A strong woman she is. She can still afford a smile after all that pain dhe went through . Trust in God siz utaona maajabu. Barikiwa mpaka uahangaye ua very beautiful
Pole kwake dada mimi mke wangu alishakua na matatizo kama ya dada hapo ila nashukuru kwa sasa tuna watoto watatu baada kuangaika na kumuomba mungu kwa miaka 17 sasa amuombe sana mungu kwa kua mingine ni mitihani ya kupimwa imani
WaaaU hongera kwa mawaidha kweli mtu anafaa ajipe muda kidoda ipone .nlikua n.a. bwana n.a. tulikosana kwa kupata mimba ya pili akawa ananipiga tukaachana miaka Kumi n.a. moja bado niliadhilika pakubwa naweza kuwa n.a. mahusiano lakini nikikubuka Yale nilipitia nakufa roho naona heli niendelee kulea Watoto wangu Aki wanaume vingeugeu
mimsbaibe mimskim si wote wabaya nilikuwa kwenye ndoa ya vita matusi lakini saa hizi mungu amenipa mume mzuri sana omba mungu akupe bwana atakupenda ww na watoto wako na nina imani mungu atakuskia
Jacinta Muinfe WaAaau Thanks for great prayer i wish in God I trust nilikufa roho nikifikilia wote ni same no love kwanza Ile ki2 iliniuma nikuzaa mtoto wa pili hakua anapenda iyo ndo ilikua chanzo but finally I saved the boy
Wapimwe kabla ya kuolewa. Ni Rhesus issues. Don't feel shame. You will be ok. Just see doctors before marriage (both of you). And ask God to be in your marriage. I believe God can do great things and you gain all the ennemi has robbed you.
Bi mswafari amenena kweli kabisa. Mambo mengine ni maombi maombi na maombi. She should know the root cause of the problem and uproot it,in fasting and prayer. Thats not normal.
My friend was like that she was giving birth na watoto wanakufa,its a disease caused with Abortion lakini she wasn't cleaned up with some drugs..Its not late just go to the hospital and open up to the Dr your case can be treated..My friend alizaa and now she is happily married..you can be cured dear its not late..Am so sorry for all that you have gone through.. Hakuna mapya chini ya jua..what you passed through kuna wengi wamepitia..just have hope
I believe in Jesus Christ because I believe that there's a second chance in life so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
Pole sana dada na matatzo uloopitia, bt kikwe2 ukiona mt anatokewa na matatzo Kama hayo basi ujue utotoni alianza kuota meno y'a juu badala yakuanzia chin Kwahio hutlazimu kuonana na wazee naktutengenezea dawa za miti shamba.
Maombi ndugu tafuta kanisa linalo abudu ktk roho na kweli uombewe huyo ni jin mahaba amekumilik na huwa hataki watoto amini kweli na uombewe yote yataisha maana hakuna lisiloeezekana kwa mungu .
Bi has really spoken from a point of real ignorance, this Lady had a medical condition, how does she even tell her that her miscarriage were due to her sins, very disappointing indeed!
This lady is necessary has to undergo deliverance prayers. Demons are truly behind midciurages and as well as the sudden death of four children. Cf Mark 16:17-18 ; MThew 10:1-7.
Bi Msafari mbona ushauri wako leo unapotosha. Mambo ya imani na dini na ushirikina haina nafasi kwa mambo ya afya. Mshauri huyo binti akamuone daktari bingwa wa mambo ya uzazi. Maombi inamsaidi kisaikolojia tu.
gemkachar kuna Siri nyingi duniani hata wana sayansi hawazijui madaktari hawazijui Mungu pekee ndio anajua shida iko wapi.. tumkumbuke sara wa bibilia na yote yanayofanyika duniani tiba iko kwa mungu tuu so tupende maombi Sana
Pole sasa Dada naweza kuku saidia iwapo utapenda, iposhida inayo kusababishia hizo mimba kutoka kunadawa waweza kutumia iwapo utapenda kwa neema ya Mungu unaweza kupona no zangu hizo +254797922350
Today bi.msafari gav advice like a typical African old lady full of believes n cultures..I think trained medical gaenacologists should sometyms be brought during this show to explain smthings
I agree and i am disappointed that she does not even see it as medical condition that needs medical attention. Pole Maggy, may God heal you and see a good gyne
Sister, Magie sorry and sorry again, my own mother went through exactly what you went through with that IDIOT. I'm the first child alive after 13th abortions,it's not easy to believe. Your case makes me shade tears as I imagine what mam went through,very painful, sorry dear,GOD BLESS YOU.
