MWAKATOBE APEWA KICHAPO NA CLAM VEVO, UTAPENDA MAJIBU YEKE, SNAKE BOY NI MOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 199

  • @mmnn3579
    @mmnn3579 Рік тому +7

    Mwakatobe 🎉🎉anajua kbx MUNGU awabariki sana movie yenu❤❤❤❤❤❤from burundi muangalie mtupe numbers 4

  • @ZakariaMbilinyi-js1yi
    @ZakariaMbilinyi-js1yi 5 місяців тому +2

    Mungu awafanikishe tena awalinde na kuwatunza. Mimi namkubali sana Clam, Mwakatobe na washiriki wote kwani movie zao zinavutia sana. Clam asimwache Mwakatobe huyu ni binge la burudani na ni wachache sana wanaweza kumsema vizuri boss. Hadi nimetamani na Mimi nikajifunze. So ❤❤❤❤❤❤ly. Big up to all. Mungu azidi kutenda sawa na uhitaji wa mioyo yao.

  • @happyqueenf
    @happyqueenf Рік тому +22

    Watu kama Clam Mungu awezikosa kuwapa baraka ameanza movie juzitu ila Barak anzopata nizaidi ya wale waliyo kitambo Congratulations Clam mtu anavyo towa ndivyo gisi Barak zina ongezeka acha kuskiliza wanao kusema vibaya huu niwivu maana kunakitu unacho wazidi

  • @ankojuma1714
    @ankojuma1714 4 місяці тому +1

    Kila la kheri clam nakupenda sana dogo hasa hiyo roho yako alie kujaalia Mwenyezi mungu endelea hivyo hivyo utakuja kuwa mtu mkubwa sana siku za usoni God bless you

  • @xtra100
    @xtra100 Рік тому +14

    Clam he is the beast..and the best kwa sasa... he's ready to go extra miles kwenye jambo lake...more flowers for him

  • @johnakumba
    @johnakumba 9 місяців тому +4

    infact napenda sanaa snake boy waiting for episode 17

  • @IreenMalanga
    @IreenMalanga 9 місяців тому +4

    Aaaah upo vizur sana mwakatobe ❤

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 10 місяців тому +6

    Mwakatobe the best 😘😘❤ unanipaga rahaa sana

  • @CloudiAdauti
    @CloudiAdauti Рік тому +8

    Mwakatobe anajua sana yani kunakipande nakiludia sana pale anapo mwambia bonge amekula mtoto mchanga ata kuwapa wenzie vikolodan

  • @kelvinbinda8767
    @kelvinbinda8767 Рік тому +9

    Cram kunamda nilikuwA namchukulia pw sna Ila nimegundua WWE ni bonge la jiniazi nampenda mnoooo,🖤

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Рік тому +53

    Kumbe hio ndio sauti yako halisi we mchumba chojo kaa mwiko😂😂😂 kanyanyuka kama ushuziii😂😂😂😂😢😢😢😢

  • @MalobapapinNyonganyi
    @MalobapapinNyonganyi 8 місяців тому +1

    Mwakatobe weye kweli unajuwa sana clam Vevo pole kwaku tubebeya uyu mutu mwakatobe kutusaidiya kutuchekesha kila siku

  • @kongauseni9443
    @kongauseni9443 Рік тому +15

    Nakupenda sana mwakatobe 🇨🇩

  • @capiobed8743
    @capiobed8743 9 місяців тому

    from Kenya ,,,mchawi Mwakatobe ndiye bora ,,,,,,,,he is the best actor staying by his role very properly

  • @KhondeMichael
    @KhondeMichael Рік тому +10

    Mwakatobe usipo act kama mchawi kuwa mganga hapo huwa wanivunja mbavu "mikazo zero"😂😂😂

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 3 місяці тому +1

    Raha yankuigiza nikutumia sauti yako mashallah mwakatobe anatumia sauti yake naataenda bali kwasababu hakuna cha kubadilisha

  • @sharllynekibiti7971
    @sharllynekibiti7971 11 місяців тому +5

    Nakubali kazi yako mwakatobe ❤

  • @CcbaNorthrock
    @CcbaNorthrock Рік тому +3

    Mm nko Kenya lkn nawapenda Sana mungu awabariki kwa kazi yenu kisha tunasubiri snake biy 4

