Tina Brenda Lébú lébú (Official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 328

  • @pboystriker4515
    @pboystriker4515 Рік тому +41

    Kilo 8 na nusu uzito wa kazi🔥🔥💉💉

  • @davidnondochano
    @davidnondochano Рік тому +2

    tina brenda ..uko sawa sana ...,ndo songs izo ..ngoja uje uchukue nafasi ya 🤐

  • @bernardbaru
    @bernardbaru Рік тому +28

    Umeuwa sana dada yangu 🔥
    Ongera kabisa 💪🏻
    Mungu akufunguliye milango mama👏🏻

    • @officialelman2
      @officialelman2 Рік тому +1

      Hapo ndo checheni shule ya mziki lazima afanye sawa kwenye mziki wake

    • @officialelman2
      @officialelman2 Рік тому +2

      Hapo ndo checheni shule ya mziki lazima afanye sawa kwenye mziki wake

    • @officialelman2
      @officialelman2 Рік тому +2

      Hapo ndo checheni shule ya mziki lazima afanye sawa kwenye mziki wake

    • @officialelman2
      @officialelman2 Рік тому

      Hapo ndo checheni shule ya mziki lazima afanye sawa kwenye mziki wake

    • @top10bestofnyarugusucam
      @top10bestofnyarugusucam Рік тому +2

      berna nakukubali saana unafanya vizuri saana uko kwetu congo

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 Рік тому +19

    My wangu TINA BRENDA ❤️🥰🥰

  • @eliasmutakwa3143
    @eliasmutakwa3143 Рік тому +4

    Love from Germany. Mwakole manga wetù mwana.

  • @kitimasalumu7196
    @kitimasalumu7196 Рік тому +5

    Tina Brenda mungu akubariki kwa kazi yako kwa sasa ww ndo msani pekee mkambi ya nyarugusu 👉🥰🥰🥰🥰

  • @Nyokaboy1999
    @Nyokaboy1999 Рік тому +8

    Umejitaidi sana mdogo wangu wimbo wako Bora kabisa na sauti nzuri yenye kipaji cha asili ndani yeke, Mungu akutangulie na azidi kukufikisha mbali na mbali

  • @CarvajalJames
    @CarvajalJames Рік тому +3

    Yani kazikubwa Sana hiiii ila tunasubiriya kazi yako wewe TINA BRANDA FT BEKANIZE OG ULA YA BABONDO uta tufurahisha Sana mana bekanize og anahuwa sanaaaaaaaa good job congratulation sister tina

  • @zainawangu5838
    @zainawangu5838 Рік тому +15

    My favorite song from you ❤❤

  • @kitimasalumu7196
    @kitimasalumu7196 Рік тому +5

    Tena brenda mungu akubariki kwa kazi yako kwa sasa ww ndo msani pekee wakike mkambi ya nyarugusu 👉🥰🥰🥰

  • @mwandjammbandoci1029
    @mwandjammbandoci1029 Рік тому +4

    Tina congratulations nimeona nyimbo Yako Sasa hv na kuikubali sana.
    Uko vizuri sana pambana

  • @DoctorEvarist
    @DoctorEvarist Рік тому +8

    Wow, you're the one of my favorite artist
    #Tina_brenda
    Congratulations

  • @oxy.creative
    @oxy.creative Рік тому +10

    Sisikii kitu ila dada ka ua❤❤❤ love from burundi🎉🎉🎉

  • @jackasthefuture2438
    @jackasthefuture2438 Рік тому +5

    Ametumia akili kufanya ANDREW kuwa vidio king 👑, hongera tina this JACKAS THE FUTURE

