік тому

      Baanae right now wamerealize akothee can be there stepping stone to fame,she is not in there league that's why they are bitter about her