He's a 5 minute man, nisaidieni daktari | Hali Ilivyo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 862

  • @gadafikevo1064
    @gadafikevo1064 3 роки тому +1

    Namis daktari jalas kabisa mungu siku moja awaunganishe wapige kazi tena🤗🤗🤗

  • @marionsonni1534
    @marionsonni1534 4 роки тому +10

    This colabo was great for my health miss you guys

  • @KenBarasa1982
    @KenBarasa1982 5 років тому +97

    Ile ni turbo! Oh gosh.... 😂😂😂😂😂😂nipe like ya turbo

  • @silvanomwabora8536
    @silvanomwabora8536 5 років тому +21

    hahaha Daktari Jalas you are a special case i swear. Nacheka tuu kama mwenda wazimu apa

  • @BobEvans-InGkenya
    @BobEvans-InGkenya 4 роки тому

    Mungu anisamee nimesumbuana sana ..nimepea kibarua ma intern kama wa uyu dem ... sio poa jama tupeleka awa watoto pole pole

  • @jacksonjack8535
    @jacksonjack8535 3 роки тому +1

    This guy's should come back together their show was lit milele fm mkitaka turundi bring back these legends

  • @williammutembei5122
    @williammutembei5122 4 роки тому

    Uyo mzee katilii kweli aombee mungu kwa sababu gsu sii watu

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 років тому +172

    team dry spell kujeni hapa msikie hii....yesu wangu Alex ameongea na lugha😅😅😅😅😅😅jalaaas munanimaliza

  • @eglasiomi3166
    @eglasiomi3166 3 роки тому +9

    I mic this guy alot aki until today I just come here to remember them and 😂😂😂 they always make my day 🤣😹🤣😹🤣🤣

    • @jacktonmalova9677
      @jacktonmalova9677 3 роки тому +1

      Me too , I always listen to there hali ilivyo

    • @eglasiomi3166
      @eglasiomi3166 3 роки тому

      @@jacktonmalova9677 enzi hzo zilikuwa poa sanaa

  • @raelk66
    @raelk66 5 років тому +8

    Enjoying the show all the way from Zurich Swiss big love the last one ☝️ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 5 років тому +12

    Jalas umesema makali yabaki constant 😂😂😂😂😂😂

  • @wykerztv9069
    @wykerztv9069 5 років тому +139

    Heee!!! Every 2hrs katiba inasomwa ukifikisha 28years jina itabadilika utakua unaitwa daisy borehole 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwendwamusyoka1691
      @mwendwamusyoka1691 5 років тому +2

      😁😁😁😂 This is Craziest maze

    • @patrickwachira8136
      @patrickwachira8136 5 років тому

      Haha haha

    • @emokiriemiabednegoabed2844
      @emokiriemiabednegoabed2844 5 років тому

      Smartness is important in a relationship and cyberhackinggenius helped cloned my husband’s phone and I got access to all his dealings both on phone and social media without touching his phone. All I did was share my husband’s phone number with cyberhackinggenius and I was able to read both his new and deleted messages from my phone without having to touch his phone. My husband was a cheating Narcissist and I’m glad to find out all his secrets and infidelity with the help of cyberhackinggenius. I’m here in UK and able to access my husband’s phone messages with a link on my phone even while he was away in Canada cheating on me. I got to discover that my husband who is legally married to me here in UK is also recently married to another woman in Canada and I’m finally going through a divorce with lots of evidence against him. I read all his Whatsapp, Facebook,Skype,Instagram and Snapchat messages Including the deleted text and recent messages. You can contact this great Hacker Gavin via Gmail (cyberhackinggenius) or text and speak to him directly on his phone and WhatsApp : +19256795146 and don’t forget to thank me later.

    • @BonfaceSikobe
      @BonfaceSikobe 5 років тому

      😂😂😂😂

    • @janewanjiruwanjiru8402
      @janewanjiruwanjiru8402 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @bratonwilliam7877
    @bratonwilliam7877 4 роки тому

    Mungu shuka baba tunakuhitaji .....

