Korea Kuna fursa nyingi sana ,hasa Kwa wafanyabiashara na wakulima ,siku nyingine nakuombea sana mam S.S.H. uwafungulie na wao fursa ili tuzidi KUNUFAIKA zaidi na zaidi inshallah❤❤❤
Wema alitakiwa awe muhudumu kwenye ndege
Steve Nyerere nikama Yuko kwenye chumba cha mtihani ,alivokakamaa😁😁😁😁
Yani hakili ya sitivu kma yangu😂😂😂😂
Steve mbna kimombo anaongea fresh2😂😆😃
😂😂😂 kazi iendelee
Tivu ake jamani😂😂😂
Shule ni muhimu sana
Bongo sihami😂😂😂
Haelewi hata moja amekalia kuitikia tu kichwa kama vile anaelewa😂
🎉
Pamoja sana 🫡
Msuli huo sio sket
Tuko pamoja
Hapo Steve anawaza hiv kwanini namm sikwenda shule?
Hapo hamna shule hiyo no rugha tu unajifunza popote pale mi ninaongea hiyo rugha bila dalasa hata moja
Whozuuuu hayuko salamaaaa tundaaaa lake litamegwa korea au lishamegwaaaaaaaa😢
Haina shida maana ni wachaga wote au wote from kaskazin kama nimekosea mmh nisameheni tu.
😂😂😂jmn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ids iyo aliyo vaa si siketi au ndo mitindo adu konde akivaa maneno kibao
sasa mbona kingereza chenyewe ni chepesi hata kwa mtu ambaye hajui kingereza vizuri anauwezo wa kupata idea (hata kam hatoelewa kila kitu
)
Ila Tivuu akeeeee😂🤣🤣haelewi hata anachoongea Wema ila yuko busy kutikisa tu kichwa.