Trevor : siku hizi mneaka vitu kwa roho Dante : wewe unaeka kwa? Trevor :kwa kichwa 😂😂 Monti:ndio maana ulipewa headi bigi kuliko roho 😂😂😂😂😂😂msijafanye hamjaskia hiyo part
kwa wageni, wagwan wadau,, this is the 97s podcast!!🥳with Dante, Frank, and one and only Andrew Trevor.😂😂ushai date dem anapiga 180!!!!! haoo ndio hudandiaa matatuuu😂🤣🤣🤣. Piga like 😁
Siezi watch podcast zingine kama si ya 3men army💪 labda wakuwe kwa izo zingine ndio ni watch, new episode ya hii jeshi hukam na greatness flani😂🎉🎉🎉🎉 big up Gs
hyo story ya hoteli i used to think like akina dante but trevor is right my dads place ilidrain juu watu walikuwa wanakula kaa customers from waiters to cleaners and imagine waibe stoke ya the next day 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anyways tuiite survival for the fittest
Big shout-out to my Boyz for their consistent in this podcast making them the best of the best in the state can't wait to have this,,,,,,WAGWAN WADAU!!!!!!!!
Tena ata huyo chef ako na jokes....anaonja chakula na chef anafaa akuwe si mlafi...anafaa aseme Mimi nilikuwa kuku Hadi sitamani tena.....yeye tu bado ni mlafi....ata kupea maskini kazi ni hasara😂😂😂😂
Wagwan wadau this is the 97 podcast with dante frank na me adrew trevor na ikimbamba sana unaeza tuita 3 men army ushai date dem anapiga 180 waah alafu anaskiza amapiano baas hao ndo madem hundandia matatu 😂😂😂😂😂😂😂❤
Trevor : siku hizi mneaka vitu kwa roho
Dante : wewe unaeka kwa?
Trevor :kwa kichwa 😂😂
Monti:ndio maana ulipewa headi bigi kuliko roho 😂😂😂😂😂😂msijafanye hamjaskia hiyo part
Acha aongee impite😂😂😂😂
Juu kichwa iko na space😂😂
Chenye wanatafuta watapata Dante😂😂
Nimeisha😂😂ati n cha izo😅😅
Nimeipata!🙌🏿🔥😂😂
kwa wageni, wagwan wadau,, this is the 97s podcast!!🥳with Dante, Frank, and one and only Andrew Trevor.😂😂ushai date dem anapiga 180!!!!! haoo ndio hudandiaa matatuuu😂🤣🤣🤣. Piga like 😁
Na troy😮
Been on it all through Eps 1 - 75 🎉
I'm a 97😎.
The 97s all day everyday.
👇
leteni mama troy next episode😂
We mzee
@@JastinKipruto vipi mambet
😂😂we unataka kumark mamake
@@MAC_ALLISTER254 koroom
Walai
Wale wa notify me.....piga like👉❤💥
Their is no greater happiness than that of opening your youtube alafu unapatana na a new episode of this team💯🔥🔥😂
Nakwambia mahn pure happiness
Walai
we matiangi rada😂😂
@SamuelLefty-os8ud hata wewe uko huku😂😂😂
MONTI kila episode analia 'nakupata Dan🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"
Monti
@@VictoryFadhili-r9c KITAMBO ILIKUA ATI,, NAKUDIGI
As a 3MenarmyFan finally we are on a journey with Baba troy on his fatherhood life series ❤😊😂😂😂
Kabisa😂
Siezi watch podcast zingine kama si ya 3men army💪 labda wakuwe kwa izo zingine ndio ni watch, new episode ya hii jeshi hukam na greatness flani😂🎉🎉🎉🎉 big up Gs
nakubaliana na wewe
Kama ume finya hio bell na ume stay tuned weka like ❤
❣
People say falling in love is the best feeling..but i think finding a toilet when u have a running stomach is the best feeling ever😅
The only way to start your week on a good vibe 🎉
Wagwan wadau... blakii hapa representing locked waiting for our therapy
3days wadai....hii nayo mmetueka walai... greatness unafaa kuwa back Tu back
Tuchangieni Troy apate tv ingine... Monti sijaikucheka ivo😂😂😂😂 opening up to the wrong people.. brooo auko safe mbele ya T na Dante😂😂😂😂😂😂😂😂🫂
The best therapist .....if your stressed just come here.....we love you three many army
Consistency
We love you wadau❤❤keep pushing
hyo story ya hoteli i used to think like akina dante but trevor is right my dads place ilidrain juu watu walikuwa wanakula kaa customers from waiters to cleaners and imagine waibe stoke ya the next day 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anyways tuiite survival for the fittest
Ushai end matanga ukapiga iyo mbwa Koko ukaambiwa na mtu ako next ankushow unapiga na imekujia kitu umekujia😂😂
my happiness all week long
Leo nimecheka kaa chizii khai aty mtu anawekwa apple kwa haga mwingine anauma😂😂 episode ya leo 🙌🤣 yaani mumeqmua kuingilia montee😂😂
Love this content ❤❤
Every episode is on 🔥🔥🔥
The podcast will be lit much love guys❤❤
my best podcast 🎉❤ever
woiyee sa uyo dem akiskia vile anaambiwa😂😂😂😂this guys aky
Much love from Eastlando
Big shout-out to my Boyz for their consistent in this podcast making them the best of the best in the state can't wait to have this,,,,,,WAGWAN WADAU!!!!!!!!
