Asnte kaka da nmkuja Leo. Kwwny akaunt yak na nainjoi now nmewza je unaweza kutumia mwaka nzim a non yang nimerestor nainafany Kaz ikiwa kwwny airoplain
Naomba unisaidie nilisema hizo code ,nikaruka hiyo sehemu, baada ya hapo nikavizima hivo vidogo vya kijani halafu sim ikarestart baada ya hapo ulisoma slot moja tu lain nyingine haikusema lazima, shida ni nini
Mi inakubari lakini bando likiisha ulilo kuwa nalo huwezi fanya chochote unaambiwa umemaliza bando yako kama kawaida inatakiwa uweke vocha ko hyo ata kazia ake hain ukwel wowote
Aisee umetisha
duu kwel brother nakupa👍👍👍
Jaman hivi soon nawawekeea jinsi ya kusoma message za mchumba kumtrack msg zake tafadhali naomba subscribe my youtube channel nawapendeni wote🎉
Niaje mkuu VP unaweza kurudi siku ambayo ilikuwa inatumia laini mbili afu ikagom inatumia laini moja
Au laini ya aitel asimi shida nn
Htr jmn
@@lurvemaloveofficial98 kak nashida apa simu yangu ni samsung A15 mbn haikubali
Kak nashida apa simu yangu ni samsung A15 mbn haikubali
Imekubali thanks
❤imekubali bwana
Una sapport uongo
@@totallymedia846wachawi utawajua tu mtu katoa na ushaidi lakin bd hutaki kuamin jinga sana😂
Nakubali bro kazi nzuri hiyo
Asante Santa mungu akupe maixh malefu
Asante, nimefanikiwa
So kwel
Ni kweli brother lakini kwa Samsung inagoma
Thank you for your help
Mhhhh. Nyie. Jmaa wabaya Sana. Mume nimalizia. GB zote na haija kubali
imekubali asantesanaaaa
Na mimi imekubali asante sana
Jmn tunarock shm moja ya line
Nkwel kabxa
❤😂🎉🎉😢😢😮😮😅 no kweli inakubali hap yenyewe natumia free band
Yan kwery kabs. Siwezii rudia mie. 🏃🏃🏃🏃nikimbie nakukimbia sitaki tena
Nzuri
Uongo 😂 hio ni jinsi tuu ya kutumia mtandao ukiwa umeweka kindenge 😂
Teacher theck you
Tecno inakataa
Kwangu imekataa nisaidie please
Gooooood yeaaaaaaaah
Imegoma bwana nikiwasha hyo radio mode inajizima
Ata Mimi pia
Njoo nikufundish jinx ya kutumia buree
Me natumia infinix smart7 hd nimejaribu imekataa ila naona line yangu moja ya tigo haisomi
Mkiwa mnaongea pazeni sauti zenu
Kwa laini nyingine mbona inakataa kama hamna bando inakataa
Imekataa
Kuna laini yangu ya tigo aisomi cjajua wap nilibonyeza
Napiga naona upokei wakata
Asnte kaka da nmkuja Leo. Kwwny akaunt yak na nainjoi now nmewza je unaweza kutumia mwaka nzim a non yang nimerestor nainafany Kaz ikiwa kwwny airoplain
Acha kudangany watu broo
Yan limewasha data et cn bando 😂
Naomba unisaidie nilisema hizo code ,nikaruka hiyo sehemu, baada ya hapo nikavizima hivo vidogo vya kijani halafu sim ikarestart baada ya hapo ulisoma slot moja tu lain nyingine haikusema lazima, shida ni nini
😁😁😁😁acha nicheke maan wahang wa hili Jang wapo wengi😂
Mim potion hizi za chini mbili hazijawaka moja tu ndio inawaka hii ya kwanza ya mobile radioo power nafanyaje ili nifanikiwe
Mimi mbn redio power tu ndy inawaka nixaidie ziwak zote tatu
Alafu me sim yangu nikiweka bando tiktok aifunguki ila nikiungwa wf inafunguka cjui kwann naomba nisaidie
Sas mbona lain moja imegoma matandao nisadiebi nludisheni ulivo kuwa
Nenda kazime kwenye OTG ukisha minya hzo code
Hiyo otg ipo sehem gani ndugu masaad jamani
Wapenda vya Bure kimeumana hukuuh😁😁😁🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂@@khadijaacute