  • @Anna-g7d9m
    @Anna-g7d9m Рік тому +15

    Jamani tunakubali kazi zenu 🇺🇸

  • @UntouchablePapi-bx5sh
    @UntouchablePapi-bx5sh Рік тому +2

    Clam vevo snake boy party 4tunaisubiria big up sanaa Kaka huna baya KAZI nzuri mungu akutangulie💯

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 3 місяці тому +1

    Mungu amuongoze clam in sha Allah apate rizik ya kheri na mafanikio mema

  • @baracksylivester4209
    @baracksylivester4209 11 місяців тому +1

    Jamaa yupo really sanaaa hana uongo uongoo ata kidogo namkubali sanaaa afu mstaarabu kinoma 💯

  • @fabianlucas3594
    @fabianlucas3594 Рік тому +1

    Mwakatobe, clam na kipara. Mnafanya kazi nzuri.

  • @hassanprince..873
    @hassanprince..873 Рік тому +2

    Mwakatobe yuko fity namkubali sna uyo mwamba💥☝️big up broo👊

  • @ericksoncb
    @ericksoncb Рік тому +2

    Umefanya vizuri baba,sisi wa congo tunakukubali mwakatobe mcumba

  • @lucaskapongo2303
    @lucaskapongo2303 4 місяці тому

    We bwege kumbe umenichezea chezo eeeh from baba mwenye nyumba mchawi star mwakatobe nakubali kazi zako kaka

  • @ZackyFlavour
    @ZackyFlavour Рік тому +3

    Nakukubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwakatobe ❤❤❤❤❤❤

  • @EliasiSirocha
    @EliasiSirocha 10 місяців тому +1

    Mwakatobe hakikaaaa unakipajiii kikubwa sana kwenye upande wa kiigiza kama mchawiii

  • @LuckyMtamarsComedy
    @LuckyMtamarsComedy Рік тому +18

    In Real life Mwakatobe ana sauti mbaya Ila kwenye Movie sauti ipo Sawa 😅

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 Рік тому +3

    Kaa hukohuko kwenye uchawi na uganga tunaenjoy sanaaa Mr we Zuchuuuu tuuu mchumba tuuuuu😂😂😂😂😂❤

  • @kukoumwamiyesuankundandama4785

    nipo hapa Rwanda nakupenda sana❤❤❤

  • @soudothmanmuhammed2553
    @soudothmanmuhammed2553 10 місяців тому +1

    Duu kawaida mwakatobe anaonesha yukompole sana hongera sana kk🇨🇦

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +2

    Ilove you so much mwakatope uzidi kubarikiwa❤❤🎉

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 Рік тому +4

    Mwakatobe ameongea point sana aisee

  • @JustusKitili-qh7ex
    @JustusKitili-qh7ex Рік тому +2

    Nan amejua hyo blouse ya hyo mwanadada n hle ya clam vevo 😂😂😂😂😂 kudos to mwakachumbe

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 10 місяців тому +2

    Ntiba uyoo mbaya sana anauwa

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +2

    Alafu binti upo vizuri ktk utangazaje. Ombi langu jitahidi tu katika kutofautisha L na R

  • @BennycrisantoAugusto
    @BennycrisantoAugusto Рік тому +2

    Kana auna mchuba Nipo apa msubigi nakupeda sana ❤❤❤❤❤❤

  • @SIRIWANJEHAPA
    @SIRIWANJEHAPA Рік тому +3

    Nipo hapa Marekani Nakukubali Sana mwakatobe

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 10 місяців тому +1

    Mwakatobe kumbe mpole sana

  • @RehemaMbunju-i4h
    @RehemaMbunju-i4h Рік тому +6

    Nawakubali team nzima ya Clam VEVO ❤❤

  • @rosey4551
    @rosey4551 Рік тому +2

    Mwakatombe sauti zuri kweli hongera

  • @ZahraAlrashdi-p5x
    @ZahraAlrashdi-p5x 4 місяці тому

    Mwakatobi napenda film ukkiwepo wewe ❤

  • @alexanton9183
    @alexanton9183 Рік тому +2

    Mwakatobe yuko vizur big up kwake

  • @LehemaLehema-v3y
    @LehemaLehema-v3y Рік тому +3

    Chukuamauwa yako mwakatobe💮💮💮💮💮🌹🥀

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi Рік тому +4

    Mwakatobe ni hatari sana.Ninakukubari sana.

