Ndio tena alikua atuletea kuusu story za watu maharufu mwisho akaanza kuoji mikasa...kama ivi Leo tunavyo enjoy...apa nimejifunza kitu kutoka kwakwe don't give up..
@@Teacher_01 😂😂😂😂😂 Ee buana hapo vzr au ukiweka picha yako umejistili nisawa ila sio kutuvalia kizungu, Sisi wabongo ukituvalia hivyo tunajuwa nimfanya biashara fulani, Ahsantee my dear kwa kunielewa.😘😘😘
Sheby Alawi haya tupo😋 🤸 hatimae umekuja👏
Big up golden boy.Umetulia sanaa
Huyu dogo mhuni kama kaka ake yaani anakunywa energy kisha anaitegesha kwenye camera kidogo ndio anashusha... 😂😂😂
😂😂😂 asee umenifanya nicheke
Shebi nimekumiss karibu dogo 👊
Mdogo wangu umependeza umepungua nywele..you look🥰😍😘
Hiii Chanel mwaka wa 3 huu naifatilia 👏👏👏
Kumbe ya zamani hii channel
Ndio tena alikua atuletea kuusu story za watu maharufu mwisho akaanza kuoji mikasa...kama ivi Leo tunavyo enjoy...apa nimejifunza kitu kutoka kwakwe don't give up..
@@seasonepisode3328 aha sawa. Asante kwa kunijibu🙏
Dogo unaelezea vizuri sana
MMEMSEMA ALAWI MPAKA AKANYOA PAKA NYIEEEE ...WAKATI ALAIKUA NA MANYWELE KAM MM
Amependeza lakin jaman
@@Teacher_01 kapendeza
Shebi Bebbii nmekumissii angalau umerejea kutupa simulizi zingine
Tusiingiliane shogaa angu mbona ivyoo jaman.. 🤦🤦
@zuu njoo pole pole hivi si Daniel ndio mtu wa kwako 😂😂😂
@@babyboss2886 aaaa jaman Daniel tenaa..🤦🤦
@@Teacher_01 zuuu nini lakin🤣🤣
@@cecycecy3610 😂😂😂 ntapambana na yoyote anaeingilia penzi langu.. 😌😌😌😌
Hallow 2 tupo pamoja
Wa 3 leoooo
🚶♀️🚶♀️🚶♀️👂👂Jana na leo
Sheby usiwe unachelewa kuleta muhendelezo tafadhali
Zuu alawi huyu huku angalau leo utalala na amani 😍😍😍
Nakwambia😂
😂😂😂😂 katupiga biti nakwambia hatimae alawy kafika
@@aiyamhassan1321 khaaa NIMEMRUHUSU jaman davista kaniomba Sanaa kwanza mnamuonajee yan.. 😘😘😋😋❤️❤️💃
@@credo7837 yaan wew #pilii credoo ameanzaa huku uchokoz☹️☹️🤦
@@credo7837 uwanja unaitwaje credoo... 😂😂😂🙈🙈🙈
Mbona anaonekana kama mdg sana huyu mtt
Daaa umefanana nae brother
Shebi mambo l love nakupenda bule
i seee
🙅🙅vp tena
@@credo7837 vp tena
@@samakqlasamaka4508 hamn wivu tu😂
@@credo7837 acha wivu bas maana nampenda sana shebi
Golden boY
Davista tunasubir mwendelezo wa rwanda magere
hata mimi naimeishia patamu
@@mariamnuru9939 yaan kila saa nachungulia kama nimeinjika harage😂😂😂😂😋
@@aiyamhassan1321 walai mimi pia story tamu😋😋
@@aiyamhassan1321 hehe
NIMEMRUHUSU SASA C MNAONA AMEPENDEZAA.. ❤️❤️❤️🙈 MY #GOLDEN BOY
Jmn mbn kmy
duu zuu umetisha, na hiyo sketi yako kama mkia.
Mambo
@@jumakalele3796 poaa best
@@ivaniavianarodrigo7201 jamani🙄
Pamoja nipo🙏
Aysha na pili siwaoni leo vipi kwema haya mkuje huku sheby amewasili anakunywa na energy yake bardiii mno
❤️❤️❤️ wifi karibu.. 🤦
@@Teacher_01 asante my wii
Ndiyo nmefka wngu 😘😘😘😘😘 shkuran
@@Teacher_01 mmeshndaje wote
@@ayshamahariq6665 salama kipenz chetu.. ❤️❤️❤️
Golden boy nimefika ndani
Dav ww nae unatuchanganya kaka tuletee stor ya magere mpaka iishe sasa una maana gani kuansisha stor nyingne hjamalza ingine unatuchosha banaa
Wajua hata hio story ya magere iliingilia Kati story ya Hellen .... cool down let's enjoy the muendelezo 😊
@@linahmwende8397 ya helen hata sio nzuri yamagere ndo stor bora kuwah kusimuliwa ukiacha ya zabroni kwabyo atuwahishe watu tuna kimhemhe
We kama unaona Kaz acha kuskiliz hz mpya subr ikiisha ile ndio uanze Hz sir wengine tumeshazoea makande😂
Punguza shobo kwan bandle lako?
@@kingwamaratz6062 na wewe punguza muhaho una haha Sasa ndugu
Golden Boy wacha sauti ongea Davistar utafikiri hongera kijana twende na story.
Kwa mtu ambae anamjua rahisi saan kumtambua sauti masikio alama tosha
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
😘😘😘😘
Nakupenda pia mwa mwaaaaa
@@fatmaalrshdii7615 pamoja wngu❤❤❤
Naifatilia....
