SHUSHO Ampandisha JACK Aliyepata Ajali Na Kusaidiwa Na DIAMOND, Aongea Mazito Usiyoyajua..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 114

  • @manmsafi
    @manmsafi Рік тому +23

    Diamond ukona roho safi sana mungu akuzidishie huo upendo❤❤. Wpi likes za wakenya.

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 Рік тому +4

    Diamond 💎 platinum Mungu apigane na maadui wote watakao inuka juu yako

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Рік тому +21

    Diamond Platnumz wew una roho ya kipekee sana Mwenyez Mungu akapigane na wanaopigana nawe

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 Рік тому +8

    DIAMOND PLATNUMZ YOU ARE A SPECIAL HUMAN BEING.ALLAH AKULINDE.

  • @estherhephzibah7125
    @estherhephzibah7125 Рік тому +3

    May God remember Diamond and other secular artist before rapture just like He saved Size 8 and others.The end is near and God is bringing others to the kingdom

  • @lilianwanjira
    @lilianwanjira Рік тому +1

    Mungu azidishe baraka kwa watu wake

  • @bakarininian-ew7kb
    @bakarininian-ew7kb Рік тому +3

    Umelitawala jukwaa JACKZ , Mungu akutangulie kwenye Safari yako ya mziki, vikwazo Ni vingi Ila mwenyezi Mungu atakuvusha salama :

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 Рік тому +1

    Asante Sana KAKA DIAMOND PLATINIUM MUNGU AKUONEKANIYE
    Umekuwa msaada kwa Wengi MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE KAKA
    AKUMYLIKIYEBNURU YA YESU NURU ZA MBINGUNI
    AMINA

  • @WamakaNgambi
    @WamakaNgambi Рік тому

    Mungu akubaliki sana diamond

  • @akwinobenarddy
    @akwinobenarddy Рік тому +4

    Diamond Mungu akubariki

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 Рік тому +9

    Diamond hujawahi kumkwaza mtu. Mungu akulinde sanasana na akusimamie akulinde uingiapo na utakapo

  • @xayoze4285
    @xayoze4285 Рік тому

    Faith wow diomond what a blessed heart b blessed 🎉

  • @moreenonesmo-jz2ws
    @moreenonesmo-jz2ws Рік тому

    Diamond Mungu Akubariki na mimi naomba unikumbuke ❤

  • @marthashenenga9076
    @marthashenenga9076 8 місяців тому

    Mungu awatunze pia kutangaza Injili kwa njia ya midia

  • @eddyneyfhh7034
    @eddyneyfhh7034 Рік тому

    Nashukuru Mungu ,nashukuru diamond kwakusikia sauti yamungu yakuja kwamukutano uyo kunasababu amefika apo

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 Рік тому

    Daimond ❤mungu akulinde

  • @gracehchungia740
    @gracehchungia740 Рік тому

    Congratulations Diamond and full safety from God ,🇸🇦🇸🇦but from Africa 🇰🇪🇰🇪 God be with you always

  • @nicholeowano
    @nicholeowano Рік тому +1

    Mackenzie typing,Ezekiel deleting 😅😅😅

  • @michaelmbui8226
    @michaelmbui8226 Рік тому +1

    May God remember her, comfort her and always supply her needs...she is talented, I like her voice and determination 💖🙏

  • @salamasaidi6620
    @salamasaidi6620 Рік тому +3

    Dada una shida ya herufi r😆😆😆🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
    Karibun kutoa povu kwa wenye hasira kali

    • @magrethmligo6624
      @magrethmligo6624 Рік тому

      Ajitahidi kutofautisha r na l,hizo zinamharibia sana

  • @ojiamboemmanuelojiambobo-ci6wt

    Wakati mtu angali ndio anatafuta atamuheshimu mungu. Lakini akisha pata atajibleach atajipodoa atavalia mavazi yasiokuwa na heshima ulimi wake utajaa uongo na kujingiza kwa devoworshipers ili kupata mali zaidi na kujificha nyuma ya mungu mtapatikana tu na mwisho wemu utakuwa kilio.

  • @kamwinerhoda6304
    @kamwinerhoda6304 Рік тому

    😭😭😭oooh be blessed darling ❤

  • @SteveNyombo
    @SteveNyombo Рік тому +1

    Mubarikiweni toka congo

  • @bakarininian-ew7kb
    @bakarininian-ew7kb Рік тому +4

    Kiukweli huyo Binti Ni mnimbaji Kwanza anajiamini ,acheni kukatisha tamaa ,

  • @caroadera2134
    @caroadera2134 Рік тому

    Wooow 😮

  • @TunzoMtaita-bf1wx
    @TunzoMtaita-bf1wx Рік тому +2

    Mungu akutangulie kwenye safari yako ya muziki

  • @marthashenenga9076
    @marthashenenga9076 Рік тому

    Unasawabu kubwa sana kwa Mungu kakao Mond

  • @upendomaduhu1310
    @upendomaduhu1310 Рік тому +1

    Na mimi si nipate jaman sponsor nilipata ajar nikavunjika miguu yote na mikono yote na mapaja yote😭😭😭😭

    • @nixonjohnson4908
      @nixonjohnson4908 Рік тому

      Jitokeze jamani ..Mungu hakosi msaada wa kukupa wewe jitokeze kwenye vyombo vya habari tukujue misaada tutatoa

  • @michealMwanisawa-ci5ct
    @michealMwanisawa-ci5ct Рік тому

    Uko vizur bor

  • @estherwairimu8760
    @estherwairimu8760 Рік тому +6

    Niko hapa kenya but I know bibilia inasema hakuna siku ngiza nanuru zitachangamana hazitawai pelekana never and ever

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 Рік тому

      Kweli

    • @estherkariuki1779
      @estherkariuki1779 Рік тому +1

      Jesus came for the sinners. Jesus dwelt with SINA. Read your Bible from and understand the context. Think of this as the only opportunity to reach those secular artist. Why not do it

    • @nasrioriginele588
      @nasrioriginele588 Рік тому

      ​@@estherkariuki1779 Jesus came for all

  • @leonardtesha6540
    @leonardtesha6540 Рік тому

    Napata Raha hapaa si mmejua kunifurahisha

  • @damariskathurejulius8968
    @damariskathurejulius8968 Рік тому

    Pwahaa

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому +1

    Mungu akubariki diamond

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 Рік тому

    Ana tatizo la r & l.