  • @san__0073
    @san__0073 Рік тому +2

    Mbona mwakatobe mnamuonea sana

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 11 місяців тому +1

    Mwakatobe wanakusema unapenda marusii sana

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl Рік тому +4

    MWAKATOBE ANAJUA SANAAAAA
    MAANA DUH HATARI SANA

  • @youngblack3203
    @youngblack3203 9 місяців тому

    Hamna wewe mwakatobe ni mchawi kweli usitudanganye macho hayo Bay top one

  • @MadizoComedy
    @MadizoComedy 10 місяців тому +1

    Nakubar makatobe mwanang

  • @eljminos6428
    @eljminos6428 Рік тому +4

    Mimi nakupenda wewe Dada mtangazaji ❤ From Congo RDC

  • @esthercharles6118
    @esthercharles6118 Рік тому

    Waao nampenda sana clam vevo ...na mwakatobe kumbe sauti ndio hiyo ..ety we mchumba tu.....

  • @OfficeClementOfficeClement
    @OfficeClementOfficeClement Рік тому +2

    Mwakatobe nakukubali sana

  • @FelistersMusyoki
    @FelistersMusyoki 9 місяців тому

    Mwakatobe na kundi yako ya clam vevo na akina kipara kazi yenu nzuri kuna ingine baada ya snake boy kukamilika

  • @BoboJafary
    @BoboJafary Рік тому +2

    DA ah, mwakatobe ni fundi kbs, wewe unastaili izo skejo

  • @DjShalom-uw6sk
    @DjShalom-uw6sk 6 місяців тому

    Wow uyu mzee namkubali sana 😂😂😂😂😂 utacheka mbaka uchoke

  • @SALEHKK864
    @SALEHKK864 Рік тому +2

    Mwakatobe tupo na wewe kutoka south Africa

  • @especherathuman2693
    @especherathuman2693 9 місяців тому

    Kaa huko huko kweny uchaw na uganga❤❤❤❤❤

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +3

    Mwakatobe dah huyu ni nomaaa yupo sawa namkubali sanaa. Anajua sanaaa

  • @thomasgetate5440
    @thomasgetate5440 11 місяців тому

    I am happy witching you from NAIROBI KENYA we zuchu tu😮

  • @fakhichapozoyusuph295
    @fakhichapozoyusuph295 11 місяців тому +1

    Mwakatobe anajua kiukweli

  • @BennycrisantoAugusto
    @BennycrisantoAugusto Рік тому +1

    Unafaha vizuri sana mwakatobe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Joscoman
    @Joscoman 2 місяці тому

    Hata mimi mwenyewe namu kubali Vevo japo kuwa hatupo inchi moja, Mbengo, muambiye Vevo asiwe na chelewa ku post, piya muambiyeni mashabiki zake twamu penda sana kutoka DRC, 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @BiashazambaraZushybby
    @BiashazambaraZushybby Рік тому +3

    MWakatobe❤❤

  • @bakarmpilyzegreat
    @bakarmpilyzegreat Рік тому +2

    we zuchu 2 saut mzur kama dada yako

  • @lucybundu
    @lucybundu 11 місяців тому +2

    Kwanini kibao wakati mtu ameshajibu khaaa

  • @starshathomas1287
    @starshathomas1287 Рік тому +2

    Nakubaliana nanyny

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 Рік тому +2

    Nakukubali mwamba

  • @annaki318
    @annaki318 Рік тому +6

    Tukunyema acha urohoo😂😂😂

    • @paustephano
      @paustephano Рік тому

      😂😂😂😂😂 naikumbuka hiyo

    • @charles_miller1
      @charles_miller1 Рік тому +1

      😂😂😂 umekula mtoto mchanga peke yako bila hata kuwapa wenzako vikorodani 😅

    • @paustephano
      @paustephano Рік тому

      😂😂😂😂

  • @modestaulambale606
    @modestaulambale606 Рік тому +1

    NAWAKUBARII SANAA, SANA!! SANA ILA TUNAOMBA MUENDELEZO WA BIG IS, TUNAOMBA MUENDELEZO ILE KALI SANA PIA MUONGEEE SPEED YA KUTOWA VIPANDE KIMOJA NA KINGINE

