@@thel-rdiscomingamen5407 Jealous.. hauna baba wa kiroho duniani?? poleee... I have one, major ..prophet of my life.. only Dad under the sun DAVID RICHARD and am proudly..nitolee mapepo yako
@@annamsombe there's no need to argue about spiritual matters, if you strongly believe that someone else other than God is your father, it's up to you.. Or if you don't believe the words of Jesus " don't call anyone one your father other than God" it's up to you. But for me I believe anyone who does the will of my Father in heaven is my brother, my sister, my mother NOT my father!!!
@@thel-rdiscomingamen5407 Saaa unaumia nini na believing za wengine km wewe hauamini hvyo 🤣. mbona sijakuingilia ktk kuamini kwako. fanya yako mwana wa Mungu. actually karibu Angles of God linaloongozwa na baba yangu Prophet David Richard.
Thanks kwa kumuita kwenye kipindi our Prophet David Richard.nimebahatika kwenda kwenye huduma yake nilipokuja DSM hakika Mungu ni wa ajabu Sana.ilimchukua muda mchache Sana Sana kuona changamoto moto zangu katika Roho na ndio Jambo nilikua ninaomba litokee hata kabla sijafika .Mungu akubariki wewe brother uendelee kutumika katika huduma hii ya kutufahamisha kwa habari ya watumishi wa Mungu.
Kuhanimusa, prophetdavidrichard,chiefprophetsuguye,prophetrolinga,these guys are real ambassadors of heaven, vita am the son of kuhanimusa, Bado mtafteni bishopelibarikisumbe, apostlemtalemwabishiri,mwakasege,bm maziwa, prophetjacksonibrahim, ili familia ya KINABII IONGEZEKE
Tukubali kuwa na Roho mtakatifu naye atatufunulia yaliyojificha. Ya gizani na ya nuruni. In totally siwez kuhukumu nisije kuhukumiwa. Ifikie hatua linalo kufaa kujifunza kwako na ambalo liko kinyume nawe. Tupa huko kwenye dustbin. Mungu awarik wote watoto wa Mungu wa Roho Na Kweli
There's no need to argue about spiritual matters, if you strongly believe that someone else other than God is your father, it's up to you.. Or if you don't believe the words of Jesus " don't call anyone one your father other than God" it's up to you. But for me I believe anyone who does the will of my Father in heaven is my brother, my sister, my mother NOT my father!!!
@@paschaldavidrichard2672 Even Paul is speaking of father as someone who through him you believe the gospel, to just someone you find when you are already saved. 1 Corinthians 4:15, KJV: For though ye have ten thousand instructors in Christ, yet have ye not many fathers: for in Christ Jesus I have begotten you through the gospel But Jesus Christ Himself said "And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven." Matthew 23:9
Anko Jimmy, huyu bwana ni tapeli na network yake ya matapeli kama matapeli wengine. Watumishi wa Mungu wanaolala kwenye 5 stars na mabaunsa wa kumlinda ni mambo ya kidunia. Ufalme wa Mungu wetu haupo hivyo. Acheni mambo haya. Uko Tanzania alafu baba yako wa kiroho Zimbwabwe. Doesn’t make sense. Hebu msiwapotoshe watu walioumbwa na Mungu na Yesu kuwafia
@@Churchofecclesia sina haja ya kukujibu swali lako. Kasome biblia itakupa majibu namna watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa. Sio Yesu, wala Petro, wala Paulo wala Yohana aliyekuwa analindwa na mabodigadi na kuishi maisha ya luxury wakati waumini wanatabu na hawana uhakika wa mlo wa siku. Kasome biblia yako ina maelekezo yote ya namna ya kiwajua watumishi wa Mungu wa kweli na wasio wa kweli.
Unaitaji kwenda kwenye television zingene Baba hili watu waokombolewe in Jesus Name.🙏🇭🇲🇹🇿God Bless you Papa
Our Dad, My father my father.... Hekima hii Mungu azidi kukuinua sana. .