  • @almasiwilondja9019
    @almasiwilondja9019 Рік тому +1

    Hapo ndo penyewe sasa umeupiga mwingi tyu kazana sana unaweza kweli

  • @mayelelwebo8596
    @mayelelwebo8596 Рік тому +3

    Tina mwakole pour cette chanson. Bonne suite dans ta vie musicale.❤❤❤🎉🎉

  • @mrchopnyani7962
    @mrchopnyani7962 Рік тому +5

    Umehuwa dada ngu Tina♥️♥️♥️🔥

  • @marcrigain3326
    @marcrigain3326 Рік тому +2

    Ulijitahidi sana kwa wimbo huu, Ongera mingi, never give up Tina

  • @NyangeManenoNyamax
    @NyangeManenoNyamax 8 місяців тому +1

    😢😢 unaniumiza roho yangu Kabisa ❤❤❤❤ vizuri sana 😂😮😮😮😮

  • @tchofucyrillegloire5934
    @tchofucyrillegloire5934 Рік тому +2

    Félicitations Brenda

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому +2

    Hongerenisana mmejitahidi na umejiachiavilivyo kwa PAPA MUYA BIG UP

  • @janetshabani7638
    @janetshabani7638 Рік тому +5

    Uhu wimbo mdo wangu wa kwanza mimi kupenda camp yote nzima

  • @MbalikaPierre
    @MbalikaPierre Рік тому +2

    Uko vizuri sana dada❤

  • @MapenziSifa-um9ro
    @MapenziSifa-um9ro Рік тому +2

    Mungu akuzidishiye

  • @DulloGang
    @DulloGang Рік тому +34

    No more choirs, this one drop me crazy, keep it up #TinaBrenda u'll get there

  • @dilwesafaridi_jodan625
    @dilwesafaridi_jodan625 Рік тому +3

    Nakukubali sana kwa sahuti Yako ukipata mwandishi mzuri akuna atakaye kuzidi kamwe🔥🔥🔥

  • @MatsonDragon
    @MatsonDragon Рік тому +3

    Mzk wa Camp Huko na nguvu Kuliko Huko Ulipo kuwa Uvira Karibu Camp Tupande pamoja ila kikubwa Utafute Form kwanza

  • @mmosilubunga754
    @mmosilubunga754 Рік тому +3

    Andrew boy ft tina Brenda I love this song from Taiwan ♥️♥️♥️🔥🔥🔥

  • @bekanizeamimu4726
    @bekanizeamimu4726 Рік тому +3

    Big up queen tina good work this job is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kweli kweli see by BEkanize OG NGWENA ya babondo

  • @mundjelekalenga8199
    @mundjelekalenga8199 Рік тому +2

    Big up
    Tina Brenda
    🙊🙊🙊🙊🙊

  • @Alisa-wv6rh
    @Alisa-wv6rh Рік тому +2

    Wimbo mzuri Dadangu

  • @Baba_p7295
    @Baba_p7295 Рік тому +5

    Fire kazi indelee umeuwa mama 🔥🔥

  • @user-Heri_sango243.
    @user-Heri_sango243. Рік тому +2

    Mwa'kole manga 😊

  • @patientrashidiali9116
    @patientrashidiali9116 Рік тому +6

    Hongera Sana kukazi Vipaji vyetu

  • @mchingwaluhocha6024
    @mchingwaluhocha6024 Рік тому +5

    My favorite song for this month ❤️🔥🔥🔥Tina Brenda pambana sana na hiyo miondoko unafunika sana

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 Рік тому +3

    Nyimbo kali sana video nzuri sana Andrew ameuwa

  • @zagamanoti5908
    @zagamanoti5908 Рік тому +3

    Wapo wanao takiwa ku supportiwa
    Sondo hawa Sasa ❤❤ honghera sna ume upigha mwinghi

  • @Bilichadieudonne1
    @Bilichadieudonne1 Рік тому +2

    Hii Moja nimekubali Tina kwaniaba ya #stafa_entertainment nitowe hongera sana

  • @johnwajohnofficial1017
    @johnwajohnofficial1017 Рік тому +4

    Tina umeuwa sana ✊🥰🥰

  • @apolinaayebacanadienne7188
    @apolinaayebacanadienne7188 Рік тому +5

    Una weza sana my dear ❤🎉💪

  • @fatumamsambya
    @fatumamsambya Рік тому

    Tolo prooo broo nakk bali sanaa kwaii ngomaa umeee toboaa kweli

  • @marianasango5222
    @marianasango5222 Рік тому +10

    I love this song so much❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @providencefeza800
    @providencefeza800 Рік тому +3

