Barikiwa sana agrey mungu akuinue zaidi kupitia wewe vijana ambao walikuwa na tabia kama yako ya ushoga waige tabia yako waache ushoga wamfate yesu atawasamehe dhambi ya ushiga barikiwa sana
Mungu akuongoze na wala usiangalie nyuma Tena.... Naomba kama itawezekana kakangu ufanye Bidii picha, video za miaka ya nyuma wafute kumbukumbu mbaya zako za AWALI na ujitenge na marafiki ulikua ukitembea nao naamini mui Hua mwema
Daaah polesa mwaume mwenze kwani umetuzalilisha vyakutosha na hoa wenyetabia ya kuwazalilisha wanaume wenzao ningewashauli wawache kabisa najua ndugu utakuwa umeasili kisaikojia ningekushauli uonane malakwamala watalamu wa saikojia ili usijeludi Tena au kujisikia uzuni mwishowe unaweza kuingia kwenye wembia la mawazo potofu mungu akutanguli ukawabadilishe nawangine wenyetabia kama zilizokuwa zakwako
Mchezo wa shetani kuangamiza kanisa (wateule wake) ,,,,kama kabadilikq mungu atukuzwe lakini kwa upande mwingine anaweza akawa ni mjumbe wa shetani kuwateka wengi zaidi
Mungu azidi kusimamiya kwa hili yaan tunajitahidi ss femil vp ila Kuna baadhi ya ss Wanawake tunafunfisha hii tabiya kwa mana unajuwa mtoto WA mwamke mwenziyo kaingiya kwenye mitikgani hiyo ya ushoga we ndiyo namualika dingo la Wana wake
Saa nyingine Mungu anampitisha mtu kwenye jaribu ili amkumbuke na kumrudia na kubadilika kuacha matendo maovu… kuhusu hiyo picha nahisi sio yy alie unganisha ni huyo mwenye acc
Barikiwa sana agrey mungu akuinue zaidi kupitia wewe vijana ambao walikuwa na tabia kama yako ya ushoga waige tabia yako waache ushoga wamfate yesu atawasamehe dhambi ya ushiga barikiwa sana
Da inaumiza sana mungu akufanyie wepesi uache kabisa hayo mambo Mungu akujaze imani zaid na wengine walio kama ww kupitia wew wabalike pia inshallah
Dàaa Mungu ni mwema sana kaka ni jambo zuri sana Mungu akupatie neema na nguvu
Allan akuongoze kwenye njia ilionyooka
❤❤❤❤mungu azidi kukusimamia kakangu
ALLAH Akuongoze katika njia iliyonyooka
Subuhanallah yarabbi alamina tupe mwisho mwema Amina yarabbi
Nakupenda sana Mungu azidi kukupigania tupo pamoja kukuombea,tusaidie mpendwa tuokoe vizazi vyetu
Mungu akuongoze
Eeemungu mbriki kijana wako huyu sirudi nyuma babaa😢😢
Amen
Mungu akubariki na akutunze sanaa ❤❤❤
Mungu akutunze mdogo wangu
BARIKIWA.MAAMUZI SAHIHI NA MAZURI.
Mungu akupe nguvu ili uendelee na huo huo msimamo na uweze kuwa mfano mzuri kwa wengine wanaoendelea na ushoga wakaeze badilika pia hao
Mungu aendelee kukupigania kila iitwayo leo
Mungu Azidi kukupigania umtumikie Ameen
Mungu akuongoze na wala usiangalie nyuma Tena.... Naomba kama itawezekana kakangu ufanye Bidii picha, video za miaka ya nyuma wafute kumbukumbu mbaya zako za AWALI na ujitenge na marafiki ulikua ukitembea nao naamini mui Hua mwema
Amina amina mungu ni mwema
allah akutangulie kwa kila jambo na mungu atasimama na wewe
MUNGU NI MWEMA SANA
Barikiwa sana
Mungu akurudishie hatima njema
Mungu akusimamie umjue zaidi zidi kumcha yeye utafanikiwa kila jambo babangu
Mungu akusimamie kaka
Mwenye Enzi Mungu akuongoze katika maishani 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Mungu akubariki sana ndugu
Maandiko yanasema wa mwisho atakua wa kwanza
Kabisa hadi nimelia sana 😭😭😭....nimejifunza kutokuhukumu watu tena...
