Rose Muhando Breaks Silence On Conning Allegations! Wakenya Wananipenda Sana❤️❤️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 194

  • @nyalinyali3409
    @nyalinyali3409 Рік тому +12

    ALI MUKWANWA unapotea,Wacha tamaa ya hela,Rose she's a legend..Mrudie Mungu kaka

  • @coachsethm.8271
    @coachsethm.8271 Рік тому +18

    This is what we call maturity. The power to FORGIVE

  • @chelagatchelaa8859
    @chelagatchelaa8859 Рік тому +16

    Rose you got a special place in heaven you sing perfectly God will protect you from them ❤️ you are a winner 🙏🥰🥰🥰❤️

  • @patrickmwiti9715
    @patrickmwiti9715 Рік тому +18

    Tunakupenda sana mama may you live long 🙏🙏

  • @florenceatenga4477
    @florenceatenga4477 Рік тому +6

    I love this lady plus her songs very very much, Rose will win all this worldly battles

  • @aggykilonzo7802
    @aggykilonzo7802 Рік тому +12

    WHATEVER IT IS...I LOVE ROSE MUHANDO REGARDLESS❤❤❤❤

  • @floraundisa3688
    @floraundisa3688 Рік тому +10

    Nakupenda rose, nyimbo zako zinanitia moyo🙏

  • @diveske1388
    @diveske1388 Рік тому +15

    We love Rose Muhando ❤

  • @AbelSM254
    @AbelSM254 11 місяців тому +1

    I feel that pain Rose Amepigwa vita but God you pray will fight your battle

  • @SamuelOpingoM
    @SamuelOpingoM 11 місяців тому +1

    Don't overbook meetings if you don't have to go

  • @NoraaEldaa
    @NoraaEldaa Рік тому +5

    Rose dear. Wacha wapite hao bwanaaa. Rose you are loved

  • @kennzain4487
    @kennzain4487 Рік тому +5

    I love you Rose.
    God bless you.
    You are our mum.

  • @JosphineChepkoech-j3r
    @JosphineChepkoech-j3r Рік тому +4

    rose barikiwa sana fuata sauti ya mungu❤❤❤❤❤

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Рік тому +1

    Kilicho teuliwa na Mungu sio Cha kuchukuliwa kama karatazi na kupeperushwa uku na kule, Rose ni mtumishi wa Mungu mteule, mtu akifikiri kuaribia Rose Jina atafute Sticker sababu hataenda through, Barikiwa sana Rose tunakupenda sana

  • @evemaina7718
    @evemaina7718 Рік тому +2

    We love you Rose.......Ali wa very wrong...Please Ali Mukhwana...we as Christians need not solve our problems in public....this is very ungodly.....Rose still remains malkia wa Gospel....the legend...Ali Mukhwana...needs to respect Rose....Ali ...peleka mama....polepole ni mkubwa wako....

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 Рік тому +2

    FORGIVENESS IS THE ONLY WAY TO PLIZ GOD..🎉Hongereni kwa kusamehewa 🎉🎉🎉

  • @michaelwarero6465
    @michaelwarero6465 Рік тому +3

    Your language is sweet we were told and we believe

  • @VictoriaMutua-tg1ck
    @VictoriaMutua-tg1ck 11 місяців тому +2

    Tunakupenda Sana mum❤❤❤,,,nyimbo zako zina mafunzo mengi

  • @emmymongina5420
    @emmymongina5420 Рік тому +3

    ❤❤❤Rose 🌹🌹 you are A star ✨✨✨ nobody can shut you down , it very bad to make false accusations 😮😮

  • @chitchat254
    @chitchat254 11 місяців тому +5

    Rose was booked for the seminar on 1st Nov, and she bailed out the last minute, by refunding the money on NOV 26. Leaving Ali to face the crowd alone, poor kid had to explain to an angry crowd why Rose wasn't in attendance 😢, you can feel his pain 😢. Rose needs to apologies to his fans for not showing up

  • @Faith.Kaluu97
    @Faith.Kaluu97 Рік тому +4

    We love you Rose stop explaining darling

  • @kipkorirjohnsigey4555
    @kipkorirjohnsigey4555 Рік тому +1

    Amen. Msamaha ni jambo la maana sana maishani mwetu. Mungu atubariki sisi wote.

