PART9:MWANAUME ALIEZAA NA NYOKA APATE UTAJIRI/NILIMUUA MAMA/NILIUZWA NA MCHUNGAJI/BABA NYOKA VICHWA7

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 518

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 3 роки тому +1

    Ampokeee YESU,VIFUNGO VINGI VITAISHA,Shetani hawezi kitu mbele ya SHETANI

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 роки тому +25

    Kweli kupitia story hizi najifunza mengi Sana kuhusu siri ya maisha.

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому +10

    Mungu tupe roho yakutufanya tutosheke NA vitu tulivyo navyo. Tusiibe wala kutoa Familia zetu kwasababu ya utajiri usio dumu

  • @shabanikinyenje8168
    @shabanikinyenje8168 3 роки тому +8

    Dani hapa nimechoka mwenyewe,nashindwa hata la kuongeza halafu muonekano wako na hayo unayozungumza ni vitu viwili tofauti.Bora ulivyoamua kuacha maisha gani haya

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +1

    Kweli Mungu awasaidie watoto wetu. Tamaa mbaya sana. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidiii mtafanikisha. Ndagu na hela za kipepo zina muda mfupi. Na malipo yake ni magumu na machungu Jesus christ.

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +5

    Mungu wangu leo nitaota nimekuwa mtu wa 1 💃💃💃wakat nashikaga mkia

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 роки тому +1

    Mungu ndiokilakitu hakuna kama mungu. Mungu mzuri, mungu mwema, mungu ndio wakufuatwa ibadandio mpango mzima heshima kw mungu⭐🌙🕋🕌

  • @omarymalenge4856
    @omarymalenge4856 3 роки тому +40

    stor hii tunavyoiskilizia kama tunangojea mshahara Asee !

  • @alihussein832
    @alihussein832 3 роки тому +1

    Diamond platnumz mmoja wao ukiangalia maisha yake

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 3 роки тому +3

    Duuu!!!
    Mama katolewa kafara, kisa pesa na utajiri! Dunia hii ya ajabu sana.
    Hadith njoo utamu kolea!
    Davista Hoyeeeeeee!!
    Long live Davista!

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому +1

    Subhanah Allah, mpaka nyie pia mtapotezwa noma sana aiseee

  • @philimoyo7707
    @philimoyo7707 3 роки тому +1

    Dani shetani alikuwa anakuitaji sana.umekimbia kenya nyoka anarudia kukutana na nyoka tena.ama kweli ibilisi wa mtu ni mtu.nimeamini mtoto anaweza kumuua mzazi lakini mama ni ngumu kumuua mtoto.mungu nipe moyo wa subira na uvumilivu .nakupenda mungu nitetee sana katika imani yangu.ya dunia ni mengi.

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 роки тому

    Mungu atunusuru sana subhaannauwaaa ewe mungu ⭐🌙🕌

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 3 роки тому +3

    Iyi history ni number one bro ,fikisha aye mwisho kabisa (cape town tuna enjoy)

  • @fatmamustapha6929
    @fatmamustapha6929 3 роки тому

    Daaaah we Kaka umenifanya nigundue kitu Kuna mzee mmoja huku nungwi anapenda Sana watoto wadogo na ananunua Sana wanawake na anapesa za kumwaga kwa mabunda na mwisho wa mwaka anachoma pesa teleeee na akitembea na mwanamke haolewi hazai kabisa duuh mtihan wallah

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 3 роки тому +1

    Kumbe njomana wanawake wengi awaolewi jamani kwa mtindo uhu Mungu atusaidie wanawake

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 роки тому +2

    Mungu kaumba roho hajazaa bn nawee mungu hajazaa wala hajazaliwa kaumba kumbe matajiri abao hawafungi ndoa wanabadirisha wadada kumbe wanamkataba nasheytwan dooh hatar allah atuepushe jamani masikini hasa unaendesha gari afuu unamsikia mama ako analia ivo wee unaraha gani nahiyo pesa jaman dunia mapito kila kitu tutakiacha hapa dunian

