❤❤(2)Roma Rudi, uchimbe madni Tanzania yanakusubil bla madini waweza kufa namaduwi wakamilik njoo wadau twende hewani midaetu hii kaka lucas tuko pamoja familia tunazpenda km uvotuoenda🌹🌹🏃
😢😢😢😢yan hujui tu ambavyo kanikera yan hta km anamichepuko sio kwa anachokifanya roma na michepuko yake simpendi nasra wallah mfadhili mbuz binadam wanamauzi😭😭😭
wooooyaaa mambo yamkuwa yakuvutia acha nikae mkao wa kula kusikia na kufwatilia yaliomo kama yamo ya Roma kuwapa funzo maadui ambao wanajipanga kumthibiti wote nao kumtii badala ya kumdharau
Roma katushinda tabiya kila mara kumuumiza Edina wetu mke ni mke tu.iko siku atashinda iyo micepuko naatamuzalia awe na subra tu kwene paca wake kazaaga na Roma naye piya itawezekana kuza Roma atuliye Edina njo mwene nafasi
Huyo mjaa sum die mtoto wa bi wema mbaya alijitegesha roma akatafuna kitubua nikelo sn biwema wanashibana n edna sijui nae akimpatana mamaake halafu awe km nasra daah edna mbona watu wakalibu wanakua kikwazo!💔
Ila Roma nihatari na nusu kwanini amufundishe Rose hizo mbinu za kijini Roma kasha kuwa na mtoto na anambegu moja tu ambaye ni Lanlan hakuna kuzaa nahao michepuko😂😂😂😂
Ipo siku Rozi,Amina,Neema,Nasra, Dorisi,🤣🤣wataandamana kama wakenya ngoja Edna akiamua mm najua R,E wanapendana sana❤❤jiandaeni kwa maandamano ya michepuko ya Roma😂😂😂
@@ZenaidaDaniel-r9d watakuja kuuwana wao kwa wao bola Edna anakinga tayali kutoka kwa babu yake Roma ila hiyo michepuko ya Roma jinsi inawivu itakuja kugeukana yenyewe ngoja tusubiliye tuone mwisho wao 🤣🤣🤣
Kwakweli sijui Kama nipo sahii lakini sijapenda Roma kuwafundisha michepuko wake mbinu za kijini na kumuacha mkewe Edina kwahiyo anataka kuzaa na michepuko na sio mke wake
Hizi coment ni nyingi nzuri kiukweli ila mimi namsifia snaa huyu miandishi wa hii simulizi ya Edina kiukweli imekuwa no moja Kati ya simulizi nilizowahiwi kuzisikiliza na huyo msimuliaje kiukweli tumpeni pongezi zake Maana anatofanye tuwe na hisia za kina kwenye hii simulizi hongera zakoo ndugu Lukas
natabili ule mutoto wa biwema nahisi niyile mwanamuke alikumbana roma marekani kule munadani pia ikumbuke roma kasha munyanduwa aisee roma kiwembe kamunyanduwa mutoto wabiwema toya like kama unakubali utabili wangu
Roma kwa edna hafurukut na hana ubavu wakutumia lazima atakushawishi inakua ngum ile yeye anedelea kufulah kua nae bla kujali naajua kabsa bla roma mambo meg magum yanawza kutokea,Na roma bla ngono hawezikua sawa😂
Roma mushenzi kweli yani unamupa pete mchepuko wako mbere ya mke wako kweli aaaaah umenikera sana nimekuchukia sana.😭😭😭😭😭😭 inauma haki yanane ningekuwa Edna ningejichukia kumupa nafasi huyo kiumbe Roma shenziiii,yani ukaamuwa kumupa mke wako saha ya marehemu kweli au Roma anataka muzimu wa huyo FBI umutafute Edna kwakuchukuwa hiyo saha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu Roma sio kwamba hajuwi kama Lanlan nimwanae hata Christina aritambuwa kipindi alipo muona Lanlan sasa acha Roma ajichanganye ili michepuko yake iuwawe ndo atajuwa hajui 😂😂😂😂😂😂 hakuna cha michepuko kuzaa.
