🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 17 днів тому +1

    Masha'allah shuk'ran sheikh Diwani?.. dogo amezoea nilikua namkubali ila kwasasa potelea mbali.

  • @BimamuosmanOsman
    @BimamuosmanOsman 14 днів тому

    Mungu atamlani huyo inshaallah yarabi...

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 17 днів тому +1

    Harmonize nia yake ilikua ni kuchokoza waislamu, ingelikuwa bora kama angekwenda kanisani bila ya makamera kama kweli alitaka maombi ya Yesu, Mungu atamshinda Inshaallah kwa kujeruhi waislamu

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 17 днів тому +1

    Asalaam aleikum wa Rahmatullah wa barakatuh sheikh wangu ni kweli harmonize anaudhalilisha mwislam na wa islam

  • @BimamuosmanOsman
    @BimamuosmanOsman 14 днів тому

    Aslam alykum sheikh Sema kweli..na msema kweli ni mpendwa wa Allah kwa kweli... sheikh mkanye mara Tatu kama shahada, asipo kuelewa huyo ni miongoni wa shetani..wachana nae mpunzi mkubwa huyo...

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 17 днів тому

    Kweli kabisa Shekhe, Allah Barik

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 15 днів тому

    Watanzania mwalimu nyerere aliwajengea mifumo kushindwa kutafautisha dini kwahivo kuna wanao amini dini zote nisawa mara kuna mitume yajitokeza mara mana bii mara masharifu wamisukule

  • @AbuuSadiki-fv2md
    @AbuuSadiki-fv2md 16 днів тому

    Honqera.sanaaaaaaa.sheh

  • @AlfaSalimoAlfa
    @AlfaSalimoAlfa 17 днів тому +3

    Harmo siyo muisilam

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 17 днів тому +2

    Huyo ni kafiri siku nyingi sana hata akirudi kwa Mungu hakumsaidii kitu kwa sababu hana nia ndani ya moyo wake

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 16 днів тому

    Maustadhi wangu mnaongea ukweli lkn mtapata shida sana kwa mtu wa design hiyo. Kwa sababu alishaonekana tangu zamani ana kumkufuru h Muumba wake. Yaani huyo hata aombewe na nani hashtui. Anaonekana imani imemponyoka kabisa.

  • @thamani5842
    @thamani5842 17 днів тому +1

    Uyo uo ushamba wake na ulinbukeni wake unampelekesha,

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 15 днів тому

    Mbona na nyinyi mnauza dawa na uislamu mnautupa mnatetea mambo yakipuuzi sisi waislamu atuna majiyaupako waka mafuta yaupako nyinyi wote wanafiki

  • @Abdulshabani-nl8xk
    @Abdulshabani-nl8xk 17 днів тому

    Haya kishki atoke aseme neno kuhusu amonize kama.alivyo mwita.tapeli.mwizi nyaunyau je amonizi.atamwitaje

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 12 днів тому

    Wee mwenyewe Tapeli unawaibia watu huna lolotee

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 17 днів тому

    Waislam iman yao imeshuka sana hasa tz dini ya kiislam imekuwa movie tu

  • @AgnessMpanduka-l5g
    @AgnessMpanduka-l5g 13 днів тому

    Vitabu vyenu vimeandika Majini ndio yalisema Mungu hana Mwana wala hajazaa wala hafanani na kitu chochote baada ya kusilimu,kwahiyo mnafuata maneno ya Majini? Jiteteni nafsi zenu muacheni Mtu wa Mungu kashajua ukweli ameona akimbie kusali na Majini akasali na Malaika nyie endeleeni kuabudu na Majini.

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369 16 днів тому

    Odah

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 16 днів тому

    Musiumizwe vichwa na hilo kafiri hiyo siyo marayake ya kwaza kuzalilisha uslam lishalaniwa ni ngumusana kungeuka atayajuwa hapo atakapo rejea kwa Allah na amzihaki ataingiya kwenye 18 za Allah mshezitu malay mkubwa mnuka zinaa hatalikifa kwenye halihiyo halifai kuzikwa kislam hili nafikiri lili ahindi liletwe nduniani kuja kuharibu uslam nakupotowa watu

  • @rashidmexes3629
    @rashidmexes3629 16 днів тому

    DINI ZA WATU WEUPE ZITATUACHA HOI WATU WEUSI

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 17 днів тому

    Yani wasanii wakipiga pesa bila ya kuwashiliksha waislam kulanao wanakulani vibaya lakini ukijiita shalifu unakula na waislam hata ukiwa mwizi mshilikina maji ya uwongo hawasemi