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 роки тому +3

    Ebu huyo jamaa atupe num zake za whattup I just like his honesty his not fake amejifungua kabisa

    • @nurusky
      @nurusky 3 роки тому

      The same too.Tunaiomba namba ya Mr Danny

    • @danielsteven88
      @danielsteven88 3 роки тому +1

      0679773308

    • @nurusky
      @nurusky 3 роки тому

      @@danielsteven88 Thank you Mr Daniel.God bless you

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 роки тому

    Mungu atusaidie

  • @rosehopekenya699
    @rosehopekenya699 3 роки тому +2

    This guy is very strong 😃😃😃😃😃Rudi tu kenya . Nitakupea accommodation

    • @nasrasway7143
      @nasrasway7143 3 роки тому

      Awezi kudhubutu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 роки тому +2

      Hakuna Mtanzania anaejielewa mwenye hamu na ndoto za kuishi na Kenya.Heri kuishi Somalia kuliko Kenya.

  • @lavenalol5944
    @lavenalol5944 3 роки тому

    Asanten sana wangu Mungu azid kuwalinfa

  • @asantielmoshi6545
    @asantielmoshi6545 3 роки тому +16

    Davistar kweli hii kitu inashusha sana heshima ya kazi y!ko naww pia.
    Heb mkishataka kushoot zimen cm mkae kwa utulivu muweke setting za mic vizr
    Page ishakuwa kubwa hii

    • @sitinassy8772
      @sitinassy8772 3 роки тому +2

      Usimlaumu uwezi jua anatumia vifaa vya aina gani may b sio digital n vinataka attention

    • @nurudaud3993
      @nurudaud3993 3 роки тому

      Fact 🤝🙏🤗

    • @ashurajuma4837
      @ashurajuma4837 3 роки тому +1

      Fact page imekuwa kubwa

  • @lindaaduma7930
    @lindaaduma7930 3 роки тому

    This is a great eye opener into the spirit world. Nimejifunza mengi sana.

  • @himoda7647
    @himoda7647 Рік тому

    Yani hii stori nimeiskiliza 2020 naiskiliza Tena 2022 nimeipenda san ❤

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 3 роки тому +1

    Dunia kuna mambo magumu jamani tumtumikie mungu sana tuepuke na mitego ya shetani hii channel imetufunguwa macho

  • @idrisanaumanga6410
    @idrisanaumanga6410 3 роки тому +14

    Huyu jamaa kafanana na RC wa Iringa Mh. Ally Happy, copy kabsaaaa!

    • @famitonawanda4831
      @famitonawanda4831 3 роки тому +1

      Kkkk ilikua nafikiria huyu jamaa kafanana na nani Ila umenipatia ni Kweli kabisa

    • @upendoluv7197
      @upendoluv7197 3 роки тому +1

      Aaaah Sasa umenifungua nikijiuliza Amefanana na Nani

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому +1

      Kweli anafanana sana kumbe nawe umeona

    • @witneyjerry1293
      @witneyjerry1293 3 роки тому

      🤣🤣🤣hata mimi nilikua namfananisha naye...

    • @agaaah6697
      @agaaah6697 3 роки тому

      Hapi

  • @atupeleasanwisye1446
    @atupeleasanwisye1446 3 роки тому

    Mungu anipe mwisho mwema

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Duuuuu Mungu nisaidie hii hali ipitie kushoto mm kulia eti mwanamke anapewa ladha kuharibu wanaume subutu mwendo wakupambana nahali yangu

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 3 роки тому +1

    Kijana nakupata sana,unajua kujielezea

  • @amillahqueeen5586
    @amillahqueeen5586 3 роки тому

    Wallah ni htr sana mungu tufanye tuwe wenye kuridhika tamaa itakufanya umalize watu