    Hongera sana mtoto wetu, i love this is song ❤

  • @esasaabiangwa2818
    @esasaabiangwa2818 Рік тому +4

    Oya kuna wakati kibembe kina vibes sana❤🇨🇩💪🏾🔥💪🏾

  • @sulaimaniprince
    @sulaimaniprince Рік тому +2

    Big up my sister Brenda 💪💪💪💪💪

  • @alakiJeanPierre-zv8sj
    @alakiJeanPierre-zv8sj Рік тому +2

    Kazi nzuri dada angu

  • @medardisombya4755
    @medardisombya4755 Рік тому +18

    This song is 🔥🔥

  • @amisasalomo3179
    @amisasalomo3179 Рік тому +9

    I love this song so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊🥳🥳

  • @Bilichadieudonne1
    @Bilichadieudonne1 Рік тому +1

    Ukweli husemwa hii kitu ipo sawa na itaenda sana sema channel Bado Changa ila hii nikali sana itafika mbali binga nyingn kama hii

  • @lwitelabinga3770
    @lwitelabinga3770 Рік тому +2

    Nikweli uyo unanikubusha mengi. thanks Brenda

  • @Baba_p7295
    @Baba_p7295 Рік тому +4

    Lebo lebo ole iliove you so much Tina Brenda 🔥🔥🙏🏻

  • @Amisikashindi.
    @Amisikashindi. Рік тому +4

    Hii location umehua sana 🙏🙏 wimbo mzuri

  • @Oredi_MweusiTz
    @Oredi_MweusiTz Рік тому +14

    Love this song ❤❤❤

  • @rizikisafi
    @rizikisafi Рік тому +3

    Kazi mzuri San 🙌🏿❤️❤️😫

  • @abangwathomas
    @abangwathomas Рік тому +1

    Adre uyo ni mtoto wa shangazi yangu Q1

  • @scholasticatoyi
    @scholasticatoyi Рік тому +4

    Unajuwa sana dada nakuamini ❤❤❤❤

  • @fatmatz5086
    @fatmatz5086 Рік тому +1

    Namuona Andrew yuko romantic kweli kweli 😂😂😂 all in all umeuwa mdogo wangu ❤❤

    • @felixjumanne9981
      @felixjumanne9981 Рік тому

      Nimeitafuta sanaaaa hii comment ya Andrew 😂😂😂😂😂

  • @LilyMbambane
    @LilyMbambane Рік тому +2

    My favorite language in world ❤

  • @mattyamissi4094
    @mattyamissi4094 Рік тому +8

    Ma préférée 💪💪💪

  • @tozaah2680
    @tozaah2680 Рік тому +13

    Amazing song ❤

  • @OrediMTDangote
    @OrediMTDangote Рік тому

    Focus my sister nimesha Ihona mbele yako

  • @richardkashindi5043
    @richardkashindi5043 Рік тому +3

    Ongera sana dada Yetu. Blessings.

  • @mwajumaaoci3809
    @mwajumaaoci3809 Рік тому +8

    My favorite song 💕💕

  • @sharoosea8395
    @sharoosea8395 Рік тому +1

    S.ongera san tina unajuwa kazi ulikuwepo wapi mda wote ww. by sharon boy..

  • @sullydelasympathielusayams3764

    Muhelelwe ùhétakana!

  • @hakunamatata1296
    @hakunamatata1296 Рік тому +1

    Hii ni Kubwa Kuliko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ombeniogastar4932
    @ombeniogastar4932 Рік тому +10

