VIDEO: RAIS SAMIA ATUA MPANDA, AKAGUA JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA NDEGE, TAZAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege huo mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya ziara yake aliyoianza leo tarehe 12 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @user-in7ud5gj7c
    @user-in7ud5gj7c 25 днів тому +4

    Waoo uwanja wetu huo tumechungia sana mbuzi hapo miaka hiyo ya tisini kwenye hako kajengo kazamani kulikuwa na bonge ya mwembe sitasahau wakati sumaye kaja mpanda mwaka 1998 sisi vijana wa chipukizi tulimlaki na kumvisha skafu hapo hapo uwanjani kisha tukamsindikiza hadi ikulu kawajense
    Kiukweli nimepakumbuka sana mpanda

  • @vedastonestory1886
    @vedastonestory1886 25 днів тому +2

    Karibuni Katavi hasa Halmashari ya Wilaya Mpimbwe

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 25 днів тому +2

    Mama uyooooooooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎎🎎🎎🎎🎎🎎🎎

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 25 днів тому +1

    Viwanja mnajenga vizuri ila kwa upande wa majengo ni sifuri airport majengo yake yanakuwa vijengo vifupi yani yanazidiwa na stand

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 25 днів тому +1

    7:57, mmeona huyo kiongozi alivyopanguliwa upande wa kutembea😂😂, kumbe Hadi upande wa kutembea ukiwa RAIS unachaguliwa

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 25 днів тому +1

    Mama unajitahid kusave pesa kupitia shirika letu ila walioko chin wanaiba mno...tunaomb udhibit kwanz na kuwalipisha wanao tia taifa hasara kuliko kuweka kodi mpya kila cku kwa wananchi wengin waje wale tu..shughulikia ripoti CAG

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 25 днів тому

    Duh kweli kabisa Mungu ni mwema watanzania tunzeni tunu from my God mama Samia Suluhu Hassan mitano tena

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 25 днів тому

    Hongera rais wetu kwa kufika katavi

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 25 днів тому

    Hongera

  • @theodoltheophil7858
    @theodoltheophil7858 25 днів тому

    Hao watu wote wanaenda kumpokea rais jamani, usalama upo wapi!!!!
    Mbona kundi kubwa sana.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 25 днів тому +1

    Mama njoo nauku rukwa utumbue wa2 wameanza mazoea wanatengeneza balabla za rami azina viwango mwezi 2 matuta yanakua yametoka rami gani uku wee njoo wa2 wanatafuna pesa ze2 buleble uku😪

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 25 днів тому

      ​@@robertphilip385bimkubwa wako katumbuliwa na nani?!