Hakuna mwanamzidi aliekuwa ananingiia akilini kama Z Anto jamn sema hata tujupe saport urud gemu utatoboa tu bwana daaahhh huwa sichok kusikiliza nyimbo zake
I just came to my senses and I believe there are people who are so talented and creative and yet, they dont get the credits they deserve...Could someone tell me how someone that's a regular musician could pull off his lines, especially his first verse?
im american but im kenyan too i love this song and i like the songs anita na binti kizwi , na penda muziki wa Kenya , ( i also recommend the song nina noki )
Siku moja nimelala nikaota kwamba Demu ananiita uzuri wake mfano hakuna Hakasema kwamba ananipenda sana Alafu akanachia namba kiganjani mwangu alafu akapotea Hakusema kwamba anaitwa nani hakusema kwamba anatokea wapi Alichosema yeye siku moja tutaonana Ndo ndoto ikakata nikastuka mara simu yangu ikaita nikapokea nikasika kiss Alafu nikasikia z sikiliza ujue nakupenda sana
Nani anaisikiliza Track hii baada ya kinyang'anyiro cha uchaguzi huu 2020 ambao haujawahi kutokea tng kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru.I will never forget mazingaombwe ya nchi ya Kusadikika
Z anto kwa vile umesharudi kwenye gem....bas ushauri wangu hii ngoma itolee video....broo....bado ngoma inahit na itazidi kuhit na kuwaaminisha mashabiki kwamba kweli mzee umerud kabisa...Hongera bro... By Ali Joshua From Zanzibar
2024 and the song is still a hit😊
Mpenzi jini! This was a great composition. Much love from Kenya 🇰🇪
big love
When songs were songs.....acha za siku izi azina maana....pita na like ka unakubali
Umesema ukweli wote they were real songs
@@VeronicaOdero-dc1jgtuko hapa 2023
I ,in wormeyeview, saw an ant biting the queens toe and the queen smiled at it.😊
I still have a whole album
Yeah I still love the song
Waliokuja kuckiliza tena hii ngoma ndani ya mwaka huu 2024 like>>>>>>>
Kwani hw waimbaji wako wp jmn? Au ndo wamezeeka😮😮😮😮
@@ASHAKHAMISMUSSA Maybe wamezeeka😃😃
❤❤❤
Niunge mkono kama bado unaipenda hii nyimbo
Tupo pamoja
@@angerakusaja554 sana
Iko 🔥
Daah kam hii ngoma umeiskiliza tena weka like yako hapo
Ya kale ni dhahabu!
Bado tamu
Nani anaeza kua anasikiza utamu wahii nyimbo
Kabisaa
Ane isikiliza mpaka leo 2019....?gonga like twende sawa
Pamojaaaaa
Tupooo
I never knew mb dogman was in this song!
Pamoja was my favorite
pamoja ni song gani!
Respect sana Z nakukubali sana japo umepotea kwenye game,ila kila nikisikiliza ngoma zako hua nahisi nasikiliza panch mpya kutoka kwa Z anto
Representing 254 Nairobi Kenya, I love this guy he is so talented where did he go?? We need him back to the field
🥺🥺🥺🥺❤️❤️❤️❤️❤️
@@nyachintaban1969woes 0l999olo0oookoooll0909loooo9 89
@@nyachintaban1969 he has a UA-cam channel
2022 Still The Best Of All Times👏🔥
💯
Indeed❤️
Still best of best bongo flavor ... the beat its self is lit🙌
Mziki mzuri unaishi
.....sio kwa ubaya lkn generation hii🙌💔
Mziki mzuri unaishi
.....sio kwa ubaya lkn generation hii🙌💔
Hakuna mwanamzidi aliekuwa ananingiia akilini kama Z Anto jamn sema hata tujupe saport urud gemu utatoboa tu bwana daaahhh huwa sichok kusikiliza nyimbo zake
Kabisa
Na waku bali awa wa jama sana yani na wa miss
mwanangu we acha tu natamani hata nimtafute nimgharamikie arudi tena
2019 june bado tupo hapa...gonga like tusonge mbele
hv nyie mko wp rudin kwenye game
Kweli saiv wanatuimbia ujinga tu
Z Anto🔥🔥 this never gets old bruh. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
I just came to my senses and I believe there are people who are so talented and creative and yet, they dont get the credits they deserve...Could someone tell me how someone that's a regular musician could pull off his lines, especially his first verse?
Umekosea kaka
@@ahmadlitwe7190 aje?
😂😂😂
Eeeh
@@ahmadlitwe7190 ufafanuzi kiasi... kuelemishana sidhani itakuwa ni kosa🤔
Here in 2024,happy valentines guys ❤❤❤
😂🙌
Listening this song all the way from childhood... Lol. We need this guy back in the studio..
