Huyu kaka anajua kuact sana ka Mmasai ila Wamasai wanatamka 'r' vizuri. Wanasema barabara sio balabala. Z anaiweka vizuri. Huwa hawana 'z' kwa hiyo wanasema 's'.
ua-cam.com/video/un6uyZg6nNA/v-deo.html Mtanga kudos mimi ni Odierowisewhite Comedian napenda kutazama comedy za wenzangu tuimarishe Afrika Mashariki Tuelimishe na tuburudishe😅🤣😂😁😄👍
Second leo
Huyu kaka anajua kuact sana ka Mmasai ila Wamasai wanatamka 'r' vizuri. Wanasema barabara sio balabala. Z anaiweka vizuri. Huwa hawana 'z' kwa hiyo wanasema 's'.
Thank 💚
😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 representing... Napenda Sana kazi ya Wana MTANGA COMEDY
😂😂😂Mtanga noma sana nacheka sana From Saudia arabia🇸🇦
Mtanga ombeni kipindi cloud au wasafiii ahhhh et ndugu yko itakunya wapi!!??😂
Mnatuchosha na michezo kama hii.
Mnakuwa wawili tu na mnarudia maneno mwanzo mwisho
Namkubali sana Masai ngesenyi
🤣🤣🤣🤣kimeumana kanjibai vs masai
Masai Ndugu Yangu Ndugu Yako Mbona Sikitu Simuoni Jamani Masai
Ukoo au kijiji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimelud kichuya 🔥🔥🔥
much respect mtanga
🤣🤣🤣
Kanjiabai
🤣🤣🤣 kanjibakhi
Itakaa uwanja ya taifa na itakunya wapi dugu yako
Endelea na hizi clip za kanjibai nzuri na zimekaa poa kinoma
Hilarious indeed 🤣🤣🤣 Kanjibhai, I'm always looking forward to such stuff from you. With love from Kenya 🇰🇪
Umeshakula ugoro nini
Masai 🤣🤣🤣🤣🤣
🔥❤🔥
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
mtanga kwani chezi la misic iliishia wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍
😅😅😅😅
Shukran
Mmetisha kanjibai na Masai ila.sikitu kapotelea wapi.jmn
Huyu Masai kweri au kavaa uhusika?
Huyu sio Maasai.
Poa
MAKOCHA WA SIMBA NA YANGA WANAONGEA MUDA HUU MECHI YA KESHO DABI ua-cam.com/video/fwxoI3Kb0GU/v-deo.html
ua-cam.com/video/un6uyZg6nNA/v-deo.html
Mtanga kudos mimi ni Odierowisewhite Comedian napenda kutazama comedy za wenzangu tuimarishe Afrika Mashariki Tuelimishe na tuburudishe😅🤣😂😁😄👍
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