Siajabu kuwa mmoja kati yaYeze na Rufi kuwa ndie binti wa bi wema nina shaka na hili ila pia Edna ndie atakae mzalia Roma mtoto hata hizo mbinu zakijini Edna kwake anauwezo na upeo mkubwa kwani asha anza kuzimiliki baadhi yake mfano ile bangili alio pewa na babu yake Roma mzee kweka pia anamiliki Lanlan ambae pia ana nguvu zisizo zakawaida nivile tuu Edna hajawahi kubali kujiachia angeluwa karibu kufikia kiwango kingine cha na kikubwa changuvu ili kuendana na Lan lan kwani sioni vile babu yake Lanlan angeweza kuwachia na kuwamini Edna na Roma mroto akijuwa kuwa wote walili hawawezi kumlinda ila alimmulika Edna kwa jicho latatu nakujuwa kuwa kinga ilio na Edna inatosha kumchunga Lanlan bila shaka
Ilishindikana juu roma aliomba msaada halafu hawa maraisi walipewa kafara mbadala yakutoa vitu wanavyochukia na tunahisia waliamua kuliwa tigo@@ZenaidaDaniel-r9d
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣Evelyne,wala usimuonee Roma,kwani mfalme Suleiman mwana wa Daudi alikuwa na Masuria (michepuko)wangapi?mia tatu, upo? na wake mia saba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha kabisa
Kila kitu na mpango wake ila hapo nahona yeze Kama siyo mtoto wa bi wema mtoto wa bi wema atakuwa yule dada aliye kutana na Roma marecani Kule kwenye mnada na kuhelekeya naye hotelini.
🤣🤣nimesoma comment zenu zote sasa kwann Edna asimpe mume wake haki yake anabania sana nanataman siku moja abakwetu yàn mtu anakulinda ila bado hujali kila akitoka kukuokoa wew unajari kampuni ROMA kaka yangu nakpenda bure endelea hivohivo na mwisho wa EDNA utakujatu kubakwa bure😅😅natania jamani 😂😂ila NASRA mjinga
Hata akimpaa bado hawezi kuwa na mwanamke mmoja mm pia ningekua Edina wala nisingempaa mwili wangu naroom anahama nimpe nafasi hata akitaka awaleteee tuuuu hapo roma nakaa nayee tuuu juuu ananisaodia nisipatee matatixo
@@lareineminah1353 Roma kasha Tolewa nguvu za science sasa nikama mwanadamu wengine vilevile huyo Doris anataka kuenda kinyume na Athena kwakujifunza hizo mbinu za kijini mi yangu macho nasubilia kwenda kwenye misida kwahiyo michepuko.
Yani mambo ya azidi kuwa bamubamu tamu hatrii hii simulizi natamani isiishe mapema kwakweli anko Lucasi ww ninomaaaaa🔥🔥🤸🤸🇴🇲ila Mr Roma unamkela.sana.edna mie sipendi umkele Edna wetu Kwa sababu ya mchepuko yako
Narsa hana adabu kabisa sijapenda kabisa kwa alicho kifanya kwa endna lkn wacha tumuombee dadayetu tu maana hatuna chakufanya lkn mungu kama alikuchanguwa wewe basi juwa hayu nimapito tu sawa mamaa
@@linnerphilip4260 🤣🤣naona umesahau kama Edna mwenyew alikbali na akasema awezi kuingilia Roma na michepuko yake aachetu wivu na akubali wafunge ndoa halali ili asiumie😅😅
Sijapenda Roma anavyomzaraulisha mkewe Edna
yani huyu roma jamani pasuwa kichwa edna kazi anayo masikini team edna tiya like tujuwane
Mbona mm nakerwa na EDNA🤣🤣
Kanikera Sana Roma madako yake
Yan nibalaa
😂😂
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊pppp😊😊😊ⁿ0000p0o😊😊😊😊😊😊pp99😊⁰😊9@@ZenaidaDaniel-r9d
❤❤(2)Roma Rudi, uchimbe madni Tanzania yanakusubil bla madini waweza kufa namaduwi wakamilik njoo wadau twende hewani midaetu hii kaka lucas tuko pamoja familia tunazpenda km uvotuoenda🌹🌹🏃
Monita nauliza kilanja wa zam ushafika😅😅
@@jasminmohagthari3730me nipo Asante kiongozi mkuu❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤leo unaniosha moyo. Asante kaka Lucas Lumbasi, kwakutupa Edna leo Asante sana.