  • @Ericjunior7656
    @Ericjunior7656 5 років тому +11

    Huyo kijana ale fruits, ugali na veges kienyeji na anywe maji 2hrs to a match. 24 is a prime age ya kusoma katiba mpaka mwenyewe aitane. Hawa warembo wa 20-25 huanga moto saana lazima ujipange naniiiiiii

  • @dianahamagove7456
    @dianahamagove7456 3 роки тому +4

    I wish this duo can come back together

  • @normanmjomba1378
    @normanmjomba1378 5 років тому +34

    I think mrembo Uko na time mob Uko idol Sana tafuta kazi ufanye

  • @xpresstv7689
    @xpresstv7689 5 років тому +4

    She is crazy..... ain't nobody go that kind of energy.

  • @ayubsharia8972
    @ayubsharia8972 5 років тому +3

    Appetite yake iko juu sana..iyo experience @23 waaaa!

  • @khaluuilucki8414
    @khaluuilucki8414 5 років тому

    Wauh.... tooo much... unataka maombi.... Mm ikifika ya dairly huwa naboeke

  • @thedingaseries4462
    @thedingaseries4462 2 роки тому +3

    I didn't know this channel radio station was as nice as this😂😂😂😂

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 років тому +7

    Team dry spelly kujeni hapa sahidieni uyu mwanadada Juu ako na huku kwetu team kujiamini hamamu.Uyu amekufaa akikuduwa na boss wake pole sana dada😅😂😅😉😅😉😅

  • @euniceatieno9371
    @euniceatieno9371 5 років тому +103

    Daisy tafuta job,seems you're so idle,

    • @Ericjunior7656
      @Ericjunior7656 5 років тому +2

      Weri gi Daisy ocham kedi

    • @Barbie_Dolli
      @Barbie_Dolli 5 років тому +3

      True some of us are too busy.. Kusomwa katiba tunaonaga n kupotezewa muda tu...she should get busy.. 23 is a very prime age she should forcus on important things e.g her studies

    • @OlwandeErickerickol
      @OlwandeErickerickol 5 років тому

      Hhahahah true

    • @anahbesh4266
      @anahbesh4266 5 років тому +1

      Marya Babra wow this is best ak I wish she can understand this

    • @Barbie_Dolli
      @Barbie_Dolli 5 років тому

      @@anahbesh4266Yeap dear..life is not friendly this days..the struggle is real..No pain no gain..

  • @petrahmaggie4768
    @petrahmaggie4768 5 років тому +2

    Uuuuiiiii uuuuuiiiii toka mbele ambulance service nimefikisha kuja nikutibu wewe mrembo Katiba yako iko na moto sana hio moto inataka makali sawa sawa......utauwa watoto wa watu jamani sisi dryspell inatuuwa.jalas and Alex ur making my day....

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 4 роки тому

    Ajipee shughuli huyo naona Hana kazi.kazi itakuwa ni kusoma tu katiba.jipee shughuli my friend

  • @stevebiko2289
    @stevebiko2289 5 років тому +1

    Hii hesabu haikuwa favourite subject ya Mwakideu, Inamsumbua sanaa but ni life

  • @rhodaojwang2961
    @rhodaojwang2961 3 роки тому +7

    Jalas, now I see why Mwakideu was sad when you left the show y’all worked well together

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 5 років тому +11

    Jalas,yesu mwana wa carpenter 😂😂😂😂😂

  • @zainabwamboi9469
    @zainabwamboi9469 4 роки тому +2

    Waaaah mara sita kwa siku si utua mtoto wa watu 😢😢

  • @samhenry5100
    @samhenry5100 5 років тому +13

    Wololo🤣🤣🤣unataka kusoma katiba ama kushuta....jalas you will kill me oneday 🤣🤣🤣🤣

  • @Girl_Maasai
    @Girl_Maasai 4 роки тому +2

    😂😂😂 mimi siwezi call jalas juu nitacheka nifaint nisahau shida

  • @kaihugacangacangimlachake1862
    @kaihugacangacangimlachake1862 4 роки тому

    🤭🤭🤭🤭🤭haroooooo🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️every two hrs😳😳😳😳crazy u r gal...pumzisha boy shaud pls,utabore then ukue borehole

  • @jacklynenafula8045
    @jacklynenafula8045 5 років тому +6

    Jalas akiskia story ya bed huwa anachangamka sana

    • @mercywanjiku6136
      @mercywanjiku6136 5 років тому

      Aki ukweli anapenda sana

    • @jacklynenafula8045
      @jacklynenafula8045 5 років тому

      @@mercywanjiku6136 but MTU akiwa na shida ingine humjibu ni kama hana haja,,lkn ya katiba,,,,,,....

