ACT Wazalendo: Kariakoo ni Kitovu cha Biashara, Serikali Iache Mara Moja Kodi za Dhulma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu Isihaka Mchinjita Amefanya Ziara ya Kuwatembelea Wafanyabiashara Karikaoo Kusikiliza Kero Zao Pamoja na Kuwaunga Mkono Katika Kupigania Haki Zao. Ziara Hiyo imefanyika Juni 24 2024 Kufuatia Mgomo wa Wafanyabiashara Hao.
    #taifalawote #maslahiyawote

КОМЕНТАРІ • 22

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 5 днів тому +2

    My friend serikali inapokuwa haina fedha, ni mtumwa wa waarabu, wazungu, wachina nk. kama matokeo ya sera "asante bwana wangu kwa kunipa mikopo" usitegemee intervation ya raisi! Nyie ACT Wazalendo ndo inatakiwa mfanye intervation kwa kuja na sera mpya, bunifu na endelevu kama nilivokusikia baadhi ya mapendekezo yako. Huku unaishutumu serikali imefeli hapohapo unaishauri ifanye intervation! Kikwetu "u are talking hypocracy." Nimekushangaa sana bwana mhe. wa ACT Wazalemdo!

  • @user-ob4ez4ku6z
    @user-ob4ez4ku6z 5 днів тому

    Safi kabisa umeongea mzee na umesomeka big up

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 5 днів тому

    Act mmeongea vizuri.to the point.viongozi wetu tunamategemeo nanyi

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 6 днів тому +2

    Mwigulu ndio tatizo anatamaa sana hapendi watu wengine wishing vizuri mama mtoe huyo waziri wa fedha huyo ndio shida

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 5 днів тому +1

    Hii nchi Mara soko liungue Mara makodi yasioisha,bungeni mkiambiwa ukweli mnafukuza wasema kweli,asilimia tisini na tisa chama moja mnafukuzana wenyewe, wangekua wapimzani ingekuaje?,Nani kama Mpina?.

  • @BGmElectronics
    @BGmElectronics 5 днів тому

    100% umetisha kama cyo siasa pia

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 днів тому

    Mchinjita you are the best 1🔥🔥🔥

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 5 днів тому

    Kweli babisa ✌️❤️

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 4 дні тому

    WE'LL SAID ACT

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 5 днів тому +1

    Hawa jamaa sjawahi kuwaamin hata kidogo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 дні тому

    Wafanyabiashara wanalipa KODI wakitoa mzigo bandarini wakiuza wanalipa VAT, sasa hawa wafanyakazi wa serikali wakomeshwe kunyanyasa wafanyabiashara. Kenya watu wamegoma TAX za serikali, wananchi ni masikini. Wakubwa wa serikali wanaishi na familia zao maisha mazuri ya Ufahari kwa kodi za wananchi.

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 5 днів тому

    Mungu

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 2 дні тому

    Tatizo mama anajifanya chura ila atambue kirusi chote ni mwiguru na mkumbo huyu bibi Amtimue mwiguru hana ubunifu

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein 4 дні тому

    Mmeona hapo ndo goli la mkono eh🤣🤣🤣

  • @user-bq4tk6yq2q
    @user-bq4tk6yq2q 4 дні тому

    Ubavu hakuna nani atasimama kama Jpm awatoe wasio kendal na mama

  • @edmondraymond52
    @edmondraymond52 5 днів тому

    WA

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 5 днів тому

    Aibu kubwa nchi

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 5 днів тому

    Jawa Wanasiasa ndio wana ole ya Chockochoko kwenye Biashara za Watu. Hawafai kuingilia mambo ya Watu yasiyowahusu.

  • @user-bq4tk6yq2q
    @user-bq4tk6yq2q 4 дні тому

    Wanao dharau maagizo ya rais wawekwe pembeni na kuwaweka wanokwenda naye

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 5 днів тому

    Umeongea vitu vitamu nusu niliee