BARAKA ZA MAMA EP 21

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #clam #kicheche #wasafi #stevemweusi #bambocomedy #kingwendu.
    If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.

КОМЕНТАРІ • 126

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513  15 днів тому +7

    SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBCRIBE ,LIKE COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA WE VALUE YOUR SUPPORT.

    • @GENzRevolution-s2u
      @GENzRevolution-s2u 15 днів тому +1

      Mbona jina lime change naona BARAKA MAMA sio kama awali BARAKA ZA MAMA

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 15 днів тому

      ​@@GENzRevolution-s2ukwaio hapo wew tofauti zilifanya usielew ni ipi na mchezo ni ule ule

    • @GENzRevolution-s2u
      @GENzRevolution-s2u 15 днів тому

      @@kamarhelo Mimi nmeona kosa ndio maana nmesema

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  15 днів тому +1

      Limekosewa tu kwenye uandishi limesharekebishwa.

    • @LeahDhahabu
      @LeahDhahabu 15 днів тому

      N😊

  • @Haw3-v4y
    @Haw3-v4y 15 днів тому +6

    Mwenye anataka bahati aolewe na kaka mkono juu

  • @user-gf1cx7oc5x
    @user-gf1cx7oc5x 14 днів тому +3

    Nakubal muv hi yan hay yapo katk maish asant kwa Kaz nzul

  • @user-vo7yb6wp1m
    @user-vo7yb6wp1m 15 днів тому +6

    Asiyesikia la mkuu huvunjika guu sasa Ona mautanga😂😂😂❤

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 14 днів тому +1

    Big up saaan ndug zang ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @InnocentMfuranzima
    @InnocentMfuranzima 14 днів тому +1

    Kazi nzuri san we love you guys ❤❤❤❤from burundi

  • @user-oj5ro4fk2e
    @user-oj5ro4fk2e 15 днів тому +5

    Jaman nawapenda bure ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 kazi safi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 14 днів тому +2

    Yamekukuta mauntaga uliona n mke sahihi kumbe jini umeliokota uje ulifuge😅mama n mama leo utamkubuka 😢 bahati n familia yake wanaishi vzr❤ila sam wafeli wapi jmn😅

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 15 днів тому +3

    Yaan ndiyo kaanza Bado hujasema aaa nahujasemaaa laaan ya mama Ako imeanza kukuingia m wa kabisa

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 14 днів тому +1

    Kinahaza kumrambaaaaa 🤸🤸🤸🤸

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 14 днів тому +1

    More plz jamani tunawapenda from uk 🇬🇧

  • @madinagamaha9348
    @madinagamaha9348 15 днів тому +9

    Ndo ulichokuwa unakitaka hiyo hirizi ndo kimemfukuzisha mama yako haya kazi kwako

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 13 днів тому

    Nabado mpaka useme eti laiti ningejua na ndio ushaambiwa hukutumwa kumsaidia😂

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 14 днів тому +1

    We sam acha ujinga chukua chombo hicho sije na wewe ukakunguwaa kama mautange 😂😂😂😂😂

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 15 днів тому +5

    Ila hli limwanamke halibadilik duuuh, litakuja kujuta au bas,, sio sku hz amebadilika ndy alivyo,,,kaka kumbka mama n mama tu

  • @user-sc5gt6gs3s
    @user-sc5gt6gs3s 14 днів тому +1

    Jmn uyu zuu hanaga uruma 😢

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 12 днів тому

    Mama umehamia kabisa 😂😂😂

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 13 днів тому

    Huyu bahati simuelewi hivi mnamuelewa kwelii wapendwa maaana anavyolazimisha ndoa

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 15 днів тому +4

    mautanga uyo mwansmke ulimwokota njiani naukaamini kua mwanaume aliemwacha kua alimnyanyasa zuu bila kufanya uchunguzi ukaanxa kuishi nae acha uyaone, mwana kulitafuta mwana kulipata pambania kombe ,ndo kwanxa mechi inaanxa

  • @LashdMkande-uf7hl
    @LashdMkande-uf7hl 12 днів тому

    Mautanga bwabwa kweli😂😂😂

  • @boazygodfrey9371
    @boazygodfrey9371 10 днів тому

    Mtoto Kautaka Jaman Ana Hisia Kibao Sana

  • @franktodory
    @franktodory 14 днів тому +1

    uyu mwanamke mmmmh 😂😂😂😂

  • @KarimuNuru
    @KarimuNuru 15 днів тому +2

    Mama ni mama tu.funzo ilo

  • @B.M-ix4rz
    @B.M-ix4rz 15 днів тому +4

    Huyu mwanammke mchawi kweli lkn broo acha yakukute c uliona bora huyu sura ya chura kuliko mama yako shenz kabisa