  • @MetrineNekesa-mj4mh
    @MetrineNekesa-mj4mh 5 місяців тому

    I miss dakitari for sure ❤❤

  • @beatricemaina2191
    @beatricemaina2191 5 років тому +7

    Alex hahahaha 😂😂😂😂 😂 unabiga hesabu kua serious Yesu wangu shuka sasa

  • @derekmwiriki9284
    @derekmwiriki9284 5 років тому +7

    Na uyu mariga kwani anakuanga na direct call kwa Milele Fm? Everyday lazima he calls...

  • @edwardmurithi2390
    @edwardmurithi2390 5 років тому

    Waaahhhh hapa iko shindaa Mara 8 kwa siku Jesu mwana was Carpenter shuka sasa

  • @chrismutunga3419
    @chrismutunga3419 3 роки тому

    Jalas,ambia uyo dem afunze jamaa wake kukula pilipili kwa wingi,

  • @graciew1780
    @graciew1780 4 роки тому

    Mwanbie aende law pastor Nganga maombi

  • @LEGENDS1049
    @LEGENDS1049 5 років тому

    🙌🙌🙌🙌🙌🕵uyo dem anatumia mihadarati

  • @theconfusedsoul254
    @theconfusedsoul254 5 років тому +4

    Great show. Alafu mjaribu kuongelea hii shida ya Groups za Whatsapp. Unaamka asubui unapata mtu amekueka kwa group hujui like Funeral groups na Mwenye amekufa haumjui😂😂😳

    • @eferykhasungu3805
      @eferykhasungu3805 5 років тому +2

      Arthur Preston hiyo ujinga hata mi sipendi unafungua tu cmu msg cnaingia mpaka unadhania cmu niyawenyewe 😅😅

    • @theconfusedsoul254
      @theconfusedsoul254 5 років тому +1

      Hahaha. Inaingia unaona Contribution for Mr X na hata haumjui🙄🙄🥺😳😳

    • @eferykhasungu3805
      @eferykhasungu3805 5 років тому

      Arthur Preston hao ma administratos waangaziwe pia🙄🙄nkt!

    • @sherryboboo2103
      @sherryboboo2103 5 років тому +1

      Like leo woke up to 964msgs na cjui purpose ya group this nonsense should stop

    • @eferykhasungu3805
      @eferykhasungu3805 5 років тому

      Ruth Njeri 🤣🤣🤣 hizo utasoma kwa sku ngapi?😅na reply nazo😅😅😅

  • @asas-gl6el
    @asas-gl6el 4 роки тому +5

    U guys spare my ribs....nawapenda bure 😂😂😂😂🔥🙌🙌

  • @carolmamakebritney5266
    @carolmamakebritney5266 5 років тому +7

    Waah Chisasi son of carpenter 🙆🙆🙆🙆 I'm deaded

  • @kevinochola5946
    @kevinochola5946 5 років тому +5

    idle mind, peleka yeye Sabina Joy

  • @doreenoyugi4190
    @doreenoyugi4190 Рік тому

    Not me listening this while niko kutu ya miezi sita😂😂😂😂

  • @edithnjagi5847
    @edithnjagi5847 5 років тому +7

    Weh! 23 yrs? The only thing you think about is katiba? Jeeso😢😢😢😢

  • @danielkiprono1462
    @danielkiprono1462 Рік тому

    ilikua lazima mfanye hady ya mwaka 😂😂😂

  • @perisabuti8379
    @perisabuti8379 5 років тому +20

    Am 31yrs sai wn i was 22-24 i didnt had sex but even after getting married i could go twice in 24hrs bt huyu ni demon aki......she's iddle

