Habari mwalimu, asante sana for the lessons. I would like to inquire about... Sema, kuzungumza, ongea.... Don't they all mean speaking? How different can they be used? Asante😊
Asante sana kwa darasa leo. It is funny to hear my name: 6b. 😊I suppose there is another person with the same name. Mimi ninahitaji muda mwingi wa kujifunza Kiswahili😂
It's prepostional extension that implies he will speak at , about or for someone Consider the following examples: 1.Elena atazungumza - Elena will speak 2. Elena atazungumzia shuleni - Elena will speak at school 3. Elena atazungumzia ripoti - Elena will speak about the report 4. Elena atazungumzia mwalamu - Elena will speak for the teacher
Mh!!!! Maria is speaking swahili well "is"= na ,she speaks swahili well "speaks"=hu yaani hapo ungesema maria huongea...........,ila ukisema anaongea.......lazima utumie "Is" (+Ing) mnachanganya watu jamani ila hii niliyoielezea ipo sawa utafakari utaona mwalimu. panapostahili "me" mnaweka "na" penye kuwekwa "li" ndo mnatumia "ta"!!!!!!!! Mnachanganya mambo.mi hizi aina za tense najua kuzitumia kinachonipa shida vocabulary mpya tu.na tambua ukisikia "na" hiyo ni present tense yaani wakati uliopo afu ukisikia "hu" hiyo ni hali ya mazoea mfano huongea kila siku.
@@KiswahiliWithAbdulkarim kuna makundi mawili ya NA ambayo ni Na ya hisia na Na ya kitendo hizo zote ulizozitaja ni za hisia ila neno kuongea ujue ni kitendo na zisizo za vitendo mfano kuhisi, kupenda .......See More.
@@KiswahiliWithAbdulkarim kwanza jina mahususi halitumii S inayotumia s ni it,she,he nafsi ndo zinaongezewa S na hukitumia jina mahususi kwenye kitendo hupaswi kuweka s .S itaongezwa kwa kiwakilishi ambapo kiwakilishi cha maria/juma ni He/she
Mafundisho hii ni vizuri sana 👌
Fantastic
Mwalimu Asante sana .
Is Zungumza and ongea , all meaning speaking?
Asante.
Mambo mwarimunakushukuru sana
Yeye anongea haraka
Asante sana
Habari mwalimu, asante sana for the lessons.
I would like to inquire about... Sema, kuzungumza, ongea.... Don't they all mean speaking? How different can they be used?
Asante😊
They implies the same thing
In English we use both safely and safe. Safely is a proper use of the word but people say safe as well.
Asante sana 🙏
Mtoto anakula vibaya.
Vizuri sana 👏👏👏
Asante Sana mwalimu
MIMI SIONGEI KISWAHILI VIZURI KWASABABU MIMI NI MWANAFUNZI
“Safely” is correct on number 5
Asante sana 🙏
Nime furayi kwa jina yangu
🤗
Mwarimuanaongeaharaka
Asante sana!!!!
Asante sana kwa darasa leo. It is funny to hear my name: 6b. 😊I suppose there is another person with the same name.
Mimi ninahitaji muda mwingi wa kujifunza Kiswahili😂
Ni wewe 😊
@@KiswahiliWithAbdulkarimSawa, nitajaribu kujifunza kwa urahisi😂
Ndiyo 💯🎇
Ninataka sema (sorry) na kiswahili
Asante sana kwa video hii, mwalimu! Ninaweza kusema: ‘Elena atazungumza ripoti hii kwa ufupi’ (kwa nini kuna ‘i’ katika neno ‘atazungumzia’?)
It's prepostional extension that implies he will speak at , about or for someone
Consider the following examples:
1.Elena atazungumza - Elena will speak
2. Elena atazungumzia shuleni - Elena will speak at school
3. Elena atazungumzia ripoti - Elena will speak about the report
4. Elena atazungumzia mwalamu - Elena will speak for the teacher
@@KiswahiliWithAbdulkarim Ah!! Asante sana kwa jibu lako, mwalimu!
Karibu sana
Nonese abatubwiyeko haraka aribuhoro baratubeshye???ko nziko fast arivuba
Mh!!!! Maria is speaking swahili well "is"= na ,she speaks swahili well "speaks"=hu yaani hapo ungesema maria huongea...........,ila ukisema anaongea.......lazima utumie "Is" (+Ing) mnachanganya watu jamani ila hii niliyoielezea ipo sawa utafakari utaona mwalimu. panapostahili "me" mnaweka "na" penye kuwekwa "li" ndo mnatumia "ta"!!!!!!!! Mnachanganya mambo.mi hizi aina za tense najua kuzitumia kinachonipa shida vocabulary mpya tu.na tambua ukisikia "na" hiyo ni present tense yaani wakati uliopo afu ukisikia "hu" hiyo ni hali ya mazoea mfano huongea kila siku.
Itakuwaje katika sentensi hizi..
1. Mwalimu anaishi Kenya
2. Mtoto anapenda chai
@@KiswahiliWithAbdulkarim kuna makundi mawili ya NA ambayo ni Na ya hisia na Na ya kitendo hizo zote ulizozitaja ni za hisia ila neno kuongea ujue ni kitendo na zisizo za vitendo mfano kuhisi, kupenda .......See More.
@@Teaching356 Asante sana
@@KiswahiliWithAbdulkarim kwanza jina mahususi halitumii S inayotumia s ni it,she,he nafsi ndo zinaongezewa S na hukitumia jina mahususi kwenye kitendo hupaswi kuweka s .S itaongezwa kwa kiwakilishi ambapo kiwakilishi cha maria/juma ni He/she
@@Teaching356 Asante sana ndugu kwa marekebisho