Aya nzuri sana sheikh. Ila ukiifasiri vzr Allah yuwasema mashetani ni rafiki ya wale wasioamini. Kwanza hapo angalia vzr aya. Je shetani ni sifa au mtu? Na kama ni sifa bc wapo majini na wanadamu wanaomuasi Allah hao ndo mashetani. Kinyume hio aya kama mashetani ni rafiki kwa wale wasio na imani. Je wale majini wamchao Allah watakua rafiki zake akina nani. Kwa maana Allah amesema. Hakutuumbeni majini na wana Adam ispokua tumuabudu.
tatizo lenu nyie huwa kama wanafiq, kazi yenu hamukai mkafundisha waislam bali hukaa pembeni mkiwaona watu wamejitoa kufundisha mtaanza kutoa kasoro, sheikh aliekamilika ni Allah peke yake...na hivyo mnavyotaka hakuna hata mmoja atakaelimisha msimtoe makosa labda Allah pekee.
Lini uislam ulikuwa safi,tabia na Matendo ya mtume wenu ni aibu hata kusema alikuwa mtume wa Mungu,mnachojitahidi ni kuupamba kwa nje lakini ukiingia ndipo unajua uchafu wa dini yenu
@@FridayMwassa Tulia Kafiri wewe!! Usipate nafasi ya kutukana au kukashifu dini za watu kutokana na Washirikina wachache kama akina Sullley ambao wamekutana kwa kujivisha koti la Uustaadhi au Usheikh. Sisi ni Waislam. Our guidance is Quran na Sunna. Hatuangalii sheikh wala mwanazuoni. Akifanya makosa, tunaachana naye. Hatutaki tu kukashifu dini kwa sababu tu tumekatazwa kufanya hivyo. Mikafiri mengine ni ya ajabu sana. Tulia pembeni. Mbona sisi hatuingii kwenye tovuti zenu na kutoa maneno ya kashfa ya dini yenu. Wee Kafiri mwenye laa'na ya Mungu hebu kaa pembeni....
MTUME MUHAHAMMAD SWALAAHU ALAAHI WASALAAM ALIKATAA ULINZI KUTOKA KWA MAJINI ALIWAAMBIA HAKUNA HATA MMOJA KATI YENU AMBAE ATANILINDA NISIMUWEPUKE ALLAH HII HAPA AYAH قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.
Vizuri mwanzo anae Linda watu ni Allah hata majini wanamubudu Allah na wengine wamuasi sasa yule anae taka ulinzi kwa majini atakua amemshirikisha Allah kwa sababu atapewa hirizi akiona hirizi inamlinda hio shirki ila waeza mtumia jini katika tiba wale majini wazuri waeza kumtumia jini kwa njia ya sawa hio haina neno ila ukimtumia jini kukulinda hapo utakua umemshirikisha Allah
@@saba-gv3mjhata tiba kutoka kwa majini shirki.Haifai kushirikiana na majini jaman waislamu wenzangu.Tukithirishe kumpwekesha Allah. Tiba zote zipo katika Quran na Mtume Muhammad ( S.a.w ) amshatufundisha tiba jaman! Hivi unajua kama Surat Fath ni tiba kwa wale walioamini? Hivi unajua sadaka ni tiba na umkinga mja na Shari na mabalaa ya Dunia? Quran haijacha kitu jaman! Mtume Muhammad s.a.w ametufundisha dua za kinga na tiba mbalimbali dhidi maradhi,hasad na mengineyo kama hayo hivyo jukumu letu ni kusoma waislamu wenzangu.
Shekh wangu tuchambulie vizuri hapo kwenye majini na mashaitwan.maana naona umetumia swigha moja ya kishaitwani pekee twaomba tuweke sawa hapo tafadhal
Jini mwema mcha mungu kamwe hawezi kuja kufungamana na mwanadamu.Majini wema wote wanaishi ulimwengu wao na kamwe hawaji karibu na binadamu.kitendo cha jini kuja katika maisha ya mwanadamu tayari anakuwa ameshamuhasi Allah ila wanajifanyaga wema tu ila anakuwa tayari sio mcha mungu.
