FM Academia | Anna | Official Video Song
Вставка
- Опубліковано 29 сер 2024
- Buy it from iTunes: itunes.apple.c...
Listen and Share Gospel Song "Anna" by FM Academia. SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs | bit.ly/InjiliAf...
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Enjoy & stay connected with us!!
Visit InjiliAfrica channel for more Gospel Songs: / injiliafrica
Like us on Facebook: / injiliafrica
Follow us on Twitter: / injiliafrica
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
2024 like
Rapa KITOKOLOLO. KAMA KILA MBOGO WA EXTRA MUSICA
Kama bado unaukubali 2019, gonga Like hapa
Kwakweli walikuwa kiboko wa mziki,sijui kama kweli itatokea kama FM académique
Rapa kitokololo
This was fire in Tz
Wimbo huu unanikumbusha wakati nipo kambini lugufu ya pili kigoma Tanzania tukicukuwa vijiko na kwenda ingia ukumbini ili nipat kuiona video hii album nzuri
Vitu kama hivi haviwezi jirudia nani anaweza piga mziki mkali kama huu leo!
Reminds me of my childhood, knowing all the lyrics from A-Z , my dad would be playing these songs early in the mornings🫶
Music wa Zamani ulikua raha sana
Ngoma yangu kali ya muda wote kutoka kwa FM ACADEMIA.
😅😅
sikia this song FM walipangilia maneno , sauti, na ala fantstic, nakumbuka mbali FM club, Makumbusho and some time TCC club kipindi ile ni Week End kweli
Hatari sana
Ngoma moja inaitwa Angela haipatikani popote
Mtupesa
Kilikuwa kipindi ambacho sitakisahau wakati tukijivinjari pale dar west tbt
Mtu pesa twanga
Mafundi of all time
Muziki bomba!
Ningekua na hela ningeifufua hii bend
Noma sana aisee
@@herbertmpoto8082 we acha tuu,, hawa jamaa walileta mapinduzi ya burudani
KITOKOLOLO NINAMWEKA KWENYE VIWANGO VYA RAPA KILA MBONGO WA EXTRA MUSICA 🎉🎉🎉 ENZI HIZO, NYIMBO KAMA HIZI HUWEZI ZIPATA KWENYE VIZAZI VISIVYOJITUMA
👍
Kuna mtu afanana na pacho mwamba
Ni yeye
Bass imepigwa nani
Wimbo unanikumbusha wakati na hustle for life, nilikuwa nikipata 10k naona kama nimepata laki hivi, wakati huo sifikirii kabisa kama kuna siku nitamiliki hata nyumba ya vyumba viwi, lakini eti leo nadrive Harrier na nyumba nzuri, mke mzuri na watoto wazuri, huyu Mungu mwacheni tu aitwe Mungu 😭
❤
Kwakweli walikuwa kiboko wa mziki,sijui kama kweli itatokea kama FM académique
Baba yangu alikuwa anaupenda huu wimbo sana sasa amekufa kila nikiusikiliza namkumbuka baba yangu roho inaniuma sana pumzika kwa amani baba yangu
Wimbo huu haujawahi kunikinai toka umetoka hadi kesho
Hekima,mafundisho,busara ,mapenzi,maisha,nyimbo nzuri sana.
Wimbo unanikumbusha nikiwa Mbeya na rafiki yangu mmoja kila tukiingia sehem tunauliza kama wanao huo wimbo.Bahati mbaya rafiki yangu ni marehem.
pole sana bro
Tryphone Kamugisha pole sana ndugu.
Pole Sana. Hawa jamaa walijipanga Sana. Heshima kwao.
Daah
Nakumbuka mbali cna, yaani naupenda mpk kesho huu wimbo
Nakumbuka nikiwa,Zimbabwe na wangu m-congoman tukiwa NCHANTEMBA(NAKUSEMA NAKUTAKA).
ANNA ni bonge la nyimbo na hata sauti hatari sana pia na mimi unanikumbusha long time sana Bgup FM ACADEMIA
Dah!! mango garden enzi hizo
suti ya baba mkwe nilinunuaaa.. koti na msul wa babu nilitoa..
!!!
kaki sana hii
Hapa mbumba zilikua nje nje mazee
yaan huu wimbo ni mzuri kiukwel japo wa zamani kila siku lazima niusikilize nikiwa najiandaa kwenda job
Wakongo km wote vileee
nakumbuka mbali Sana, kwel maisha hayaishi historia
Daa, makumbusho hiyo.,
Fm hawaji kupiga wimbo mkali Kama huu tenaaa,,.. dah
Haruna Muhode kabisaah nakubali
Dunia kigeugeu ni Habari nyingine
yaan huu wimbo ni mzuri kiukwel japo wa zamani kila siku lazima niusikilize nikiwa najiandaa kwenda job
Nakumbuka Nikiwa na
Daa hu wimbo acha tusiseme Mengi big up sana
jaman jaman nakumbuka hyo mango garden
sichok kusikiliza huu wimbo!
wimbo huu hauchoki kuusikiliza jambo ni we kitambo kidogo
Edith Nguruwe huu wimbo noma kweli ila Patcho angepashwa kusema ya kwamba kazulumiwa Kisha kununua kanzu ya baa mkwe na kutoa musul wa babu
Napendaga sana
Inocent Kumbuka Tani wimbo bomba
we acha tu wimbo naupenda
Jamani huu wimbo unanikumbusha mbali sana
yap hayo rafiki
Mwanamuke hata akiwa na mamilion yapesa asipokua na mume ni bureee; cyo kweli buanaaa mie sihitaji kuishi na mwanaume sababu nimesha tendwa vya kutoshaa. Niko na watoto wangu ninafuraha teleee nikisikiliza miziki kama hii furaha inazidi
Nice songs
jina hilo hilo anna matendo hayo hayo yamenikuta mimi inauma sana
Poleee
Athumani Mohamed pl
Naupenda sana huu wimbo nakumbuka mbali sana
Napendaga sana
Anna nibongela uwimbo nakupenda sana
Nisheedaaa
hivi fm akade itaruditena kamaivi dah inabidi tukumbukiehuku
Nakumbuka sumbawanga mzee albam ya fm academy
Napenda huu wimbo though so many years passed but when I listening reminds me my late mum
Husna John Pole sana.
Dah pacho mwamba
Aisee bonge moja fundi
Ihi ndo ilikuwa albam mpakaleo ahito futika
siku nyingi zimepita nakumbuka mengi sana
yap hayo rafiki
Gabi Katanga hero masai
ca c'est vrai fm academia
patcho mwamba.....
Nakumbuka miaka hyo sumbawanga
Haya mambo usiombe kukutwa nayo jamani
my classic song 😂
ngoma bora sana
huu wimbo utabaki kuwa bora
Wimbo upo vizur sana....naota umenisaliti
Nikiwa na wadau wangu kijiji ya makumbusho hii shughuli idumu miaka yote%