Nawakubali sana ila nendeni na wakati! Toeni clips fupi fupi angalau zisizo zidi dakika 4 mtafanikiwa zaidi. Fanyeni kitu kdgo ila chenye mvuto mwanzo mwisho.
Hiyo kama vile inanihusu siku jamaa aliniomba gari langu nikampa toka ngulelo akawa anaendesha na mimi niko pembeni kumbe kalewa mimi bila kujua. tulipofika kimandolu alimgonga mtoto akafa na shangazi yake nahuyo mtoto aliekuwa nae kamvunja miguu nagari lilisha vibaya. Mahakama ilimpiga faini. Ila gari halikuongelewa kama litalipwa na kesi ikaishia hapo.
Yaani wamejua kunichekesha nimecheka sana 😂❤❤❤❤ mtanga Kiboko
Nampendaga bambo anavyomaliziaga maneno yake...he's soo funny 😂😂😂😂😂
Nakwambia anatishaga sana
Daaa nimecheka kweli eti hospitali akafanye nini, mara akafie kwa boss
Best comedian,mtanga na bambo,,furaha ya afya plus ujumbe mzuri sana
😂🤣🤣🤣🤣ajali wapi wakati watu wanamshangilia ng'ombe wa Mayele
😀😀😀😀et akafie kwa boss
Bambo huko vizuri sana mtanga 😁😁😁😁😁
Big up guys bambo kiboko na mtanga
eti tumpeleke akafie kwa boss🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣💥💥ati akafie kwa bosi
Asanteni sana muendelee hivi hivi isipite siku bila kutuletea kitu. From uswis.
💚🙏
Sijachelewa leo from Zanzibar
Kah? Mtanga waku noma
Nawakubaloo sanooo Mr bambo
Sema kama Bambo, nawakubalo sani
Hongera sana Mtanga na Crew yako
💯💢💥🗯
Daah nimecheka sana😂😂
Usiende mbalo😂😂😂😂
Ajalo
Pikipiki na supu ya utumboo hahaha hahaha aseee🤣🤣🤣🤣🤣
Dah ujumbe mzul kwel kaka mtanga
Msambaa mwenyewe yuko wapi
MTANGA HONGERAAA NA SIKITUU
Mkokoteni hahahahaaa
Nikecheka kwa sauti boss analia kwaajili ya boda boda na sio mtu aloomuia nimejifunza kitu
bambo bn mnatisha 😀😀
Pamoja mtanga comedy
Ya leo kali😂😂😂
Safi sana
Hahahaaa hii nzur sana asee
Weeeeh 🤣🤣🤣🤣🧚♂️🧚♂️
🔥❤️🔥
Poti nakupata vizur. ENDELEA kutupatia furaha
NAWAKUBALI
🤣🤣🤣🇰🇪❤
Ajalo kkkk
Yamoto sana iyo wazee wakaz
Vip
Daaah wazee hawa hatari
Mtango ame tiya hasaro
Ajali 😂😂😂😂😂😂
Nimechekaa saana big up. Ila siku nyingine promote watu wavae helmet ni muhim saana
Acha ni cheke tu 😂😂😂😂
Kama kawa shukran kwa burdan
Aisee umenichuuzi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyieee
Aaaah kudeki leo mmeuwa kinoma
Waah huyo mgonjwa anakimbizwa na mkokoteni
Bambo anataka pikipiki yake kabla lolote lile na yuko sawa kabisa namuunga mkono.
😂😂😂 hemmm hawa waze
Bambo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 nyie wazee mtaniuwa
😅😅😅akh
Safisana kabisa
🤣🤣🤣Ahahahahaha Ng'ombe wa Mayeree na wakatii Mtangaa
Mayele siyo Mayere
@@manilabonalumanula1014 ungekuwa unafuatilia Spering class kipnd unafundishwaa ungekuwa mtunzi wa rugha sasa kama upo kama mm haupaswi kukosoaaa
Lete Mzee wa magumashi bambo
Ajaloo banoo
Good 👍
Kabamboooo
Ng'ombe ya mayele 🤣🤣🤣
Ng'ombe wa Mayele siyo ng'ombe ya Mayele
Hahahahahahah bakuli la utumbo
Bambo ananibamba na hako ka lugha kake
Mupo fiti
Seviso
Ana dawa na bandage halafu apelekwe spital duh
Kapatiwa Huduma ya kwanza au ilo hujalifikiria?
Hahaha
Nitumiye namba yako ya kazi
0688895154
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nawakubali sana ila nendeni na wakati! Toeni clips fupi fupi angalau zisizo zidi dakika 4 mtafanikiwa zaidi. Fanyeni kitu kdgo ila chenye mvuto mwanzo mwisho.
Dakika nne ndogo ww sio mziki huu Ni maigizo
Seviso 😂😂😂
Burudani sana
Duuuu funzo aisee usimuamini mtu zaidi ya wewe mwenyewe
Hiyo kama vile inanihusu siku jamaa aliniomba gari langu nikampa toka ngulelo akawa anaendesha na mimi niko pembeni kumbe kalewa mimi bila kujua. tulipofika kimandolu alimgonga mtoto akafa na shangazi yake nahuyo mtoto aliekuwa nae kamvunja miguu nagari lilisha vibaya.
Mahakama ilimpiga faini.
Ila gari halikuongelewa kama litalipwa na kesi ikaishia hapo.
Inafanana na mimi pia, nilimsaidia rafiki yangu huko Mozambique kumpeleka hospital, njiani gari ikaleta shida, akapita mtu akasema ngoja nikakuletee fundi, alipokuja akaiwasha ikawaka akasema anaipeleka garage subirini hapahapa, njiani akaipindua nyanganyanga, mwisho mahakani kashinda yeye, makosa ni yangu kumpa gari, basi I,iishia hapo, wema wote huu ndio ulioniponza.
🤣🤣🤣🤣
😁😁😂😂😂😂
😂😂😂
😅
😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