Hii nyimbo itawafungua wengi sana wanaopaswa kutumiwa na Mungu- na wale wanaotumika tayari kuna namna viwango ya utumishi vitaongezeka just by listening! More Grace🔥 Anointed Zoravo.
Niko tayari Mungu naomb unitumie Kama upendavyo ww nisienend Kama nitakavyo mm please Jesus mguse kila mmoja ambae Yuko tayar kutumika kwako ❤️❤️🙌🙌🙌 ni maombi yangu mapenzi yako yatimie kwanguu 😢😢😥
Uwiiii kiukwel nipo shule lakn nikaomba niangalie huu wimbl maana nimeusubiria kwa mda mrefu sama..kaka Joel nakukubal sana na nakupenda kwa Kila..maana umebarikiwa....by samwel Edward... @samwel_jnr🔥💤🔥
"Nilitafuta miongoni mwao mtu mmoja ili ailinde na kunizuia nisiiharibu lakini sikumpata hata mmoja!" Ezekiel 22:30 Niko tayari Bwana katika kizazi changu ..
Bwana akawambia wanafunzi wake, msifurahi kwakua pepo zinwatii,!! furahini kwakua majina yenu yameandikwa mbinguni, nyimbo ninzuri ,lakini kubarikiwa sio mungu kukujua nakukubali, yeye hawezi kuaibisha neno lake, ndiomaana anaweza kutumia hata wanaojifananisha na dunia hii, kwani nywele hazitofautiani na waimba nyimbo za dunia, kwahio tutabalikiwa lakini jitathimini mungu anakufahamu kwenye ufalme wake?
This being my first time listening to this song, one year down the line, but still it has blessed my life. God I declare that I am ready to be used by you according to your will according to your promises.🙏🏿🔥#zoravo #beyond #yourhsarise
Since this powerful song was released have been playing it when am praying and I tell you it really carries such a heavy anointing of the Holy ghost! Much love from Kenya 🇰🇪 Zoravo.
Zoravo, keep this anointing. It is a timely song. Keep on being as humble as you are. Blessings from Canada. Be thy vessel of Honour for the Glory of God. Praying for you.
Neema izidi ndugu yangu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Wanao mkubali Zoravo wagonge like hapa
Amina Baba Zoravo ni maombi yangu kwamba Yesu Kristo anitumie jinsi apendavyo.
Hallelujah Mungu nitumie upendavyo wimbo mzuri sana na pia nnavokupenda mtumish wa Mungu zoravo aiseeh God bless you
Hii nyimbo itawafungua wengi sana wanaopaswa kutumiwa na Mungu- na wale wanaotumika tayari kuna namna viwango ya utumishi vitaongezeka just by listening! More Grace🔥 Anointed Zoravo.
Amen 🙏
Nami nipo tayali🙏
I believe so.. May it be according to God's will
Nami nipo tayari
😅😅😅😅😮😮😅😊😅😮😅o😅😅 1:23 😮😅😅😅😮😮😮p😊😊 2:17 😊😅😅😅😮
Nko tayari Bwana kwenye huduma hii uniinue zaidi na unipe kunyenyekea siku zote
Napata baraka tele. Niko tayari ni wimbo ambao umenitia nguvu.
Zoravo amekuwa baraka kwangu pia. Namshukuru Mungu
Niko tayari Mungu naomb unitumie Kama upendavyo ww nisienend Kama nitakavyo mm please Jesus mguse kila mmoja ambae Yuko tayar kutumika kwako ❤️❤️🙌🙌🙌 ni maombi yangu mapenzi yako yatimie kwanguu 😢😢😥
Baraka Tele an kutaka kunyenyekea zaid ilikuwa tayari❤❤
Uwiiii kiukwel nipo shule lakn nikaomba niangalie huu wimbl maana nimeusubiria kwa mda mrefu sama..kaka Joel nakukubal sana na nakupenda kwa Kila..maana umebarikiwa....by samwel Edward... @samwel_jnr🔥💤🔥
🧎🏽♀️🧎🏽♀️🧎🏽♀️🙇🏽♀️🙇🏽♀️🙇🏽♀️🙏🙏niko tayari unitumie kama upendavyo 😭😭😭
Wangapi wamebarikiwa jmni kama mimi,,,,just gonga like👍
Niko tayari nitumie Kama upendavyo ee Yesu
😭😭 Mungu akubariki na kukuinua kwenye viwango, wimbo umeniinua na Kunisogeza kwa Bwana ...Niko tayari. 🙌🙏
"Nilitafuta miongoni mwao mtu mmoja ili ailinde na kunizuia nisiiharibu lakini sikumpata hata mmoja!" Ezekiel 22:30
Niko tayari Bwana katika kizazi changu ..
