Guys it's doesn't mttr where you're coming from.... different colors one people...if you can not show love nor support it is not a must form me...lemi support him..
🎉❤ ❤🎉🎉🚀 kitu kizito kama alivyo imba baba angu CHUI 🔥🔥🔊 Rôle model 🚀🚀🚀📈📈📈 Oyaa wanangu eeh 🙌🏾🔥 anae niitaji kwenye collabo yake nimfanyie unyama Ani cheki 🎶🤝🏾
Kazi nzuri UWA inajiuza sasa naomba like zangu 😂😂😂
huzi ndizo njia za lavalava hakika ukipita hpo atakufunika tuu...
Hatariii hii video kali sana dvoice vs lava lava mmetisha sana 🔥🔥🔥💯💯💯💪
❤❤❤ Ni meipenda sana ❤❤❤❤❤❤
Wale MASHABIKI wa LAVALAVA Na Wasafi Kwajumla Tujuane Kwa Like...Video Hii itatesa Sana🎉🎉
Tuko. Hapa fire
@@mashiassenga8849 Asante Sana Tuzidi Kuwapa Maua Wasafi🇹🇿💯
Mashabiki wa lavalava mko where
🎉🎉🎉😂😂❤❤
@@aminahassan2155 Tupo Mama
Tobah aaaaah sikwa maneno ya kimahaba nafa duh!aaaaaii ustadh lovebite Dvoice safi sana big up mob love
Hiih imetufudha kwer lavalavo up vzr kaka🎉
Huyu aimbe na mbosso lkn anaupiga mwingi nampaaa maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
If u believe this guy's are talented gather here 🔥🔥🔥
Ila Mr Love bite ni hatari 🎉🎉. Kama unaamini nipe like.
Mafundi wa mziki 🔥🔥🔥🔥uswahili wa kinyamwe maneno kuntu unayajua maneno kuntu ww yako wcb tu
Ila aka ka kipande aloanza D voice kauwa bhn apewe maua yake🎉🎉
Much love from Kenya like back guys❤
Kaz nzur brooh nakubal mzik nzur huu
LavaLava never dissapoint when it to love songs 🎉
❤🎉😊😊😊
❤🎉🎉🚀 kitu kizito kama alivyo imba baba angu CHUI 🔥🔥🔊 Rôle model 🚀🚀🚀📈📈📈
Tulokuja kwa mwenetu lava bite gang tujuane
Bonge la video ❤
Haya ndio machupa yangu 🎉🎉🎉🎉 kaza dogo tupo nawe mpaka kilele
Mr Love Bite Sauti 🔥💯
Respect sana mjukuu wa mzee nyange hujawahi kukosea D voice❤
ANA LAANA
🎉🎉🎉🎉fool power napenda tena iyi kupitia d-voice
Mambo ya lavalava haya ukimshirikish kwny nyimbo za maumivu anakupoteza xna 😂😂😂❤
LavaLava❤🎉🎉🎉🎉🎉
Likes za TEAM 🇰🇪 KENYA
Tunaokubali kipaji hiki cha WCB tujuane apa 👍👍👍 From DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Niko wa kwanza Kila Mara nipeni like 1k kwangu❤
Hatari hii🎉
Lavalava killed it..
he's the reason I listen to this song
Lavalava sio mtu wa kawaida
Lavalava for life
Personally nimependa hii kama Mkenya❤
Wakali wa jadi🔥🔥🔥
D voice is on another level let's gather here and support him guys...much love from Kenya 🇰🇪❤️
Support him alonewe have more and able artists here in Kenya who need our support
True we have to support our own
Guys it's doesn't mttr where you're coming from.... different colors one people...if you can not show love nor support it is not a must form me...lemi support him..
I smell jelousty in these replies
@@Thekidp3702true
Lavalava mchawi wa hizi kazi🔥🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza kwa Kaka Dvoice
😂😂😂😂
Wa mwisho wew
My favourite part nmezunguka kotr xjaambulia chochote zaidi ya kuchovyachovya
Who is enjoying this masterpiece? Nipeeni likes zangu tokea 254 🇰🇪🇰🇪 kama umeuweka kwenye repeat 🔥🔥🔥❤️❤️🙌
Yan nmetazama hii video in mute-mode(bila sauti) na stori inaeleweka vizuri mno, Good job director hanscana, na artists pia. Kazi nzuri sana hii.