    • @princematumbo
      @princematumbo 16 днів тому

      Kajifunze Kwanza kuongea,hata kuandika hujuwi

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 17 днів тому +1

    Harmo hajawahi kuwa muislam

  • @AbdulAzizAli-i6x
    @AbdulAzizAli-i6x 17 днів тому

    Mimi nauliza vp kwa muislam kuvaa msalaba shongoni inafaa? Naomba jibu le nu ndugu za guni waislam

    • @SheikaYussuf
      @SheikaYussuf 15 днів тому

      HAIFAIIIIII MUISLAMU KUVAA MSALABA WALA KWENDA KANISANI HUYO HAMO NA DIAMOND WAKE NI MAFREEMASONS WAMESHATOKA KTK UISLAMU

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 17 днів тому +2

    Yaani mtu akiimba miziki ya kidunia, kufanya uasherati anaendelea kuwa Mwislamu ila akiombewa tu na Mkristo anakuwa siyo Mwislamu 😂😂😂

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 17 днів тому

      😂😂😂 noma sana.

    • @Ismail-db5oj
      @Ismail-db5oj 17 днів тому

      Hayo yote umehesabu tyari ashatoka kwa dini

    • @josephmachange2024
      @josephmachange2024 17 днів тому

      Kivumbi mleu 😂😂

    • @princematumbo
      @princematumbo 16 днів тому

      Hata kama anaimba,msharati lakini kama hajamshirikisha Mungu, baado ni muislamu,ila kuingia kanisani kumuita yesu ni Mungu,dhambi kubwa kuliko kuimba

    • @islamicburundiantv
      @islamicburundiantv 13 днів тому

      Mziki ,usharatini,vyoote hivyo ni dhambi ila havikutowi katika uislam,tofauti na kuingia kanisani kuombewa kwa jina la yesu na sababu huko imani yao ni kwamba yesu mungu...hapo tayari umefanya shirki moja kwa moja umetoka katika uislam...!kwa hiyo usi compare mambo mawili tofauti

  • @jebace
    @jebace 17 днів тому

    Mbwa nyie wote wawili tena manguruwe

    • @princematumbo
      @princematumbo 16 днів тому

      Mbwa mamako,shenzi type nguruwe wewe na babako

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 17 днів тому

    Acheni kujifanya ninyi ni wema kuliko wengine, vipi madhehebu ya kikristo kumwombea kwa upendo raisi wetu je mtasema sio muislamu? Acheni ubaguzi, sisi tunao ndugu zetu. Wameslimi na wamefunga ndoa na tunao wajomba , waislamu. Mimi mwenyewe nimewanunulia kanzu na kuwasapoti wakiwa ktk mfungo mtukufu wa Ramadan , na hakuna shida yyt ya ubaguzi kwa nini kwenu iwe hivyo ee Mola tusaidie

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 17 днів тому

      Kila Imaan/Dini insutaratibu wake.
      Kuwa na Wajomba/Ndugu Waislamu ilhali wewe ni Mkristo (Kafiri) haina Maana eti Ukizifanya Ibada za Kiislamu (Kufunga Swaumu ya Ramadhan nk eti Unawasapiti Wajomba/Nduguzo) ni Kupoteza Muda wako tu/Kumdhihaki Mungu tu na Wala usitaraki Malipo Mema Kwa Mungu Bali taraji Adhabu Kali Kwa Mungu Kwa Kumkejeri Mungu.
      WaAllahu Aalamu.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 17 днів тому +1

      ​@@alhadajjmohammedsmith9042 Wewe pia ni tunakuona ni Kafiri Kwa upande wa Imani yetu!!

    • @MolavaTzMolavaTz
      @MolavaTzMolavaTz 17 днів тому

      Acha usenge nyinyi makafiri wakristo ni makafiri tu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 16 днів тому

      Teina wala hawatakua na pa kushika.

    • @princematumbo
      @princematumbo 16 днів тому

      Unaongea upumbavu mtupu

  • @josephmachange2024
    @josephmachange2024 17 днів тому

    Mondi hamumuoni?

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 17 днів тому

    acheni kutusha watuu hamna mbigu yakuwapeleka watuu kujifanya nyie ndio mkoo kwenye lanho lakuingilia mbinguni uwongo tuuu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 17 днів тому +3

      Wewe ya waislaam yanakuhusu nini fata ya kwenye upako yakutapeli watu yakwetu tuachie wenyewe

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 17 днів тому +1

      ​@@fatmafatu1128 😂😂😂 Hata masheikh wanaupako wanauza maji, majini, mafuta, Pete nao ni matapeli?😂😂😂

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 17 днів тому

    Harmonize ni kafiri kashakafirika kitambo tu