Call ni no man your father on earth, your father is in heaven, at least if your Father Yahwe
@@thel-rdiscomingamen5407 Jealous.. hauna baba wa kiroho duniani?? poleee... I have one, major ..prophet of my life.. only Dad under the sun DAVID RICHARD and am proudly..nitolee mapepo yako
@@annamsombe there's no need to argue about spiritual matters, if you strongly believe that someone else other than God is your father, it's up to you..
Or if you don't believe the words of Jesus " don't call anyone one your father other than God" it's up to you.
But for me I believe anyone who does the will of my Father in heaven is my brother, my sister, my mother NOT my father!!!
@@thel-rdiscomingamen5407 Saaa unaumia nini na believing za wengine km wewe hauamini hvyo 🤣. mbona sijakuingilia ktk kuamini kwako. fanya yako mwana wa Mungu. actually karibu Angles of God linaloongozwa na baba yangu Prophet David Richard.
But cjaona Kosa la The Lord is coming kaongelea juu ya maandiko but suala la Imani hakuna anayekuzuia kusimamia kile unachoamini mpendwa
Zipromasakatiayanta zeita
Thats my dad .. I'm blessed
UMEONGEA MANENO MAZURI SANA KIJANA. UMEMUONA MUNGU KWENYE UJANA WAKO. SAFI SANA.
Waooo nimefurahi Kama unaurafiki namy spiritual father Clear Malisa
Thanks kwa kumuita kwenye kipindi our Prophet David Richard.nimebahatika kwenda kwenye huduma yake nilipokuja DSM hakika Mungu ni wa ajabu Sana.ilimchukua muda mchache Sana Sana kuona changamoto moto zangu katika Roho na ndio Jambo nilikua ninaomba litokee hata kabla sijafika .Mungu akubariki wewe brother uendelee kutumika katika huduma hii ya kutufahamisha kwa habari ya watumishi wa Mungu.
Safi sana kijana fanya kazi ya yesu usiangalie nyuma
I really love my Man of God Prophet David Richard. He is very Composed, He loves Jesus its Obvious. Thabk you God for giving us this Blessing.
Papaa love You to much mungu azidi kukupa nguvu iliuweza kuenza habari njema ya Yesu,Barikiwa sana
Nimekufatilia una kitu Yesu akuinue zidi kumpenda Mungu
Kuhanimusa, prophetdavidrichard,chiefprophetsuguye,prophetrolinga,these guys are real ambassadors of heaven, vita am the son of kuhanimusa, Bado mtafteni bishopelibarikisumbe, apostlemtalemwabishiri,mwakasege,bm maziwa, prophetjacksonibrahim, ili familia ya KINABII IONGEZEKE
Suguye yule wa maagizo ya nywele za kichogoni na utosini kwenye kitambaa?
Finally,
God has shown me a way to my destiny. May God raise prophet David Richard to open our eyes to see as God sees. Amen...
Maneno ya hekima sana ubarikiwe mtumishi
I'm blessing
Kanisa liko sehemu gan mtumishi wa Mungu
Mbezi beach, tanki bovu stand.. near primrose hall.
Mtume kweli kabisa maan wew haupo kusifia huduma yak bt unamshaur mtu atafute kasina rilo simama kiroo
One day I will meet you my friend farther God bless you
May God continue to use you!!!!!
Mungu akuinue zaidi Nabii wa Bwana.....nakupenda bure
My Father my Father 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤🙏🙏. Wooooooooow we love you Papa
Umeni inspire sanaa aisee
Thanks Jesus Kwa Rehema za Bwana
Thank you Jesus for this prophet in our country
Mungu azidi kukuinua prophet and be blessed alot
Amen more blessing🎉
Amen ur history is like mine...my God bless you
My father wow am proud of you
Exactly 💯 Hekima Baba
My father my pattern 🔥
KWA TANZANIA BADO SIJAONA NABII WA KWELI
YOELI 2:28,,,,,,,,BE BLESSED PROPHET RICHARD.
