Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kengele na makelele ya kucheka yanaboa sanaa naanza kuichukia hii channel
Pole sana
Hahaha
@@ChekeshaTvpole Nini bhana, toeni hayo makengere km watoto wanacheza game
@@2116-n Ndugu mbona unakuwa mkorofi sasa, tumeelewa na hatutaweka tena
Hicho kikengele mi kinanipa raha sana msitoe
Vikingele na vicheko safi sanaaa
Punguzeni effect sounds.1. Kengele za kanisa2. Vicheko kwa background
Kanisani Kwa masanja
Tafadhali msiweke hivyo vitu mnaweka. Kengele sijui vicheko vya ajabu
Hiyo kengele ni kero sana
Pole haitakuwepo tena
Mchezo mzuri ila kengele zinaharibu mada.
Eti muone yule😂😂😂
Msiweke makengere jamani ,Miyaweke yanaharibu sana
Sawa tumekuelewa
Izo kengele na vicheko jmn vinaboa
Pumbavu kabisa na makengere yenu kama primary 😢😢😢
Hiyo kengele inanipa raha sana msiitoe😂
Kengere ina haribu kazi yote.
Poleni
Haya makengere,, aiseee
Toeni makengele hayo
Sawasawa
Kengele mnazingua
Tuko pamoja kutoka Ngorongoro naomba niwaandalie trip ya Ngorongoro kwa bei ya offer.
Waaah Asante sana, Jiunge kwa Group letu na uwasiliane na Admn kwa taarifa yoyote
Hiyo kengere maana yake ni Nini?
🤣🤣🤣🤣mzee katumwa mahelllaaa!
😂
Hizo kelele background sio poa
Ase kwl
Iyo kengele inasumbuwa
Sio kuzuri 😂😂😂😂
Wanaanza kufanya kazi hii saa 12 asubuhi mapema kufanya hii kazi sijui Selikari imewapa maelekezo gani ila katika sehemu wananchi wanadhurumiwa nikwenye paking ,Fikirieni vizuri muekesawa hapa
Kweli kabisa
Makengere kila baada y sec 5
Macheko makengele yani vagaranti
Ohoooooo😁😁😁
😂😂😂
🤣🤣
Mzee katisha 😂
Nahivi ndivyo wanavyo fanya watu wa paking
Kengele na makelele ya kucheka yanaboa sanaa naanza kuichukia hii channel
Pole sana
Hahaha
@@ChekeshaTvpole Nini bhana, toeni hayo makengere km watoto wanacheza game
@@2116-n Ndugu mbona unakuwa mkorofi sasa, tumeelewa na hatutaweka tena
Hicho kikengele mi kinanipa raha sana msitoe
Vikingele na vicheko safi sanaaa
Punguzeni effect sounds.
1. Kengele za kanisa
2. Vicheko kwa background