@@jureejmoruhaniyyaatonlinetv We unadhani binadamu ana uhtaji wa kushirikiana na majini, kama ana uhtaji huo je ni kwenye nyanja zipi ambazo binadamu anahtajia kushirikiana ma majini, Na je kwenye maisha ya mtume yotee na swahaba zake, kuna pahala waliwatumia au kuwategemea majini,?? Tafakari hayo kwanza alaf ujiulize ww kama ww unapata usaidizi gan wa majini na kwa faida gan, Je Allah ameridhia kuwatumia hao majini katk maisha yako
Wangeanza na GHAZA kwa sababu, huko kuna Jeshi kuuubwa la ISRAEL 🇮🇱 likipigana na kundi Dooogo la HAMAS ambao halina hata Bendera . UKRAINE 🇺🇦 na RUSSIA 🇷🇺. ni mara if a yenye Majeshi makubwa
Wangeanza na GHAZA kwa sababu, huko kuna Jeshi kuuubwa la ISRAEL 🇮🇱 likipigana na kundi Dooogo la HAMAS ambao halina hata Bendera . UKRAINE 🇺🇦 na RUSSIA 🇷🇺. ni mara if a yenye Majeshi makubwa
Shekh hiyo mada nzito inakanganya watu sana, unatakiwa kuzama ndani na utoe uchambuzi wa kina. Shekh umetaja majini lakini umeelezea mashetani!. Majini ni viumbe kama tulivyo sisi binadamu, majini na binadamu wajibu wetu ni mmoja kumuabudu Allah subhannahu wataala, Jini anayefanya vitendo vya kishetani ni shetani na binadamu anayefanya vitendo vya kishetani ni shetani na pia ni kinyume chake kwa wanaotenda wema. Watu wasiokuwa waislamu kuwashutumu waislamu kuwa wanafuga majini wanaitumia kama silaha ya kuwadhoofisha waislamu ili wajihisi kama kuna makosa wanatenda. Ndugu zetu hawa wasichokijua ni wakati gani mtu anakoma kuwa muislamu? wanaamini mtu akiitwa jina la kiislamu basi ni muislamu tu. Kubaki kwenye uislamu ni jambo la kuwa nalo makini sana maana unaweza kufanya kosa bila kuchukulia umakini kumbe ukawa ushatoka kwenye dini lakini jina lako bado ni lile lile.
Tunaouharibu uislam ni waislam wenyewe baadhi ya waislam wamekua na njaa Sana kinachosababishia kufanya shirk mara mashehe kumtumia mtu majini.. sio poa waislam wezang
Huyo sio ustadh anae tumia mtu jini huyo ni mshirikina ustadh hawezi fanya mambo hayo sheikh aweza akakutoa jini kama umetumiwa ama jini amekuingia umepita sehu mbaya akakuingia sawa ila sheikh hawezi kukutumia jini wanao tumia watu majini ni washirikina huyo hayuko katika uwisilamu
Kwa mujiibu wa kitabu ndani ya Qur'an MAJINI wakushanga futwa katika rehma za Mwenyezi Mungu. rejeeni pale alipo kataa amri ya Mola wake kusujudu mbele ya Adam, pale palitoka tamko NAKUFUTA KATIKA REHMA ZANGU WEWE NA KIZAZI CHAKO. sasa ukisha futwa basi. Na hakuna mahali ndani ya kitabu panapo sema Majini wataingizwa peponi. Bila shaka wanao shirikiana na majini WATASUJUDU MOTONI.
Suala la majini ni Ilmu2 ndo inawatatiza watu. Wingine kama sisi ilmu hatuna ila upeo wakuelewa mambo Allah katujalia. As long as jini na ww mwanaAdam hamuvuki mipaka ya Allah. Hapo tatizo litakua wapi?
Hakuna mashirikiano ya aina yoyote baina ya jini na mwanadamu kinyume na hapo ni kumuhasi Allah. Hivi unakipimo cha kumtambua jini au mwanadamu mcha Mungu? Hakuna jini mcha Mungu anaeshirikiana au kufungamana na mwanadamu na kinyume cha hapo ni kutengeneza maagano ambayo upelekea shirki. Mtegemee Allah kwa kila jambo,fanya ibada kwa yakini,omba dua kwa yakini,toa sana sadaka,toa Zaka,acha kufanya Mahaswi,kuwa mwenye kuomba sana toba kwa yakini na kubwa zaidi ni kufuata muongozo wa Quran na Sunnah
Hakuna mtu anaefuga majini hawa ni viumbe ambao hawaonekani ila binaadamu wanawapiga kamba wenziwao Shekhe inabidi utofautishe jini na sheitwani Majini ni viumbe kama Sisi binaadamu na tumeubwa kwa ajili ya Ibada kama Sisi tunavyo swali na kufunga kutoa zaka kuhiji pia na wao ni hivyo hivyo tunaswali nao tunafunga nao tunahiji nao na mengine mengi katika Ibada Sio kila jini ni sheitwani Masheitwani wapo Aina mbili Tu katika majini wapo na katika watu wapo Imani ya wasiokuwa waislamu ni kuwa kila jinn ni sheitwani kwa mujibu WA Imani yetu ya uislamu wapo majini wema wapo na pia wabaya na katika binaadamu ni hivyohivyo Kwa hivyo tuwe makini katika kufahamisha jambo lifahamishwe kwa usahihi sio kupotosha
Sheikhe kwenye kutoa hoja haja tofautisha majini na mashetani. Majini wazuri na majini wabaya. Ndiyo waislamu hatuna tabia kwa jumla kufuga majini ila wako wachache katika waislamu wana uwezo wa kuwatumia majini wazuri katika mambo mazuri . Kama vile makafiri wanawatimia majini wabaya kwa mambo mabaya mambo ya freemason na devil worshippers
Hakuna jini mzuri kisha akatumiwa na binadamu akichangamana na binadamu tayari ameharifu maamrisho ya Allah huyo ni mbaya,jini mzuri Huna hachangamani na binadamu Ana Maisha yake
Sasa mnajitoa ufahamu kuwa hakuna wanafunga na kutatumikisha hili lipo wazi tunaishi wote tunajuana wewe wafundishe dini ya kiislamu hairuhusu au inaruhusu lakini lipo wazi hilo na kumtupia watu kawaida Sanaa.
KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
shekh kama nakuelewa ivi, ila bado sija pata jibu,kua kama kweli hakuna mwingiliano wa majini na wanadamu, kwanini mtume alienda kukaa namajini akiwasomea qur ani? Tena alikua na mmoja wa masahaba Abdullah ibn mas ud dikosei, wakachora mchoro wataalam wanasema ilikua nisaiko.kisha akawasomea kur an.yaan alishirikiana nao katika kuyasoma maneno ya allah, vipi iwe hivi ikiwa hakuna muingiliano na tena ilikua hapa hapa ulimwenguni? Ushahidi wa hili ni huu:
mtume hakuwatumilia kwa ulinzi wa mamb mengn bali nkwaibada tu km kusoma quran lkin sio kuwatumilia km sjui natak hela mra hivi bali kwa wema bila ya shirki
Mtume wetu alipitia kila aina la tukio ili sisi umati wake tujifunze, yeye aliwaona sababu alikuwa ni Mtume,je uliona maswahaba wake waliwaona?na ndio maana aliwazuia wasiwadhuru maana wao hawakuwaona na hapo ndipo alipotoa elimu
Suwala maallimu la kuwaona na kujilinda nilingine,na swala la kukaa nao nilinginne. Pia huwa sunna kwa mujibu wa mashekh nikila alilo fanya mtume.je shekh hapa twataka kujifunza kwa kua haifai kukaa nao hawa majini je katika hili imekaaje?
shida kubwa wakristo hampati elimu kuhusu hawa viumbe wasioonekana kwa hiyo hata bible haijawaelezea chochote ila ujue tu kuwa majini wanaishi kama sisi tunavoishi wapo wema na wabaya wote wanawaingia watu ni wabaya sasa ukijiona elimu yako ndogo jifunze usilete ujuaji wa chuki, tuna siri nyingi za mapadri wenu lakin hujaona tukiwakebehi
KWANI NYINYI AKRISTO SI MUNATOANA MASHETANI KANISANI KWANI HATUONI KWENYE MITANDAO JINSI PASTA AU MCHUNGAJI ANAVYOWATOA WAUMINI MAPEPO KWA KUWAWEKA UCHI WA MNYAMA AU KWA KUWAPIGA BUSU WANAAKE AU KWA KUWACHSPA BAKORA WAUMINI AU KWA KUWAPANDA WAUMINI KAMA WANYAMA NA MENGI MENGINE KWANI HIVYO NDIVYO YESU ALIVYOWAFUNZA HAO WOTE NI MASHETANI NA KILA DINI WAPO MASHETANI WANAOJIFANYA WAFUASI!! NDIO MAANA ALLAH AMETUFUNZA TUSEME TUNAJIKINGA NA SHARI ZA MAJINI NA WATU.
Hii waislam kimbien mkimbiavyo hii kitu haikwepeki😂😂😂, uislam ni dini ya majinn, waislam majinn ndugu zao waislam watu hiyo haikwepek, eti wajinn wazun ndio ndugu zenu 😂😂😂😂 wazur wanasura gan na ikiwa hawaonekan kwa macho😂
Wajua kukosa ilimu ni mtihani sana majini hata ww ndugu zako mwanzo waliumbwa malaika alafu wakaumbwa majini walivo muasi mungu majini wakawa wanauwana ovyo wakaletewa adhabu na Allah akabakia kitoto kimoja cha kijini malaika wakamchukua akafanya ibada kuliko malaika akaitwa abaa sijda ndio Allah akamuumba binadamu badae alivo umbwa binadamu yule jini akaingiwa na chuki kumuona Adam ameumbwa waisilamu wamuita iblis na wakiristo wamuita lusifa ndio lusifa na malaika wakambia msujudieni Adam sija ya kumuheshimu malaika wakasujudu ispokua yule iblis mungu akamwambia ww mbona hujamsujudia huyu Adam akasema kwa kibri mm ntamsujudia vp Adam wakati hyu Adam umemumba kwa udongo na mm jini umeniumba kwa moto ndio Allah akamwambia iblis umelanika lana za mungu ziko juu yako ndio hapo nae lusifa akamwambia Allah na mm ntawapoteza watoto wa adamu ili waingie motoni pamoja lakini lusifa akasema ispokua waja wako wema siwezi kuwapoteza na majini wako waisilamu na wakiristo majini waisilamu hawadhuru mtu majini wakiristo ndio majini wabaya wanao ingia watu wakiwatesa wakiuwa ndio utaona mtu akipatikana na jini ama amerogwa utaona mtu analetwa kwa ustadh atasomewa quran na quran inamchoma yule mbaya mpaka atatoka sijui umeelewa kwa hio majini wako waisilamu na wakiristo majini wako majini wakiristo ndio wabaya ume elewa
@@saba-gv3mj1. umetoa maelzo mengi ila ya uongo mtupu 😂 Eti Mungu alianza kuumba malaika na majini hivi unasoma kitabu gani hicho kinachoelezea tofauti na quran na Biblia, yani hata hujui chanzo cha majini mnakaa mnadanganyana tu kasome tena chanzo cha majini kwenye vitabu vitakatifu na sio magazati yanayoandikwa na walimu wenu😂 2. Unasema kuna majini wakristo na waislamu hebu nitajie jina moja la jini la Kikristo halafu tafuta majini yenye majina ya kiislamu au kiarabu uone wapi utapata jibu, unaleta story za kuambiwa hapa.😂 unadanganya hadharani.
