Pole sana mwanamke mwenzangu pole sanaa najua unapitiaje hali hii mimi pia nilifiwa na mtoto wangu wa pekeee kijana wa miaka 23 alichomwa kisu lkn niliweź kuvumilia na kuwa karibu na mungu japo sijaokoka lkn nilimwita mungu sana kwa jinsi nilivyoumia na kipitia nyimbo zenu na mumeo ndio ziliniponya zahidi na zahidi na leo naona kwenu pia namshangaa mungu sana lkn najua mnaweza coz mungu hampi mtu jaribu hasiloliweza na ninafahamu kuwa ninyi ni watumishi na ni watu wenye misuli ya imani poleni mnooo
Mungu awafanye nguzo ya Imani Tanzania na dunia nzima watu wa Mungu, na tena Mungu azidishe kufanikiwa kwa kazi yake kttk nyie na kazi ya bwana izidi kuwa faraje kwenu watumishi wa Mungu. Imani yenu yazidi kunitibua sana.
Ukiwa ndani ya Yesu Raha Sana ,,,,Mwalimu mwakasege mwanae alifariki ndio alikuwa mbeya ,,alimaliza mkutano siku 7 ndio akarudi dar kuandaa msiba ,,kwa hiyo unajikuta unakuwa na nguvu za ajabu
Kwa Mungu Miaka 1000 ni sawa na siku 1, na siku 1 NI sawa na miaka 1000.Mungu hamtazami wokovu kama wanavyo Tazama wanadamu. Mbele za Mungu wokovu NI MTU mzima saanaa alieshiba Miaka Mungu saanaa. Niafadhaliyake na miaka yake, kuliko kushiba Miaka 100 na Kenda alafu MTU ukaikose Mbingu.Ndipo utakapo kumbuka Heli siku 1,Mbele za bwana kuliko siku 1000😳mbali na Mungu.
Poleni sana wanafamilia Bwana awape nguvu wakati huu mgumu ila Wokovu mlimuonyesha njia bora sau Ali Mbinguni anasherekea pamoja namalaika nilimpenda sana juu yatabia zake nakumucha Mungu..
poleni sana wapendwa kwa vile kifo hakizoeleki. Ila kwa namna nyingine hongereni sana kwa kuwa mlimlea Wokovu vizuri. Hata mimi simjui lakini nilivyokuwa namuona akiimba nilikuwa nafurahia namna mlivyomlea. Mungu atutie nguvu sisi tuliobaki. Wokovu yeye yupo uweponi mwa Bwana anafurahia sana sahivi. Nasi tuweke mbali uchungu na kumfurahia Bwana Yesu.
Mungu awakumbuke, ikiwa Mungu katwaa basi, lihimidiwe jina lake "Heri wafu wafao katika Bwana , wapate kupumuzika tangu sasa maana matendo yao yawafuata [ufunuo 14:13] Mungu awatie nguvu watumishi
Poleni sana familia ya Mbarikiwa Mwakipesile. Ninatamani kupata mawasiliano ya kuongea naye moja kwa moja Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kama inawezekana. Bahati mbaya sina simu yake wala ya mtu wa karibu yake.
Huu msiba umeniuma na kunitafakarisha Mungi mema Mungu wetu anayotutendea kila siku zamaisha yetu, hakika anatupenda. Mungu awatie nguvu sana watumishi
Poleni sana watumishi najua mnayo yapitia nilipoteza mtoto wangu wa pekee 2019 Akiwa kidato cha tatu iliniuma sana na hata sasa nikiwaza inauma roho hata kama tumeokoka bado sisi niwanadamu .
Poleni sana Familia ya Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa, mnapita mahali ambapo Yesu alisema, Wengi watatamani kupita katika Njia hiyo wasiweze, Ila Bwana atawafariji hata katika ugumu mnaopitia Sasa. Amina😭😭😭😭
Pole sana Mom. Kiatu chako hakuna wa kukivaa Mamangu 😭😭😭 Rip mwanangu kipenzi Wokovu. Mungu ameruhusu uondoke Mama,nenda mama tuko nyuma yako mpendwa wetu.
Jamani hivi huyu Mbarikiwa Mwakipesile ndo yule mwenye nyimbo za kuabudu nzuri zinapigwaga pale sido kwenye duka la mikoba au? Pole sana mama wewe, kiatu chako ni kikubwa sana kukivaa. Mungu akufunge mkanda.