Locked in🎉🎉
My all time fav ❤❤
Wadau sina dem frl 😂
Wagwan wadau ...hii natafuta earphones 🎧🎧 walai
Wagwan wadauu...the 97th podcast ....love you guys❤
The only podcast enye tunategemea, 🙌🙌
Monty na hiyo relationship yako😂 😅😅😅😅
Kamjunior kalipigwa hand-off 😂😂
Mnifanyie moja na prince kev❤😊😂😂
Dante: Mimi hunipimi pimi 😂
2likua 2meingja km ngoma y church manze....Big up..
dante this episode ilikuwa yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wagwan wadau this the 97' podcast with DANTE ..FRANK AND ME ANDREW TREVOR.❤❤❤ NAWAPENDA 🎉❤❤
😅I can't wait for this one ina kaa kuwa interesting😅😅😅😅
Tena ata huyo chef ako na jokes....anaonja chakula na chef anafaa akuwe si mlafi...anafaa aseme Mimi nilikuwa kuku Hadi sitamani tena.....yeye tu bado ni mlafi....ata kupea maskini kazi ni hasara😂😂😂😂
Si ni chef lazima... Bana ikam na a lot of salt bado utateta😂😂
14:32 uyo jamaa apo nyuma anakunywa aje maji ivo kwa tap😂😂😂
leo ni kama mlikuwa mmeamua kupeana ma upper cut🤣🤣🤣naziskia tu kwa maskio zikipitaa
Conversation ya mwisho ya Dante na Monty ni real wacha ni tafute doo uzazi baden 😅😂😂😂
Ati ni monte is going through alot ju ako na familia😂😂
nilikuwa nasubiri sana
Nyinyi wazee tunataka mama troy episode.
Dante umekua single si trevor akupee sister yake 😂
Kama dawa kama mbwa koko 😂😂❤❤❤❤
Wagwan wadau this is the 97 podcast with dante frank na me adrew trevor na ikimbamba sana unaeza tuita 3 men army ushai date dem anapiga 180 waah alafu anaskiza amapiano baas hao ndo madem hundandia matatu 😂😂😂😂😂😂😂❤
Hii ndio podcast imebeba podcast zote this 254😂😂
Mafans Bado tupo🔥🔥
Umbwa koko 😂 Jana nilisahau Ku comment 😂😂
3 men army aiku zote 💪
Today's episode the best.. 38:25 hee 😂😂
Moshi Tanzania waiting 🇹🇿 🔥
Wagwan bado tupo🎉❤
Someone come collect my ribs u guys are 🔥🔥🔥Monte hapo mwisho umechoma😂😂😂
Monty, ati kwa Dante kunanuka nini hiyo? 🤣🤣🤣
Kumbe Troye ni chali nambona ule mtoi wajirani anamsumbuaga PDD😂😂
The funniest.....😂😂😂😂😂😂wtf you guys
Notify me button ❤
Acheni baba troy alie hio kitu imtoke 😂😂
Tupo😅😅Mama troy anafaaa afike site😂
Dante the wise one..my favorite fella 😎
😂lakini najua Trevor hayuko serious na hiyo story ya food
Walahi Trevor leo ako on mbaya
Malizeni nataka kudownload video 😂😂😂 shuwally
mtoto wadante ako uchi na kanuu nje kakiumwa na bata😂😂💔
Dante ako sawa uitaki mziki😂😅.
Ati kila mtu anaenda mafi-ongo!😂🔥🙌🏿
Dan alishachizingi😂
3 men army 4 life
Heri niskize hawa kuliko niskize vitu zingine
Mob love Dante the wise one
Wahgwan wadau,
Niko na dry spell ya job walai🤔
38:31 is where I cracked my ribs ati "heee"😂😂 enyewe parenting ni tough
nangoja ile mbaya
Mafans bado mpo?❤
Hahahaaa😂😂😂
mtafuteni obienji aletwe kwa podcast😁
😂😂😂😂😭ati inaumwa na Bata😭😭😂😂😂
Fikisheni episode hata one hour Bana,kwani hamko on😂the last episodes,too short
❤❤❤
Bana njaa na mdifu iko😏
Hii siku zao zilikua zimeshika lakini Za monti zilikua zimelipuka zaidi😂😂😂🙌🏿
Wagwan wadau 😂😂wale wa FPL Typa Shiii 😂 FPL league code kxegdi
Troy apewe jembe😂
"Mluhya hadi hujifichi",got me😂😂
side kama side ,wengine wamekimbia kusoma comments ,andika yako🤣🥰
we mbwa
It's midnight nacheka kama wazimu huku,majirani ninmechi tu
Niaje. Tafteni another sit hapo mlete Okiya Omtata for a session, we need freedom
True😅😅
Wagwaaaaan 🎉🎉
Trevor peana sister yako 😂😂
K for Kutu😂😂😂😂🙌🏾
Peeni dante chakula iyo kitu imtoke😂
Mm nayo nakula ya customer 😂😂
Very.. nais 😂😂😂
Na imagine baba troy akifanya vlog na mama troy
Get ready with me😂😂😂
Wagwan wadau,weeh finally
Wagwan wadau 😂😂 next episode ni lini??