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 роки тому +9

    Yaan nimekesha UA-cam leo jamani....kaka Davistar unatuweka sana aisee

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому

    Kweliii na hakika 2021 watakuja wakali zaidi hongera sana davido story tamuu sana endelea kutupa raha nakujifunza

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Subhanah Allah, kk Dani chenye unaongea ni kweli kabisaa hayo niliwai skia kitambo sana kuhusu mmbo na Freemason

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 3 роки тому

    Uyu Jamaa anasimulia aku akifundisha nakufafanua maagano

  • @maftahramadhani2382
    @maftahramadhani2382 3 роки тому +1

    The best to me this story

  • @esthermaluko5621
    @esthermaluko5621 3 роки тому +4

    Jesus Christ😌🤔 cover us with your blood 🩸 ohhh Lord Jesus🙏🏾

  • @عباسعباس-ش9ه4ت
    @عباسعباس-ش9ه4ت 3 роки тому

    Mungu atukinaishe juu ya hii dunia atupe mwisho mwema

  • @steveboen5562
    @steveboen5562 3 роки тому

    Napenda juhudi zako davi

  • @shristinangitu2607
    @shristinangitu2607 3 роки тому

    Dunian kuna mamb Aiiiiise mungu tupe mwisho mwema

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Ww kaka ubarikiwee Sana yaaan nnapenda mzik mie doohhh wallah mungu atusameee hatuna tujualo tumefichwa Sana yaaan

  • @hobokelajackson1947
    @hobokelajackson1947 3 роки тому

    Nimejifunza Mengi Mungu turehemu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому

    Subuhanallah kesho Kiyama kunamambo

  • @poncianangonyani2595
    @poncianangonyani2595 3 роки тому

    Mmmmhhh ee mungu tusaidie

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 роки тому

    Badada Badada bamjini banataka bamutu bana pesa 😂😂😂😂😂utasikia bamimi basideti na bamutu bana pesa jamani tujiepushe na uhuni ulevi tufanye kazi Badada

  • @systemnatubukwajinalababam8976
    @systemnatubukwajinalababam8976 3 роки тому +2

    Utajir washetani haudumu. Ila WA mungu unadum hata milele. Mshinde shetani kwa maandiko. Soma Marko 7,20.soma mathayo 11,28-29-30.

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Bwana Yesu upewe sifa haya mafunzo yote huyapata kwa Askofu Gwajima

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +4

    Subhaana Allah vijana hawana imani na mama wanachagua utajiri kuliko mama maskin kapata tabu kubeba mimba na kuzaa na kulea kumbe mama analea adui yake

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭haki nimelia mm sina mama wengine wanatafuta utajiri kupitia mxaxi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Hatari yani

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@nurafedrick378 pole sana

    • @judithshabani1272
      @judithshabani1272 3 роки тому

      Ila kama amesha tubu mungu wa mbinguni ata msamehee asiongeye jutu yakuongea ila yatoke moyoni pia aende kukaburi ya mama yake aungame juuu iyo ni kosa sana mama aliye kuzaa unamufanyia ivyo Apana kweli katubu ili usamehewe

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому

    Hatari tamaa mbaya sana

  • @victoriakyara8000
    @victoriakyara8000 3 роки тому

    Acha tu nife maskini kwa haya yanayoelezwa ni mambo mazito sana humu dunuani kumbe wanadamu wana roho ngumu hivi daaah🙌🙌

  • @aishahernandez4201
    @aishahernandez4201 3 роки тому +1

    Yoooohhh bitamu ila binatia uoga ila tuko sambamba

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 роки тому +2

    unaenda kwa mganga upewe utajiri mganga mwenyewe anaishi kwenye kibanda cha nyasi kwan mganga yeye ataki utajiri 😀😀😀😀😀😀

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Subhanah Allah, aitwe nyoka uongee nae

  • @jesusismyking5292
    @jesusismyking5292 3 роки тому

    Mungu asahidie wachana wana lala nawanaume nyeye siyo mabuwana wao

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому

    Waaau i was waiting kweli shetani anafanyisha watu wa Mungu kazi chafu tamaa baya thanks for sharing ndo watu wajifunze mengi.