Huu wimbo uliugusa moyo wangu sana thank you for God's delivery
HALLELUYA BWANA .....NDIO NIKO TAYARI NITUMIE UPENDAVYO 🙌🙌🙌🙌🙌
Oooooh Uinuliwe mwana wa mungu!!!! Kazi nzuri sana zora
Nzur
Nyimbo hiyi ina uwepo wa MUNGU NDANI
Kwa kweli MUNGU aku bariki zoravo
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aiseee hii strings, khaaaa,, these Jo.Oh crew. May God bless you
🙏🙏🙏🙏🙏 niko zaidi ya tayari bwana nitumie kama upendavyo
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi🙏
I'm ready Jesus nitumie kama upendavyo
NIKO TAYARI BWANA UNITUMIE KAMA UPENDAVYO..
Unanibariki sana na natamani kuimba nawe
Ohh yes Lord God am available to be used of you for the Glory and honour of your Almighty name, AMEN 🙏🙌😇 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Niko tayari bwana 🙏🏽🙏🏽🙇🏽♂️🙇🏽♂️
Bwana akawambia wanafunzi wake, msifurahi kwakua pepo zinwatii,!! furahini kwakua majina yenu yameandikwa mbinguni, nyimbo ninzuri ,lakini kubarikiwa sio mungu kukujua nakukubali, yeye hawezi kuaibisha neno lake, ndiomaana anaweza kutumia hata wanaojifananisha na dunia hii, kwani nywele hazitofautiani na waimba nyimbo za dunia, kwahio tutabalikiwa lakini jitathimini mungu anakufahamu kwenye ufalme wake?
Hatua kubwa zaidi zoravo kwa utukufu wa MUNGU ❤
I'm humbled, God can you please use me?? 😥😥🙆♂️😔😔
My prayer this 2023, The song is indeed timely. You are blessed and still singing like Dr Ipyana. much love from KENYA
Ubarikiwe mno kaka,,, wimbo huu ni wa rohoni sana
Bwana na akutunze,,, tunakuombea.
Nmepokea uponyaji na Amani ya moyo kupitia wimbo huu MBARIKIWE sana
BWANA unifungue macho ya ROHONi ili niweze kukuona zaidi ili nikutumikie vema
Zarayo, mtumishi wa Mungu uinuliwe zaidi,hakika una neema level kubwa
More grace servant of the Most High! Am ready to be used of the Lord...I consecrate myself to be used Lord...
Uzidi kubarikiwa mtumishi
Niko tayari Baba! Nitumie kama upendavyo.
Niko tayari Yesu
Nikotayarii nitumie kama upendavyo🙌🙌🙌🙌🙌
NAOMBA mungu uendeleee kunitumia kama upendavyo
Mbona hii nyimbo imefutwa Spotify kuna nini tena ama ibilisi alazimisha watu kumfuata huko
Amen,Niko tayari bwana Niko tayari
Nabarikiwa Sana nikisikia huu wimbo MUNGU nitumie Kama upendavyo
Niko Tayari Mungu
Niko tayari, MUNGU azidi kukuinua bro.
Mbona mwanangu korg simuon nqmuonq tuuuu mr sam bqss anakunja suraa😂
Nilikuwa mtu wa kwanza kufanya cover ya huu wimbo with my brother #david Kuzenza
So I have been waiting for this ❤❤❤
Kazi safi kwake wetu kristo Yesu. May God preserve you
🙌🙌🙌😭 😭 Niko tayari
7.9k views with only 616 likes. please kindly like to support and make sure the song spreads to other people so they can be blessed as we are.