Aaaaaah roma umeniuzi kabisa ulicomfanyia Edna kibaya mno mpaka mimi imeniuma sana yani wew Roma mungu anakuona
😢😢😢😢yan hujui tu ambavyo kanikera yan hta km anamichepuko sio kwa anachokifanya roma na michepuko yake simpendi nasra wallah mfadhili mbuz binadam wanamauzi😭😭😭
wooooyaaa mambo yamkuwa yakuvutia acha nikae mkao wa kula kusikia na kufwatilia yaliomo kama yamo ya Roma kuwapa funzo maadui ambao wanajipanga kumthibiti wote nao kumtii badala ya kumdharau
Halohalooo kushanoga tena 😂😂 Roma ananimaliza kwa kwel huyu n wa ajabu kwel lazima atapambana na Athena itakua🔥🔥🔥 like zenu pls pls
😊😊😊
Roma katushinda tabiya kila mara kumuumiza Edina wetu mke ni mke tu.iko siku atashinda iyo micepuko naatamuzalia awe na subra tu kwene paca wake kazaaga na Roma naye piya itawezekana kuza Roma atuliye Edina njo mwene nafasi
Nilijua leo hamna mpk kesho asante lucas roma ramon😂
Wallah Edna umejitahidi kuishi na huyu kisunzi Roma haki si kwa wanawake hao 😂😂😂😂😂ningekufa mmi
Roma hata ufany j hautapat mutoto naros ww kaa utulie namukeo❤❤😂😂😂
Hata mm naona hivyo
Leo nimewahi shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤
Leo sikutarajia hii simulizi be bless bro kwa kutuletea mwedelezo
Lakini mwenye shinda ni yule msaidizi wa Lanlan juu Angeeka tew wazi kuwa lanlan ni mtoto wa roma
Kweli
Huyo mjaa sum die mtoto wa bi wema mbaya alijitegesha roma akatafuna kitubua nikelo sn biwema wanashibana n edna sijui nae akimpatana mamaake halafu awe km nasra daah edna mbona watu wakalibu wanakua kikwazo!💔
Asante Lucas lumbasi ❤kaka upo vzr
Naamin hata Roma akiwaingiza katka Majin hakun atakae shika uja uzito ila EDNA akikubal kumpa utam Roma ndo atamzalia mtotoh
Nahisi edina yuko na hizo nguvu za kijini kupata mtoto....😢
Ila Roma nihatari na nusu kwanini amufundishe Rose hizo mbinu za kijini Roma kasha kuwa na mtoto na anambegu moja tu ambaye ni Lanlan hakuna kuzaa nahao michepuko😂😂😂😂
Me atanikera na Rose me nahis hawez kumud izo nguvu lbda edna ndo anàwez kuzimud lkn cyo awo wnwke wngne
@@Babyfaty-m3y anataka kuwauwa nahizo nguvu zakijini🤣🤣🤣
Hapo ndipo anaboa rose Tena niheli nje nyanduet likija swala Zima lakuzaa azae na edna😂😂
@@TeklaNdekeja mi nahisi Roma hawezi kuzaa nahao michepuko kama kuzaa alizaa na seventeen pacha wa Edna 🤣🤣🤣🤣
@@TeklaNdekeja😂😂tatizo Edna atakikutoa wakati kishaliwa mpaka kero😅😅
Yani naisubiri kwa hamu siku ambayo Yan Buweni atakutana na Roma,Roma ampitie chai yamotomoto Yan Buweni mbona kashata ataita shashata.