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 11 місяців тому

    aisee Mungu atusaidie sana, kusamehe ni vizuri sana Bwana Yesu atusaidie

  • @FerdinadaWabois
    @FerdinadaWabois Рік тому +4

    Mimi kutetea Rose or Ali is a no coz each speaks innocently let God Judge.

  • @TABBYHEAVEN-kg1qo
    @TABBYHEAVEN-kg1qo Рік тому +2

    Mama Rose nakupenda sana❤Mungu azidi kukubariki🙏

  • @Dr.kiplimo
    @Dr.kiplimo Рік тому +52

    Rose is not a rose who we know 5yrs ago😢it seems she is sick inside or fight something the face show a lot even since her song secret agenda if you were kin you will notice,but we love you mummy ❤❤❤

    • @topistiaokello3088
      @topistiaokello3088 Рік тому +3

      I think it's also age,,despite everything she is passing thru

    • @isaaczaki8887
      @isaaczaki8887 Рік тому +2

      Don't judge

    • @LydiaLydia-iw6qt
      @LydiaLydia-iw6qt Рік тому +2

      Never judge d.a

    • @melchizedeknyarora2490
      @melchizedeknyarora2490 Рік тому +3

      Rose ni Mtumishi wa Mungu na hayo mengi watu Wanasema yatapita Ila neno LA Mungu litasimama. Kilauea mtu ajishughilishe na huduma yake. Blaming Rose ni vibaya. Heshima ni kits ya maana. Mungu ndiye huinua na Kutia mafuta. Msamaha ni jambo LA muhimu. Rose tunakupenda na Kenya ni Kwako. Na wa Bungoma tupendane tuheshimu karama za Mungu. Kanisa tupendane. Tuinuane. Amen

    • @emmymongina5420
      @emmymongina5420 Рік тому

      😮😮😮

  • @daisykiplangat4345
    @daisykiplangat4345 Рік тому +6

    The Lord shall expose all works of the enemy in Jesus name. Amen

    • @mzeeelkanahtv
      @mzeeelkanahtv 11 місяців тому

      I hope you are talking about the works of the enemy who is Ali

  • @claudiamole7216
    @claudiamole7216 Рік тому +1

    Kuishi kenya kwa penda moyo jamani 😭😭😭😭 pole mum❤❤❤❤

  • @sophiashaban5994
    @sophiashaban5994 Рік тому

    Pole sana mummy..wewe uko na huduma ya kutoka kwa Mungu mwenyewe sio kwa wanadamu

  • @josphatrakita
    @josphatrakita 11 місяців тому +1

    This is what rose muhando saw by far when she sang the song secret agenda.... this was the attack but we thank God for he's faithful

  • @danywekesa3482
    @danywekesa3482 Рік тому +1

    Rose God bless you.
    Ali Mukhwana Acha hasira!!!
    Acha kiburi . Your downfall is looming.

  • @sophiashaban5994
    @sophiashaban5994 Рік тому

    Rose muhando God bless you..utaishi Maisha mengi sana Mamaa

  • @mosesmbeke6137
    @mosesmbeke6137 11 місяців тому +1

    We love Rose, that is maturity

  • @lindauma982
    @lindauma982 Рік тому +2

    Hyo Ali muhwana awache kupiga Rose vita aki mbona hivyo watumishi mnafanya hivyo 😢😢😢😢

  • @alicenalulwe84
    @alicenalulwe84 11 місяців тому

    Utasimama,umesimama na u will continue standing mama,sry for everything my dear mama,I started listening to you since,nyota yako haiwezi potea hivo,I hear ur testimony from Anastasia Gakii,Mungu akulinde tu mama,it's well,thax for talking the truth

  • @aggybona7658
    @aggybona7658 Рік тому +3

    Mama Rose wasamehe kwa maana hawajui yale watendao YESU mwenyewe aliwasamehe

  • @teresaliruma4218
    @teresaliruma4218 Рік тому +3

    Kenyans we love you Rose

  • @EvansAmahwa-ri6ik
    @EvansAmahwa-ri6ik 11 місяців тому

    Who is not fighting something, this is a true woman of God,her battles are weightier,

  • @sharonwanyama2806
    @sharonwanyama2806 Рік тому +2

    Rose muhando hawezi fanya ivo , she's an ordained servant of God
    Si hata mjiulize kwa nini mungu alimuinua tena alipokuwa mgonjwa

  • @bropetersolomon3021
    @bropetersolomon3021 Рік тому +1

    I love you mom though your songs I got saved from Islam mom I had that clip of Ali nilikashirika sanah and it was on Sunday .but I told the church to pray for you

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Рік тому +3

    Haijalishi awe Mkenya awe wa TZ, Mimi Niko Kenya lakini Rose nampenda kama dada kama mama na nitazidi kumpenda adi mwisho wa maisha apa ulimwenguni😢

    • @bonniebaraka
      @bonniebaraka 11 місяців тому

      ok mimi niko TZ biblia inasema kipofu akiongoza kipofu wote .............................................

