SIRI NZITO KUHUSU PASTOR KANYARI NA RISH KAMUNGE KUFICHULIWA NA MTUMISHI WA MUNGU ISRAEL YOHANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @Nelly25439
    @Nelly25439 6 місяців тому +4

    Jackson leo umeamua utuletee pastor 😅😊kuwa unatuletea pastors every Friday,Saturdays ana Sundays ❤

  • @janenandi4095
    @janenandi4095 6 місяців тому +5

    PROPHETIC Team Members FEARLESS Preacher UK 🇬🇧 IM IN AGREEMENT WITH YOU 100 💯 MOG MOST POEPLE IN CHURCH ⛪️ VERY POOR ; THIS UPDATE Uplifting SHALL BE Permanent ; FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS SPOKEN NO Otherwise 🙏🏼❤️💯💯💯💯💯💯⛪️⛪️💯

  • @angle3600
    @angle3600 6 місяців тому +1

    Huyu mtumishi anamawazo kama yangu,watumishi wengi sio wenye wito wa Mungu,ni waganga ambao wamerudi makanisani kutapeli watu,wanatumia nguvu za giza.

  • @labananchinga9748
    @labananchinga9748 6 місяців тому

    Jackson am happy for the beautiful and healing sermon please mlete hivo kila siku moja kwa week u will bless many katika hii umbea wa yesu🎉

  • @millycentomendaomenda5201
    @millycentomendaomenda5201 6 місяців тому +1

    Jackson huwezi ambia pastor atuwachie maombi viewers, popote alienda yesu alitenda mema

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 6 місяців тому +1

    Ukweli kanyare ni conman Kama mama yake

  • @christinengugi3958
    @christinengugi3958 6 місяців тому +1

    Jackson no ya huyo pastor pls

  • @TabbykamauKamau
    @TabbykamauKamau 6 місяців тому

    Apostle ithink you still have God grace

  • @Zena766
    @Zena766 6 місяців тому +1

    Mtumishi umeongea ukweli ata unaambiwa kopa loan utoe sacrifice

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 6 місяців тому +1

    Jackson 🙏🙏🙏🙏🇩🇪🇪🇺

  • @Keyyy2274
    @Keyyy2274 6 місяців тому

    Tupitiane tugrow pamoja nipitie nikupitie ❤❤❤❤❤

  • @angle3600
    @angle3600 6 місяців тому

    Hii familia imemchezea Mungu watubu

  • @SAMANTHACHEGEChege
    @SAMANTHACHEGEChege 6 місяців тому +2

    Spiritual father wa kanyari ni pastor nganga ...the gangster pastor wa matusi 😅😅😅😅😅

    • @SAMANTHACHEGEChege
      @SAMANTHACHEGEChege 6 місяців тому

      pastor nganga is ngangster him self 😮😅😅

    • @aviosilona
      @aviosilona 6 місяців тому

      ​@@SAMANTHACHEGEChegeuko sure😅😅😅😅nilidhani ni mamake amemlea

  • @SAMANTHACHEGEChege
    @SAMANTHACHEGEChege 6 місяців тому

    Jackson watching from thika kiandutu ...kuna pastor gakuyo hapa thika kazi nikupea wa shirika unga ya sembe na mia moja every Sunday nilikuwa na eda kuchukua hizo vitu but sai siwezi tangu nirudi kenya..from saudia bado na kula pesa ya mwarabu 😊😊😊

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому +1

    Mtumishi umeongea ukweli kabisa

  • @gamerfabi3728
    @gamerfabi3728 6 місяців тому +1

    Mashoga ni wengi kwa kanisa hata wenye hizo kanisa

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Ni kweli apo mtumishi ameongea ameitwa kwa wote walio okoka na wale wambaya

  • @aviosilona
    @aviosilona 6 місяців тому

    Jackson umeongea ukweli mia kwa mia, yote yaliisha msalabani kwa imani umepona....
    Huyo msichana amerushiwa pepo sehemu za siri hiyo ni spiritual husband i can pray for her and guide her all shall be well 💪 🙏🏼
    Pastor ameongea ukweli kabisa ukisoma kanisa uone huinuki ni kuisha tuu hapo toka kwa haraka sana....
    Uvivu ndio unafanya watu wengi kuibiwa😢
    Maandiko inasema ombeni nanyi mtapewa si uombewe...anaye mtegemea binadamu amelaaniwa nimebarikiwa