@@LeeYanOm 😛😛😝
Yaani natamani saana hii siku
Ila roma sio vizur bana unavyomfanyia edina
Edna kwakweli mvumilie Roma sababu anakusaidia kwenye matukio bila hivyo sio wako
Jamani mm nimekua no 5 leo 🎉🎉🎉🎉
Asante Baby Lucas roman ramonie Lumbashi❤
Ipo siku Rozi,Amina,Neema,Nasra, Dorisi,🤣🤣wataandamana kama wakenya ngoja Edna akiamua mm najua R,E wanapendana sana❤❤jiandaeni kwa maandamano ya michepuko ya Roma😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@ZenaidaDaniel-r9d watakuja kuuwana wao kwa wao bola Edna anakinga tayali kutoka kwa babu yake Roma ila hiyo michepuko ya Roma jinsi inawivu itakuja kugeukana yenyewe ngoja tusubiliye tuone mwisho wao 🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣 Nasra kaa bwege😏😏😏
@@lareineminah1353 🤣🤣Nasra kaa bwege Yan mpaka kero😏😏
Lukas Leo umetufurasha sana 🎉🎉🎉🎉 love you kaka
Kwa tabia hiyo afazali hat edna hakumpa kitumbua roma maan 😭😭😭
Nimechelewa lkn nimefika wanachama wa Roma na Edna nawapa like
Kwakweli sijui Kama nipo sahii lakini sijapenda Roma kuwafundisha michepuko wake mbinu za kijini na kumuacha mkewe Edina kwahiyo anataka kuzaa na michepuko na sio mke wake
Wa 1🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
🌷🌷👏
17 siurudi uje uchukue huyu pasua kichwa wako roma anatutesea Edna wetu😢😢
Hizi coment ni nyingi nzuri kiukweli ila mimi namsifia snaa huyu miandishi wa hii simulizi ya Edina kiukweli imekuwa no moja Kati ya simulizi nilizowahiwi kuzisikiliza na huyo msimuliaje kiukweli tumpeni pongezi zake Maana anatofanye tuwe na hisia za kina kwenye hii simulizi hongera zakoo ndugu Lukas
Leo wa 26 ,Roma anazidi kupanda kwenye uwezo
natabili ule mutoto wa biwema nahisi niyile mwanamuke alikumbana roma marekani kule munadani pia ikumbuke roma kasha munyanduwa aisee roma kiwembe kamunyanduwa mutoto wabiwema toya like kama unakubali utabili wangu
Mtoto wa bi wema ni yule wa marekani alienyanduliwa na Roma after kutoka mnadani
@@جيهانسالم-ج3خ ni kweli atakuwa ni yeye kutokana na sifa alizonazo,lakini kwa hilo Roma ni mkombozi wake,kwani alimtolea sumu mwilini
Na kwa sababu yule mtoto ana element ya ujinijini, itakuwa na mimba juu!!!...😂😂😂
Roma kwa edna hafurukut na hana ubavu wakutumia lazima atakushawishi inakua ngum ile yeye anedelea kufulah kua nae bla kujali naajua kabsa bla roma mambo meg magum yanawza kutokea,Na roma bla ngono hawezikua sawa😂
@@TeklaNdekeja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣hakika ila Roma nihatari anapenda kuweka hiyo michepuko yake mbere🤣🤣🤣🤣
Roma mushenzi kweli yani unamupa pete mchepuko wako mbere ya mke wako kweli aaaaah umenikera sana nimekuchukia sana.😭😭😭😭😭😭 inauma haki yanane ningekuwa Edna ningejichukia kumupa nafasi huyo kiumbe Roma shenziiii,yani ukaamuwa kumupa mke wako saha ya marehemu kweli au Roma anataka muzimu wa huyo FBI umutafute Edna kwakuchukuwa hiyo saha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wala c lakucheka me kanikera kwel roma ubinfs tu ndo wke na uyo nassra
@@Babyfaty-m3y we acha tu nimesikia hasira zinanipanda kwajili ya Nasra na Roma🤣🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655 yaan nataman kma mm ndo ningkuw edna halfu nikaenda kumpga vbao nassra kma alivo mpga mume wng na yy mume wng pia ningempiga vbao mna wte hawana adabu ningefnya tukio wao wenyew wakashangaa
@@Babyfaty-m3y hata mimi ningefanya hivyo haswaaa
Endna mama pole sana kwa maumivu unayo pitiya lkn juwa kabisa wewe ndie mke halali hao watabake michepuko
Kweli kabisa
Huyu Roma sio kwamba hajuwi kama Lanlan nimwanae hata Christina aritambuwa kipindi alipo muona Lanlan sasa acha Roma ajichanganye ili michepuko yake iuwawe ndo atajuwa hajui 😂😂😂😂😂😂 hakuna cha michepuko kuzaa.