@@khamisrubea5083 walimu wenu wenyewe wanapishana, wengine wanaamini wapo majini wzuri na wabaya wengine hawaamini kabisa uwepo wa majini wazuri na wote wanasoma vitabu hivohivo, hii inamaanisha mpeane ufahamu kwanza wenyewe ili muwe na kauli moja ndio badae wa nje wapate huo ufahamu pia.
Mashaallah Allah akuhifadhi na akulipe malipo makubwa kabisa wallah nimependa ulivyotetea uislamu
Jazaaka Allaahu Khyra, Sheikh Allaah Akulipe Kwa Kulizungumzia Hili, Wallahi Huyo Dr. Sulle Amekuwa Fitna na Anaupotosha Umma.
shukran jazaakallāh khayran sheikh kombo ali fundi
Allah akuhifadhi sheikh wetu tunakumiss sana
jazakallahu khairaa. allah akulinde na akujlie umri mrefu wenye kheri na barka uzidi kuutetea uislam
Allah atunusuru yarabi
Almdulillahi ya shekhe.sule mshirikina.
mashallah, sheikh umetoa elimu ndogo lakini kubwa kwa waislamu na hasa ndugu zetu ambao hawasomi wao wanapokea tu..
Aya nzuri sana sheikh. Ila ukiifasiri vzr Allah yuwasema mashetani ni rafiki ya wale wasioamini. Kwanza hapo angalia vzr aya. Je shetani ni sifa au mtu? Na kama ni sifa bc wapo majini na wanadamu wanaomuasi Allah hao ndo mashetani. Kinyume hio aya kama mashetani ni rafiki kwa wale wasio na imani. Je wale majini wamchao Allah watakua rafiki zake akina nani. Kwa maana Allah amesema. Hakutuumbeni majini na wana Adam ispokua tumuabudu.
Jini tumekatazwa kushirikiana nao,elewa kushirikiana ndio Jambo ambalo halifai
tatizo lenu nyie huwa kama wanafiq, kazi yenu hamukai mkafundisha waislam bali hukaa pembeni mkiwaona watu wamejitoa kufundisha mtaanza kutoa kasoro, sheikh aliekamilika ni Allah peke yake...na hivyo mnavyotaka hakuna hata mmoja atakaelimisha msimtoe makosa labda Allah pekee.
@@samxx411we ndio mnafki, hawafundishi vipi?ulitaka wafundishe elimu ya majini?au?
@@aminasaid6555 amina hujanielewa, mie nimemjibu huyo apo juu, anaemkosoa huyu sheikh hapa...
Dr. Sule na wenzake wameuchafua sana lUislamu lakin M.Mungu atafanya. Insha Allah.
Toka zamani mimi wale walikuwa wakinitia wasiwasi..... Nilishindwa kuwaelewa itakadi zao kwa kweli.
Lini uislam ulikuwa safi,tabia na Matendo ya mtume wenu ni aibu hata kusema alikuwa mtume wa Mungu,mnachojitahidi ni kuupamba kwa nje lakini ukiingia ndipo unajua uchafu wa dini yenu
@@FridayMwassa Tulia Kafiri wewe!!
Usipate nafasi ya kutukana au kukashifu dini za watu kutokana na Washirikina wachache kama akina Sullley ambao wamekutana kwa kujivisha koti la Uustaadhi au Usheikh.
Sisi ni Waislam. Our guidance is Quran na Sunna. Hatuangalii sheikh wala mwanazuoni. Akifanya makosa, tunaachana naye.
Hatutaki tu kukashifu dini kwa sababu tu tumekatazwa kufanya hivyo.
Mikafiri mengine ni ya ajabu sana. Tulia pembeni. Mbona sisi hatuingii kwenye tovuti zenu na kutoa maneno ya kashfa ya dini yenu.
Wee Kafiri mwenye laa'na ya Mungu hebu kaa pembeni....
Allah akulipe kwa hil
Chuki imekujaa tu ndugu@@FridayMwassa
Swadkta
Hayo ndio mafundisho ya Qur'an
Siyo akina Dr. Sule washirikina
😂😂😂😂😂😂 haya mambo noma yatawachanganya Sana WAISILAM....
