Video music-Kiu ya bangi, pombe, sigara, tamaa ya zinaa vinatoweka ukiwamo HEMANI part 2-Mbarikiwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @user-Mwasumbi1993
    @user-Mwasumbi1993 Місяць тому

    Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri na wenye ujunbe mzuri utiwe nguvu zaidi ,na MUNGU akufanye uwe baraka zaidi

  • @bonnymeza2238
    @bonnymeza2238 Рік тому

    Mtumishi wimbo huu umenibariki sana! Nami nakuombea yote unayoyapitia Mungu akupambanie na kukushindia.

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 Рік тому +2

    Nimebarikiwa sana Na Huu Wimbo umejaa Mahubiri Ya Kutosha sana Mtu wa Mungu Pambania Sana Imani Yako Vita vyako Ni vikubwa Sana Ila Kwa Kuwa YESU ameshinda nawe pia Utashinda Mtume Wa YESU Vita vyako ni vikubwa Kwa Sababu Kusudi Lako ni Kubwa Sana Umebeba Roho Ya Eliya Mtishibi Lazima uchukiwe vya Kutosha Ila Bwana Atakuhifadhi Hemani mwake .

  • @mdabemdabe7829
    @mdabemdabe7829 Рік тому +1

    Muziki mzuri wenye kugusa hisia za ndan kabisa rohoni ubarikiwe Mpaka ushangae uzidi kumwinua Mungu katika Yesu Kristo

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому +3

    Haleluya jamani mutu ache nasi tukae hemani tunasomba mungu ni wetu sote wimbo umenibaliki

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 Рік тому +4

    Dar!!!! Wimbo mzuri sana hee!!!! Unaupako sana Mungu akulinde na aendelee kukutumia

  • @magrethedward5635
    @magrethedward5635 Рік тому +1

    Amina mtumishi wa Mungu....,Mungu aendelee kututia nguvu kukaa hemani mwake.

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj Рік тому +1

    Hakika nabarikiwa na hiki kikosi.mm.natamani sana siku moja nikafike hapo nije kuabudu hapo mbarikiwe sana sana watumishi wa MUNGU🙏🙏🙏🙏

  • @paskalimaneno1684
    @paskalimaneno1684 Рік тому

    Nimebalikiwa sanaa nawimbo huu uminifanya kuwa nahatua nyigine yakiimani kuogezeka

  • @rev.obadiahmkama4320
    @rev.obadiahmkama4320 Рік тому +1

    Aseee wimbo mzuri sana Mungu akubariki sana

  • @rev.eliasimba5583
    @rev.eliasimba5583 Рік тому +1

    Huu Wimbo ni mzuri sana.
    Una Neno la Mungu na ukweli makamilifu.
    Kama ningekua na uwezo, watu wote wangeusikia.

  • @isdoryhenry-bh5kk
    @isdoryhenry-bh5kk Рік тому

    mtumishi ubarikiwe sana kama jina lako.

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 Рік тому +2

    AMEN AMEN HEMANI NDO PENYE SIRI ZA ZETU ZIPO NIKISIKILIZA NYIMBO ZAKO NA MAHUBILI ZAKO NAONA KAMA MOYO WANGU UNARIDHIKA ASANTE SANA BABA MCHUNGAJI SIKU YA MUNGU IKIFIKA LAZIMA NITAKUJA KUKUONGELESHA MAOMBI YANGU NI HIYO

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 Рік тому +1

    Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen tukae sana hemani .ndimo walimokaa Sana wacha Mungu

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 Рік тому +1

    Na shukuru Mungu kwa ku sikiya ma hubiri zako mtumishi wa Mungu Mbarikiwa, Amen Amen Amen

  • @aloyceJiles
    @aloyceJiles Рік тому +3

    Nabarikiwa sana na huduma yako baba

  • @nethosiame14
    @nethosiame14 Рік тому +1

    Kwakweli huu Wimbo umejaa nguvu na Binafsi nabarikiwa sanaa na baba Mbariwa Mwakipesile

