КОМЕНТАРІ •

  • @sirteacher
    @sirteacher 10 днів тому +1

    Bofya hii LINK kuona list ya waliopata MKOPO👇🏻
    olas.heslb.go.tz/olams/account/login

  • @YussraMgeni
    @YussraMgeni 4 дні тому

    Jamani tuonesheni ayo majina tunasumbuka

  • @RenaldaSamweli
    @RenaldaSamweli 6 днів тому

    Mbn mi sioni hiyo orodha

  • @MariaPwaga-p6s
    @MariaPwaga-p6s 10 днів тому +2

    Mh mbn sion

  • @MariaPwaga-p6s
    @MariaPwaga-p6s 10 днів тому

    Teacher de naenda kuangalia kwenye sipa

  • @Samiramohamed-q8p
    @Samiramohamed-q8p 9 днів тому

    Vipi kuhus diploma

  • @DalaliUwezo
    @DalaliUwezo 9 днів тому

    Yaan hapo ni kwamba mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuchu, hiyo orodha ya majina hata hatuioni watoto wanaangaika hawayani màjina sisi wazazi pia tunahanagaika hatuaoni kitu, serikali mbona mnakua hivi jamani mbona kwenye majina ya kuchagua vyuo ilikuwa rais sana lkn hili swala limikopo kuna kama ka ugumu flani hivi why kwa nini? 2:38 2:38 2:38

  • @AbuuKhalifa-m2y
    @AbuuKhalifa-m2y 10 днів тому

    kwa sisi bado inaandika ready passed successfully vipii

  • @AngelJosephat-s3c
    @AngelJosephat-s3c 10 днів тому

    Kwa wele wanafunzi wa vyuo vya Kati lini watatoa

    • @sirteacher
      @sirteacher 9 днів тому

      Diploma wataanza kutoa kwa batch kuanzia wiki hii tarehe 1 October

  • @ezekielnyakunga1821
    @ezekielnyakunga1821 10 днів тому

    Ningeona orodha ya waliopata ingekuwa vema

  • @NeemaMhumba
    @NeemaMhumba 9 днів тому

    Diploma je vp lni ndo yanatoka

    • @sirteacher
      @sirteacher 9 днів тому

      Kuanzia wiki hii tarehe 1 October

  • @kigwahustler2121
    @kigwahustler2121 10 днів тому

    Matokeo ya elimu ya Kati yanatoka lini

    • @simuliziplus
      @simuliziplus 10 днів тому

      Elimu ya kati unamanisha GATCE ama ipi?

    • @musajuma-m3f
      @musajuma-m3f 10 днів тому

      Diploma lini wanatoa

    • @REHEMAMBIKI
      @REHEMAMBIKI 10 днів тому

      Students individual permanent account

    • @MashakaDudu
      @MashakaDudu 9 днів тому

      Hay Majin mbona akina 0:59