MTUME MUHAHAMMAD SWALAAHU ALAAHI WASALAAM ALIKATAA ULINZI KUTOKA KWA MAJINI ALIWAAMBIA HAKUNA HATA MMOJA KATI YENU AMBAE ATANILINDA NISIMUWEPUKE ALLAH HII HAPA AYAH
قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا
Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu.
Vizuri mwanzo anae Linda watu ni Allah hata majini wanamubudu Allah na wengine wamuasi sasa yule anae taka ulinzi kwa majini atakua amemshirikisha Allah kwa sababu atapewa hirizi akiona hirizi inamlinda hio shirki ila waeza mtumia jini katika tiba wale majini wazuri waeza kumtumia jini kwa njia ya sawa hio haina neno ila ukimtumia jini kukulinda hapo utakua umemshirikisha Allah
@@saba-gv3mjJini huruhusiwi kushirikiana nae chochote! yani kuanza kuwaomba wakusaidie chochote ni makosa
@@saba-gv3mjhata tiba kutoka kwa majini shirki.Haifai kushirikiana na majini jaman waislamu wenzangu.Tukithirishe kumpwekesha Allah.
Tiba zote zipo katika Quran na Mtume Muhammad ( S.a.w ) amshatufundisha tiba jaman!
Hivi unajua kama Surat Fath ni tiba kwa wale walioamini?
Hivi unajua sadaka ni tiba na umkinga mja na Shari na mabalaa ya Dunia?
Quran haijacha kitu jaman!
Mtume Muhammad s.a.w ametufundisha dua za kinga na tiba mbalimbali dhidi maradhi,hasad na mengineyo kama hayo hivyo jukumu letu ni kusoma waislamu wenzangu.
@@hazaaahmadhazaa2770Allah angeanza kumkataza Kwanza nabii suleyman badala yake alimpa ruhusa yey mwenyew
Tafsir aya vzur hyo so unatafsir Kam unatok kuamka
Shekh wangu tuchambulie vizuri hapo kwenye majini na mashaitwan.maana naona umetumia swigha moja ya kishaitwani pekee twaomba tuweke sawa hapo tafadhal
Hamna mafungamano yyte ya jini na binadam hata kama ni jini jema, wao wana ulimwengu wao na binadam wana ulimwengu mwengine tofaut
Masha allaah, je ulimwengu wao ni upi majini? Twaomba kidogo tujifunze apo
Jini mwema mcha mungu kamwe hawezi kuja kufungamana na mwanadamu.Majini wema wote wanaishi ulimwengu wao na kamwe hawaji karibu na binadamu.kitendo cha jini kuja katika maisha ya mwanadamu tayari anakuwa ameshamuhasi Allah ila wanajifanyaga wema tu ila anakuwa tayari sio mcha mungu.
Kwahyo majini wacha mungu wapo na kamwe hawayaingilii maisha ya binadamu
@@jureejmoruhaniyyaatonlinetv We unadhani binadamu ana uhtaji wa kushirikiana na majini, kama ana uhtaji huo je ni kwenye nyanja zipi ambazo binadamu anahtajia kushirikiana ma majini, Na je kwenye maisha ya mtume yotee na swahaba zake, kuna pahala waliwatumia au kuwategemea majini,?? Tafakari hayo kwanza alaf ujiulize ww kama ww unapata usaidizi gan wa majini na kwa faida gan, Je Allah ameridhia kuwatumia hao majini katk maisha yako
Huyo muhusika karibu kila clip anaongelea VII EYTE ( V8 ) kwake ye ndio anaona mafanikio😂 ! ALLAH AMUONGOE NA SISI ATULINDE!
Kama wanamjini ya ulinzi wapeleke ukrein na Russia tuone Kama WANAWEZA .
Wangeanza na GHAZA kwa sababu, huko kuna Jeshi kuuubwa la ISRAEL 🇮🇱 likipigana na kundi Dooogo la HAMAS ambao halina hata Bendera . UKRAINE 🇺🇦 na RUSSIA 🇷🇺. ni mara if a yenye Majeshi makubwa
Wangeanza na GHAZA kwa sababu, huko kuna Jeshi kuuubwa la ISRAEL 🇮🇱 likipigana na kundi Dooogo la HAMAS ambao halina hata Bendera . UKRAINE 🇺🇦 na RUSSIA 🇷🇺. ni mara if a yenye Majeshi makubwa
Watu baadhi wanatuharibia saana dini wallah,
Chimbuko la dini ya Uislamu ni majini Sasa wanachafuaje dini Yao!
Ndiyo mnafuga majini tena hata kuuza mnauza.
