Ukitaka kujua vizuri kuwa hivi tambua ni wakwanza na wa mwisho kwa maisha ya ndoa na mapenzi ktk mausiano kuliko mwanamke umjuaye ktk dunia hii, niyasemae haya Ninaufaham wa tamaduni takribani nchi 13 za kiafrika, ukimpata mbora huwezi linganisha nakokote ktk dunia hii
Serikali inapanga kila mwaka fedha za kuendeleza Miji na Manispaa lakin cha ajabu mji wa Bukoba hata lami ya mjini imekwanguliwa na kubaki vumbi tupu, stand ya mabasi ilikuwa nzuri wakati wa ukoloni na mwisho nwishoni mwa miaka ya sitini, majumba yaliyo Taifishwa na Serikali wakapewa NHC yamebaki magofu na hayapigwi rangi na wala NHC hakuwahi kujenga majumba mapya kwenye mji wa Bukoba, walikwenda kujenga nyumba chache kwenye majimbo ya mbunge ambaye alikuwa Wazira wa nyumba makazi, sijui kama nyumba zote zimepata wapangaji - ÑHC wakasahau kujenge kwenye manispaa ya mji wa Bukoba ambapo watu wengi wange fahidika, cha ajabu utakuta miji kama Singida,Kahama , Geita na Chato inakua kwa kasi ya ajabu - Nina uhakika si wenyeji wa mini hiyo ndio wanahusika na ukuaji wa kasi wa miji hiyo!! Mbona Serikali utoa fedha za kimaebdelea kila mji na manispaa, swali ni, je, fedha ya kuendeleza mji wa Bukoba uyeyuka kivipi? Sijawahi kusikia MTU yeyoyote akiwajibishwa - RC,RPC,AC na wengine upitia kwenye barabara hizo hizo zilizo kwanguliwa lami na kubaki vumbi tupu ndani ya manispaa ya Bukoba, lakini hakuna cha ukarabati au ujenzi wowote wa maana unaoendelea kwenye mji wa Bukoba miaka nenda rudi, si standi ya mabasi, si Soko lililo achwa na wajerumani si chochote, for some strange reasons no one body cares. Mkoa wa Kagera una wakazi zaidi ya millioni na ushei lakini sijawahi kusikia Serikali ikisema Hospitali ya Mkoa ipandishwe hadhi kuwa ya rufaa - imebaki vile vile tangu ijengwe na wakoloni wa Kijerumani - lakini Mikoa mipya ikianzishwa inajengewa mpaka Hispitali za rufaa, lakini sio Mkoa wa Kagera!! Swali ni: kuna agenda gani latent kuhusu Mkoa huu labda tuanzie hapo, hii si bahati mbaya hata kidogo.
nimeipenda hiii mzee,
sasa tanzania inaweza kua kiganjani pangu
God joh we mamako alikupataje n hiyo NJIA
Ukitaka kujua vizuri kuwa hivi tambua ni wakwanza na wa mwisho kwa maisha ya ndoa na mapenzi ktk mausiano kuliko mwanamke umjuaye ktk dunia hii, niyasemae haya Ninaufaham wa tamaduni takribani nchi 13 za kiafrika, ukimpata mbora huwezi linganisha nakokote ktk dunia hii
Japan kuoa nakabuka n Utembez wa KAZI na Usomi
Who here after watching black oanther
Wahaya ni kama wanyankore, la si waganda yani kuna tafauti kati wa Buganda na Uganda, ama namna gani wenzangu
Sasa Kila kabila ni kusuguliwa na Umalaya juu
Saw ndugu lazma na me nfanye hvo
Wahaya bhana wasikietu
Kushugulikiwaipasavyo
Kusuguliwa sawasawaa
Kama wao ndio watu waliokua wa kwanza kuelimika hapa tz mbona bado mji wao upo nyuma kimaendeleo.?
P'neill hoods yapo ila so kivile na nikUtokana na maendeleo yaonekanaYo Na NCHI HUSIKA mfano TANZANIA
Serikali inapanga kila mwaka fedha za kuendeleza Miji na Manispaa lakin cha ajabu mji wa Bukoba hata lami ya mjini imekwanguliwa na kubaki vumbi tupu, stand ya mabasi ilikuwa nzuri wakati wa ukoloni na mwisho nwishoni mwa miaka ya sitini, majumba yaliyo Taifishwa na Serikali wakapewa NHC yamebaki magofu na hayapigwi rangi na wala NHC hakuwahi kujenga majumba mapya kwenye mji wa Bukoba, walikwenda kujenga nyumba chache kwenye majimbo ya mbunge ambaye alikuwa Wazira wa nyumba makazi, sijui kama nyumba zote zimepata wapangaji - ÑHC wakasahau kujenge kwenye manispaa ya mji wa Bukoba ambapo watu wengi wange fahidika, cha ajabu utakuta miji kama Singida,Kahama , Geita na Chato inakua kwa kasi ya ajabu - Nina uhakika si wenyeji wa mini hiyo ndio wanahusika na ukuaji wa kasi wa miji hiyo!!
Mbona Serikali utoa fedha za kimaebdelea kila mji na manispaa, swali ni, je, fedha ya kuendeleza mji wa Bukoba uyeyuka kivipi? Sijawahi kusikia MTU yeyoyote akiwajibishwa - RC,RPC,AC na wengine upitia kwenye barabara hizo hizo zilizo kwanguliwa lami na kubaki vumbi tupu ndani ya manispaa ya Bukoba, lakini hakuna cha ukarabati au ujenzi wowote wa maana unaoendelea kwenye mji wa Bukoba miaka nenda rudi, si standi ya mabasi, si Soko lililo achwa na wajerumani si chochote, for some strange reasons no one body cares.
Mkoa wa Kagera una wakazi zaidi ya millioni na ushei lakini sijawahi kusikia Serikali ikisema Hospitali ya Mkoa ipandishwe hadhi kuwa ya rufaa - imebaki vile vile tangu ijengwe na wakoloni wa Kijerumani - lakini Mikoa mipya ikianzishwa inajengewa mpaka Hispitali za rufaa, lakini sio Mkoa wa Kagera!!
Swali ni: kuna agenda gani latent kuhusu Mkoa huu labda tuanzie hapo, hii si bahati mbaya hata kidogo.