Allah inusuru tanzania na janga hili allah ndo atamlinda na lolote lile kwa kweli viongozi wa dini jaribuni kuingilia utekaji ni adui wa haki wallah swzibu watekaji na wanao shirikiana nao wawe machizi dhulma mbaya ilaaniwe na kila mtanzania
Kuna tatzoo kwenye ulinzi au kama sio Maasikari bas Jeshi la Police litoe ruhusa kwa Wanaichi kuzuia Matukio ya watu kukamatwa mpaka aje Mwenyekiti wa kijiji au Maasikali wanaotambulikaa
Kwa hiyo nchi inawatekaj sasa lasim.duh het katekwa.wangekua chama furan wapo toka muda uwo.mpaka muda uwo wangeisha kamatwa lakin sasa ndo hivyo watekaji noma jaman.nao wananafasi sasa ya kufanya kazi yao kuteka.yule big vp.uchunnguzi
Huu ni ujinga, ubinafsi na uzembe uliopitiza kwa ndugu zetu wa tanganyika, hivi inawezekana vp watu wa3 wanamchukua mtu kwenye eneo la mkusanyimo mkubwa km stand ya magufuli tena bila ya wasiwasi, shame on you
Watanauwa wanateka wanaiba kura wanafugua kes za uwongo.mtu wanamua kwake het walikua kwenye vurugu lisas.aibu tupu mwondoe vyama vingi kuliko ujinga huu
Abdul Nondo Allah akutangulie,, Allah akuhifadh urud salama 😭
Allah inusuru tanzania na janga hili allah ndo atamlinda na lolote lile kwa kweli viongozi wa dini jaribuni kuingilia utekaji ni adui wa haki wallah swzibu watekaji na wanao shirikiana nao wawe machizi dhulma mbaya ilaaniwe na kila mtanzania
Huu ni ushamba wa hali ya juu
Hamna hata haya eti na wao wanasema ametekwa jamani
Mmmmmhhhhh😅
Apatikane salama
Kulikuwa na watu wanaangalia wakati anatekwa??? Hawakuchukua hatua??
Mungu tuurumie watekaji wafe kwa kweli na vizazi wao wapate rahana
Mhhh tutashindwa kutembea xx
Nchi yetu niyakijinga uyu mama samia moto wa mungu unamuhusu
Duh hii nchi ni mtihani
Kuna tatzoo kwenye ulinzi au kama sio Maasikari bas Jeshi la Police litoe ruhusa kwa Wanaichi kuzuia Matukio ya watu kukamatwa mpaka aje Mwenyekiti wa kijiji au Maasikali wanaotambulikaa
Hakuna mwengine hao ni isalama wa taifa hakuna mwengine
R.I.P magufuli tunakukumbuka sana watanzania tunatamani uamke hata Leo
Mama yetu tunakupenda tena sana ila naomba kuuliza hivi kweli mama haya yangetokea kwa mwanao ungejisikiaaje???
Tunakoenda sio kuzur hata kdogo mi leo nawaambia polic kutaka kuwa ni jeshi la chama fulan hii sio sawa hata kdogo
Change LA CCM Hilo uchaguzi sio sawa kigoma.. Wanapoteza hiyoooo...
Mwisho wa huu ujinga ni kitu gani?
Mbona viongozi wa ccm wao hawatekwi?
Polisi ipo siku mungu atawaaibisha mchana kweupe natabia zenu mbaya
Jamani huniugaid Sasa huyo mtoto hinimara yapili kawakosea nn
Afadhali magu
Wanataka musaau uchaguzi kigoma na mambo mengine mufatilie hili CCM ujanja wao wakijinga
Mtaua wangapi jamani Mungu tusaidie tunaomba Amani
Kwanii hamna huruma na watu jaman cc m tumechoka nautenkaji
Kwa hiyo nchi inawatekaj sasa lasim.duh het katekwa.wangekua chama furan wapo toka muda uwo.mpaka muda uwo wangeisha kamatwa lakin sasa ndo hivyo watekaji noma jaman.nao wananafasi sasa ya kufanya kazi yao kuteka.yule big vp.uchunnguzi
Kwanini matokeo haya yanafanyika mchana kweupe mbele ya hadhara ya watu jmnii hata msaada?Watanzania tumerogwa na Nani?
Jaman warudishe unmaments wangu
Wakiwemo na vikosi vya ccm
Jmn tuwe tunasadiana hta kwakujaza watu iwe usiwe mtu asikamatwe bila kujua wapi wanakokwenda pleni
Gari ndio hilo sasa limepatikana number tuone police wafatilie apo
Wanataka kuwaondoa katika reli kuusu uchaguzi wa serikali za mitaa kule kigoma
Hivi ni nini hii ¿
Duh!
Tujihami
Staring by foce
Huyo basi tena
Hivi polisi mnafanya kazi gani
Wa Tnz muko munacheza na usalama wa inchi yenu ,subiri mutayaona huko mbele .
Ulizeni :Sudani ,Libye,Congo naka dhalika.
Huu ni ujinga, ubinafsi na uzembe uliopitiza kwa ndugu zetu wa tanganyika, hivi inawezekana vp watu wa3 wanamchukua mtu kwenye eneo la mkusanyimo mkubwa km stand ya magufuli tena bila ya wasiwasi, shame on you
😢😢😢😢
Kama raia wanatekwa kila siku
From 🇧🇮 mu Zanzibar 😂iko tayari muuwane 😂na ujinga wenu
Amejiteka
Boya wew
Ngoja utekwe na wewe halafu tutaandika na wewe umejiteka.
Watanauwa wanateka wanaiba kura wanafugua kes za uwongo.mtu wanamua kwake het walikua kwenye vurugu lisas.aibu tupu mwondoe vyama vingi kuliko ujinga huu
Reptilian at the top 😢
Wanamhalibia mamam
Huyo anewahi kujiteka wakati anasoma asije akawa anerudia
Tumia akili ndg yangu ombea lisikukute
Wanataka musaau uchaguzi kigoma na mambo mengine mufatilie hili CCM ujanja wao wakijinga
From 🇧🇮 mu Zanzibar 😂iko tayari muuwane 😂na ujinga wenu