Ni watu wabaya sana nyinyi😮
Nmekuelewa sana mwalim wngu, niombe kwa uchaf huu unaotangazwa na hao akina dr sule, kila imam ktk msikiti wake alisemee hili
Sulle ana matatizo
Shekh hiyo mada nzito inakanganya watu sana, unatakiwa kuzama ndani na utoe uchambuzi wa kina. Shekh umetaja majini lakini umeelezea mashetani!. Majini ni viumbe kama tulivyo sisi binadamu, majini na binadamu wajibu wetu ni mmoja kumuabudu Allah subhannahu wataala, Jini anayefanya vitendo vya kishetani ni shetani na binadamu anayefanya vitendo vya kishetani ni shetani na pia ni kinyume chake kwa wanaotenda wema. Watu wasiokuwa waislamu kuwashutumu waislamu kuwa wanafuga majini wanaitumia kama silaha ya kuwadhoofisha waislamu ili wajihisi kama kuna makosa wanatenda. Ndugu zetu hawa wasichokijua ni wakati gani mtu anakoma kuwa muislamu? wanaamini mtu akiitwa jina la kiislamu basi ni muislamu tu. Kubaki kwenye uislamu ni jambo la kuwa nalo makini sana maana unaweza kufanya kosa bila kuchukulia umakini kumbe ukawa ushatoka kwenye dini lakini jina lako bado ni lile lile.
Kama wanaweza hayo kwann wasiwasaidie ndugu zetu wanaouliwa Palestina
🤣🤣🤣 ...kumbe upande huu mnaweza kushirikiana na majini
Tunaouharibu uislam ni waislam wenyewe baadhi ya waislam wamekua na njaa Sana kinachosababishia kufanya shirk mara mashehe kumtumia mtu majini.. sio poa waislam wezang
Huyo sio ustadh anae tumia mtu jini huyo ni mshirikina ustadh hawezi fanya mambo hayo sheikh aweza akakutoa jini kama umetumiwa ama jini amekuingia umepita sehu mbaya akakuingia sawa ila sheikh hawezi kukutumia jini wanao tumia watu majini ni washirikina huyo hayuko katika uwisilamu
Shekh tubainishie kwani Kila jini ni shaitwani?
Naam naona mada ya majini kisha aya za masheitwani..sjaelewa ?
Kwa mujiibu wa kitabu ndani ya Qur'an MAJINI wakushanga futwa katika rehma za Mwenyezi Mungu. rejeeni pale alipo kataa amri ya Mola wake kusujudu mbele ya Adam, pale palitoka tamko NAKUFUTA KATIKA REHMA ZANGU WEWE NA KIZAZI CHAKO. sasa ukisha futwa basi. Na hakuna mahali ndani ya kitabu panapo sema Majini wataingizwa peponi.
Bila shaka wanao shirikiana na majini WATASUJUDU MOTONI.
@@sultanalmendhir207😅utaelewa ukifika kuzimu
Sio kila jini ni sheitwani, ila anayeharifu amri za Allah ikiwemo kuchangamana na binadamu huyo ni sheitwani
@@sultanalmendhir207masheitwan ni waliohalifu amri ya Allah na kuchangamana na binadamu
Sele kachafua kila dini ukisoma sana historia za dini mwisho utamkufuru MUNGU
Utapata tabu sana kutenganisha sarafu 😅😅
Mnausika na ufugaji wa majini ,wacha kukataa bro
Mzee una kichwa kigumu mno, kafuge wewe basi
Wanahusika kina nani?na kama ingekuwa tumeruhusiwa tungekataa kwa kumuogopa nani?sisi Huwa tunanyosha maelezo haijalishi
Haulazimishwi babuu wewe
Haulazimishwi babuu wewe
Yaani Mwislamu na majini ni sawa binadamu na chakula 😂😂😂😂 kataa mkataavyo chimbuko la Uislamu ni majini
Kwani shekhe kila jini ni shetani mbona unakosea unatoa aya unashindwa kufafanua haujuie shetani ni sifa anawez kuwa nayo binaadam au jini
Mada za majini nipana sana nasio za kukurupukia tu
Huyo bwana alikua zwazwa unamfungulia mlango majini yanaonekana kwa macho ???
Suala la majini ni Ilmu2 ndo inawatatiza watu. Wingine kama sisi ilmu hatuna ila upeo wakuelewa mambo Allah katujalia. As long as jini na ww mwanaAdam hamuvuki mipaka ya Allah. Hapo tatizo litakua wapi?
Upeo gani uliokuwanao?Clarify.
Hakuna mashirikiano ya aina yoyote baina ya jini na mwanadamu kinyume na hapo ni kumuhasi Allah.
Hivi unakipimo cha kumtambua jini au mwanadamu mcha Mungu?
Hakuna jini mcha Mungu anaeshirikiana au kufungamana na mwanadamu na kinyume cha hapo ni kutengeneza maagano ambayo upelekea shirki.
