Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mungu ibariki kwaya hii uwape nguvu
Kwakweli mungu ni waajabu Sana mungu awatie nguvu siku sote nawapata Sana
Hakika huu wimbo umenibariki sana tena sana mungu awabariki sana ili injili iendelee kuhubiriwa katika mitaa na mataifa mbalimbali ili isiwepo hata mtu moja atakae kuja kusema mm sijasikiaga mungu aibariki sana kwaya hii
Amen amen na mungu akubariki sana mtumishi na akupe kipawa cha kuendelea kufuatilia injili
Barikiwa Sana
Emungu tuna shukuru kwaya hii upo karibu
LENGAI LENGAI