  • @eunicemsigo9677
    @eunicemsigo9677 3 роки тому

    Mungu bariki wanao wasiingie kwa janga kama hili
    Mola turegemu sisi wanao

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Subhanah Allah, kk Dani umeamuwa kuuwa mamako

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 роки тому +13

    Davistar this time umepata mtu anaushuhuda wenye nguvu na pia ushuhuda wenye mafunzo

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 3 роки тому

    Hatari kamili.

  • @g.d.d1481
    @g.d.d1481 3 роки тому

    David samata iyi kali kabisa

  • @kikoadventures6933
    @kikoadventures6933 3 роки тому +5

    we jamaa unatutesa sana, ungejua jinsi tunasubiriaga hizi session ni konyo.

  • @saadahassan1437
    @saadahassan1437 3 роки тому

    Eheee Mungu tunusuru na tamaa mtihani mnoo jamani

  • @sleymankassim4332
    @sleymankassim4332 3 роки тому +7

    Hahahaah huyu jamaa ni zaid ya zabron

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 роки тому +1

    Oyooo oyooo sema nn CHAPA nembo Davistar Nakubal

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 3 роки тому +3

    Duuuhh Mwatoa siri za diamond platunmz

  • @emanuelymungure4361
    @emanuelymungure4361 3 роки тому +2

    jamaa anaeleza uzuri sana.... big up

  • @zoey2635
    @zoey2635 3 роки тому +1

    Ndio maana kwenye kila jambo tunafundishwa kuaanza na jina la mwenyezi mungu,hayta kwenye tendon la halali

  • @Randm-
    @Randm- 3 роки тому

    Mbona kama movie duh

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 3 роки тому +3

    Shetani ni muongo ni baba wawaongo
    Ni muhun kweli kweli ni kuwindaji amna chochote cha shetani kinachodumu hata siku moja maana havipo shetani hana umiliki kwa wana wa Mungu

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 роки тому +1

    Tobaaa 🙆🙆wanawake wenzangu mnaopenda wanaume halafu mnasema wana vibamia Kumbe wanaomabiringani wako kwenye maagano 🤣🤣🤣

    • @nagibtimimi6027
      @nagibtimimi6027 3 роки тому

      😂🤣kazi wanao

    • @sapnaabdallah1084
      @sapnaabdallah1084 3 роки тому

      @@nagibtimimi6027 😂😂ww Jee!!

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣Pumbavu kabisa kumbe wapenda matango wanao yasifia yashawakuta😂😂😂🤣🤣🤣mkome.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nagibtimimi6027
      @nagibtimimi6027 3 роки тому

      @@sapnaabdallah1084 😂🤣 sina birigiani

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Davistar leo umekutana na pastor mwenyewe

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 3 роки тому

    Waooo Dav,,, tuko pamoja mwanzo mwisho. One love.

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 роки тому

    Mungu wangu mpka nyoka iii mungu yisaidie ii pes pesa Oooo hapo kwenye nyoka sasa mm tunajifunza mengi Mungu turehem tu yaan Mama kumyoa mtu yoyot hata si dam yako hurim kuwatoa mmm

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Aiseeee kumbe itakuwa unalala na wanawake wengi kwa siku, ila ingelikuwa yupo na dawa hiyo ingelikuwa uzuri😂🤣🤣🤣

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Kk Dani mueleweshe kk Davi ajue chenye unaongea 😄😂😂😂

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 роки тому

    😂😂😂Jamani muanze kuonja sasa kama supu chumvi imekorea hau vep😂😂

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Subhanah Allah nyoka awe babako tena