Wangapi wanahisi yezi ni mtoto wa bii wema
Tnazidi kusonga mblee thnks much kaka lukas
Lkn hii michepuko ya roma haina heshima yani mpaka nyumbani wana mdharau edna
Pete angempa Edna inaumiza sana sana
Ee kwani leo umebadirisha ratiba coz ulisema roma ni Wednesdays, anyway yote ni sawa
@@هايلينل ww unàmkùmbusha nn jmn usimkumbushe me mwenyew ilikuw naangalia kma kunasimuliz yyt kmbe kuna edna bwana 🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3y🤣🤣watu amtaki kukumbushia hatarii😂😂😂
@@ZenaidaDaniel-r9d tunatak utamu wa edina kila cku ndo mna na kesh tunasbr asiwe kma anko jay wki nzma hajatuletea SIN katuacha kweny mataa
@@Babyfaty-m3y 🤣🤣mtoto kautaka
@@ZenaidaDaniel-r9d famasihara nn apo ulipo fika uwo tamu lazma tupate kila cku kuliko roma mwenyew
Waow bigup kk lucas ❤❤❤
Mama wa yez ni bi wema
Mimi nahona mpango wa Roma kwa wanawake zake ahuto fanyikisha.labda kwa edna ou abaki na lanlani tu.
Siajabu kuwa mmoja kati yaYeze na Rufi kuwa ndie binti wa bi wema nina shaka na hili ila pia Edna ndie atakae mzalia Roma mtoto hata hizo mbinu zakijini Edna kwake anauwezo na upeo mkubwa kwani asha anza kuzimiliki baadhi yake mfano ile bangili alio pewa na babu yake Roma mzee kweka pia anamiliki Lanlan ambae pia ana nguvu zisizo zakawaida nivile tuu Edna hajawahi kubali kujiachia angeluwa karibu kufikia kiwango kingine cha na kikubwa changuvu ili kuendana na Lan lan kwani sioni vile babu yake Lanlan angeweza kuwachia na kuwamini Edna na Roma mroto akijuwa kuwa wote walili hawawezi kumlinda ila alimmulika Edna kwa jicho latatu nakujuwa kuwa kinga ilio na Edna inatosha kumchunga Lanlan bila shaka
Kuwahi nayo 😂
Haki inabamba sana hii 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Badala amfundishe edina anaenda kumfndisha mchepuko ndo nn sas me roma utanikera kwel ukienda kuzaa na rose cjapnda kbsa😥😥😥😥
Kwel kabsa😢😢cjapenda
😂😂😂 ata Mimi sijapenda KBS.
@@EkianaWilbert itakuw hampnd dada yet edna ndo mna asngnetk kuzaa na michepuko kma anampnda
But dada NAE anazingua ndio mana Roma anaogopa ata kumuanza😢😢.