Hakika 🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢Yesu nimwema kwa kweli 🥺😥
We listen...
.
Mashallah
Mhh allah tunusuru
Tuungane😂😂kutokomeza ushoga na ulawiti kwa vijana
Daaah polesa mwaume mwenze kwani umetuzalilisha vyakutosha na hoa wenyetabia ya kuwazalilisha wanaume wenzao ningewashauli wawache kabisa najua ndugu utakuwa umeasili kisaikojia ningekushauli uonane malakwamala watalamu wa saikojia ili usijeludi Tena au kujisikia uzuni mwishowe unaweza kuingia kwenye wembia la mawazo potofu mungu akutanguli ukawabadilishe nawangine wenyetabia kama zilizokuwa zakwako
Tatizo siio mashoga bali wanaosababisha ushoga kuna faida wanaipata😂😂😂😂tutokomeze ushoga naulawiti
Subuhanallah. Pole Afya yaje siyonzuri 😢
Mchezo wa shetani kuangamiza kanisa (wateule wake) ,,,,kama kabadilikq mungu atukuzwe lakini kwa upande mwingine anaweza akawa ni mjumbe wa shetani kuwateka wengi zaidi
Kawa meanaume Sasa hata anavyoongea
Mungu atakuongoza na akupe msamaha epuka marafiki ulikua ukitembea nao na jaribu utoe video na picha kwa youtube
Ndugu zangu Yesu Anarudi Waislam nabii is Anarudi
Namuona shetani akisikitika na yesu akishangilia
Tawilee ,,kwa hiyo marinda yako vip
Mwenyezi Mungu humbadilisha mtu kwa wakati sahihi tena husamehe yote
Si unayo ww marinda yake
Mungu akusimamie agrey
Amen amen amen
Sasa kwanini muweke picha mbaya? Sijapenda kwakweli
Wewe unataka upeleke ushoga kanisani
Kaka samahani sana naomba namba yako,,tafadhal na mungu akubariki
Naona ni mgonjwa kabisa hata kwa kumtqzama tu
Sw ila mm naomba uniambie kuusu msanii Whozu mimbona km nawas was nae yule jamaa
Mungu azidi kusimamiya kwa hili yaan tunajitahidi ss femil vp ila Kuna baadhi ya ss Wanawake tunafunfisha hii tabiya kwa mana unajuwa mtoto WA mwamke mwenziyo kaingiya kwenye mitikgani hiyo ya ushoga we ndiyo namualika dingo la Wana wake
mmmmmmm😂😂😂
Mpumbavu nani a sucribe hiyo channel jinga saaaaana imagine 😢😢😢 anyway,,,,,
Utumike kua kuokoa wengine
Ee balaa lako,
mbona chanel yake hatuioni
Mshenzi uyo abaki uko uko atutaki mashoga
Kwani kilikukuta nn au unaumwa?! Mana mh!? Afu upo kanisani afu picha za ujinga ulio kuwa unafanya za nn
Saa nyingine Mungu anampitisha mtu kwenye jaribu ili amkumbuke na kumrudia na kubadilika kuacha matendo maovu… kuhusu hiyo picha nahisi sio yy alie unganisha ni huyo mwenye acc
😂😂😂
Mbon kama unaukimwi
Acha usenge uwo ukimwi ulimpa wewe mkundu wewe
Kwani ukimwi unamzuia mtu kumpenda mungu? Ww mwenyewe mgonjwa wa kisukari, msipende kumkatisha mtu tamaa
Kwahiyo kama ana ukimwi unaumia nn ,mfyuuuu
Mungu akupe nguvu