Huyu dada anhitaji deliverance. Aende kwa makanisa ya kipentecost wamwombee. Namshukuru dada wa ushauri aliyezungumzia habari ya maombi alikuwa sahihi lakini wenzake walipuuza hilo na yeye mhusika naona hana imani na maombi. Sasa ninamwambia suruhisho ni kuamwani Mungu na kuombewa. Lipo pepo baya linamfuatilia kumharibia. Akiombewa litaondoka na atapata mume ambaye atapata naye watoto ambao wataishi kama kawaida. Mungu akusaidie.
A strong woman she is. She can still afford a smile after all that pain dhe went through . Trust in God siz utaona maajabu. Barikiwa mpaka uahangaye ua very beautiful
Kenya citizen tv is my best channel
Pole kwake dada mimi mke wangu alishakua na matatizo kama ya dada hapo ila nashukuru kwa sasa tuna watoto watatu baada kuangaika na kumuomba mungu kwa miaka 17 sasa amuombe sana mungu kwa kua mingine ni mitihani ya kupimwa imani
Exactly she suffered a generational curse spiritual its not normal,,,, 😓😓really painful na venye nmrembo may heal her and bless her abandantly
As a Man I feel ashamed and embarrassed I would rather live alone period by Steve Irungu Jermaine
bi msafwari kweli wewe nimshauri nimependa wazo lako mungu akuinue
japo ni la mda mlefu lakni huyu mama MUNGU ambaliki
Maggie umekuwa soo beautiful since the last time I saw you. May the good Lord remember you in JESUS name
WaaaU hongera kwa mawaidha kweli mtu anafaa ajipe muda kidoda ipone .nlikua n.a. bwana n.a. tulikosana kwa kupata mimba ya pili akawa ananipiga tukaachana miaka Kumi n.a. moja bado niliadhilika pakubwa naweza kuwa n.a. mahusiano lakini nikikubuka Yale nilipitia nakufa roho naona heli niendelee kulea Watoto wangu Aki wanaume vingeugeu
mimsbaibe mimskim si wote wabaya nilikuwa kwenye ndoa ya vita matusi lakini saa hizi mungu amenipa mume mzuri sana omba mungu akupe bwana atakupenda ww na watoto wako na nina imani mungu atakuskia
Jacinta Muinfe WaAaau Thanks for great prayer i wish in God I trust nilikufa roho nikifikilia wote ni same no love kwanza Ile ki2 iliniuma nikuzaa mtoto wa pili hakua anapenda iyo ndo ilikua chanzo but finally I saved the boy
mimsbaibe mimskim pole sana kwa yote
Jacinta Muinfe asanty dea I know its take tym to heal but everything happens with a reason only God knows
I believe in prayers by Steve Irungu Jermaine
Inasikitisha sana. Namshauri amliliMun)u
Maggie umekuwa Soo beautiful
May God continue blessing you
Pole sana mungu atakujbu
Mungu akubariki
Ooh pole mwanadada Mungu awe nawe
Mungu akuongoze
Maggie the good Lord has been with you through thick and thin. Believe me you're a conqueror. Kudos
My dear Lulu sasa vaa madera usionyeshe watu tumbo la Rashid, ww ni mzuri hata ukivaa gunia wapendeza 😀😀😀😀
Nawapenda sana ❤❤❤
Halima Hassan katiwe pia ujichoche😎
Conteholic Ktbffh Subhannallah!!
Ummu Nurdin In shaa Allah
Hahahaha ati avae Ata ngunia ako sawa
😁😁
This lady has gone thru so much ,kumbe sijaona shida
Michael Majaliwa ndo akapitia hayo tujipe moyo with her testimony wamama wanapitia mangumu
may the lord bless u
Listen to other people problem ndio utajua kumbe yako ni ndogo
Real Men respect women period by Steve Irungu Jermaine
Pole dada Mungu ako na sababu kwa jambo
Pole sana
Wakenya mume isha yiyi
God is with you dear, keep praying
Woooi aki pole dada umepita makubwa
Pole.sana.dadangu
nmemwaga chozi, pole mumy mungu azidi kukutangulia
I would rather live alone period by Steve Irungu Jermaine
I'm a proud bachelor without limits period so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
Wacha Mungu aitwe Mungu
Very good.
