Yaan kuna upande unajaribu kuegemea upande m1 siku zote lkn unajifanya kubalance ila kiukweli unapoteza uwezo wa uchambuz hasa kwenye hii vita ya mashariki ya kati kiufupi maneno ni meng kuliko fact, jitathimin hata mara 100 utagundua mwnyw.
WATAKUSANYWA TENA KWA MARA YA MWISHO NA HAPO NDIPO WATAKAPOPOTEA WAYAHUDI WALIMTESA YESU NA SASA HAWATAKI KUSIKIA AU KUTAJWA JINA LA YESU NCHINI ISRAEL NA SHERIA WAMEPITISHA SASA HILO NI TAIFA TEULE?
Vita hivyo vinavyoendelea vimetabiriwa na nabii Muhammad s.a.w katika hadith.wapelestine wanapigwa vita na hata waarabu wenziwao,hususa Saudia na u.a.e.haya mataifa mawili yanaiogopa Hamas au Palestine,kwa sababu uongozi,wanajua fika Palestine ikiwa nchi kamili na wao ndio mwisho wao.
Si kwamba waarab wanaogopa izrael,fanya mahesabu kwa haraka haraka ,iwapo hamas (kikundi Cha watu tu)na c serikali,kinawaendesha mbio izrael ,Hadi marekani imefika kuwasaidia ki Mali na hali,je izrael ipigane Na nchi moja tu kiarabu itakuaje,tafakuri.kumbuka Hamas hawana jeshi la anga.
Mayahudi walimuhasi mungu watamsikiliza binadamu? UN ndio wazungu unatemea nini hapo wote lao moja...hapo mungu ndio hakimu
Asante sana kwa habari mpoki
Mpoki buya forever,mpekeche mpekeche😅
Yaan kuna upande unajaribu kuegemea upande m1 siku zote lkn unajifanya kubalance ila kiukweli unapoteza uwezo wa uchambuz hasa kwenye hii vita ya mashariki ya kati kiufupi maneno ni meng kuliko fact, jitathimin hata mara 100 utagundua mwnyw.
Wewe ulitaka awazungumzie vzuri mashoga nawewe jitathimini mara 100
Ipo siku.. ya maulana
Kwa warangi ..isaka na Moto yani pori linawaka moto
WATAKUSANYWA TENA KWA MARA YA MWISHO NA HAPO NDIPO WATAKAPOPOTEA
WAYAHUDI WALIMTESA YESU NA SASA HAWATAKI KUSIKIA AU KUTAJWA JINA LA YESU NCHINI ISRAEL NA SHERIA WAMEPITISHA SASA HILO NI TAIFA TEULE?
Mpoki upo juu. Anaekupinga wewe nishoga tu
Vita hivyo vinavyoendelea vimetabiriwa na nabii Muhammad s.a.w katika hadith.wapelestine wanapigwa vita na hata waarabu wenziwao,hususa Saudia na u.a.e.haya mataifa mawili yanaiogopa Hamas au Palestine,kwa sababu uongozi,wanajua fika Palestine ikiwa nchi kamili na wao ndio mwisho wao.
Mbwaaaa wewe hunajipya
Acha domo lako
wawarabu
Kama hujui waarabu wanaiogopea Nini Israeli, nenda wewe ukawasaidie Hamasi. Ndo utaujua mziki wake
Israel wanakufa kama wanawake tu, ipo siku utajuq hili
Si kwamba waarab wanaogopa izrael,fanya mahesabu kwa haraka haraka ,iwapo hamas (kikundi Cha watu tu)na c serikali,kinawaendesha mbio izrael ,Hadi marekani imefika kuwasaidia ki Mali na hali,je izrael ipigane Na nchi moja tu kiarabu itakuaje,tafakuri.kumbuka Hamas hawana jeshi la anga.
@@alihamisi8440magaidiiii elewa swali