  • @robertndeto9131
    @robertndeto9131 5 років тому +3

    kaka steve mariga we ni dr kabisa ,, jalango ur asistant

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f 2 місяці тому

    Wewe msichana asitumalizie vijana wetu nahuu ujinga wako,

  • @kibetyegon2543
    @kibetyegon2543 3 роки тому

    Mungu shuka 😭😭😭😭

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 років тому +3

    waaaaah huyu akifika thateee atakuwa kama borehole chaiiiii

  • @gregorybaraza4107
    @gregorybaraza4107 5 років тому +2

    Mwakideu hajui hesabu jameni

  • @gandiwehu5818
    @gandiwehu5818 Рік тому

    How did I get here mehn😂😂😂😂😂

  • @abdiwaligeescade8399
    @abdiwaligeescade8399 2 роки тому

    Tafuta kazi msichana idol 😂😂

  • @LeshleeLee
    @LeshleeLee 5 років тому +3

    Twa twa chapa itoe moshi 😂😂😂😂😂😋😋😋😂😂😂

  • @estherrowlandd5267
    @estherrowlandd5267 4 роки тому +5

    Intimacy is a GOD given gift to two people inlove so Daisy she is not at the wrong truck just that she now realises men are so different in bed.

  • @betboard1883
    @betboard1883 5 років тому +1

    Ampikie manjugu majungu hivi

    • @betboard1883
      @betboard1883 5 років тому

      Ama ampikie pikie chakula iko na mafutaa taa😂😂😂

  • @kevinokubasu
    @kevinokubasu 5 років тому

    Yaani Mwakideu hujui hesabu

  • @luckylukas_ke
    @luckylukas_ke 2 роки тому +2

    I really miss this guy's

  • @ghhjhghji2505
    @ghhjhghji2505 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂 hao watu wa advice aki

  • @denilsonmecha8823
    @denilsonmecha8823 5 років тому

    Basi katiba yako imeharibika.....dada.....kazana na hali yako..

  • @sejerianlioness1398
    @sejerianlioness1398 5 років тому +18

    The lady needs help she’s mental 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣 that needs prayers lawd va mercy. Jah bless

  • @felixkiprotich4564
    @felixkiprotich4564 5 років тому

    Kuifiisha apooshee.. Mwakideu

  • @sharleenkate3044
    @sharleenkate3044 5 років тому +3

    Vile nimekaukiwa na dryspell Kuna mwingine anateta atosheki☹️🤣🤣akiyao😂😂😂wamlabez!!!

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 років тому +1

    I give up walai, this lady is so idol walai fanaya kazi kwa sana utafikiria sana story za katiba

    • @nyabokelovely17
      @nyabokelovely17 5 років тому

      John Mwangi kindly subscribe to ma channel too

  • @mercywanjiku6136
    @mercywanjiku6136 5 років тому

    Aki nyinyi Jalas mko chonjo sana

  • @mishibabu8946
    @mishibabu8946 5 років тому +1

    Hahaaa nimecheka kwa sauti 😄😄😄 5mins duh!

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 років тому +3

    Mwalimu atabaki kuwa mwalimu😂😂😂😂😂😂😂😂😂unataka kuuwa mtoto wa mtu akiwa young age wah😂😂😂😂😂

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 3 роки тому +1

    Hiyo engine ni tarbo jalango mpe likes jamani

  • @otienohsue2717
    @otienohsue2717 5 років тому

    Jesoo... Boychild amelemewa kweli...

  • @ibrahmdavi4464
    @ibrahmdavi4464 5 років тому +8

    Kwani unatakah akunywe zah farasi jameni ngoja wale wako Saudia wako njaa😂😂😂😂,

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 5 років тому

      😂😂😂 Hapo hao jamaa wanakuja wakiwa dry spell bana ata 4 hours wanaweza

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 5 років тому

      Nakwambia kukauga nayo!

  • @olooetos8550
    @olooetos8550 5 років тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂
    Katiba ya kushuta Dr jalas

  • @winnieomwa1841
    @winnieomwa1841 5 років тому

    Am done with jalas and Alex katiba ya kusutasuta jameni asetho poesa ivisa

  • @shinjiogle8314
    @shinjiogle8314 5 років тому +1

    Alex wachia hali ilivyo jalas please

  • @sumbajoseph1855
    @sumbajoseph1855 Рік тому

    This is hilarious 🤣😆

  • @atuyade1
    @atuyade1 5 років тому +2

    Damu ya mwanamke ni mto sana.

  • @timelessbeauty5677
    @timelessbeauty5677 5 років тому +4

    Nan anaeza hayo ..na kwani huyo boyfriend wako wakitambo hakuwa na kazi ya kufanya mchana ?