  • @lilibabie5628
    @lilibabie5628 Рік тому +1

    Diamond aishi miaka mingi

  • @IreneMhoya
    @IreneMhoya Рік тому

    Mngu nimuweza wayot

  • @winnynangila9591
    @winnynangila9591 Рік тому

    Mungu achukue nafasi umushuhudie

  • @edithasimon2770
    @edithasimon2770 Рік тому +5

    Mungu azidi kukuinua na kila mapito mungu uwa anarusu akiwa na sababu zake

  • @ShamdayoShamdayo-lc5do
    @ShamdayoShamdayo-lc5do Рік тому

    inapendeza kuwa na roho iyoo

  • @giclifetv-lq8dn
    @giclifetv-lq8dn 8 місяців тому

    Kristina najua ujui mwito wa Mungu ila Mungu akusaidie kujua kusudi lake

  • @ابوكلنك
    @ابوكلنك Рік тому

    ❤❤❤

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @agnesmangale3163
    @agnesmangale3163 Рік тому +1

    Amen

  • @evergeorge3269
    @evergeorge3269 Рік тому

    Natamani ingekua bss wakaona hii sauti kama inamashiko,,, afanye mazoez

  • @peterjoseph8780
    @peterjoseph8780 Рік тому +1

    Eti "muheshimiwa stiiiv" mweee

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Рік тому

    Mimi naonadada yangu nguo inabana

  • @christinafrancis8452
    @christinafrancis8452 Рік тому +3

    Mmmh? Jaman mbona ata mm naimba Sana kuliko huuu ujinga

  • @saraahtz1773
    @saraahtz1773 Рік тому

    Nulu au Nuru jamani??? Nong'ale au ning'are??? Anyway unajitahidi !!

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 Рік тому +2

    Mungu yuko Pamoja nawe binti

  • @LazaKasindi-jx5dm
    @LazaKasindi-jx5dm Рік тому

    M Cristo
    Kama m cristo huwezi kuvaanguo Kama iyo unayo ivaa. Imekua nimitani tu nakutafuta pesa kupitia jina layesu

  • @NgomeYaUfalmeWaMungu
    @NgomeYaUfalmeWaMungu Рік тому

    Nuru na giza wapi nadhani hawa wote ni giza

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719

    Kiukwl hajui kuimba mm stak dhambi

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 Рік тому +1

    Mungemualika na zumaridi

  • @SuleSalim-oi5nu
    @SuleSalim-oi5nu Рік тому +1

    Mondi ndo maana unabarikiwa kwa moyo uliokua nao

  • @mikeniyokwizera3619
    @mikeniyokwizera3619 Рік тому +3

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🙏🙏🙏🤍🤍🤍🌹💪

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Рік тому

    Labda za waimbaji wengine pia

  • @abbygeorge8394
    @abbygeorge8394 Рік тому +12

    Hizo nguo fupi watu wanavaa mpk wanashindwa kuinama madhabahuni ayaa

    • @marksulle6120
      @marksulle6120 Рік тому +5

      Utajichelewesha ndg yangu ukiwa unatafta mapungufu ya watu ww jitaidi kuwa positive utakuwa salama ngoja nikusaidie kuna cku mtu mmoja alimwita Yesu mwema " Yesu akamwambia hakuna aliyemwema duniani" yani ukishaona mtu duniani bhas mapungufu ni kawaida mdg wang

    • @salumjrsaidjr7150
      @salumjrsaidjr7150 Рік тому +2

      Hakuna tofauti ya shetani na ibilisi George upo sahii?

    • @floraflora9490
      @floraflora9490 Рік тому +2

      Nguo jamani sio ya madhabahu haya , imeshika mwili hata kumchezea Mungu huwezi

    • @marksulle6120
      @marksulle6120 Рік тому

      @@abbygeorge8394tuangalie kwanza mapungufu yetu kabla tuone ya wengine ila nimekuelewa ndg upo maeneo gan

    • @MosesEnock-oq6zi
      @MosesEnock-oq6zi Рік тому

      Mliman cty kuna madhabahu siku hizi🤣🤣🤣

  • @salamasaidi6620
    @salamasaidi6620 Рік тому +1

    Umenifanya ning^aleeee....nulu😆😆😆😆😆

  • @NeemaCrifford-pe8bn
    @NeemaCrifford-pe8bn Рік тому

    Mung akujalie

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому

    Kabila gani huyu mrembo anaugonjwa wa ulimi kabisa penye r anaweka l na penye l ye anatia r bila hata chembe ya kushtuka yani

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 Рік тому

    Mnaficha maovu kwa kiinimacho cha injili msicheze ma akili za watanzania

  • @EuniterMumbua
    @EuniterMumbua Рік тому

    Gai 😂

  • @NIKASIANDELIKUSI
    @NIKASIANDELIKUSI 8 місяців тому

    Mungu akubaliki diamond

  • @ابوكلنك
    @ابوكلنك Рік тому

    ❤❤❤

  • @amosi798
    @amosi798 Рік тому

    Amen