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 15 днів тому +1

    Kawaida ya nyoka ni nyoka tu kamwe hawezi kuwa jongoo

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 14 днів тому +1

    Sasa bahati unaitaji kuolewa na bwana mdongo na maman ameaidi uolewe na bwana mkubwa kwanini unabadiri mahamuzi mapena rabda watapatikana 🇧🇮

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b 14 днів тому

    Mbona hilo duka atulion 😅😅😅

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 14 днів тому

    Kaka piga Risasi ya kichwa uyo😅😅😅

  • @AminaKidare
    @AminaKidare 11 днів тому

    zuuh uliona wapi tishu nyeusi😂

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 15 днів тому +1

    Kazinzuri 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @suzanamwita-fr4wq
    @suzanamwita-fr4wq 11 днів тому

    Mautanga kaziunayo utalogwa mpakaukome😊

  • @aminahkahindi2676
    @aminahkahindi2676 13 днів тому

    Kazi nzuru sana🎉🎉🎉

  • @user-jl3ck5mf8p
    @user-jl3ck5mf8p 14 днів тому

    Mwanakulitafuta 😂😂ngoja yakukute huyo ndo zuuuuu😂😂😂

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 13 днів тому

    😂😂😂 utamkumbka mama yako

  • @Mwashighadiclemence
    @Mwashighadiclemence 14 днів тому +1

    Bahati umeanza tabia mbaya si ulikuwa uolewe n kaka yake sammy mbona sammy tena acha tabia za mwili

  • @ngusakalima9899
    @ngusakalima9899 14 днів тому

    Baba nyoka wa baharin mwache akalale

  • @user-ni7qy9fe2i
    @user-ni7qy9fe2i 14 днів тому

    Siku ya kufa nyani miti yote uteleza ndo leo mautangi kimekuramba😂😂😂😂😂

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 14 днів тому

    Bahati ach tamaaa y mume

  • @Beatrice-kp7uw
    @Beatrice-kp7uw 14 днів тому

    Nautaona mengi kakangu

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 14 днів тому

    Nabado mautange huo ni mwanzo tu bado hujayaona siulimsikiza huyo mwanamke sasa yaone 😂😂😂😂😂😂