I watched u in KDTV ume change soo beautiful
Mwihakinduati Emma yeah God grace is upon her
pole sana dada
Rhesus manenoz...pole sana dada
Wapimwe kabla ya kuolewa. Ni Rhesus issues. Don't feel shame. You will be ok. Just see doctors before marriage (both of you). And ask God to be in your marriage. I believe God can do great things and you gain all the ennemi has robbed you.
Marriage is hell I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
Pray unceasingly, you have to break that cycle and seek God to remove any evil done to you by the enemy, sorry to hear that 🙏🏽
Thanks
😧😧😧 this Ladly makes me cry
Merci
Ni mzuri
Bi mswafari amenena kweli kabisa. Mambo mengine ni maombi maombi na maombi. She should know the root cause of the problem and uproot it,in fasting and prayer.
Thats not normal.
8
My friend was like that she was giving birth na watoto wanakufa,its a disease caused with Abortion lakini she wasn't cleaned up with some drugs..Its not late just go to the hospital and open up to the Dr your case can be treated..My friend alizaa and now she is happily married..you can be cured dear its not late..Am so sorry for all that you have gone through.. Hakuna mapya chini ya jua..what you passed through kuna wengi wamepitia..just have hope
Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine
god know everything a day u will get if u accept what ever coming u life u have to be happy with sis
My God remember yur people's
😭😭😭😭😭woiye sorry mummy
I believe in Jesus Christ because I believe that there's a second chance in life so help me God in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
Woiii I'm dead I rebuke premature death 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭waah huyu Mama can't tell 😭😭😭
My dear usijali mungu yuko..... but nakushauri nenda kwawanzee wakuanguwe dadangu
God is one who gives and one who takes. He will give you in doubles
yes mtangazaji wa kiume huyo jamaa wa kwanza yule mwanamke alikuwa nae tangia nyuma
Husband's or men are not part of your family unless u achieve their goals. Wanawake let's open our eyes here.
May God help u...😢
agreed... They are not our brothers or fathers or sons! Women should empower themselves!
Ongeza volume
She very beautiful
Sorry my Cz it's Soo sad
So sad cz..umepitia makubwa hayo
Pole sana dada na matatzo uloopitia, bt kikwe2 ukiona mt anatokewa na matatzo Kama hayo basi ujue utotoni alianza kuota meno y'a juu badala yakuanzia chin Kwahio hutlazimu kuonana na wazee naktutengenezea dawa za miti shamba.
Mimi nipo tz nakupenda njoo tanzania tuishi
Pole dia
The cervix is sometimes loose. You can get stitched and bedrest
Maombi ndugu tafuta kanisa linalo abudu ktk roho na kweli uombewe huyo ni jin mahaba amekumilik na huwa hataki watoto amini kweli na uombewe yote yataisha maana hakuna lisiloeezekana kwa mungu .
I agree na bi msafwari anataka maombi ya ukombozi
Mama pole umepitia mangumu kweli bt mm nigekuadvice ujipee nafasi ukiomba cuz uko na mtoi marriage is not must weee.....
Bi
has really spoken from a point of real ignorance, this Lady had a medical condition, how does she even tell her that her miscarriage were due to her sins, very disappointing indeed!
This lady is necessary has to undergo deliverance prayers. Demons are truly behind midciurages and as well as the sudden death of four children. Cf Mark 16:17-18 ; MThew 10:1-7.
Dar pole dada
Too sad
Bi Msafari mbona ushauri wako leo unapotosha. Mambo ya imani na dini na ushirikina haina nafasi kwa mambo ya afya. Mshauri huyo binti akamuone daktari bingwa wa mambo ya uzazi. Maombi inamsaidi kisaikolojia tu.
gemkachar amenena kweli
gemkachar dakitari hutibu mungu uponya
Hakuna kisichowezekana mbele ya Mungu
gemkachar kuna Siri nyingi duniani hata wana sayansi hawazijui madaktari hawazijui Mungu pekee ndio anajua shida iko wapi.. tumkumbuke sara wa bibilia na yote yanayofanyika duniani tiba iko kwa mungu tuu so tupende maombi Sana
Wooiyee😭😭😭😭😭so sad
You can break this curses thr prayers. ....