Mtegemee Allah kwa kila jambo,fanya ibada kwa yakini,omba dua kwa yakini,toa sana sadaka,toa Zaka,acha kufanya Mahaswi,kuwa mwenye kuomba sana toba kwa yakini na kubwa zaidi ni kufuata muongozo wa Quran na Sunnah
Hakuna mtu anaefuga majini hawa ni viumbe ambao hawaonekani ila binaadamu wanawapiga kamba wenziwao
Shekhe inabidi utofautishe jini na sheitwani
Majini ni viumbe kama Sisi binaadamu na tumeubwa kwa ajili ya Ibada kama Sisi tunavyo swali na kufunga kutoa zaka kuhiji pia na wao ni hivyo hivyo tunaswali nao tunafunga nao tunahiji nao na mengine mengi katika Ibada
Sio kila jini ni sheitwani
Masheitwani wapo Aina mbili Tu katika majini wapo na katika watu wapo
Imani ya wasiokuwa waislamu ni kuwa kila jinn ni sheitwani kwa mujibu WA Imani yetu ya uislamu wapo majini wema wapo na pia wabaya na katika binaadamu ni hivyohivyo
Kwa hivyo tuwe makini katika kufahamisha jambo lifahamishwe kwa usahihi sio kupotosha
Elimu ya wapi hiyo mwenzetu
Sasa hivi nimeridhika nikikusubiria wewe tu shekh kombo
Sheikhe kwenye kutoa hoja haja tofautisha majini na mashetani.
Majini wazuri na majini wabaya.
Ndiyo waislamu hatuna tabia kwa jumla kufuga majini ila wako wachache katika waislamu wana uwezo wa kuwatumia majini wazuri katika mambo mazuri .
Kama vile makafiri wanawatimia majini wabaya kwa mambo mabaya mambo ya freemason na devil worshippers
Haya nyie majini wazuri mnawatumia kwenye nini?
Hakuna jini mzuri kisha akatumiwa na binadamu akichangamana na binadamu tayari ameharifu maamrisho ya Allah huyo ni mbaya,jini mzuri Huna hachangamani na binadamu Ana Maisha yake
@@aminasaid6555 kwa hiyo unaamini kuna jini mzuri?
Sasa mnajitoa ufahamu kuwa hakuna wanafunga na kutatumikisha hili lipo wazi tunaishi wote tunajuana wewe wafundishe dini ya kiislamu hairuhusu au inaruhusu lakini lipo wazi hilo na kumtupia watu kawaida Sanaa.
Sasa kama hilo lipo ndio uislam au?sie tunaongelea uislam wet sio ushirikina
ila ni ndugu zenu 😂😂😂
Nyiny makafir ndo wachaw wakubw niny
Ndugu zetu kivipi?
KUWATUMIA MAJINI KUTAFUTA MALI AU ULINZI NI DHAMBI KUBWA HUU UTHIBITISHO KATIKA QUR-AAN SURATUL JINNI
وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا
Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi
Nenda katafute shereh yake utaelew mung alimaanish nin so unaongea tu Kam unatok usngizin
shekh kama nakuelewa ivi, ila bado sija pata jibu,kua kama kweli hakuna mwingiliano wa majini na wanadamu, kwanini mtume alienda kukaa namajini akiwasomea qur ani? Tena alikua na mmoja wa masahaba Abdullah ibn mas ud dikosei, wakachora mchoro wataalam wanasema ilikua nisaiko.kisha akawasomea kur an.yaan alishirikiana nao katika kuyasoma maneno ya allah, vipi iwe hivi ikiwa hakuna muingiliano na tena ilikua hapa hapa ulimwenguni? Ushahidi wa hili ni huu:
mtume hakuwatumilia kwa ulinzi wa mamb mengn bali nkwaibada tu km kusoma quran lkin sio kuwatumilia km sjui natak hela mra hivi bali kwa wema bila ya shirki
Ahaa kwahiyo shekh wataka utuambie yafaa kukaa namajini kufanya nao mambo ya ibada nasio shirki?
Yaan una maanisha mtume aliwatumia kwa ibada? Masha allaah. Shekh wangu nimekuelewa insha allaah
Mtume wetu alipitia kila aina la tukio ili sisi umati wake tujifunze, yeye aliwaona sababu alikuwa ni Mtume,je uliona maswahaba wake waliwaona?na ndio maana aliwazuia wasiwadhuru maana wao hawakuwaona na hapo ndipo alipotoa elimu
Suwala maallimu la kuwaona na kujilinda nilingine,na swala la kukaa nao nilinginne. Pia huwa sunna kwa mujibu wa mashekh nikila alilo fanya mtume.je shekh hapa twataka kujifunza kwa kua haifai kukaa nao hawa majini je katika hili imekaaje?
Acha uongo! Majini ni waislam ni waislam wenzako Wala uwezi kuwapinga, surah Al jinni (72) wenyewe wanasema kwamba wao ni waislam.
wacha chuki na upumbavu!!! SIKILIZA KABLA YA KUKURUPUKA, FALA WEWE!!!
Ahsante jinni makata...nyama wee!
