HARD SITUATION SWAHILI FILM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Hard Situation Filamu inayozungumzia nyakati ngumu katika maisha ya Kila siku, Kwenye Filam hii muandishi amejaribu kutuonesha jinsi Jamii inavyoweza kukutazama pasi na msaada pale magumu yatakapokufika.
    Muandishi pia amesisitiza Kujituma na kuto kukata tamaa huku kauli ya kutoa si utajiri ikihizwa na muandishi tena kwa ukali.
    Kijana Amir ametumika kama mbeba Chungu cha Jamii, Vijana wengi katika jamii wapo ndani ya Chungu alichokitwika Amiri aliyeamua Kutoa msaada na kupambana pasi na kukata Tamaa.
    Mvumilivu hula mbivu, kauli ya Amir iliyozaa matunda, Ukipata makalio yasilie mbwata kwani Amir alilijua hilo vyema...
    ....,............ .........................
    Hii ni Filam iliyoandaliwa na Vijana kutoka Tanzania, wenye nia na uchu wakupiga hatua katika nyanja hii ya Filam..
    Unaweza kutusaidia Kwa Hali ama Mali ili kufanikisha Ndoto zetu... Iwe Vifaa, Ushauri, Pesa Nk
    Wasiliana Nasi Kwa namba za Simu +255750704202 ..Tupo Dar Es Salaam 🇹🇿 Tanzania..
    TUNAHITAJI SUPPORT YAKO 🙏🙏🙏

КОМЕНТАРІ • 36