From Kenya to the worls
Listening to this 2023😂 used to be my favorite nikiwa high school.. So many memories ❤
anasema ananipenda,,anasema hatonitenda,,hata pete ashanivalisha,,always remind me of my first love
Jamani' hongera sana kwa kumbukumbu
No doubt this will never fade cause once it's on ,,,,,,it hits different.....Never getting old
Weka like hapa twende Sawa... Sept 2019
Who is watching this in 2018? Beautiful voice,greetings from 🇺🇸💙
Stars Love here
me
me I miss his voice
same here
Me
zama hizo watu walikuwa wakiimba na heshima sio kuonesha uchi
Mwanaisha boto kwel kabisa saivi matusi na kuonyesha nyushi2
Kweli Dada
Poa
Jamani tulipotea wapi! wimbo siku hizi lazima uwe na wasichana uchi; wanaume mara nyingine, uchi umekuwa shina la video zetu
Ukweli heshima ya mziki wakibongo imeshaisha kabisa.miziki ahina ata mvuto.
When songs were addictive like killer drugs🔥🔥🔥❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wryu
Nilikua naipenda sana hii nyimbo leo 20-1-2019 naisikilza tena
Wimbo huu unanikumbusha ujana wangu. The year 2007 nikiwa kidato cha kwanza.
Ujana kweli ni maji ya moto..yanapoa haraka mno.
It's 2021 and still watching this phenomenal song.
Since 2008... More than 10 years later we are here wow.
2021 bado ibamba to bamba
October 2019 Nani ako hapa, gonga like
Niko hapa
Love you from congo
Haaaaa
Rundi kwa game brother tamu sn nice sn hot good
Diamond 💎 ameharibu industry ya song itakua ngumu sana
im american but im kenyan too i love this song and i like the songs anita na binti kizwi , na penda muziki wa Kenya , ( i also recommend the song nina noki )
SIO MZIKI WA KENYA ACHA UONGO....NI MZIKI WA TANZANIA HUO OLD SCHOOL
Agree on ninanoki, that was a massive hit
That is no kenyan music iys bongo flavour fro bongo TANZANIA
This songs made me to love bongo songs because they had meaning back in 2005 class five....
I missed those days when songs when pure talent
For real
For real now ... speed zao ni mediocre 😂😂
From Mombasa Kenya 🇰🇪 Bado Namskiliza Tu Sichoki Mziki Mtamu Old Is Gold
I will always watch this....big up. Good work z anto
Good song,hunikumbusha mbali,Ndo song niliyoichagua kucheza siku ya kitchen party yangu 2007Dec
Mwamba unaniliza nikikumbuka hizi moment, yani hapo Nina karedio ka NAKIVA nalinda tumbili shambaniiii.
still fresh as a cucumber. vocals and lyrics that dont hit the ears but the memory.
Kwa roho zetu bado Zanto ako juu.... Nyimbo Zina maelezo na message ya kusisumua.. 🇹🇿 🇹🇿... 🔥 🎇 🔥... 💯..
2019 japo sina bado ananipenda mpenzi kiziwi, wangapi wako online tuwasongeze mbele wasanii wetu
Zula Chama nipo hapa ndugu
2020
🎉 🎉🎉🎉 Kenya...zedy siku zote....ngoma yake utamu hauishii
It's 2019...and i stll can't stop listening to this great song; Anasema ananipenda anasema hawezi ni tenda
unaeza skia wimbo ukakumbuka mahali ulikuwa adi harufu.... enyewe siku zinasonga☺☺☺
2024 like hapaaa
Still a master peace ✌️
Sounds Like #Sitolipiza by Almasi Nillan 😮🇰🇪 ua-cam.com/video/_96C3bK_tfI/v-deo.html
Hta k nko stress kiasi lakini nikiweka hii vibe nko poa kbx
Mpka December hii 2019 kma n wew unachek hli goma gonga like twende ztu 2020
Wanawake wote wangalikua kama huyu jini ndoa mingi hazingelivunjika
2024 na bado heati💯🔥🔥🔥🔥
Hakika wanawake matapeli wamapenzi
Hizi nyimbo ni tamu, wamevaa vizuri si uchi wala kuonyeshana utajiri..#evergreen
Priceless 💯👌👌💕
Hadi waloe nazipeda
Hapana leo watu wanatuimbia wakiwa uchi, na fujo tu kwenye sikio zetu. Uwa napenda sana nyimbo izi zakale.
This guy was so talented!!! where are you Z anto!?
Siku moja nimelala nikaota kwamba Demu ananiita uzuri wake mfano hakuna Hakasema kwamba ananipenda sana Alafu akanachia namba kiganjani mwangu alafu akapotea Hakusema kwamba anaitwa nani hakusema kwamba anatokea wapi Alichosema yeye siku moja tutaonana Ndo ndoto ikakata nikastuka mara simu yangu ikaita nikapokea nikasika kiss Alafu nikasikia z sikiliza ujue nakupenda sana
this is love❤🎉😊 from Moçambique 🇲🇿
Ilikuwa sawa. Siezi kataa nlitesa hii ngoma pale mtaa, noma. Shukran Anto.