Unyamwezi kwa wingi nipeni likes za d voice
Wasafi hapo munatisha
Leta like kwa wakwanza apa lava lava
Bonge la video hii ni fire 🔥🔥🔥🔥
Lava amebeba album yote ya swahil kid pia ameuwa xana ktk huu wimbo,,,nakukubal xana m2 wangu love bite❤
Kithamini ungali unakimiliki❤❤
Mwamba kawa hadi muuwaji ila mwanamke alikuw amesha sema imetosha😢
Lava lva big up bro support mdogo wetu 😊❤
Tamu ndani ya zote
Mi ni mkenya but napenda huyu kijana😊
from kenya nipewe likes
❤Love from Kenya nipeeni like
Naombeeni like
Bonge moja lakazi❤🎉
I love this boy's concepts sending love ❤ from MALAWI 🇲🇼
Love you too
@mrguacx where I wonna give it a taste
Unajuwa bigger brother
Moja ya nyimbo yangu pendwa kwa D Voice ni Hii TURUDIANE ❤️❤️❤️🙌🙌🔥🔥
Video nzuri nakubari sana wcb
Prepare yourself for the reign of dvoice, wapi likes ❤?
Watu wengi wananiambia naimba kama Lavalava huwa siamini ila kama ni kweli basi Mungu katujalia sauti tamu ajabu😂
Here for Lavalava🎉
Nice song I like it love from Drc Congo Lubumbashi ❤❤❤❤ unyama ni mwengi Mzee baba
Eish napenda sana iyi song 🎉
Proud to be Tanzanian
Proud to be African
No doubt video na story yake nzuri sana, very creative
Good work Big up sana my brothers
Cnice banger🎉❤
Nyimbo za kuria Lava Lava number on 😂🎉🎉
Sanaaa wazee wa WCB
Mm nd wa kwanza leo naomben like zangu
Lavalava unajua xan
Vidéo kali sn nimependa mwaka wethu wcb
Kazi mzur sana saluty kwako from Mozambique
Watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Wa kwanza likes hata 5
Ambao tume rudia zaidi ya mala 3 kusikiliza huu wimbo tujuane 🙏
Naiona wasafi ya zamani ndo imeanza kurudiana, huyu dvoice nae moto kweli. ❤❤❤
Hello Czech Republic, very nice song 🥰
Mim wa mwanzo like zangu
Hatari sana
❤❤❤
Sound kama hi Lavalava lazima asikuache salama
Lava lava uko vzuri kaka
I am from Botswana but am addicted to Tanzania music. I literally listen to it daily
Mazishi🔥🔥🔥
Together we can 🤝💪 this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Together
Nyimbo yangu bora kwa divic
My Favourite Song Ever ❤
Na ndio umeiskia
Right now 😂😂😂😂
Africans 😂😂😂🙌
Lava Lava affords swahili it's proper depth
Wamemuonea mdogo wetu D voice Ila huko mbele LAVALAVA😢 Atapitwa tu
Wow! D voice my first time to listen to your songs you rock it man keep it up 👏👏🙌
Wa kwanza kwa D voice nipeni link zangu
Lavalava love bite❤❤❤🎉🎉🎉
Fire 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lavalava my shikomooooooooooo, from kenya 🇰🇪❤❤❤❤❤❤
oyaaaa weeeee haujuw na simba la masimba dume Jr d voice
🎉❤ ❤🎉🎉🚀 kitu kizito kama alivyo imba baba angu CHUI 🔥🔥🔊 Rôle model 🚀🚀🚀📈📈📈
Oyaa wanangu eeh 🙌🏾🔥 anae niitaji kwenye collabo yake nimfanyie unyama Ani cheki 🎶🤝🏾
Goma Na Kideo balaa ziiitoooo Aisee 💯🎼🎵🎵🔥💥📺🎙️🔝
Hongera kaka pambana mungu akitangulie
We love you our brothers🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama unamkubali hanscana kwa vichupa vikali 😂...Gonna like za kutosha👍
My boy lavalava nakupenda sana ❤nipeeni likes bana wakubwa wangu good music good vibe
Unajua sana tena sana sikupingi kaka
Swahili kid🔥 Swahili nation🔥
Tuwapeni WCB maua yao 🎉🎉 great stuff. Big up Lava lava and D-voice 🔥🔥