  • @MusaBenjamini
    @MusaBenjamini 11 місяців тому

    Wakenya wanapenda sana kuhalibia wahuduma majini piga kazi mama wanapenda sana kutangaza watu vibaya

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 Рік тому

    Love. Sister 🌹🇹🇿..
    Msamehe tyu Huyo Mchungaji huenda Ali vamiwa na Roho ya Nguvu ya Giza..🙏🏿🙏🏿..

  • @dansonrubucwa257
    @dansonrubucwa257 11 місяців тому +1

    Shinda kubwa na huku kenya ni we fight our own .😢

  • @DorothyAsava-qt4sl
    @DorothyAsava-qt4sl Рік тому +1

    God bless you rose. Never mind.

  • @mwangililian8963
    @mwangililian8963 Рік тому

    Welcome to kitale my home town mama yetu rose tunakupenda sana❤❤

  • @monicamwazala3669
    @monicamwazala3669 Рік тому

    Seeing my pastor Nathan maina and I'm happy

  • @THETHIRDTV_
    @THETHIRDTV_ Рік тому

    Dada Rose jmn ungeniita twende wote

  • @cyrushihu9056
    @cyrushihu9056 11 місяців тому +1

    Ipo siku nilichukua loan ndio ninunue vyakula kwa wageni nilio tarajia, nikaita marafiki na jirani ili tungoje wageni.....wolololo,😢.......sijawai pona, loan nalipa pole pole.

  • @elvistanui97
    @elvistanui97 Рік тому +6

    Sauti ilienda wapi rose😮😢

  • @gracemwema3644
    @gracemwema3644 Рік тому

    Rose mungu akuinue zaidi

  • @rensonpatrick5869
    @rensonpatrick5869 Рік тому +1

    And why you received money ukijua uko na programs zingine, who should forgive who? Kindly rose it's not fair to Bungoma people.

  • @BelindahJohns
    @BelindahJohns Рік тому +4

    Nakupenda Rose❤❤❤ mkutano ya chokaa ilikuwa moto🔥

  • @WinstoneMajale-h2g
    @WinstoneMajale-h2g Рік тому +1

    😢Ali anapenda hela sana zaidi kuliko huduma....na hilo ni wazi...

  • @PRINCEMAJONI
    @PRINCEMAJONI Рік тому +2

    Munifikishe 1000 subscribe na mungu awabariki sana ,

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Рік тому +3

    Acheni kumchafua mtu jmn
    Mtalia bila Kuchapwa

  • @JosphineChepkoech-j3r
    @JosphineChepkoech-j3r Рік тому +1

    God bless you rose 🙏🙏🙏

  • @VerahMwamburi5569
    @VerahMwamburi5569 Рік тому +6

    As a kenyan am dissapointed by ali mukhwana😢

    • @keziahluchisoi254
      @keziahluchisoi254 Рік тому

      Why

    • @VerahMwamburi5569
      @VerahMwamburi5569 Рік тому

      @iam_Fedha But you can see for yourself in this video that the parties involved have attested that whatever Ali mukhwana said wasn't true or which other evidence do you need apart from this huh???