Uwanja unaitwa😂🤣😅😀😁
Wakwanza🤔🤔
Huyu ni kakake davister nn wanafanana
Leo tupo ntwala
Mbona mkuu namjua huyo
pamoja sheby
Wasita leo
Hongera
Mbagala stombarg home home
Nu 1 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦💃💃💃Asente big bro
💃💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭 hujambo wngu😘😘
Sijambo kipenzi vip na ww hujambo
Ndio karud leo 😂😂 zuu umefulia
Wee NIMEMRUHUSU tu. Kwa heshima ya davista2. maana AMENIOMBA Sanaa nimuachie kijana wake.. 🙈🙈🙈😂😂😂😂
Kwanza angalia alivyopendezaa.. ❤️❤️❤️💃
@@Teacher_01 kweli kabisa
@@Teacher_01 Bora umeonaeee ilo
zuu kafurai sana😂😂🤣🤣🤣🤣
Alhamdlillah w mwisho 😭😭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
My love usiliee habity wangu.. 🤦
@@Teacher_01 Asante wngu😘😘😘😘😘😘😘
🤣🤣🤣🤣pole
@@pilimusa7770 Asante wngu 😂😂😂😂🤣🤣
@@pilimusa7770 hujambo wngu😘😘😍😍😍
Uwanja wa stombagi 😁
hahahahahaaa
Nikweli kabisa upo pale kimbangulile karibu na makabulini wauni ndio sehemu Yao ya kujidai Yani pale ukipita Salma ushukuru mungu Atari na nusu
Hiyo sehemu itakuwa salama sana kwa wadada😆😄😆😄😆
@@abbyadams8691 ata kwawakaka pia
Wa kingugi tujuwane
Mimi napatika APA maduka manane pamoja Sana mdau mwenzangu
@@fatmaalrshdii7615 mm kwa simba
@@dotosalim5090 sawa
Tupo kwa wamakonde 😂😂😂mwee ntu wangu ila uka mpe hi yule wa jin mahuta 😂😂😂
Samaki nyiichangaa 😷
Na yule wa ntoto mamu
Kama mnaigana sauti kwa nini nae asiwe wa tofauti
Iko poa Sana
Mi nikajua huyu anaehoji ndo mchawi 😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu uwiiii
Mrs Sheby uko wapi 😋😋😋😋😂
Wifi yangu nipoo.. 💃❤️❤️❤️❤️
@@Teacher_01 hizo nguo unazotuvalia mama kafunge khanga lasivyo Sheby humpati.
@@dorcaskidoti249 samahan Dada subir nitoee.. 🙏🙏
@@Teacher_01 😂😂😂😂😂 Ee buana hapo vzr au ukiweka picha yako umejistili nisawa ila sio kutuvalia kizungu, Sisi wabongo ukituvalia hivyo tunajuwa nimfanya biashara fulani, Ahsantee my dear kwa kunielewa.😘😘😘
@@dorcaskidoti249 nakupenda Dada angu Asante kwa kunifundishaa jaman ilaa ndio nguo zangu Toka nipo kwa wazaz ilaa Asante sanaa
Goldenboy tupo pamoja
🙏🙏
@@credo7837 shem adi wew... 😭
sana 😘😘😘
@@Teacher_01 😂😂😂😂
@@credo7837 🤗🤗🤗
La kushangaza hamna alie comment kuhusu hii story 🤔🤔🤔🤔 wote ni golden boy tu... Davistar 😔😪
😂😂😂😂😂😂
Shogaa imekuuumaa sanaaa eee.. 😂😂😂😂😂🙈
@@Teacher_01 basi tu Unajua tena🤣🤣🤣
Wengi tu Wa natamani kupendwa 😁😂
@@Laila-lz4ij jaman beby.. 😂😂😂
@@Teacher_01 mbavu zangu mwenzio uwiiiii
jamni alawiiii wangu nimeingia moyo umepasuka wher ar you golden boy ?? HB da😂😉😉
Nitakupigaa achana na my wangu.. ☹️☹️☹️
Unamjua mzee nchinalonda wew wa Kongo wewe endeleaaa tu.. ☹️☹️☹️☹️🤦
@@Teacher_01 ngoja tuone karoli to kazuramimba mama jipangee hiko chuma black mamba changu hikoo😂😂😂😉oooh tulia mamaaa
@@cecycecy3610 jaman mamy unapenda vitaa Sana Kwan uwaon wakina varoli jaman yan ntakukomesha ... 🤦🤦🤦
@@Teacher_01 huyo alawi wenu nahisi anajua kama anagombaniwa, ona ma pose yake🤣🤣🤣
Wa 4
Bado sana
Hongera wngu 💃💃💃💃
@@ayshamahariq6665 achateee my
@@credo7837 we usiambie uniache nixhinde na simu mkononi🤳🤳
Mambo
Umeadimi 😂l
Huyu Mdg wako nn
Wasitaleo
Stombagi Still chama ha ha ha ha ha ha
Huyu chalii anaulizaga maswali kishamba kweli yaaani 🚮🚮🚮
Maisha yamasikani hovivyo kabisaa kwaza huwa sana sana ni vakuibia watu bangi hata kubaka pia
Stombagi stadium!
SITOMBAGI
Ndio ulichokielewa hicho 😂😂😂
Tatizo Alawi unaongea wewe sana
🇰🇪🙄🙄🙄
DOGO