Am from Dr congo and I love this song. Big up
Kali sana hii ngoma saiv ni utumbo hamna ujumbe ,umeona tusi lolote hapo bigup sana Z
Kama Bado unaichekii hi nyimboo mwaka huu 2020 gongaaa like hapaa👍👍👍
Wow
Zamani nyimb nzuri heshima ipo hkuna kuonyesh uchi w mnyama daahhh leo imekuwa kelo et diamond ndo noma 😢😪 love nyimb z zaman.
this song never gets old I love it 👍👍👍👍👍
5years later am still here
2020 still hot
Amaizing song
always lit💯💥 of all times
Kama wakubali walikuwaga watunga mashahiri wasuri kulikoleo gonga like
2023 ❤❤❤ kma uko hapa Bado gonga like ❤❤
Nipo hapa tunapambana nayo 2024 na mpaka 2099 kama nitakuwa sipo like zangu kwa mtakaofika mwaka huo😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
2020 January representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
November
2022
Feb 2022
Nani anaisikiliza Track hii baada ya kinyang'anyiro cha uchaguzi huu 2020 ambao haujawahi kutokea tng kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru.I will never forget mazingaombwe ya nchi ya Kusadikika
We really need music like this...we need him back
Nyimbo za kitambo ndizo zilikia nzuri ❤❤❤❤
Old is gold 💕🔥
2026 tuko wangapi tunauskiza huu wimbo
The East African Community should do something. Napenda ngoma zake Z-Anto, na popote ulipo, rudi muzikini.
Since primary school 2007, it was my favorite. ...bdo naipenda... Kwnzaaa io beat maaaaaan....
Hata mm nilikuwa la 7,huu Wimbo mhhh.
Imgn singeenda chuo mrng ka cjaskiza hii ngoma Kuna radio flani nakuru inaitwa sauti ya mwananchi kila mrng 5 to 6 lazima wangeeka hyo song......
This masterpiece was a bang when we was kids.
Those born in 2000's really enjoyed their childhood your blessed
Even 90s
❤❤ much love for the composition
Wadau! Wapi likes za 2020?
So talented arudi jikoni tena na binti kiziwi she is free now... 2020 feb bado niko hapa
JUNE 2020 gonga like, ZANTO alihit mpaka leo
Z anto kwa vile umesharudi kwenye gem....bas ushauri wangu hii ngoma itolee video....broo....bado ngoma inahit na itazidi kuhit na kuwaaminisha mashabiki kwamba kweli mzee umerud kabisa...Hongera bro...
By Ali Joshua From Zanzibar
My God his voice is just wow🤤🤤❤️❤️❤️❤️❤️
Team #Zeyd Antony ukoo juu tuu sanaa wallahi u have cute voice tunakuhitaji team #King Kiba
Leo ndo nimeicheki tena 24/09/2018/2019 ngoga like twende zetu
Bado tuko samani manze inakaa new day tu day tunakupenda ❤
nice beats, the mesage and all. i really luv this guys music. i hope he will do more.
Dah hii ngoma nakumbuk tuliicheza disko ma DJ mungu anawaona
Wangap wap September 2019 jmn kama naww upo bas tujuane apa
2019 Mungu nijalie kabla haujaisha nipate mpnz Jini.
I miss hm a lot 2018 nimerudi tena nakumbaka enzi hizo niko primary
Napenda sana huo wimbo,sijui huyu jamaa alipotelea wapi
z anto be the best love this guy his songs mwaaaah they trigger me when am sad 💯💥💣
November after WASAFI FESTIVAL 2019 gonga like pamoja
I am not understand but i like this song sawihili, i am from Borama, somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 may be talking about neglected a love.
He is singing about the love, some one love him, who is not apeople just like amazing people from the ocean...
Kama kuna anaecheki hii ngoma mpka 2019 Kama mm twende sawa like
Rizy Mollel Jr mm hadi 2020 naikubali
Alot of creativity....how on earth could some think of loving a ghost.....well placed....big up bro still rocking..
'jini jini ananipenda sana mimi'...............
SAFI KABISA ..............HAITAWAHI ISHA UTAMU HUU WIMBO
Pure talent at ts best...Z Anto ur greatly missed...
naipenda sana hi nyimbo inanikumbusha mbalikweli nikiskiya na baki nahuzunika mpenzi jini
Kama tuko pamoja 2020 gonga like
Mpaka sa hii naipenda hii wimbo,sana adi naikumbuka girlfren wangu mumeru.nikiwa moi university meni camps in year 2002
Song will still live on.... Love it
To this year 2024 I still enjoy the song. It's really amazing 😍. I love you 💕 whoever is reading this comment and God loves you more 💕
The best of the best 💯
Hadi Sai 2024 napenda hii song 2016 nikiwa na ball ya mtoi wangu nilikuwa Naka kuirudisha waah