Nimewasha Ile radio lakini inazima yenyewe Yan inawak na kuzima yenyew
Kwhy nisaidie ili laini iweze kusoma mtandao
Mi inakubari lakini bando likiisha ulilo kuwa nalo huwezi fanya chochote unaambiwa umemaliza bando yako kama kawaida inatakiwa uweke vocha ko hyo ata kazia ake hain ukwel wowote
0620559282 nicheki
Mimi hata haikubali
Hapo unatumia mbs zako dkk zako sms zako bila ww mwnyw kujua😂😂😂
Uongo umetumia bando lak
Mpka laini gan ndio yakubal teacher
Line yyte tfaut halotel
Naomba unielekeze namna ya kufanya hvo kwa kutumia oppo A57
Je hiii issue Jaina athari kweny sim
Huyu jamaa anajifanya mjanja wakat anatumiq MB zake zile zile za mwanzo acha kudanganya watu sio wajinga bhn😂
Samsung haikubali
Nimejikuta naaribu cm yangu 😢 nimefunga SIM card 2 na nimeshindwa kurudisha please naomba msaada😢
😂😂tupo kumbe weng simu yangu ilikua ya laini mbili lakini sijui nilikosea wap nashangaa sehm moj ya laini haisomii😢😢
@@khadijaacute Yamenikuta kiranga KOMO Hadi nimerestore cm yangu lakini wapi Bado inasoma Lain moja 😅 vya Bure vina madhara
@@zenamwasekaga7460 umeona ee vya Bure 😂😂😂
@@zenamwasekaga7460 kiufupi ni tumeyatimba 😂😂😂😂
Oy mbn samsung haikubal
Baba kwa wenye bando mbona hvyo vingine haviwaki
Tmia line amby haina bando make sure n voda
Baba mbona pale umesave n a tigo au? Ya Voda inakuwaje?
Kwel aisee lakini vipi kuhusu dakika hazijaja lakini sms natuma
Nahitaji nijalib ap natumia vivo haitaki
Jinsi ya kujitoa man nshaifung lain yang
umeifungaj tena dada
Ndy Tena lain yang 😭😭🙏
@@lurvemaloveofficial98 man Kuna Lain 2 kweny cm yang zote tgo Ina soma lain 1 tu mb zenyew coat😭😭
Mm mbna laini Yangu moja haisomi naomb unisaidie bro 🙏🙏
Naomb nisadie binsi ya kunitoa laini moja haisomi na ilio Baki Ina goma kutuma mesge
Mbona yangu mimi imekataa imesema kwanza niwashe air plane
Mbona mm nime test kufungua lakn lain moja imegoma kusoma mtandao
Nami imegoma mnafanyaje ili ilud
nielekeze namna ya kujitoa
Kwangu hakuna data connection
Iko poa unayaweza mm imefanya kz😊
ngj nion if poss
mbn imefunga mitandao yang pumbavu
Ata mim alafu kutoa siwezi
Da imekubali ila mbn nikipiga sim Yani haiendi
Kaka kila kitu kinafanya kaz kasoro kupiga sim mesg unapokea kama kawaida kabisa yaan
Mi inagoma kutuma messege
Inakubali alafu inakataa
Kwa lain gani bloo
Tigo
Tigo
Ina kubali mtandao gani blooo
Yote expect voda
Mbana mobile radio inajlock you enyewe
Ushaifungua yakoo
We fala tu wadanganye wajinga
Cm baadh kama Samsung naona zinakataa au mpka uwe na laini Ya mtandao gan boss kama kuna ajue mpka laini fulan ndio inakubal naomba mniambie
Kila line inakubali boss 0620559282 nicheki man
Nimekubli Iko vzr je kuon text za mum
Nichek 0620559282 takufunza
wivu tu uone harafu ugundue nn
@@samaboy110we nawe si umuache mwenzio aone🤣, ukiona hivyo anampenda.
Hellow support 🤒🤒🤒🤒🤒
Ni kweli bro shukran
nikiweka izo code aifanyi chochote
Itafte 0620559282 nikuelekeze
Kwa Airtel je
Inakubali
Bando linapotea kama kawaida mzee so free hiii
Kwa nn unatumia line ya bando?
Tmia line ambayo haina bando
Alafu me sim yangu nikiweka bando tiktok aifunguki ila nikiungwa wf inafunguka cjui kwann naomba nisaidie
ngj nion if poss
ngj nion if poss
ngj nion if poss