@@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi Ku mbe na mtume wa bongo saw
shida kubwa wakristo hampati elimu kuhusu hawa viumbe wasioonekana kwa hiyo hata bible haijawaelezea chochote ila ujue tu kuwa majini wanaishi kama sisi tunavoishi wapo wema na wabaya wote wanawaingia watu ni wabaya sasa ukijiona elimu yako ndogo jifunze usilete ujuaji wa chuki, tuna siri nyingi za mapadri wenu lakin hujaona tukiwakebehi
Kwani mnataka kuficha wakati Kila kitu imeongelewa? Yale mumekua mkificha watu Kwa mda mrefu imeongelewa wazawazi na waislam wenzenu
KWANI NYINYI AKRISTO SI MUNATOANA MASHETANI KANISANI KWANI HATUONI KWENYE MITANDAO JINSI PASTA AU MCHUNGAJI ANAVYOWATOA WAUMINI MAPEPO KWA KUWAWEKA UCHI WA MNYAMA AU KWA KUWAPIGA BUSU WANAAKE AU KWA KUWACHSPA BAKORA WAUMINI AU KWA KUWAPANDA WAUMINI KAMA WANYAMA NA MENGI MENGINE KWANI HIVYO NDIVYO YESU ALIVYOWAFUNZA HAO WOTE NI MASHETANI NA KILA DINI WAPO MASHETANI WANAOJIFANYA WAFUASI!! NDIO MAANA ALLAH AMETUFUNZA TUSEME TUNAJIKINGA NA SHARI ZA MAJINI NA WATU.
Hii waislam kimbien mkimbiavyo hii kitu haikwepeki😂😂😂, uislam ni dini ya majinn, waislam majinn ndugu zao waislam watu hiyo haikwepek, eti wajinn wazun ndio ndugu zenu 😂😂😂😂 wazur wanasura gan na ikiwa hawaonekan kwa macho😂
Wajua kukosa ilimu ni mtihani sana majini hata ww ndugu zako mwanzo waliumbwa malaika alafu wakaumbwa majini walivo muasi mungu majini wakawa wanauwana ovyo wakaletewa adhabu na Allah akabakia kitoto kimoja cha kijini malaika wakamchukua akafanya ibada kuliko malaika akaitwa abaa sijda ndio Allah akamuumba binadamu badae alivo umbwa binadamu yule jini akaingiwa na chuki kumuona Adam ameumbwa waisilamu wamuita iblis na wakiristo wamuita lusifa ndio lusifa na malaika wakambia msujudieni Adam sija ya kumuheshimu malaika wakasujudu ispokua yule iblis mungu akamwambia ww mbona hujamsujudia huyu Adam akasema kwa kibri mm ntamsujudia vp Adam wakati hyu Adam umemumba kwa udongo na mm jini umeniumba kwa moto ndio Allah akamwambia iblis umelanika lana za mungu ziko juu yako ndio hapo nae lusifa akamwambia Allah na mm ntawapoteza watoto wa adamu ili waingie motoni pamoja lakini lusifa akasema ispokua waja wako wema siwezi kuwapoteza na majini wako waisilamu na wakiristo majini waisilamu hawadhuru mtu majini wakiristo ndio majini wabaya wanao ingia watu wakiwatesa wakiuwa ndio utaona mtu akipatikana na jini ama amerogwa utaona mtu analetwa kwa ustadh atasomewa quran na quran inamchoma yule mbaya mpaka atatoka sijui umeelewa kwa hio majini wako waisilamu na wakiristo majini wako majini wakiristo ndio wabaya ume elewa
Emanuel Julius ,ina maana huelewi sheikh anavyoongea?
@@saba-gv3mj1. umetoa maelzo mengi ila ya uongo mtupu 😂 Eti Mungu alianza kuumba malaika na majini hivi unasoma kitabu gani hicho kinachoelezea tofauti na quran na Biblia, yani hata hujui chanzo cha majini mnakaa mnadanganyana tu kasome tena chanzo cha majini kwenye vitabu vitakatifu na sio magazati yanayoandikwa na walimu wenu😂
2. Unasema kuna majini wakristo na waislamu hebu nitajie jina moja la jini la Kikristo halafu tafuta majini yenye majina ya kiislamu au kiarabu uone wapi utapata jibu, unaleta story za kuambiwa hapa.😂 unadanganya hadharani.
Allah akikunjue kifua chako upate uwe na ufahamu mzuri
@@khamisrubea5083 walimu wenu wenyewe wanapishana, wengine wanaamini wapo majini wzuri na wabaya wengine hawaamini kabisa uwepo wa majini wazuri na wote wanasoma vitabu hivohivo, hii inamaanisha mpeane ufahamu kwanza wenyewe ili muwe na kauli moja ndio badae wa nje wapate huo ufahamu pia.
shee acha uongo jini haonekani majini ni ndungu zenu
Kwanza Huna adabu,halafu uongo wake ni nini?yeye anaongea kwa mujibu wa dini yet?na wewe nae?unathibitisha hilo kupitia nini?
@@aminasaid6555koran imekuja juzi na Muhammad lakini ukisoma vitabu vilivyotangulia kama biblia hakuna hayo mnayofundishana