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 15 днів тому +4

    ❤❤team hamamu mpo sawa like japo mia mwanzo

  • @user-mp9zu7vc8b
    @user-mp9zu7vc8b 15 днів тому +2

    Yameze sasa mautanga juu hukujua unayemkaribisha kwako

  • @JOHNKAFUNZO
    @JOHNKAFUNZO 15 днів тому

    Jamaaa bado na bado na kiukweli mkoa vzr🎉🎉🎉

  • @ArodiaPancras-nm5qm
    @ArodiaPancras-nm5qm 14 днів тому

    Duh mautanga zamu Yako imefika

  • @user-mm2oe3tx4j
    @user-mm2oe3tx4j 15 днів тому

    Mama mautanga unaroho nzuri mungu akujalie kipaji chako

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 13 днів тому

    Nabado utayaona😅

  • @SmilingFinishLine-kk2lm
    @SmilingFinishLine-kk2lm 9 днів тому

    Ww mwanamke una roho mbya htr

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 14 днів тому

    Aaa😂😂😂 Maputo ni mjukuu 😮😮😮nabado mwatanga iyo tela mbona utajuta😢😢😢

  • @user-uz3dx6io7l
    @user-uz3dx6io7l 14 днів тому

    Kijana muoe bahati mnaendana

  • @LightnessElisha-q4w
    @LightnessElisha-q4w 15 днів тому +2

    Hyo ni cm kumbe😮 uuuwii

  • @AdéliaTajiri
    @AdéliaTajiri 14 днів тому

    Sasa ndoo utamkumbuka mamayako

  • @SalmaMakame-v8d
    @SalmaMakame-v8d 15 днів тому

    Mwana kulitafuta,mwana kulipata 😂

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 15 днів тому

    Hahaha na bado utamuelewa uliona mwenyewe umepata kumbe umepatikana

  • @user-oy4ew3tp6r
    @user-oy4ew3tp6r 14 днів тому

    Mautanga ungemsikia mamako haya yote yasinge kukuta 😂😂😂😂sasa kula chuma hicho

  • @Danieldanny-l7f
    @Danieldanny-l7f 15 днів тому +3

    Wakwanza leo

  • @user-xy5go4ks1z
    @user-xy5go4ks1z 14 днів тому

    Mautanga ubaya ubwela ndo uliyokuwa unayataka ayo

  • @SmartTz-y5z
    @SmartTz-y5z 13 днів тому

    Janamke chwwiroo

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 14 днів тому

    Jambaz kama jambaz aliyatimba Sai yanamrudia😂

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 14 днів тому

    Bahati acha king,ang,anizi huwezi kumwambia mwanaume akuoe hata hajakutongoza

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 15 днів тому +1

    We jambazi ni bwege

  • @kennedyoloo8259
    @kennedyoloo8259 14 днів тому

    Huyu msichana bahati ni mzuri sana

  • @SurprisedAcorn-ce1kp
    @SurprisedAcorn-ce1kp 7 днів тому

    Na komwe lake kama la paka

  • @MadamOrida
    @MadamOrida 11 днів тому

    Bado hajasema nautasemaa tuu

  • @zzy-p8c
    @zzy-p8c 15 днів тому +1

    Story tamu

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 15 днів тому +2

    Watatu naombeni like za kuwahi

  • @user-qg9yq9yl7k
    @user-qg9yq9yl7k 15 днів тому

    Mautanga umeansa kuyaoa sio,msamaha badae Kwa mama

  • @niyonkinzogermaine
    @niyonkinzogermaine 14 днів тому

    Uyo atakutoa maco ni jini

  • @user-gh6tc8qu6w
    @user-gh6tc8qu6w 14 днів тому

    Maukanga ndio ukome kubeba nyoka ndani 😅

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 14 днів тому

    Nimewah nimekua wa 77

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 14 днів тому

    Sasa nawe bahat hata hunatabasam Cheka bac japo kidogo

  • @fatumamasudi4963
    @fatumamasudi4963 15 днів тому

    Mwanamke alishinda huyo akuna anae mweza

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 15 днів тому

    Mwana kulitafuta mwana wa kulipata hilo sasa juu yako na huo mguu angekuwepo mama yako cjui kama yangekukuta hayo😢😢😢

  • @user-mr5yf1hp7t
    @user-mr5yf1hp7t 14 днів тому

    Mautanga umeyataka laiti mama yako angekuwepo ungepikiwa

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 14 днів тому

    Mamako alkwambia ila hukumsikia leo yaone ,😢😢😢😢

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 14 днів тому

    Yaan anadomo kma Jamba.

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 15 днів тому

    Hujasema utasema tooo ukomee

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 15 днів тому

    Huyu kwanamke apitiliza roho mbaya duh 😢😢

  • @user-ry9do2yu2t
    @user-ry9do2yu2t 15 днів тому

    Jamn mm nampenda uyo mautanga wew zuzu ungejua ninavomtaka uyo kijan usingemfanyia uo upumbavu wako

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 14 днів тому

    Laana za mama zime anza kukufata kijana..mke jeuri
    .mguu huwezi kutembea..madharau kibao

  • @mrikongosi3151
    @mrikongosi3151 15 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂demu nyoka

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c 14 днів тому

    Mautanga na bdo asiye funzwa na wazazi ufunzwa na ulimwengu kaka ulimuona mama akuwa ameona suu wako tabia zake pambana

  • @eunicem5647
    @eunicem5647 15 днів тому

    Hayo maisha ni ww umejikalia bro

  • @user-nz8vn5jq3p
    @user-nz8vn5jq3p 14 днів тому

    ❤❤🎉🎉🎉

  • @ndabarinzesamuel9333
    @ndabarinzesamuel9333 14 днів тому

    Kijana ulijuwa umepata na kumbe umepatikana , huyu mke wako Ana roho mbaya tena mchawi , tunawaona no movie lakini hivi kuna watu wabaya kama huyu mwanamke wako.

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 14 днів тому

    Zuu sura mbaya eti nae anajiita PC kali

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 15 днів тому

    Usgajua kaz ya mwanao

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 14 днів тому

    Mautange asiye skia la mkuu huvunjika mguu

  • @haloditimotheo8626
    @haloditimotheo8626 14 днів тому

    Mbona bahati anafanana na zuu au ndugu

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 14 днів тому

    Uliyataka ndio ukumbuke usemi wa asiye sikia la mkuu u vunjika ngumu umeisha na huyo zuu wako

  • @user-zo2jx3ff4i
    @user-zo2jx3ff4i 15 днів тому

    Zuhura Hana hata huruma ya namchukia sana

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 15 днів тому

    Laaana ishaanza.

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 15 днів тому

    Bahati jmn siutulie2 jmn

  • @BrendaAlexiousmkandawire
    @BrendaAlexiousmkandawire 15 днів тому

    Mama ni mama ❤

  • @user-rg5im1ls4j
    @user-rg5im1ls4j 15 днів тому

    Upike ama umchemshe supu pumbafu zako😏😏

  • @mildredaoko7782
    @mildredaoko7782 15 днів тому

    Nani ameona kama mm kua zoo ndio mama ya mautanga wakumlea if iam not wrong😂

  • @user-st3wo7qi2v
    @user-st3wo7qi2v 8 днів тому

    Asoskia la mamake ataskia la zuu😅😅

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 15 днів тому

    Mautanga😂😂

  • @boazygodfrey9371
    @boazygodfrey9371 10 днів тому

    😂😂😂

  • @user-jz8bq9bd9r
    @user-jz8bq9bd9r 15 днів тому

    Mwana kulitafuta mautanga yamekukuta

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 13 днів тому

    Tupo