Naamini yupo mahari walipo watakatifu walio tangulia zamani, Japo kibinadamu inaumiza moyo ila aliye ruhusu na awatie nguvu yakusonga mbele na kumtafuta Mungu mala zaidi ya hapo mlipo fikia
Ni Mungu ujuae kutenda mambo mema kwa wakati ndiye, aliye mupa iburahimu mtoto, pia ndiye aliye mwamulu akamutoe sadaka, ndiye aliye lusu majalibu wa kuwaua watoto wa Ayubu ndiye alie mwinua Tena,na kumutajilisha, sifa na utukufu apewe yeye Mungu katika nyakati zote
Misiba ya wacha Mungu Ni fahari ktk Imani ya kweli maana wanalo tumaini kwa YESU Kristo . MUNGU anawapenda sana .waebrania 11 . Nawaachia Neno Hilo liwe faraja kwenu .ninyi ni Simba waungurumao mwituni
Ndugu yangu ni ngumu kulipokea jambo Hilo. Mi mwenyewe lilinikuta mwaka 2020 kwa kijana wangu wa pekeee. Nililia machozi yakauka, nikaimba nyimbo zote za faraja lakini haikutosha kulipokea hadi Leo ni miakà miwili lakini Bado ni kama Leo, namfikiria mwanamke mwenzangu nae kama Mimi mtoto wa pekeee kaondoka maumivu aliyonayo nayaona ni kama kiatu changu. Mungu azidi kuwapa nguvu watumishi hao hasa kwa siku ya Leo ya mazishi ya mtoto ni siku ngumu saana jamani😭😭😭😭😭

Poleni Sana kwa manjozi mazito yakuhachwa na mwanenu. BWANA AMETOWA NA BWANA AMETWAHAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
Mungu akutie nguvu Mtumishi, kiatu hiki kukivaa ni ngumu mno,Mungu pekee ndo anaweza kuwavusha kwa nguvu zake
Watumishi wa Mungu Poleni sana saaana Mungu awe faraja kwenu..ama kweli kazi ya Mungu aina makosa pumzika kwa amani mwanangu🙏🙏
Mama mungu akupe nguvu na maarifa na subra kwa kila gumu unalo pitiya mama
Mungu awafanye nguzo ya Imani Tanzania na dunia nzima watu wa Mungu, na tena Mungu azidishe kufanikiwa kwa kazi yake kttk nyie na kazi ya bwana izidi kuwa faraje kwenu watumishi wa Mungu. Imani yenu yazidi kunitibua sana.
Duuuh pole Sana Mama yetu Salome Mwampeta, MUNGU wa Mbinguni akufunge mshipi wa nguvu
Poleni sana watumishi wa MUNGU.
Mungu awabariki Sana wapendwa
Nimekuelewa mama Wokovu, mwanamke mwingine asingeweza kuimba ktk kipindi hiki, umeonesha imani kubwa kwa Mungu wako. Hakika Mungu hatakupungukia.
Ukiwa ndani ya Yesu Raha Sana ,,,,Mwalimu mwakasege mwanae alifariki ndio alikuwa mbeya ,,alimaliza mkutano siku 7 ndio akarudi dar kuandaa msiba ,,kwa hiyo unajikuta unakuwa na nguvu za ajabu
inataka neema kubwa sana
Poleni sana Mungu awape nguvu
Poleni sana wapendwa viatu vyenu havivaliki kwa sasa Mungu pekee ndiye anayeweza kufanya faraja ndani ya mioyo yenu.
Poleni mi sijawahi kuumia hivi lakini mungu atabaki kuwa mungu usiguse utukufu was mungu mungu anajivunia wewe kaza mwendo
Poleni sana watumishi wa Mungu
Kwa Mungu Miaka 1000 ni sawa na siku 1, na siku 1 NI sawa na miaka 1000.Mungu hamtazami wokovu kama wanavyo Tazama wanadamu. Mbele za Mungu wokovu NI MTU mzima saanaa alieshiba Miaka Mungu saanaa. Niafadhaliyake na miaka yake, kuliko kushiba Miaka 100 na Kenda alafu MTU ukaikose Mbingu.Ndipo utakapo kumbuka Heli siku 1,Mbele za bwana kuliko siku 1000😳mbali na Mungu.
Poleni sana wanafamilia Bwana awape nguvu wakati huu mgumu ila Wokovu mlimuonyesha njia bora sau Ali Mbinguni anasherekea pamoja namalaika nilimpenda sana juu yatabia zake nakumucha Mungu..
poleni sana wapendwa kwa vile kifo hakizoeleki. Ila kwa namna nyingine hongereni sana kwa kuwa mlimlea Wokovu vizuri. Hata mimi simjui lakini nilivyokuwa namuona akiimba nilikuwa nafurahia namna mlivyomlea. Mungu atutie nguvu sisi tuliobaki. Wokovu yeye yupo uweponi mwa Bwana anafurahia sana sahivi. Nasi tuweke mbali uchungu na kumfurahia Bwana Yesu.
More than painful
MUNGU awafariji katika kipindi hii kigum
Poleni sana watumishi wa Bwana. Mungu awatie nguvu kwa hili lililowapata. Kweli sio jambo rahisi lakini Mungu atawavusha kwa Neema yake.
