MSIMAMO WA KANISA LA WADVENTISTA WA SABATO KWA KRISMASI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2023
  • UONGOZI WA WKC UNAWATAKIA MSIMU HUU MWEMA NA MWAKA MPYA WENYE FANAKA #2024 .
    TO SUPPORT THIS BROADCAST #subscribe #comment #like #share
    Be blessed.

КОМЕНТАРІ • 14

  • @francisfrance5811
    @francisfrance5811 6 місяців тому

    Well said my family amen.🙏🙏

  • @rabinoonlinetv.7242
    @rabinoonlinetv.7242 6 місяців тому +1

    Mh! Hapana, sio msimamo wa kanisa kwasababu amesema tuzingatie Yesu aliyezaliwa siku ya Christmas! Kwa mujibu wa biblia
    “naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.

    - Wakolosai 1:15 hii inatuambia kuwa Yesu alizaliwa kabla ya vyote vilivyoumbwa ikiwemo dunia.
    Hivyo kusema tumzingatie Yesu aliyezaliwa siku ya Christmas, hiyo ni nje ya Biblia na biblia pekee! Labda awepo Yesu mwingine sio huyu aliye Alfa na omega!!
    Siku hii ilikuwa ni siku ya sherehe ya Mungu jua aliyekuwa akiabudiwa na dola ya kirumi.

    • @iwillgoseries
      @iwillgoseries  6 місяців тому

      Jambo analoliweka wazi mchungaji Samuel Mbayi ni kwamba hatufai kudhamini krismasi kwasababu ya kuzaliwa kwa Yesu maksuudi ya Mungu sio hayo ndio sababu siku ikawekwa kuwa siri.
      Mtizamo wetu tuuweke kwa Yesu Kristo ambaye kwa damu yake tukapata ondoleo la dhambi.

    • @rabinoonlinetv.7242
      @rabinoonlinetv.7242 6 місяців тому +1

      Mtu wa Mungu, sikiliza kuanzia dakika ya 2'14'' hapo,
      Pr ameweka wazi kuwa Yesu alizaliwa siku ya Christmas na kwasababu somo linasema msimamo wa kanisa juu ya Christmas basi hiyo ni kusema kanisa linatambua kuzaliwa kwa Yesu katika siku ya Christmas jambo ambalo SI KWELI "msimamo wa kanisa tungepata ndani ya biblia au Roho ya unabii, ila kwa kuwa hakuna sehemu amenukuu huo utabaki kuwa msimamo binafsi na sio kanisa!!''
      #chrismass ni siku kuu ya kipagani ilisheherekewa kwaajili ya mungu jua!

    • @iwillgoseries
      @iwillgoseries  6 місяців тому

      Kulingana na wanaosherekea wao hawafanyi hivyo kwasababu ya Tamusi wanafanya hivyo wakifikiri ni Yesu yule aliyezaliwa na Yusuf na Maria Bethlehem kwahivyo mchungaji anatumia dhana hiyo kusahihisha.

    • @mush337
      @mush337 6 місяців тому

      Kwa hivyo yesu kristo akikuja Leo pastor ataenda motoni kwa hilo na wewe utaenda mbinguni kwa kusahihisha pastor?

    • @iwillgoseries
      @iwillgoseries  6 місяців тому

      Wakwenda motoni na yule wakwenda mbinguni sio kazi yetu ni ya Mungu.
      Kazi yetu ni Ile ya Mathayo 28:19...