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Рік тому +1

    Mbona dada maswali meng mchawi inamana hujiongez kuwa kila m2 anaonekana kulingana na character ambayo m2 anawezana nayo,, ila we mwakatobe piga Kaz brother una talent ya kipaji sana ila me napendaga sehemu amabayo unachekaxha mana unafrahxha

  • @RahmaJuma-jp5zc
    @RahmaJuma-jp5zc Рік тому +2

    😂😂😂ila saut yake haijabadilika🤣🤣🤣

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha Місяць тому

    Anaeza sana m,p Martin paul

  • @FekiHappy
    @FekiHappy Рік тому

    Nampenda sana tobe naangalia toka Usa

  • @JuniorSolgier
    @JuniorSolgier 5 місяців тому

    Mwakatobe ni mnoma kwa kuigiza/ sector ya uganga/uchawi

  • @salumkisoma1793
    @salumkisoma1793 Рік тому +1

    From USA nakukubar sn kijana

  • @dicksonedward246
    @dicksonedward246 11 місяців тому

    host anazingua sanna mara achati hayuko seriously na kazi akeee

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 Рік тому +4

    Utowaji wenu wa vipande unaboa lifanyieni kazi hilo

  • @abedieugenembuto6055
    @abedieugenembuto6055 Рік тому +1

    Mwakatobe mkali huyo

  • @ZenuuStationary
    @ZenuuStationary Рік тому +1

    Hahahhahahaa mwakatobe kufa ufi chamoto unakiona kwenye big boc umeteseka huku nako unateseka hahahhahahaa

  • @official2kbill650
    @official2kbill650 11 місяців тому +1

    We zuchu tu ntakunyonga mpaka utoke nnye😂😂

  • @chitabenson2897
    @chitabenson2897 Рік тому +1

    Alafu Lein mulete Chumvimingi tafadhali atuambie jini lake lipo wapi

  • @MwavuoNassir
    @MwavuoNassir Рік тому +1

    Mwakatobe hatari moto❤❤

  • @EkisaJosephOpurongo
    @EkisaJosephOpurongo 4 місяці тому

    Bytha film zenu uninice sana manze ,keep up😂😂😂

  • @ChoraleBmukungu
    @ChoraleBmukungu Рік тому +1

    Mungu wangu jamaaa na kitimoto hatari aiseee

  • @JosephineWanjala-wm4cc
    @JosephineWanjala-wm4cc 10 місяців тому

    Mwakatobe nakuaminia sana

  • @MrRab-yr2yu
    @MrRab-yr2yu Рік тому +2

    Mwakatobe, voce é grande homem

    • @MamyWilmon
      @MamyWilmon 9 місяців тому

      Nakukubari sana chogo ka mwiko hongera kk

  • @ErnestMoyo-fd6el
    @ErnestMoyo-fd6el 11 місяців тому

    Nakubarii mwakatobe

  • @SuiradYtt
    @SuiradYtt 10 місяців тому

    Mwakatobe ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz Рік тому +2

    Clam vevo the best 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @abubacarfalume-cr9tm
    @abubacarfalume-cr9tm 8 місяців тому +1

    Ussiku ussiku wa manane nimependa iyo

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 Рік тому

    Mwandishi njoo kwangu naku mind kichizi

  • @JacksonIsrael-f5d
    @JacksonIsrael-f5d Рік тому

    Mwambie mwakatobe namkubar Sana toka yupo kwa nyuki tv ira aripotea hum Kat Kat nipo katav mpanda Jack pemba

  • @jastinejohnmganikie3877
    @jastinejohnmganikie3877 Рік тому +1

    Mwakatombe we ni mkal sana

  • @tresorkilozo9996
    @tresorkilozo9996 Рік тому +1

    Huyu jamaa namkubali sana anajuwa sana

  • @salama1113
    @salama1113 Рік тому +1

    Namkubali sana huyu mwamba😂😂😂😂

  • @hussenkuraishi5886
    @hussenkuraishi5886 Рік тому +1

    Mbn mnatoa kipande kimoja kimoja Kwa mda mrefu?

  • @mohammedsalum4742
    @mohammedsalum4742 Рік тому +1

    Kumbe wewe mchumba saut yako kama Zuchu 2,Nitakupelekea Moto,Hhhhhh,Broo upo juu sna,Pambania sana,tupo wengi tunakuelewa

  • @victormbaka435
    @victormbaka435 10 місяців тому +2

    ❤daah kweli mwakatobe kwenye uchawi unafaa na unaweza