    • @chitchat254
      @chitchat254 11 місяців тому

      ​@@VerahMwamburi5569Rose was booked for the seminar on 1st Nov, and she bailed out the last minute, by refunding the money on NOV 26. Leaving Ali to face the crowd alone, poor kid had to explain to an angry crowd why Rose wasn't in attendance 😢, you can feel his pain 😢. Rose needs to apologies to his fans for not showing up

  • @malukikangu8705
    @malukikangu8705 Рік тому

    collabo ya rose na annoint would be the best

  • @alicell2804
    @alicell2804 11 місяців тому

    Twakupenda sana mama 🌹

  • @ROSE-m1f4s
    @ROSE-m1f4s 11 місяців тому

    Shida rose wapenda pesa sana kuliko mungu

  • @chitchat254
    @chitchat254 11 місяців тому

    I see a dozen of people blinded by their love for Rose, truth be told Rose returned the money after the seminar was over. The date for the seminar was nov 24, she returned the money on Nov 26. Alibookiwa mkutano tarehe 1Nov, mbona aje kukataa kuhudhuria mkutano dakika za mwisho, hiyo nayo ni utapeli

  • @naanaa2775
    @naanaa2775 Рік тому

    Kioko is wise ame stop that crap .🙏

  • @ann1092
    @ann1092 11 місяців тому +1

    Rose needs time to relax. Rose you require a rest. Get a manager and PA to manage her dairy.

  • @SelinaNgele
    @SelinaNgele 11 місяців тому

    Kiboko wa mziki tangia mwaka wa elfu mbili na nne, funga mkanda injili iendelee mtu wangu umetoka mbali sana mengine yasikutishee,, hamna yeyote atakaesimamisha huduma yako labda Mungu pekee

  • @kanotiesther-fd5pn
    @kanotiesther-fd5pn 11 місяців тому

    Rose stand strong God is with you.. being a servant of God there's much criticism.. Even Jesus was rejected and accussed falsely

  • @shiro_lucy
    @shiro_lucy Рік тому

    Team strong team kioko tupite na likes na mnisupport pia

  • @nickkilo6884
    @nickkilo6884 Рік тому +3

    Rose all the way.....Aki ulichoma....how you went attacking mama Rose online was so wrong and unwise

  • @claudiamole7216
    @claudiamole7216 Рік тому

    Tunakupenda bure mum❤❤❤❤

  • @esthernjau4496
    @esthernjau4496 Рік тому

    Hajawai kosa mikutano,the host(PST.Maina) he's from my home town na Rose alikua anakuja Kwa hizo mikutano zote.

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 11 місяців тому

    Mama yetu malikia mungu awe na we

  • @michaelirungu3266
    @michaelirungu3266 Рік тому

    Rose worry not,sisi tunakupenda saana,wasamehe hao tunawajuwa.
    Rose na pastor murudi huku chokaa tunawajitaji saaana.tunawapenda ❤❤❤❤❤

  • @michaelwarero6465
    @michaelwarero6465 Рік тому +1

    Rose panga show Bungoma story ishee,

  • @stellakarambu7210
    @stellakarambu7210 11 місяців тому

    Yes Rose we love you as kenyan❤

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 Рік тому +3

    Tunakupenda Mama achana na fake Pastors Wa Kenya

  • @gladysbenson3943
    @gladysbenson3943 11 місяців тому

    Christians let's take care of each other. Be your brother's/sister's keeper.

  • @VerahMwamburi5569
    @VerahMwamburi5569 Рік тому +1

    Her face is red❤

  • @chezariboy
    @chezariboy 11 місяців тому

    Naamini wote wana kitu kimejificha (ali na rose) hats rose hataki kukiweka wazi Mungu knows,

  • @josphatwambuasikuku9142
    @josphatwambuasikuku9142 Рік тому

    Tanzanians really have impeccable swahili.

  • @munyokimakau.
    @munyokimakau. Рік тому +3

    Si mnifikishe 1,000 haki? I beg you in the name of God

  • @victormbagga1821
    @victormbagga1821 11 місяців тому

    Kwanza kila mmoja na neema yake ivyo huwe mfananisha rose na mwingine hata ukimchafua still mahusiano yake na Mungu yako vema anaelewa nafas yake tulize sisi dada rose tunamjua tangu wadogo...amekuwa wa baraka...uyo sio wa mchezo anaongozwa. Na roho..na ukija kibiashara kwa huduma yake ndio changamoto kama .ukienenda kwa hekima na roho. Mtakatifu akuongoze hakika atakusikia hata bure. anakuja uyo dada .pili sio mropokaji Rose...so kama njama za kumshusha kwa kugawanya waimbaji kamwe hashuki kaitwa Na Mungu .....ivyo Muache. ana ushuhuda wa kutosha....tunamueshimu mno..nikushaur weng kwanza wakimuitaj Dada Rose humfata live kwa heshima zaidi ...