@@EkianaWilbert Ata kma ilikuw kashaanz kulegeza akajifnya anawez kmvumilia
Hapanaaaaaaaa Navaa kiatu cha EDNA 😢😢😢😮simalizi story 😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😮
Wow wako wapi wale watu wa Roma❤❤❤❤❤
Lucas ujatwambia nn iliendelea kati ya maraisi wawili kufeli kutoa kafara ya bladina❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Watu mko makini🤣🤣🤣
Ilishindikana juu roma aliomba msaada halafu hawa maraisi walipewa kafara mbadala yakutoa vitu wanavyochukia na tunahisia waliamua kuliwa tigo@@ZenaidaDaniel-r9d
Naungana nawe kipenzi 🎉
Pongezi kwa broo Jr kwa simulizi nzur umeumiza kichwa.broo piya.kwa msimuliaji rukasi lumbashi kongole kwa wote🎉❤
Bismillah Baby minah ndo na anzaaa
Nimewahiiii😢😢😢❤❤❤❤
Mama wa yezi ni biwema naamini akirudi Korea✈️ mambo yatakua ni🔥🔥🔥🔥🔥usijali biwema mtoto wako unae karibu yako mama♥️♥️♥️♥️🙏
Ukisikia mfalme maisha ya michepuko ndiyo maisha yenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ufalme huo wa Roma amezidi 😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣🤣Evelyne,wala usimuonee Roma,kwani mfalme Suleiman mwana wa Daudi alikuwa na Masuria (michepuko)wangapi?mia tatu, upo? na wake mia saba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha kabisa
@@avelinabaluhya2804 kwa kaline hii 🤣🤣🤣🤣🤣 hapana kabisa
Kwa rozi hapo amekosea jamani amnyandue edna amzalie
Namshukuru mungu kwanifikisha hapa sehemu ya 34
Alhamdhulilah
Correction 35
Kila kitu na mpango wake ila hapo nahona yeze Kama siyo mtoto wa bi wema mtoto wa bi wema atakuwa yule dada aliye kutana na Roma marecani Kule kwenye mnada na kuhelekeya naye hotelini.
Roma maadui n wengi kuwa makiin
Mtoto wa bi wema ni herufi😂😂
Nmewahi Leo japo sio wa kwanza
Nimewai Leo likes please❤❤❤
Heri angeuliwa tu na hizo radi shenzi huyu Roma
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣nimesoma comment zenu zote sasa kwann Edna asimpe mume wake haki yake anabania sana nanataman siku moja abakwetu yàn mtu anakulinda ila bado hujali kila akitoka kukuokoa wew unajari kampuni ROMA kaka yangu nakpenda bure endelea hivohivo na mwisho wa EDNA utakujatu kubakwa bure😅😅natania jamani 😂😂ila NASRA mjinga
Hata akimpaa bado hawezi kuwa na mwanamke mmoja mm pia ningekua Edina wala nisingempaa mwili wangu naroom anahama nimpe nafasi hata akitaka awaleteee tuuuu hapo roma nakaa nayee tuuu juuu ananisaodia nisipatee matatixo
Kwa mara ya kwanza Roman anasema uongo💔 kweli kuna vitu vime badilika...
@@lareineminah1353 Roma kasha Tolewa nguvu za science sasa nikama mwanadamu wengine vilevile huyo Doris anataka kuenda kinyume na Athena kwakujifunza hizo mbinu za kijini mi yangu macho nasubilia kwenda kwenye misida kwahiyo michepuko.