This being my first time listening to this song, one year down the line, but still it has blessed my life. God I declare that I am ready to be used by you according to your will according to your promises.🙏🏿🔥#zoravo #beyond #yourhsarise
Joel🙌🏻 God bless you
God Bless you even more.
Jooh ❤️🔥🫡
Niko tayari BWANA
Nitumie!!
Unitumie kama upendavyo🙌🙌🙏🏼
Am ready please God use me 🙌🙌🙌
Mapenzi yangu yashuke Yako yafanyike😭😭🙌🙌🙌
Niko tayari Bwana🙌🙌
I can say minister zoravo is a prophetic worshipper.....🙌🙌🙌, And I receive that am ready to be used by God 🙌
Niko tayari YESU unitumie kama upendavyo
Niko Tayari
It's my prayers my Almighty God do something. Reveal your Grace in my life.
Very powerful. Isaiah 6:7_..❤❤❤
Am ready 🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙇🏿♂️🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿😭😭😭😭😭
Since this powerful song was released have been playing it when am praying and I tell you it really carries such a heavy anointing of the Holy ghost! Much love from Kenya 🇰🇪 Zoravo.
Amen nina amani sasa
Hakika nipo teyari
Mapenzi yangu yashuke,yako yajeeee
Mwandishi mzuli kabisa nakupenda saaana zoravo
Mwamba zoravo kongore
Nyimbo ya wakati 🧘🏼♀️niko tayari yes niko tayari kutumika zaidi ya mwanzo🙏🏽
More grace MoG🔥🔥
Nywele sasa
God does not look at ability but availability
Such a blessing ministry. Such a blessing call. Be blessed Man of God
Bwana Niko tayari Bwana nitumie 🙌🙌🙌
Amen and amen Glory to God MD Joe Alfredy be blessed and let you decrease and God increase in your ways
Seeing my Brother Jo.Oh here is a blessing.
Niko tayari Yesu unitumie kama upendavyo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌thank you Lord
Here l am lord nitumie kama upendavyo🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Very powerful song 😢so touching n encouraging 🙏🏼👏🏿✨️
Niko tayari hapa Kenya Bwana mwaka hii na miaka zijazo nitumie kama upendavyo.. wimbo mzuri sana
my person.....cograts
Asante yesu niko tayari! Worship ya ajabu ! Blessings zoravo
Zoravo, keep this anointing. It is a timely song. Keep on being as humble as you are. Blessings from Canada. Be thy vessel of Honour for the Glory of God. Praying for you.
Powerfull song kwakweli,kongole pia kwa music team@Joel Alfredy@Elisha Korg na mzee wa bass,,na team yote ya waimbaji Mungu awatunze sana.
Mehn this guyz are fire wamepanga instrumental wueh
What a powerful sermon MOG and my brother Zoravo. Mungu azidi kubariki huduma hii ndani yako. Nami NIKO TAYARI
Niko tayari kukutumikia Siku zote za maisha Yang
Like your music 🎵 performance may the blessings of the lord be upon you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Niko tayari Bwana unitumie kama upendavyo🙏
MORE grace my brother ! Much Love from Nairobi Kenya ! Powerful song ! Niko tayari Unitumie kama upendavyo ! Yes
Powerfull song🙌🙌😇😇
Nimeipenda
I cant get enough of this song ....its so powerful
You blesses me alot minister Zoravo .From +254🇰🇪
Hiii nyimbo iliniliza siku ya ibada😭😭😭🙌🏽
ameen nipo tayar bwana nitumie kama upendavyo
Wow powerful son ad blessing song
Am here again this praise healing my broken heart Jesus use me🙏
Awesome unique voice and amazing BGVs. Wonderful song. Niko tayari Mungu.
You are a blessing man of God Zoravo,,, this song is specifically to me,,, niko tayari,,, ready ready am I for the Lord,,, I surrender 🙏🙏🙏🙏🙏
Niko tayari BWANA😢😢😢😢😢😢😢🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Minister🔥