Poleni sana Watumishi wa Mungu, hapa duniani ni wageni, wenyeji wetu ni Mbinguni kwa Baba
Mungu awakumbuke, ikiwa Mungu katwaa basi, lihimidiwe jina lake "Heri wafu wafao katika Bwana , wapate kupumuzika tangu sasa maana matendo yao yawafuata [ufunuo 14:13] Mungu awatie nguvu watumishi
Mungu awatie nguvu watumishi
Poleni Sana watumishi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mtu mhimu kutuondokea duniani,
Polen sana wapendwa mungu awatie nguvu awaponye maumivu mlokua nayo maan hayapimiki daaah polen polen
Poleni sana familia mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu apumzike kwa amani
Poleni sana jaman
Ooh Mungu wetu anajua mwanzo wetu na mwisho wetu Mungu akutie nguvu mama😭😭😭😭😭😭
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,wote tuwapitaji tu Duniani bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Mungu awatie nguvu!
Pole sana wafiwa,Mungu awape Moyo wa Faraja...
Polen sana ndugu zangu mungu awatue nguvu Sana kifo sikia kwa jirani yasikupate ni Alama isiyo futika kamwe kwa maana ni pengo kubwa sana
Poleni sana familia ya Mbarikiwa Mwakipesile. Ninatamani kupata mawasiliano ya kuongea naye moja kwa moja Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kama inawezekana. Bahati mbaya sina simu yake wala ya mtu wa karibu yake.
Huu msiba umeniuma na kunitafakarisha Mungi mema Mungu wetu anayotutendea kila siku zamaisha yetu, hakika anatupenda. Mungu awatie nguvu sana watumishi
Mungu atabaki kuwa Mungu siku zote. Inatakiwa kumshukuru Mungu ktk yote tunayopitia.
Daa MUNGU awatie nguvu watumishi wa Mungu yote ni mipango ya Mungu
😭😭😭😭Ni kama ndoto mioyo ya wengi haiamini Uuuuuuuu Mungu tupe faraja😭😭😭😭😭😭
Pole sana kweli inaumiza sana but no mipango ya mungu kubali tu yameshatokea haja mungu hawatie nguvu 😭😭😭😭😭baby gal nenda salama
Poleni sana watumishi Wa Mungu aliehai...
Poleni sana watumishi najua mnayo yapitia nilipoteza mtoto wangu wa pekee 2019 Akiwa kidato cha tatu iliniuma sana na hata sasa nikiwaza inauma roho hata kama tumeokoka bado sisi niwanadamu .
Pole sana ndugu
Poleni sana watumishi wa Mungu.
Poleni sana Familia ya Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa, mnapita mahali ambapo Yesu alisema, Wengi watatamani kupita katika Njia hiyo wasiweze, Ila Bwana atawafariji hata katika ugumu mnaopitia Sasa. Amina😭😭😭😭
Pole sana dada Salome. Mungu wa mbinguni akufariji.🙏
Poleni sana! Mungu awatie nguvu sana! Poleni! Mungu awape tumaini!
Jipe moyo mkuu,!
Mungu awatie nguvu
Poleni Sanaa😭😭
Polen sana watumishi wa mungu ,mungu awe faraja kwenu awatie nguvu
Pole sana Mom. Kiatu chako hakuna wa kukivaa Mamangu 😭😭😭 Rip mwanangu kipenzi Wokovu. Mungu ameruhusu uondoke Mama,nenda mama tuko nyuma yako mpendwa wetu.
Amefaliki vipi mtoto huyo? Mbona majaribu?
Kaumwa nini
Jamani poleni sana mungu awe faraja wakati huu mgumu.
Lazima mungu atalipa hapa hapa duniani
Lazima mungu ata shusha laaana kuuu juu ya ilo lishetani lilokataliwa na mungu. Limekufa ilnajiona hai
Poleni Sana watumishi mungu awafariji 😭😭😭😭
Bwana Yesu awatie nguvu watumishi wake
Poleni sana baba na mama YESU awatie nguvu
Poleni sana, Mungu akawe faraja yenu.
Kuna Jambo zaidi Mungu anafanya, nitakapo pata mawasiliano, nitawaeleza, japo mnajua
Pole mama mungu akupe falaja pole Sana mama
Poleni sans Mungu awatienguvu wazazi na family yote
Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana Atawaponya nayo yote. Mungu ni mwenye haki. Mungu Akufarijini, Awazingire kwa pendo Lake.
Mungu awafariji
Poleni Sana watumish mungu awatien nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu mungu awape wepesi AMEN
Mmenigusa sana wapendwa nalia poleni sana
Mungu azidishe faraja yake katika mioyo yenu wazazi wa Wokovu, poleni sana.
