UPAKO WA MWAMPOSA WA REJESHA PESA ZANGU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #arisendshinetanzania #2021mwakawaimani #mwamposalive

КОМЕНТАРІ • 41

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 3 місяці тому +1

    Arise and shine ,naomba naimi ple huyu nduku alirengeshewa maisha yake,na mie uchumi wangu uinuke,naniweze kufaindika zaindi.

  • @lilylukeisa561
    @lilylukeisa561 Рік тому

    Ehee yesu kristo kupitia ushuhuda huu natangaza kufunguliwa kila mdeni wangu atanilipa kwa kasi isiyo ya kawaida na nitalipa madeni yote ninayodaiwa kwa njia rahisi sana naomba haya yote kwa imani amen

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 6 місяців тому

    Ewe mwenyezimungu na mimi nifungue kiuchumi na familia yangu yote tufungue kila eneo la maisha katika jina la yesu ameeeeeeeen

  • @DeborahMatiko
    @DeborahMatiko 3 місяці тому

    Eee mwenyezi mungu naomba pesa niliodhurumiwa na boss wangu naomba kupitia ushuhuda huu nilipwe fedha zangu

  • @brandinayusuph8397
    @brandinayusuph8397 2 роки тому

    Mungu wa wamwamposa wew ndo muweza wa yte narudisha nyoya angu ulipotea narudisha pesa zangu zilizopotea narudisha mahusiano yngu yaliopotea mimi na Benjamin charles mhale tulidiane kama zamani tuwe sawa kwa jina la yesu napokea

  • @BlandinaYusuph
    @BlandinaYusuph Рік тому

    Nataka kupitia ushuhuda huu biashra yangu ikagomanie na wateja kiurahisi xana amina

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 роки тому

    Niponywe magonjwa yote kwa Damu ya YESU KRISTO AMINA ndoa yangu irudi na nanikafunguliwe vifungo vyote nanikahexhimike xehem zote AMINA

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 7 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe mm pia napitia majarb mangum mnoo nadaii watu 6 hata hawa fikirii kunilipa nanaimani madhabahu hii itaniokoa

  • @BlandinaYusuph
    @BlandinaYusuph Рік тому

    Natakq kupitia maombi haya biashara yanguu iromba nie na wateja kwenye biashara yanguu kiurahisi xana amina

  • @emiliekapile2069
    @emiliekapile2069 2 роки тому

    Mungu kamguse mumewangu atukumbuke uko aliko ajue anamke na mtoto atutafute ee. Mungu nisaidie

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 роки тому +1

    Ameen napokea katika Jina la yesu kristo

  • @merryjeremiah7533
    @merryjeremiah7533 2 роки тому

    Namm nifunguliwe tumbo langu kwajina la YESU

  • @jacksonmtenga2540
    @jacksonmtenga2540 2 роки тому

    Ameen baba naomba niombee ninapita pagumu sana

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 11 місяців тому

    Najiungamanisha na madhabahu hii

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 Рік тому

    Amina Baba nilichukua mkopo bank nikaibbiw humo kwenye a count yangu kwa kutumi cm yangu hiyo cese nimefarilia police kwa kutumia hela nyingi sana na kila mbinu lakini ckufanikiwa chochote zaidi ya kifilisika zaidi Mungu mrehemu huyu mwizi najiconnect na ushuhuda w huyu Baba.

  • @amosMbuzi
    @amosMbuzi 8 місяців тому

    Lazima nitembee chini ya mbingu zilizo funguka mwaka 2024

  • @brandinayusuph8397
    @brandinayusuph8397 2 роки тому

    Amina baba

  • @yunusiwafaume1191
    @yunusiwafaume1191 Рік тому

    Narejesha Mali zangu zooooote

  • @tunakisiwekamnyoge8061
    @tunakisiwekamnyoge8061 2 роки тому +1

    AMEEEEEEEEEEEEEEEEE

    • @asuntakadege9843
      @asuntakadege9843 2 роки тому

      Mtumishi wa mungu naomba maombi ya uchumi kipato changu kipande juu kisishuke na anitengenezee fraha ya kudumu kwenye ndoa yangu na familia yangu kwa ujumla

  • @benmwanaharakati4266
    @benmwanaharakati4266 2 роки тому

    arivyopokea iwesawasawa namimi moyoni mwangu😂

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 11 місяців тому

    Napokea kupokea biashara yangu, na kukataa kufanya biashara hewa

  • @fursa_ya_biashara2023
    @fursa_ya_biashara2023 Рік тому

    Amen 🙏🏾

  • @yunusiwafaume1191
    @yunusiwafaume1191 Рік тому

    Mungu rejesha afya yangu rejesha password yangu ,rejesha kila nilichodhulumiwa

  • @Jackson-v1l2b
    @Jackson-v1l2b 8 днів тому

    Ameni

  • @mathamwambuluma8848
    @mathamwambuluma8848 3 роки тому

    Mungu yoyote ninae mdai akanilipe pesa zangu zikapige kelele

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 роки тому

    Amen

  • @zakiahashim2274
    @zakiahashim2274 2 роки тому

    Ameeen napokea

  • @BlandinaYusuph
    @BlandinaYusuph Рік тому

    Napokea uponyaji was biashrq kiurahisi xana ameni

  • @mathamwambuluma8848
    @mathamwambuluma8848 3 роки тому

    Mungu fungua uchumi wa mume wangu

  • @ashuranzagamba6328
    @ashuranzagamba6328 11 місяців тому

    Nataka walipo niweka kwenyemito na majumba makubwa

  • @emanuelkamangu6500
    @emanuelkamangu6500 3 роки тому

    Asante Bwana Yesu

  • @munirahiddy963
    @munirahiddy963 3 роки тому

    Naombn nmba nahtj maomb

  • @kurwpaul1134
    @kurwpaul1134 2 роки тому

    Nia njema iwe kwangu Na uzao wangu Naomba mtume bulldozer Wanitumia pesa zangu Na watu zaidi million 15 wanilipe kuanzia Leo Edita Grasiana haji chitunzi Buyegu families shalatu nawengine kakoza wanilipe kuanzia Leo

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 роки тому

    Ameen

  • @omukashopping9152
    @omukashopping9152 2 роки тому

    kupitia ushuuda huu walio nitapeli wote waanze kunitafutia nakunilipa alaka reo wote nawaweka mazabaoni ya inuka uangaze wote madalali kila moja aludishe ela zangu

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 роки тому

    Amen

  • @beatricetumaini1098
    @beatricetumaini1098 3 роки тому

    Ameen

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 роки тому

    Amen

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 2 роки тому

    Amen