  • @Abdiazizmoha567
    @Abdiazizmoha567 Рік тому

    Im amuslim na napenda Ross muhando kwanza ile wimbo wa "Utamu wa Yesu"

  • @tekmom375
    @tekmom375 Рік тому

    Pole Rose Muhando

  • @julianakallinga4970
    @julianakallinga4970 11 місяців тому

    Ninyi ni watumishi wa Mungu mitandao isitumike kumbomoa yeyote kati yenu. Hakuna aliyefanikiwa kwa kumharibia mwingine. Pataneni kwa faragha penye tofauti. Mjue kama watumishi wa Mungu, vita vyenu ni vikubwa, msimpe nafasi ibilisi. Wakati mwingine kunyamaza ni hekima zaidi. Kuna watumishi waliowatangulia wanatuhumiwa kwenye mambo ya ajabu sometimes lakini akijua si kweli ananyamaza ukweli utajulikana baadaye hata kama ni kwa kuchelewa. Tunaomba msiendelee kuzungumzia hilo ili muendelee na utumishi mlioitiwa. Msijicheleweshe kihuduma. Naogopa usikute kuna huduma ya mtu inatafutwa hapo. Naomba kati yenu msitishe hayo mazungumzo na Mungu atawabariki.

  • @rensonpatrick5869
    @rensonpatrick5869 Рік тому

    Is it necessary rose to... In kenya, do we have no artist in kenya, Pastors lets love our own.

  • @truelightholycrossministry5474
    @truelightholycrossministry5474 11 місяців тому

    Rose dada yangu jipe moyo, vita juu yako vinainuka sababu Shetani hafurahi kuona vile Mungu amekuinua, hivyo anatumia watu tofauti ili kuvunja huduma yako na ukate tamaa, mbinu kubwa anayo tumia ni kuhakikisha anakuchafua ili ukose kibali kwa watu.

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin 11 місяців тому

    Kaa huko huko Kenya ,,, watz hatumtaki

  • @rehlkeysofficial
    @rehlkeysofficial 11 місяців тому

    Didn't know HUDUMA pia ina wivu😢

  • @emes602
    @emes602 11 місяців тому

    Rose muhando bhana anajua kujitetea kwa upole utazan kwei 😅😅😅

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 11 місяців тому

    Rose jitafakari migogoro sio mizuri. Kama umesingiziwa muache mungu atende

  • @raychelleinjete4024
    @raychelleinjete4024 Рік тому +3

    Wow! I was defending Rose without hearing her side but the aalo guy sounded so ungodly. There was something strange the way he was attacking Rose in a malicious way. Like he was trying to spoil her name

    • @chitchat254
      @chitchat254 11 місяців тому

      Rose alirudisha pesa dakika za mwisho, UpTo last minute fans wake walidhani kwamba yuaja

    • @raychelleinjete4024
      @raychelleinjete4024 11 місяців тому

      @@chitchat254Ok. Rose says she returned the 50k before the event. Why dont you look for the mpesa message and post it so we see who between the two is lying and who is telling the truth.

    • @thekessupian4739
      @thekessupian4739 11 місяців тому

      ​@@chitchat254 it's not about refunding the money, it's the cause of refunding. If I were rose I would have done the same, and don't talk about the boil.

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Рік тому

    Astaghafirillah eti nini mtoto wa mungu mungu anazaa😭😭 ,,sisi ni viumbe vya mungu

  • @bibliakweliyaduniayote1137
    @bibliakweliyaduniayote1137 Рік тому

    Nyinyi makafiri na watabeli wa injili rose akiwa mkubwa wao

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Рік тому

    Woi pole sana mama😢

  • @grace735
    @grace735 Рік тому

    I love rose muhando

  • @samuelomondi4109
    @samuelomondi4109 11 місяців тому

    Love you Rose

  • @faith5935
    @faith5935 Рік тому +1

    Kwani sauti ilienda wapi rose

  • @sophiashaban5994
    @sophiashaban5994 Рік тому

    Rose wewe ni mtumishi kwa ukweli

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 11 місяців тому

    Rose must be very careful and come back to God... Ali alisema 50k si 200k was the total but u request 50k simple and clear

  • @justinmoshi7679
    @justinmoshi7679 11 місяців тому

    hata wakimusema vibaya rose mhando bado tutampenda halafu huyojamaa anaesema ametapeliwa yeyetu anaonekana ni tapeli rose hawezi kuwa tapeli