WAMWIDUKA BAND - Live Session for "MIDEM AFRICAN FORUM" - Spotlight on East Africa.
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- WAMWIDUKA BAND - Live Session recorded for "MIDEM AFRICAN FORUM" - Spotlight on East Africa" presented by Midem & Nyegen Nyege.
Special thanks to NAFASI ART SPACE , Kuzilive ENT, Stonetown Record & Midem & Nyegenyege.
Talented panguso song ndio imenifikisha apa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daah hawa jamaa wanaitendea haki talanta Yao! No good words to express my admiration to this music
Nasyukwa pakhaya!!!! Mko juu wadogo zangu!!!
Mungu awabarik mfikie malengo wamwiduka...hvi Rayvanny huwaoni ndugu zko wa mbaya jpo utoe support
Nawapata saafi sana hapa Nairobi Kenya. Hongereni sana kaka zangu. Kama tunavyosema huku, mnachachisha ile mbaya mbovu. Huyo mheshimiwa wa kucheza maraka ananiuwa!
Safi,nimewapenda sana nyie watu mnaimba mno
Great work of art from the best talents of Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Isheeeee,,mulipamwanyaaa ,,umulungu awatule
Hongera sana kazi nzuri
This is what we need to be hearing in Africa....cool things ....good job WAMWIDUKA BAND👏👏👏👏
Wamwiduka mnafanya poa sana Mungu awabariki ktk kazizenu💕💕💕
Kula wayaaaaa
Mpo vizuri vijana nilitafuta jina leo nimefurahi sanaa,msife moyo,kazi nzuri!
Wamwiduka,wajipange waende kushirika saut za busara Zanzibar,watafanikiwa sana
Jamani mtoe nyimbo mpya mana mnajua kuimba mpaka mnajua yanii
What the heck Am I listening here? I've got goosebumps everywhere. Woooooooow. This is just amazing. You guys have natural talent no one can take away from you. If you have sound system, play this band... It's just amazing. Wow. Sad song isn't it?
Jamaa wanajua wanachokifanya! Hii ndo maana halisi ya muziki
Tz kuna vipaji sana💌🇹🇿
Ni wamwiduka hao kula waya
Nawakubali sana Wamwiduka
Mwagona sana Nazi nzuri
Moyo acha tamaaaa
Kazi nzuri sana 👊👊
Show show show! Tasafwa safi sana vijana wangu!
Yoli mwene twasafwa tumogaje
Authentic music
My people doing Afrika justice
Music is our spirituality.
When this guys sing they invoke the spirits of their ancestors directly.
So natural and touching. From Burundi, nimewapenda sana hawa jamaa
Nawakubali wasafwa katika ubora wao
Moyo moyo moyo kazo nzuri wamwiduka
Mbeya home boy nakubal ma blo zangu
Nawakubari sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Wanakubali sana wamwiduka
Nawakubali sana wamwidu
Enayoo
asante
Haina matusi niujumbe mzuri
Napenda ngoma za asili pambana usiniangushe shabiki wako. Mozambiq nangade sede kwa wajanja.❤❤
Nimeangalia nikaludia tena Natena nakubali ododo ❤️❤️❤️❤️
Mpo vizuri sana hongera sana. Yamwiduka band.keep up
Nimerudia tena 2024
Udada washee, nawakubari sana , huo wimbo wa soko la mwanjelwa umenigusa nikiupata
Aisee mnatisha sana kazi nzuri sana hongereni
Pamoja sana wamwiduka band i lovu your work big up sanaaaaaaaaaaaaaaaa
Mko vizur wanangu ❤
Sema yule jamaa kipofu mloanza nae alikua anapiga Gita yukowp
What an organic music🙌🙌🙌🙌
Tanzania mbeya region
you mustn't watch go out
extratalented guys.... waaaaaaaaaaaaaaaaah
Hapo mumetoboa mimi najua muliko anzia, kaza buti vijana bahaya
Jah awatanguliye Wamwiduka band. Maana kipaji hiki sio cha mchezo kabisa.