Nimechelewa lkn nimefika mambo no motooooo
Yani mambo ya azidi kuwa bamubamu tamu hatrii hii simulizi natamani isiishe mapema kwakweli anko Lucasi ww ninomaaaaa🔥🔥🤸🤸🇴🇲ila Mr Roma unamkela.sana.edna mie sipendi umkele Edna wetu Kwa sababu ya mchepuko yako
Huyu Nasra nasikia amenikera sana, mm kama mwanamke nimechukia sana😭😭
Hat me nimechukia San inaumiz 😊😊😊
Mjinga sana ana shukran kwa edina
Kweli kabisa amrnikera sana lkn atabaki kuwa mchepuko tuu basi
Huyu nasla mpumbavu sana sikupenda alicho fanya haya kaka ubalikiwe
Kabisa ni mshenzi sanaa mi ameniboo
🤣🤣🤣
Sijachelewa sana 😂😂😂❤❤❤
Sasa Roma anashindwa kujua lanln mtoto wake jmn
Narsa hana adabu kabisa sijapenda kabisa kwa alicho kifanya kwa endna lkn wacha tumuombee dadayetu tu maana hatuna chakufanya lkn mungu kama alikuchanguwa wewe basi juwa hayu nimapito tu sawa mamaa
@@سيدا-ص1ز 🤣🤣Yani mnamuhurumia Edna mpaka mnamuombea 😂😂usiniambie ushaanza kufunga kwajiri ya Edna 🤣🤣🤣🤣
Sijafunga lkn nitafunga kwa ajili yake najuwa yote hayo nikwa sababu hamupi unyumba mumewe lkn hata kama anampa wanaume harithiki tu
@@سيدا-ص1ز 😅😅ila wakifunga ndoa ataacha Roma anapenda sana Edna
Kwan comment section leo mko maandamano. Nataka kuwapea likes na siwaoni
Tupo pamoja kaka ❤❤
Wa 10🎉❤
Pamoja sana Lucas ❤❤❤
Mtoto wa bi wema nile aliyekutana na roma na kumtoa bikra nipeni like zenu bila shaka itakuwa hivyo😅
Kazi nzuri kaka❤❤
DAAAAAH ROMA UMEVUKA MIPAKA UNAMVISHA MUCHEPUKO PETE MBELE YA MKEO DUUUH MOYO UMENIPASUKA WALAHI
Huyu Roma nikburi aise km hlo dokaona fimbo amenikwaza Sana😭
Khaaaa🥺😭
Huku mkee wake haja mvika hataa😊😊😊
Bila kufanyiw hivy na MWANAUME huwez kujua rangi za mapenz 😊😊😊
Yezi ni mtoto wa Bi wema ,,, na wewe Roma badala ya kumpambania Edna akuzalie we una angalia tu michipuko
nimewah leoo🎉🎉🎉🎉🎉
Kuchelewa Kume niandama
🤣🤣Lucas nimecheka eti cheko la mauaji kwa wanawake😅😅
@@ZenaidaDaniel-r9d 🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee Roma ametisha anataka kuwauwa hao michepuko wake.
YEZI ni mtoto wa bi wema.
Waoooo Mambo moto
Aiiiiii mimi nangoja chiomaa
Edna ndo ajari nn maana ya mke😅😅
Nakwambia wee mmi moyo umenpasuka sana nkamaambaye hichokitendo nmefanyiwa mm
Yaan nasra mpumbav sanaa ata kama ndokupenda ndo nn kwenda nyumbn kwa edina kaniboa sanaa mshenzii uyu😏😏😏
Ni kweli kwa hapa wamevuruga kabisaaa....
Jamani wanamuona aje edina si poa aki uyu Nasra ana shukran kabisa
Ndio hivyo tenda wema uende zako
Maskini edina mume unaee vumilia lakini mpe aonje
Ni heri hata asimpee kabisa maana anadharau sana, acha ale uko inje mpuuzi huyo😢😢
Weee hat kwa dawa afazal2 asimpe
Mm naona hiyo 💍💍nizawaditu jamn mbona comment ngumu kwa kaka yangu ROMA😂😂
Hata kama lakini hii ni ukosefu wa heshima yani anaenda kwa nyumba anayo ishi na mkewe na familia tena Ana mslap mbele ya mkewe na familia
Huyo afai kuwa mke ndio maana mchepuko
Kwa kweli humu ni dhambi tu.
Asant Lucas ❤❤
Tuko hapaaaaaa🎉🎉🎉
Chaman wenye wamemisi chioma njoo tuende maandamano
Michepuko ya Roma nu jasir .. na Roma anavuka mipaka edna aombe talaka nyau huyuu. hadi nmelia jmn
@@linnerphilip4260 🤣🤣naona umesahau kama Edna mwenyew alikbali na akasema awezi kuingilia Roma na michepuko yake aachetu wivu na akubali wafunge ndoa halali ili asiumie😅😅
Usikute mtoto wa biwema ni mwenye alikutana na Roma huko marekani