Anataka maombi ya kuvunja
madhabahu ya hayo mabaya
Lulu uko smart na hicho kitumbo
god know everything one day u will get if u accept what ever coming u life u have to be happy with sis
so sad
My step mum she don't have any baby and they are happy with that it's been like 30yrs down the line
Morhy Mataga.... Hapo Kuna kitu imefijika
maggie wishing you all the best in life...GOD is faithful
maggie ur so beautiful someafrican mentality have to change honestly what if uzae mtoto mama afe sio huyo mtoto atateseka
Anayesema aombewe deliverance anaelewa.
Pole sasa Dada naweza kuku saidia iwapo utapenda, iposhida inayo kusababishia hizo mimba kutoka kunadawa waweza kutumia iwapo utapenda kwa neema ya Mungu unaweza kupona no zangu hizo +254797922350
Pole but ur still young mungu akuonekanie
Ana mikagapi
Pole dada
Dunia hii shidaa tupu
Mungu tutetee kabisa
Pole sana
There was a spirit behind your children death may God fight your enemies.
Rhesus a factor Maggie hv you checked on that, lam a victim of rhesus factor
HAKIGA MAOMBI NDYO NGAO NA NDYO SILAHA!!!! NA PIA MWENYE ALIMUPIKA MBAKA MATUMBO IKATOKA INJE, ATUA KANI SHERIA ILICHUKULIWA??
Mungu awe nawe
Ehh so hard
Abari za asbmimi sijambo nawapata vizuli nikiwa kasumbalesa
Today bi.msafari gav advice like a typical African old lady full of believes n cultures..I think trained medical gaenacologists should sometyms be brought during this show to explain smthings
true,ameniboo,they should have brought a gynae
true,ameniboo,they should have brought a gynae
I agree and i am disappointed that she does not even see it as medical condition that needs medical attention. Pole Maggy, may God heal you and see a good gyne
Thats why I dnt pay much attention to her advice.
Huyu bi Mswafari has bleached,see her hands
J Nyawira wewe ni matako Sana tunaskiza advice,,ama tunaangalia wenye wamejibleach!
J Nyawira non of our bussiness
Ai.... Laana.
Woiiiiii
you need deliverece
Uyo dada anaficha ukweli, tatizo sio kufa Kwa watoto, na wala kutoka Kwa mimba.
Hassani mpota twambie ukweli wewe kama yeye anandanganya😏
Sister, Magie sorry and sorry again, my own mother went through exactly what you went through with that IDIOT. I'm the first child alive after 13th abortions,it's not easy to believe. Your case makes me shade tears as I imagine what mam went through,very painful, sorry dear,GOD BLESS YOU.
Nyie wakenya ni ndugu zetu nataka mchumba waki Kenya,Ruanda ila awe islamu au apende uislamu +255692298886 Call and Watsaap by Eng.Mussa
Kasheshe mingi ni ya nini
Maggie naona Mungu ametenda....uko chonjo
Uongo
Waaaaaaat???!!
Huyu dada anhitaji deliverance. Aende kwa makanisa ya kipentecost wamwombee. Namshukuru dada wa ushauri aliyezungumzia habari ya maombi alikuwa sahihi lakini wenzake walipuuza hilo na yeye mhusika naona hana imani na maombi. Sasa ninamwambia suruhisho ni kuamwani Mungu na kuombewa. Lipo pepo baya linamfuatilia kumharibia. Akiombewa litaondoka na atapata mume ambaye atapata naye watoto ambao wataishi kama kawaida. Mungu akusaidie.
Mhu
Wewe ni mwenye makosa. ..haunge lete fujo ilhali ulijua huyu alikwa na bibi mwingine. Unge enda Kwa upole.
That's not her story this lady is lying this story belong to a lady who was being interviewed by ebru tv
So what
No she is not lying she is the same lady it's just that she looks more beautiful here