VIJANA WAKALI SANA MUSIC WAO TOFAUTI NA MZURI SANA SAFARI ❤❤❤❤❤❤❤
You are story tellers guys
Hatari SANA huu wimbo huu unaniliza sana
Nawapenda Sana wamwiduka love from Finland 🇫🇮🇫🇮🇫🇮🤝🤝
Cx
Big up sana wasafwa wenyeji halisi wa Mbeya
Kazi nzur sana
Ajali ya Mbeya. 😭
tuko nyuma sana~keep going guyz
Kazi nzuri wamwiduka tasafwa pamwanya nkani daaah mmetisha sana
Now this is authentic african music with tales and message 🎶
Tauna tauna tauna nziki mwarongo mweee
oyaaa ni motoo🎤📡 full energy ni mwendo kula wayaa
Wapo shinza sana
Nawapenda bule
Nawakubari saaana wasafwa mko juuu pi mwanyaaa ngani
Muhwemba shinza sana bhana kwetu , naomba remix ya narudi nyumbani Mbeya aliyoimba Wamwiduka sio ile ya Mwanjalila wa ndaga
Yani mzimi mzuri 👌👌😘
💜💜💜💜💜wow such nice music🌹🌹🌹🧡🧡🧡
Hii wimbo ni story yangu kabisa
Wamwidunda wsko vzr
Inaingiya mpaka kwa mifupa .from🇧🇮
Nimeangalia nikaangalia Tena natena🔥🔥🔥🔥
Sijawahi kocomment! nimekuwa nikiwafuata tangu mtaani kwetu Tandale long before. nimesubscribe kwa mara ya kwanza kwenu ili mkitoa mpya nipate immediately. hadi leo niko South Africa naendelea kuwafuata. Kiukweli napenda mziki kwa ujumla! ila nyi jamaa mpo special sana!! Mungu awabariki sana!!
WOLOWOLO MWIDUKA..KUSHIYE..TUJENDE...!!!
Keep it uppp
Mnanipaga Raha sana
@@kamilusmgaya4806 qqqqqqqqqqqqqq
Nawaelewa sana hawa jamaa. Kitu chao kienDacho kwa jina mooyo. Utaniweka matatani mooyo
Ndio band niipendayo ..... big up sana
Nawapenda sana
The real tuff gongz.
Nawapenda Sanaa
Naipenda sn ihingoma jamani mungu azidi kujaza palipopungua
Mko vizuri sana
Noma sana jama wanajua
This band should perform in Kenya
Safi sana, mambo mwoto ugwiluyombo
Wanaimba kama Awilo kidume Cha mbeya, ule wimbo wa ajali ya ntokela
Twinzile mwiduka
Natamani vijana wa Tanzania wangekuwa na uelewa na kujielewa kama hawa vijana. Jumbe zao zinaonesha makuzi yao pia yalikuwa mema. Kutoka kilugha chao mpaka Kiswahili - wanakuza Utanzania kwa wote na kuukuza utamaduni wao. Naamini hiking ni kizazi kingine cha kuungwa mkono sana na kuigwa [Saida Karoli?]
Wanajua sana🙌
Hata mm sana tu Wanaimba ualisia
Kwako kasha shaa
2022…..daaah😥😥😥😥
Raha ya African music huwez iona Kama ujakutana navitu Kama iv 31_03_22
that great music
Hongera Sana
Jamani moyo moyo💃💃💃💃💃
Nyegenyege kula waya
Tushow luv kwa kusurbscribe wadau, Hawa jamaa wko vizur sna.
Nawapenda saaana
Wa Mwiduka mko vizuri nyimbo zenu tamu sana lkn siku hizi sizion nyimbo zenu mpya online.
Nipo nakula waya
Mwamba huyoo
Sasa huu ndo muziki halisi wa kiafrika
Nong'omya kilechenge kati bwuusii
Pamoja wana ,mbele yenu nyuma yenu
Tasafwa ilyoyo
Gud job wamwiduka
Soko la Mwanjelwa😭😭😭