KILIMO CHA NYANYA 2022;Zijue changamoto zinazokabili wakulima wa nyanya Tanzania.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Zijue changamoto za nyanya na jinsi ya kuzikabili ili ulime nyanya kwa tija.
    Gamhar Rz F1 ni nyanya yenye sifa zifuatazo:
    -Inakoma mapema siku 65 hadi 70
    -Inastahimili msimu wa mvua na baridi
    -Inazaa sana
    -Matunda magumu na yanayong’aa
    -Matunda yake yanavumilia kusafirishwa umbali mrefu na yana maisha marefu baada ya kuvunwa, Gamhar RZ F1 ni Suluhisho kwa mkulima na hufanya vizuri sana kipindi cha mvua nyingi na baridi
    Rijk Zwaan Tanzania.
    CHANGAMOTO ZA KILIMO CHA NYANYA
    Matatizo yanayosumbua kilimo cha zao hili ni magonjwa na wadudu waharibifu. Hapa tutajifunza mbinu mbali mbali za kuzuia magonjwa na wadudu waharibifu.
    WADUDU WAHARIBIFU WA NYANYA
    MAGONJWA YA NYANYA
    Uchunguzi umeonyesha kuwa nyanya na mazao mengine jamii ya nyanya ndiyo hushambuliwa sana na magonjwa kuliko mazao mengine ya mboga.
    UKUNGU
    Huu ni ugonjwa unaopenda hali ya unyevu mwingi hewani. Hivyo hujitokeza zaidi wakati wa masika. Pia sehemu zenye umande mwingi wakati wa usiku, ugonjwa huu hujitokeza hata wakati wa kiangazi
    Dalili za ukungu katika nyanya
    Ugonjwa huu hushambulia shina, maua na matunda. Kuungua kwa majani kama vile yamechomwa na maji moto. Chini ya jani utaona unga unga mweupe. Matunda pia hushambuliwa na ugonjwa huu na hugeuka kuwa meusi na magumu.
    Ugonjwa wa miche michanga ya nyanya kuoza sehemu ya shina
    UVUNAJI WA NYANYA
    Nyanya za kupelekwa sokoni zinabidi ziwahi kuvunwa mara tuuzinapoanza kuiva ili kuzifanya ziwe salama kipindi cha kusubiri kuuzwa na kusafirishwa. Nyanya zinazopelekwa viwandani zinatakiwa zivunwe baada ya kukamilika uivaji wake.Ili kuzisafirisha nyanya vizuri tumia maboksi ya mbao.
    kilimo cha nyanya 2022
    kilimo cha nyanya chenye tija
    jinsi ya kulima nyanya kitaalamu pdf
    kilimo cha nyanya kwa heka moja
    kilimo cha nyanya wakati wa mvua
    kilimo cha nyanya tz
    kilimo cha nyanya jamii forum
    faida ya kilimo cha nyanya

КОМЕНТАРІ • 3