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 5 років тому +7

    🤣🤣🤣🤣wakenya nyie mnaniacha hoi shemeji yenu huku🤣🤣🤣

  • @mercyamagove1223
    @mercyamagove1223 5 років тому

    Mungu wa isacca Jacob na Ibrahim shuka na usitumane

  • @beller9304
    @beller9304 3 роки тому

    Huyu dame ni malaya, enda koinange street utapewa hizo mafainali

  • @jacintakadogojkm8394
    @jacintakadogojkm8394 5 років тому

    Wah ! kama mbili ni shinda..huyu mwanamke amebarikiwa 😂😂😂😂

  • @arthuradinda3812
    @arthuradinda3812 4 роки тому +1

    Huyu jamaa wa dawa ya kienyeji kwani ni mimi peke yangu nimemskia, lol

  • @martinmugambi8710
    @martinmugambi8710 5 років тому +2

    Katiba ya dame ndio imezeeka, kama ilikua inasomwa mara nane usiku moja na mara tatu mchana si imeisha jamani

  • @annmbatha6591
    @annmbatha6591 4 роки тому

    Daisy ako normal?

  • @jacobobonyo8109
    @jacobobonyo8109 5 років тому

    Boychild hii ni Kali...2 hours yote😉😉😉😉😉😉

  • @eferykhasungu3805
    @eferykhasungu3805 5 років тому +54

    Kwani huyo dem hana kazi antaka kupindulwa kama chapati usiku na mchana 😳😳😳😳

  • @vidiomoto254
    @vidiomoto254 5 років тому +58

    Na ss wa 2mins tukae wapi au maombi tu😂😂

  • @veronicanafula710
    @veronicanafula710 5 років тому

    Stiv mariga🙌🙌

  • @Coronado-og2dk
    @Coronado-og2dk 5 років тому +1

    Daaaa dada uko na shida jamani😂😂😂

  • @abdifatahabdullah1405
    @abdifatahabdullah1405 4 роки тому

    Hii generation inta niua

  • @Quilant749
    @Quilant749 5 років тому +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂Stivo Mc mariga yawa wewe fire bin moto.

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 4 роки тому +1

    Mukisikia watoto wa watu wamekufa na hawakuwa wameugua munashangaa.

  • @karlreesevick4196
    @karlreesevick4196 5 років тому

    Hahahah uyo msee wa Njugu Mala,Simsim na kadhalika Hio ni Remedy ya Sumu😂😂😂😂😂

  • @brendablessed1223
    @brendablessed1223 5 років тому +14

    😂😂😂😂😂😂when i was younger i had such fire 🔥

  • @poulapoula6354
    @poulapoula6354 4 роки тому +1

    Kuna wakati nilikuwa na hayo makali thn nikakutana na kikuyu mmoja alinipepeta hadi nikabeba mikono juu sitawai sahau bt sai hata moto uliisha

  • @janenjambi9215
    @janenjambi9215 5 років тому

    Kwani huna kazi msichana

  • @Kat_254
    @Kat_254 5 років тому +17

    😂😂😂😂168 times i die🤣🤣

    • @sainathsainath5155
      @sainathsainath5155 5 років тому

      Imagine i have never ever thought of this that one day ladies will cry for men aka yogurt ambaye siku hizo alikuwa akiitwa na jali ananza matuzi bila ya jua ni nini anaitiwa. ...eti wewe kwenda uko, umbwa wewe unangali nani na hayo macho yako ya chunguchungu na ndio ako na just 23 yrs what about if she will at age of 70? Where she now she needs 6 round after 2hrs=12hrs per day×30days×12month=
      12×6=72 yogurt
      per day
      So take 72×12 =864 yr
      What about the next 52yrs?

    • @djstarvy
      @djstarvy 5 років тому +1

      And us we go one year one time 😁😁😁😁😁

  • @bravinpeace6431
    @bravinpeace6431 3 роки тому

    Stivo mariga😹😹😹😹😂

  • @kibetdominic7997
    @kibetdominic7997 4 роки тому

    Alezzzzzzz ety bado ako hai chest pains itamuua🤣🤣

  • @munyokimakau.
    @munyokimakau. 5 років тому +3

    Huyu amezoea kazi koinange st.