Mtukuzeni mungu kama kuna lolote zuri alilolioana katika yeye kwa maana Mungu anawajua watu wake na anawachagua ,kwahiyo Mungu atukuzwe katika yeye na amtie nguvu na asije akaota mbawa ,utii na unyenyekevu bila kusahau upole MUNGU AKUBARIKI MAMA YETU.
@@emanuellyatuu731 Kama alivyo jieleza chama kimeanzishwa na wanawake wa kanisa katoriki lakini elimu inamlenga kila mwanamke ambae anahitaji elimu bure au mwenye matatizo atasaidiwa bila kuangaria mipaka ya dini zetu sisi wote niwana wa Mungu mmoja tuu
Peraji umekosea sana ulipaswa kumwacha mama Eveline Ntenga ajieleze mwenyewe vizuri na amalizie kusimulia toka kuhama toka ulutheri kuja ukatoliki na toka alivyoanza uongozi wa wawata ktk ngazi ya jumuiya ndogondogo mpka ngazi ya taifa na Afrika kwa ujumla. Umemkatisha wasikilizaji hatujapata muunganiko.
Perfect. Sifa na utukufu kwa Mungu
Hongera sana dada Mungu akikupenda umtumikie anakutoa popote pale! Simama imara tunakupenda na tunakuombea
Hongera sana dada Eveline,Mungu aendelee kukutunza na umtumikie vema
Mungu ni Mwema. Hongera mama Malisa, tunakuombea
Mungu akutunze sana mama Evelini Ntega
Uliona mbali sana dada Eveline mungu akubariki sana,
Hongera sana Mungu akusimamie daima
Mungu Ashukuriwe Milele. Hongera sana Mama!
Kwani mnsaidia wakatoliki TU?
Mtukuzeni mungu kama kuna lolote zuri alilolioana katika yeye kwa maana Mungu anawajua watu wake na anawachagua ,kwahiyo Mungu atukuzwe katika yeye na amtie nguvu na asije akaota mbawa ,utii na unyenyekevu bila kusahau upole MUNGU AKUBARIKI MAMA YETU.
@@emanuellyatuu731 Kama alivyo jieleza chama kimeanzishwa na wanawake wa kanisa katoriki lakini elimu inamlenga kila mwanamke ambae anahitaji elimu bure au mwenye matatizo atasaidiwa bila kuangaria mipaka ya dini zetu sisi wote niwana wa Mungu mmoja tuu
hongera sana mama
Mungu ni Mwema nakupa HONGERA
God bless you