Tena awana walichofanya mitaa ya nchi nzima watajitapa na vibarabara vya mwendokasi na tren ambayo miaka kumi yote badara ingifika ata kigoma lakini imeishia dodoma kaziyao kufuja pesatu awasomi alhakumu
Ili Chadema kushinda inapaswa kukijenga chama kifike kwa watanzania wote. Vijijini kwenye wapiga kura utakuta kijiji kizima hakuna upinzani, unatarajia nini katika uchaguzi?
Kila kijiji mkoa wilaya majiji tukiitisha maandamano na mbinu ya kuwakabili bila kutawanyika awawezi zibiti semina zakuandamana ziwepo ili watu wazijue tukitawanyika inawapa wepesi kukamata bila woga
Saidi Ally Mwanangu mbona una matusi sana umeyatoa wapi hayo? Mwanangu huna masikio ya Kuna na Wala huna macho yakuona figisu zote hizi huzioni Wala husikii. Yaani wewe binafsi hujitsmbui na Mungu hawezi kukuacha ktk hili. 10:15
Nyinyi chadema msituletee mambo ya American dream sisi tunataka African dreams na Tanzanian dream hatutaki ushoga LGBTQ hapa kulalanika kwenu nii shala yakushindwa maana hamna sela mnatakiwa mtuambie tukiwapa nchi mtatufanyia nini hilo ndio jambo la muhumu kwetu wewe mwenyewe siku ya maandamano ulikimbilia kanisani sasa wewe kusema Rasi mtoto wake analala waziri ambae nimume wake kunatatuzo gani je ulitaka alale na mama yako au mkeo acheni ujinga bwana acheni chuki na uroho wamadaraka 😂😂
Asante sana Rema mungu akubariki uendelee kutupigania
Safi sana... Kuna mtu amepata majibu yake
WELL SAID MAKAMANDA
Fungeni Radio tusikie vizuri
Tuna uchungu sana
Amekopa pesa nyingi uku kodizetu anatukwida kila kukicha
ASANTE LEMA umeeanza kuwatonya lakini NAJUA watakupuuzia KAMA walivyo fanya wakati wa mwenda zake na ukiongea KAMA hawakusikii😅😅😅😅😅!!!!!!?
Wa tz wengi sana tukiamua mbona asubuitu watakiona chamte makuni wao na walinziwao
Tena awana walichofanya mitaa ya nchi nzima watajitapa na vibarabara vya mwendokasi na tren ambayo miaka kumi yote badara ingifika ata kigoma lakini imeishia dodoma kaziyao kufuja pesatu awasomi alhakumu
Taifa lililokuwa nuru ya Afrika na Dunia Sasa limekuwa Giza, ee Mungu turehemu
Ccm nambari one!!! Wengine wote wasenge tu hasa chadema
Wee endelea kusoma madrasa maana elimu Dunia huna
Tena barabara ndio akuna kabisa
Ili Chadema kushinda inapaswa kukijenga chama kifike kwa watanzania wote. Vijijini kwenye wapiga kura utakuta kijiji kizima hakuna upinzani, unatarajia nini katika uchaguzi?
Hii nidalili yajushindwa ndio maana washaanza kulalamika mapema 😂😂😂😂😂
Kila kijiji mkoa wilaya majiji tukiitisha maandamano na mbinu ya kuwakabili bila kutawanyika awawezi zibiti semina zakuandamana ziwepo ili watu wazijue tukitawanyika inawapa wepesi kukamata bila woga
Lema mwanaume mpambanaji mpaka raha
DAH KUDHAMINIWA NA MAREHEMU 😢😢😢😢
Suala la kudhaminiwa na marehemu nadhani ni propaganda tu ya kuchafua mchakato. Siasa duniani kote ndivyo zilivyo.
Saidi Ally Mwanangu mbona una matusi sana umeyatoa wapi hayo? Mwanangu huna masikio ya Kuna na Wala huna macho yakuona figisu zote hizi huzioni Wala husikii. Yaani wewe binafsi hujitsmbui na Mungu hawezi kukuacha ktk hili. 10:15
Mwisho wa maongezi mkakati wenu ni upi???
😂Sirari yupo mwachama mmoja.
Hawa ccm sio wakuwaunga mkono kabisa mana nikumsaidia shetani
Huyo nchimbi ni shetani .
Mim hata sielewi hata hawa wakipewa nchi sio kitu
Nchi ni ya wananchi! Hakuna mwenye nchi ili awape wengine nchi! Waliongangangania madarakani siyo wenye nchi. Wanayo dhamana tu ya kuongoza!
Kama chadema hawajajiandaa kwa nini hawafanyi uchaguzi wa huru na haki? washenzi wakubwa hawa CCM na mama yao mambwa hawa nendeni nao sambamba
Nyinyi chadema msituletee mambo ya American dream sisi tunataka African dreams na Tanzanian dream hatutaki ushoga LGBTQ hapa kulalanika kwenu nii shala yakushindwa maana hamna sela mnatakiwa mtuambie tukiwapa nchi mtatufanyia nini hilo ndio jambo la muhumu kwetu wewe mwenyewe siku ya maandamano ulikimbilia kanisani sasa wewe kusema Rasi mtoto wake analala waziri ambae nimume wake kunatatuzo gani je ulitaka alale na mama yako au mkeo acheni ujinga bwana acheni chuki na uroho wamadaraka 😂😂
Lema wewe ni mwamba