Amen. Amen. True Papa. Well spoken.
am happy for this interview 🙏🙏
God bless You
God Bless You Papaaa🙏🏻
Papaa ❤️
Kama Mimi Eliya Nabii na Baba yangu Prophet David Richard hakika Nina Baba yangu Mimi kabisa 🇹🇿💌🇮🇱🙌🌹
My Dady my father my Papaaa ayaaaaaaa
Mtangazaji Naomba mamba yako
My father my father
My father family Jesus is Lord
Samuel alikua na umri mdogo watu wasijihoji sana na hii yoel 2:28 states,
Kanisa liko sehemu gan mtumishi
I love you daddy
Me I have you
My mentor
Tukubali kuwa na Roho mtakatifu naye atatufunulia yaliyojificha. Ya gizani na ya nuruni. In totally siwez kuhukumu nisije kuhukumiwa. Ifikie hatua linalo kufaa kujifunza kwako na ambalo liko kinyume nawe. Tupa huko kwenye dustbin. Mungu awarik wote watoto wa Mungu wa Roho
Na Kweli
asante
Hii dunia hii haya bhana ngoja tusubilie tuone huko mbele
Kwa namna anavyojibu, Nadiriki kusema, Prophet David Richard ana high IQ. He's indeed genius
Na kwa mtu ambae hayupo kiroho kukuelew itakua ngumu san
HUYU MTU WA MUNGU NINAMPENDA SANA NI MTU MWENYE HEKIMA ,MUNGU AZIDI KUKUTUMIA KWAAJILI YA UTUKUFU WAKE ,
Hamna kitu hapo uzinguaji2
David richard
Nimebarikiwa sana babangu
There's no need to argue about spiritual matters, if you strongly believe that someone else other than God is your father, it's up to you..
Or if you don't believe the words of Jesus " don't call anyone one your father other than God" it's up to you.
But for me I believe anyone who does the will of my Father in heaven is my brother, my sister, my mother NOT my father!!!
So you don't have spiritual father????
@@paschaldavidrichard2672 Even Paul is speaking of father as someone who through him you believe the gospel, to just someone you find when you are already saved.
1 Corinthians 4:15, KJV: For though ye have ten thousand instructors in Christ, yet have ye not many fathers: for in Christ Jesus I have begotten you through the gospel
But Jesus Christ Himself said
"And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven." Matthew 23:9
@@thel-rdiscomingamen5407 My Friend, let me end coz I can answer you , but u will understand me, have good moments.
Both the interviewer and the interviewee sound silly.
Mtume nimpend San kaur yako kuwa Tanzania ina manabii wa wawil kwel kabisa walio baki kam uko kiroo huwez kuwaelew
Umeoa acha uongo mbona ulikuja na mke wako Arusha mianzini tukakutegemeza mwongo mkubwa umeoa.
Alimtambulisha kuwa ni mke wake au alikuja naye tu kama mtu wa karibu naye?
Anko Jimmy, huyu bwana ni tapeli na network yake ya matapeli kama matapeli wengine. Watumishi wa Mungu wanaolala kwenye 5 stars na mabaunsa wa kumlinda ni mambo ya kidunia. Ufalme wa Mungu wetu haupo hivyo. Acheni mambo haya.
Uko Tanzania alafu baba yako wa kiroho Zimbwabwe. Doesn’t make sense. Hebu msiwapotoshe watu walioumbwa na Mungu na Yesu kuwafia
Umelogwa wewe
Wewe unataka mtumish aweje ?
@@Churchofecclesia sina haja ya kukujibu swali lako. Kasome biblia itakupa majibu namna watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa. Sio Yesu, wala Petro, wala Paulo wala Yohana aliyekuwa analindwa na mabodigadi na kuishi maisha ya luxury wakati waumini wanatabu na hawana uhakika wa mlo wa siku.
Kasome biblia yako ina maelekezo yote ya namna ya kiwajua watumishi wa Mungu wa kweli na wasio wa kweli.
Kama hujuii uliza... Shuhudia kwa macho yako don't listen to stories..
Be blessed
@@arnoldsguba. sawa ndugu. Nisamehe na endeleeni.
Wacheni janja janja hapa hakuna prophet....tangu lini baba wa kiroho akawa zimbabwe no wonder wajinga wasioelewa watasapoti tunawafahamu sana
Wewe ndo mjinga number moja open your eyes
My Father ❤️❤️❤️ @prophetdavidrichard
God bless you