  • @rehemabrown8241
    @rehemabrown8241 Рік тому +1

    Jamani nifanye nini Mimi napende kuabudu kikosi kazi nipo mlimba mme wangu kaajiliwa huku mlimba ...nifanye nini jamani Ili tupate uhamisho kuja Mbeya ....Napata shida sana sana naishi huku nasali lakini Sina amani naamini nikijiunga kikosi kazi nitakuwa na Amani...wimbo umeniliza sana huu na nimetiwa moyo ...YESU wangu tenda muujiza

  • @fredrickngwalolela3889
    @fredrickngwalolela3889 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, 🙌🙌

  • @ayoubmgao3880
    @ayoubmgao3880 Рік тому

    Mungu wangu naomba usimame na mtumishi wako huyu

  • @bonintajiri3958
    @bonintajiri3958 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi, mungu asikupungukie. He itatufaa nini tukapata vyote lkn tukamkosa mungu? Jeman uko uzima wa kwel .

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Рік тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu mwakipesile

  • @ayubujoseph
    @ayubujoseph Рік тому +3

    Hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu, kongole sana Kwa Mtumishi wa MUNGU Mbarikiwa pamoja na wapendwa wote MUNGU awabariki, Glory to GOD 🙏.

  • @EriaMarakasuka-mj9zx
    @EriaMarakasuka-mj9zx Рік тому

    Mubarikiwe watumishi

  • @DenStelEmpire
    @DenStelEmpire Рік тому

    Nabarikiwa sana

  • @irakazaeriekim4753
    @irakazaeriekim4753 Рік тому

    Asante sana baba yangu🇧🇮

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 Рік тому +1

    Wimbo mzuri

  • @okayamersita7395
    @okayamersita7395 Рік тому +2

    Haleluya AMEN🙏🙏

  • @florapeudy3963
    @florapeudy3963 Рік тому

    Amina Amina Amina kubwa

  • @issackmnzava6290
    @issackmnzava6290 Рік тому

    Amina ubarikiwe

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468

    Amina Amina mbarkiwe hemani mwa bwana ndiko hupatikana msaaada

  • @adamlyambaofficial3812
    @adamlyambaofficial3812 Рік тому +1

    Amen, hemani ndimo Bwana ndimo anaachilia Siri zake

    • @jacquelinemassengo5466
      @jacquelinemassengo5466 Рік тому

      Amen

    • @mariarameck4894
      @mariarameck4894 Рік тому

      baba mungu akukumbuke siku zonte kila vinta mungu akakushindiee kila neno ambalo aduwi amenena likamuludie kila silaha antakayotumiya ika muludie mwenyewe mungu akupe kibali zaidi

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 Рік тому

    La!!!Neema nyingi mnooo,kila kukicha afadhali ya leo.

  • @suzanamwanil1401
    @suzanamwanil1401 Рік тому

    Sababa yangu nimekuelewa

  • @idiboniface3955
    @idiboniface3955 Рік тому

    🙌🙌🙏🙏

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Рік тому

    Ni kubarikiwa tu....iwe heri Kwa watu wa Mungu

  • @isdoryhenry-bh5kk
    @isdoryhenry-bh5kk 10 місяців тому

    Huu wimbo haipiti siku bila kusikia

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Рік тому

    👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @revinaimani6846
    @revinaimani6846 Рік тому

    Hemani huko ndiko tunapata akili

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @elisaalbert3201
    @elisaalbert3201 Рік тому

    Barikiwa kwa ujumbe

  • @shefuyeremia5907
    @shefuyeremia5907 Рік тому

    Hemani Hemani Kweli

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 Рік тому

    Hemani Hemani ndipo Pana uponyaji wa hakika

  • @dovickybruno3861
    @dovickybruno3861 Рік тому

    Amen

  • @HojaMayala
    @HojaMayala 8 місяців тому

    😢

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 Рік тому

    Hemani hemani

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 Рік тому

    Ameeeen ameeeen

  • @Kamandapendo
    @Kamandapendo Рік тому

    amina BABA

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 Рік тому

    ✋👏👏👏👏👏🎺🎺🎺📢📢📢