  • @innocentmussa9724
    @innocentmussa9724 3 роки тому

    Tunajifunza vitu vingi sana

  • @kefasoneliakimumkeyembo1804
    @kefasoneliakimumkeyembo1804 3 роки тому

    Mh! Ee! Mungu tunusuru na Dunia.😧😧😧

  • @stivenmgonja5908
    @stivenmgonja5908 3 роки тому +3

    Iv hawa wanao dislike huwa wanasikilizaga au wana click tu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Kk Dani, hapo kwa roho zinatoka kwake Allah upo sahihi kabisa hapo na mtu akifa roho inarudi kwake

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 3 роки тому +2

    Nakubaliana nawe kuna wanawake wengine ni shda kabisa ukilala nae unaona hamna kitu kabisaaa

  • @IANA2030
    @IANA2030 3 роки тому

    Woooiiiiii😭😭😭 catholic catholic catholic whyyyyyy jamani nimelelwa huko siiitaki Yesu ni mwokozi wa maisha yangu.Yani si mapasta,Marists,mapadri etc eeeeh Mungu tuteeeeeeeeeeee.

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 роки тому +1

    Kweli hii media inatufunza vitu vingi na vyamaana

  • @yasimintinzan5144
    @yasimintinzan5144 Рік тому

    Wanaake nj,oon tujifunzen vt hapa hatar sanaaaa

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 роки тому

    wa mwisho nikae wapi 💺💺🇰🇪🇰🇪 pili musa sitaki unisingue leo nikona homa please niliwapea number 1 .nimezeeka wacha niwe wa mwisho😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 роки тому +2

    Subuhana Allah Allah atunusuru

  • @linahmwende8397
    @linahmwende8397 3 роки тому +10

    Mnaolalamika hakuna sauti tumieni earphones mtasikia

  • @eunicemsigo9677
    @eunicemsigo9677 3 роки тому +1

    Hii stori imenifunza.
    Wacha nimwabudu mungu nioate.mali halali
    Ambayo haina majonzi

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Mataa bado kuelewaa😢😢😢😢😢😢😢kamchoma ghaflaa ametoweka yy akitoka kilingeni akiendaa hm atapata msibaaaa wa bimkubwaa hapo nitamchukuwa kumueka nyuma yamlango aft 3day ampeleke chumba chasiri aazee kumpa pumbaa 😭😭😭😢😢😢😢😢😢😢😢😢mama😭😭😭😭😭😭

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому +2

    Davsta usimkatishe akitoka nje ya mada maana katusaidia Sana kutufungua yaaan yuko indeep kuliko wote waliyopita

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 роки тому

    Mmhh stori Yatisha jamani mungu Hatusili tu jamani

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 роки тому

    Mmmmhhhh show hizo balaaa.

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    nimechelewa sana leo

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 3 роки тому

    Jamani utajiri wafanya mtoe waxazi kafara kwa shetani hakuna cha bure na cku ukikosea masharti ndio kufilisika zaidi ya vile ulikuwa mwanzo

  • @Youngmituno
    @Youngmituno 3 роки тому

    Hii story tamu Sanaa

  • @جميلهتجونو
    @جميلهتجونو 3 роки тому

    Mtatuua sana kwa tamaa zenu tuwazae halafu mtuuwe bila hatia

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    😂🤣🤣🤣🤣 aiseee unaekwa nyoka ufanye umalaya, Subhanah Allah

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Hatari yani

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 noma sana aiseee

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@farhathamdansalum9725 shatani nuksi, anataka afanye umalaya ili apate na dhambi za kuzini, baada ya kuuwa mama yake.

    • @farhathamdansalum9725
      @farhathamdansalum9725 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 ndio hivo yani kuna majanga tu kila pembe

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 роки тому

    Heri unhelichaguwa hiyo ya nyoka😂🤣🤣🤣🤣

  • @GoldenDave01
    @GoldenDave01 3 роки тому +1

    Kutoka kenya, volume imemezwa na jini?