    So beautiful song

  • @Son_TV_Online
    @Son_TV_Online Рік тому +1

    ulinzi kwa tinah please unaweza dada, bila kumsau mwamba andrew😂

  • @wakatimathayo8108
    @wakatimathayo8108 Рік тому +2

    @Tina brenda dada tupe Lyrics of the song pls 🥵❤️

  • @GuilainIbrahim-ym6kn
    @GuilainIbrahim-ym6kn Рік тому

    Nice sana kweli yani umehuw sana ❤

  • @esperancekashindibinsb-ic7lq
    @esperancekashindibinsb-ic7lq Рік тому +6

    Favorite song🔥🔥

  • @binwajuma2303
    @binwajuma2303 Рік тому +2

    Jamani nilikuwa nahutafuta sana huwimbo naupenda sana mimi❤❤❤

  • @DadaEto-pe8zy
    @DadaEto-pe8zy Рік тому

    Unajuwa sanakuyimba yy nyimbo yinanikubu changa mbalisan

  • @mayelelwebo8596
    @mayelelwebo8596 Рік тому +1

    Félicitations cha manga

  • @Gatuso1234
    @Gatuso1234 Рік тому

    Nakukubali sister kazi nzur niite takee

  • @sifaalimasi2206
    @sifaalimasi2206 Рік тому +4

    Good job wetu🎉🎉❤

  • @mukaplatinumz3045
    @mukaplatinumz3045 Рік тому +2

    Ngoma kali sana dada brenda you killed 🔥🫡 sema Andre friedboy 😀

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 Рік тому +4

    *_iyo dance ya bof wetu sijaielewa kweli_*

  • @niahussein5387
    @niahussein5387 Рік тому +7

    My favorit song❤❤

  • @palukukaskile-bg2hd
    @palukukaskile-bg2hd Рік тому

    😂😂😂😂 umejitaidi Sana mubembe kuimba kbs

  • @Ramsination
    @Ramsination Рік тому +6

    Unajuwa Sana ❤️🎵

  • @iluxmoney5041
    @iluxmoney5041 Рік тому +3

    🤎🤍🧡💚🖤, ❤️
    Kikubwa Duwa
    POPOTE TUNAISHI 💛

  • @Warrior_soccer1
    @Warrior_soccer1 Рік тому +7

    My favorite song 🎧

  • @rogermabirwa
    @rogermabirwa Рік тому +3

    Nyimbo ni nzuri sana 🌎🌎🌎

  • @lukozicadetbingudo
    @lukozicadetbingudo Рік тому

    Tina brenda ngoma yako ninkali sana ongera kwanza mama nahomba unitafute inbx ninazawadi

  • @parfaitwitangila1908
    @parfaitwitangila1908 Рік тому

    Mh uyu Dada anajuwa
    Kanyimbo kazuri

  • @FarajaRoger-fe4cj
    @FarajaRoger-fe4cj Рік тому

    Good songs nakuona mwanangu friend boy

  • @CureMuhindojeanPierre-zw4lh

    Dada yngu hapo uliuwa sana ko endelea kuongea bidii

  • @fistonemmanuel3297
    @fistonemmanuel3297 Рік тому +4

    Good song tina ❤❤

  • @ADRIENNEPOMBI-by6cn
    @ADRIENNEPOMBI-by6cn Рік тому

    Hii kazi iwekewe ulinzi ili ije kuwa faraja kizazi na kizazi. Asante sana TB asante sana TP

  • @runypatrice
    @runypatrice Рік тому +1

    Fire 🔥🔥🔥🔥 umehuwa sana dada yangu lazima ifanikiwe, nipo na zawadi yako

  • @DavidMwefu-f4j
    @DavidMwefu-f4j Рік тому +1

    Nzurii sana

  • @methodemethode10
    @methodemethode10 Рік тому +11

    Nice 🙌🏿🎶

  • @jaymodel901
    @jaymodel901 Рік тому +1

    Vp uyo mwanaume ndie aliendana na wimbo au director ndie alimuambia acheze. Au mwenye wimbo ndiye kataka kucheza nae? Samahan nauliza tu Kama jirani

  • @MeStEaK-qk2pv
    @MeStEaK-qk2pv Рік тому +1

    Fire 🔥 ❤❤nakubali noma snaa

  • @theheroesmusic4398
    @theheroesmusic4398 Рік тому +3

    Kazi mzuri 🔥🔥✌️

  • @ladye7464
    @ladye7464 Рік тому +7

    Nice song ❤❤

  • @sugarboydancera.k.ababad1040
    @sugarboydancera.k.ababad1040 Рік тому +1

    Hapo sw boy video Friend boy

  • @top10bestofnyarugusucam
    @top10bestofnyarugusucam Рік тому +1

    nzuri saana

  • @etabomkambilwa1222
    @etabomkambilwa1222 Рік тому +4

    Nice song good Job sister 🥰👏🫂🙏