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 6 місяців тому

    Ni mm sijaskia vizur Jackson ama? ukisema" Mwenyezi MUNGU ALIKUFA???😢

  • @alicekadenyi197
    @alicekadenyi197 6 місяців тому

    Watu wafunguke macho ya kiroho jamani, kama kuna kitu sipendi kwa maisha yangu ni prophecy, the Bible tells us in whose report do we believe?its time people go back and read the word of God

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 6 місяців тому +1

    Jackson mambo,

  • @PhilomenaMueni-bd5eu
    @PhilomenaMueni-bd5eu 6 місяців тому

    Niukweli pastor ata mm nilkuwa kwa hio mtego karibu nipoteze ndoa lakini mungu akaingililia watu wengi tumeyapitia Kwa hizi makanisa

  • @queenJenny-vi8bs
    @queenJenny-vi8bs 6 місяців тому

    Pastor ebu niambie , last year Feb niliambiwa ajali inakuja nikapuuza Coz niliitishwa 15k na sikutoa, after two months niligogwa na gari niliponea tu kibahati, what happened hapo

  • @gamerfabi3728
    @gamerfabi3728 6 місяців тому

    Nataka kujua kama waokovu wanatakiwa kukunywa pombe life life kwa video

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 6 місяців тому

    Haya yalitabira mwaka jana na prophet Tito lemo kwamba mungu atawaanika pastors na waibaji ambao wanapotosha watu kanyare sio pastor tangu zamani but a conman

  • @aviosilona
    @aviosilona 6 місяців тому

    Watu hawapendi neno la Mungu ingekuwa ni umbea watu wangejaa kwanza wamama tulikosea wapi😢
    Hii dunia usipokuwa na macho ya kiroho hawa watu wanaeza kuchanganya hadi uruke kichwa kwa amani yangu mimi sisikizi pastor yeyote hujiombea sadaka nabariki nayo mtu hana period....
    Kuna mwingine nilimsimamia pesa ya loan sahii aliniblock kila mahali magaidi walikimbilia kanisani wamama huuza hadi gas😂😂😂

  • @leonidashikuku730
    @leonidashikuku730 6 місяців тому

    Jackson kuna siri ambae imejificha kwenye moyo wa mwanadamu kw hivo Mungu huangalia roho ya mtu kutoka ndani sio njee ,,, Waefeso 2
    8 Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu;
    Hatujaokolewa juu ya matendo bali imani naezaonekana kw macho ya watu nikiwa mbaya ila ndani yangu nikawa nmevunjika mbele za Mungu hapo n Zaburi 51
    16 Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
    17 Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau. kw hivo don't judge by outside
    9 wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. Kw hivo

    • @JACKSON254TV-kp1kw
      @JACKSON254TV-kp1kw  6 місяців тому +1

      Amina, wewe neno la mungu Limo ndani mwako sana🤝🥰🙏

    • @leonidashikuku730
      @leonidashikuku730 6 місяців тому

      Asante barikiwa pia ww umefanya poa kuletea watu mchungaji angalau wajue ukweli ,,,,, n kweli kabisa umesema yite yaliisha pale msalabani hamna dhambi ambayo ilibaki tunayomiliki🙏🏼🙏🏼🙏🏼​@@JACKSON254TV-kp1kw

  • @gamerfabi3728
    @gamerfabi3728 6 місяців тому

    Kuna pastors wengine ni kutapeli watu kwa unabii as uongo

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Mama kanyari pia alikua anadaganya watu kua ataponya ukimwi watu wengi wakacha Dawa wakapa

    • @Mildredokoyana
      @Mildredokoyana 6 місяців тому

      Hata the younger brother in kayole

  • @Zena766
    @Zena766 6 місяців тому

    Apostle John ni ukweli wame fungua kanisa kwa kutapeli

  • @GeorgesMwaura247
    @GeorgesMwaura247 6 місяців тому

    Go deeper, Pastor 😂

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Mwengine amenunua ama ngali 40 m

  • @ledeajoasu3119
    @ledeajoasu3119 6 місяців тому

    Aliposikia lion 😂😂😂😂😂😂

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Jackson nafurahiya tu maneno yako

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Mwengine ameunza shamba akambaki bila

  • @frduvdhungchifi1036
    @frduvdhungchifi1036 6 місяців тому

    Ongoooja kidooogo nimomo😅😅

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 6 місяців тому

    Nipe number

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 6 місяців тому

    😁😁😁😁

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    Kumbe mimi ndio wakwanza

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 місяців тому

    😁😁😁😁😁😁

  • @AssnnetMusuruve-jp5dv
    @AssnnetMusuruve-jp5dv 6 місяців тому

    Mnafanana 😂😂😂😂