Oooh jaman polen Mungu awafariji
Da inauma Sana , YESU PEKEE YAKE NDIYO MFARIJI WA KWELI,ATAWAFARIJI
Mungu awape faraja poleni sana
Poleni sana watumishi! Mungu awatie nguvu!
Pole Baba na Mama Mungu awape moyo wa faraja
Jamani hivi huyu Mbarikiwa Mwakipesile ndo yule mwenye nyimbo za kuabudu nzuri zinapigwaga pale sido kwenye duka la mikoba au? Pole sana mama wewe, kiatu chako ni kikubwa sana kukivaa. Mungu akufunge mkanda.
Ndiyo ni yeye mtu wa Mungu aliye Shiba imani
Poleni sana watumishi🥲
Naamini yupo mahari walipo watakatifu walio tangulia zamani, Japo kibinadamu inaumiza moyo ila aliye ruhusu na awatie nguvu yakusonga mbele na kumtafuta Mungu mala zaidi ya hapo mlipo fikia
Mungu awape faraja ya moyo ambayo hakuna mtu anaweza kutoa
Asante Mungu
Iko swa sana
mungu awafariji ktk magumu hayo
Nimejifunza kitu yani mungu anawatu faraja ihii endeleeni na injii maana wote tunaenda uko
Sisi tumeyapokea haya na tutazidi kupiga mwendo duh uwiii imani kali Sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu wa mbinguni awafariji
Pole Salome mama yetu MUNGU akutie nguvu kwakweli ametuumiza
😭😭😭😭😭Bwana YESU awe faraja kwenu watumishi wa MUNGU
Poleni sana Mungu awafariji jamani
Pole Sana mtumishi
Nyimbo gani iyi jamani yaku liza watu :nime jiziwiya nisi liyi lani kwa wimbo huyu ooooooonime jikuta nana liya tu.
Poleni sana watumishi wa Mungu kwa msiba huu mkubwa.
Ni Mungu ujuae kutenda mambo mema kwa wakati ndiye, aliye mupa iburahimu mtoto, pia ndiye aliye mwamulu akamutoe sadaka, ndiye aliye lusu majalibu wa kuwaua watoto wa Ayubu ndiye alie mwinua Tena,na kumutajilisha, sifa na utukufu apewe yeye Mungu katika nyakati zote
Mungu akutiye nguvu Mama Wokovu.
Poleni sana watumishi Wa MUNGU awatie nguvu
Aisee Mungu awape nguvu
Pole Sana kwa familia
Pole sana Dada
Misiba ya wacha Mungu Ni fahari ktk Imani ya kweli maana wanalo tumaini kwa YESU Kristo . MUNGU anawapenda sana .waebrania 11 . Nawaachia Neno Hilo liwe faraja kwenu .ninyi ni Simba waungurumao mwituni
Polen mno
Poleni sana MUNGU awape nguvu
Porenisana munguawatienguvu jamani mwakipesile kaka poresana kaka mungu akupenguvu kaka
Kwa.maana kuishi kwetu sisi ni kristo kufa ni faida.
Poleni sana jamani Mungu mpokee mtoto huyu
Poleni sana jamani, tusipozimia roho tutamkuta mbinguni
Daa Mungu aendelee kuwapa faraja
Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu
Mungu azidi kuwapa faraja watumishi Wa Mungu 😭😭
Nimelia Sana umenikumbusha mbali Sana mwanamke mwenzangu kufiwa kunauma 😭😭😭😭
Ndugu yangu ni ngumu kulipokea jambo Hilo. Mi mwenyewe lilinikuta mwaka 2020 kwa kijana wangu wa pekeee. Nililia machozi yakauka, nikaimba nyimbo zote za faraja lakini haikutosha kulipokea hadi Leo ni miakà miwili lakini Bado ni kama Leo, namfikiria mwanamke mwenzangu nae kama Mimi mtoto wa pekeee kaondoka maumivu aliyonayo nayaona ni kama kiatu changu. Mungu azidi kuwapa nguvu watumishi hao hasa kwa siku ya Leo ya mazishi ya mtoto ni siku ngumu saana jamani😭😭😭😭😭
Pole Sana na MUNGU AWATIE nguvu
So sad, Mungu awatie nguvu Sana ni ngumu kuamini
Mama wokovu pole Sana Sana Mungu akutie nguvu Sana.
Sisi tusiyo wanafiki wala mamluki tuna tuna tuma laaaaana kuuu ikawangamize wote wanatumiwa na masii wa mungu
Bwana Mungu wa wa huruma awatie nguvu watumishi wa Mungu.
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Poleni sana MAMA na BABA,inaumiza sana, MUNGU awafariji mioyo
Sorry the servants of God and God will give you more strength
Polen watumishi
Poleni aki watumishi wa Mungu so painful 😫 😢 😭