MIUJIZA YA QURAN | SIRI ILIYOJIFICHA KATIKA NO19 NDANI YA QURAN | DR SULLE NCHINI KENYA MASJID NOUR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 3 роки тому +1

    dr selle kwanza na kushukuru sana kwa elimu hiyo ambayo umetufikishia sasa nauliza hawo maswkhaba ambao walikata kwenda vitani ni maswahaba gani tupe majina yao tafadhili sana mungu aku jaalie khery na mwisho mwema

  • @adbulmama5065
    @adbulmama5065 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah.Jazza kAllahu khayri. Cheh Allah akulipe killa la kheri na mwisho mwema

  • @lalybadi5397
    @lalybadi5397 3 роки тому +1

    Bila shaka Allah atakulipa kwa juhudi zako kusongeza dini yake mbele

  • @sharifasuleiman9134
    @sharifasuleiman9134 3 роки тому

    Mashallah mwenyezi mungu akupe elimu fi dunia na khera daimani

  • @samiraislam6793
    @samiraislam6793 3 роки тому +1

    Mashaallah tabarakallah Allah akuzidishie

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому

    MashaaAllah barakallah fiykum wajazzakullahu khaira

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 3 роки тому +1

    Mashaa Allah Tabaraka Allah

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 роки тому

    Masha Allah dr Sule leo tu nimesikia hz dawa.

  • @samiraislam6793
    @samiraislam6793 3 роки тому +1

    Shukran wajazakallah khair

  • @munirakhalfan5716
    @munirakhalfan5716 3 роки тому

    Jazakamullah baba

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 2 роки тому

    Mashaallah

  • @lalybadi5397
    @lalybadi5397 3 роки тому +1

    ماشاء الله يحفظك

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 3 роки тому +1

    Allahu Akbar

  • @haleemhhaleemh707
    @haleemhhaleemh707 3 роки тому +1

    Saw tunakusubili

  • @sharifasuleiman9134
    @sharifasuleiman9134 3 роки тому

    👌

  • @mugabekazimiriam6693
    @mugabekazimiriam6693 3 роки тому

    nakuomba utupe majina yahao maswahab hao walikata kwenda vitani

  • @davidgasper956
    @davidgasper956 3 роки тому

    Acha ukichaa sule quran yako yeny sura 114 haziwez kuwanaelimu ya kuiongoza dunia ni BIBLIA pekee ambayo ni maneno yaliyovuviwa na ROHO MTAKATIFU ambae ni MUNGU mwenyewe

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 роки тому +1

      Kwani nilazima uje kwenye Channel za waislam kwakuwachokoza? Hau hamna kazi kazi zenu ni malumbano yasiokua na maana? Siuamini unacho kiamini sasa hapa umefata nini? Bibilia alipewa nani? Bibilia maana yake ni mkusanyiko wa vitabu, sasa vipi useme nikitabu cha MUNGU?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 роки тому

      Nivyema ukawa mstaarabu maana ukiamini unacho amini basi endelea na imani yako, yesu alipewa injili, lakini bibilia iko na injili nne mpaka ya watu wasio tahiri ,sasa utasema ni maneno ya MUNGU? Kuna mpaka barua za wapenzi, vipi utasema ni maneno ya MUNGU? Ukiskia matendo ya mitume hayo sio maneno ya MUNGU bali nikama history ya manabii hau vitendo vyao, hau shughuli zao, sisi waislam tuko na vitabu tukiviunganisha hata gorofa ya 4 ni ndogo, lakini QURA'AN ni maneno yaliotoka kwa MUNGU moja kwa moja na ndio haikuongezwa chochote iko kama ilivyo, tuko na adithi za mtume na hatamitume wengine, vitabu hivyo viko kando, tuko na vitabu vya SUNNAH, hivyo viko kando, bibilia ni vitabu na sio kitabu, 75% ni maneno ya watu na habari zisizo na ukweli, kaa chini usome hizo bibilia zenu acha kujali wingi wa makaratasi na hayana maana yoyote

    • @kulthumahmed5162
      @kulthumahmed5162 2 роки тому +1

      Wacha makasiriko na kumuita nwenzako kichaa
      Mwenye aliyetoa facts na ww wa matusi Nanni aliye boraa hapo

    • @yusuflangat3556
      @yusuflangat3556 2 роки тому +1

      Hujui unachosema

    • @rehemaramadhan1165
      @rehemaramadhan1165 2 роки тому +1

      Kawaida kicha uona Kila mtu ni kicha mpaka biblia yenyewe hujui kutafautisha,Roho mtakatifu Mwenyezi Mungu, namtume

  • @samiraislam6793
    @samiraislam6793 3 роки тому +2

    Mashaallah Tabarakallah Allah akujzi kheri