JEMEDARI SAID AMKAANGA BACCA, AIZODOA YANGA , "KADI NYEKUNDU NI HALALI, WANGEBIDI WAFUNGWE NYINGI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @rajabmalota5310
    @rajabmalota5310 День тому +3

    Kaka jemidari nakukubali sana pamoja

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb День тому

    Jemedali ni michambuzi Bora Tanzania

  • @joharibakari
    @joharibakari День тому +1

    King jemedar

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 День тому

    Wengi wanaotumia makalio kwa kufikiri ni ngumu Sana kumuekewa Bin Kazumari..!! Kwani wameacha kutumia kitu sahihi kwenye kufikiri na kutafakari..!!

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 День тому

    Wengi mnaobisha nendeni mkasome sheria no 12 inayohusu fouls and misconduct..!! Huko ndo mtakuta DOGSO ni kitu gani..!!

  • @alisuleiman9627
    @alisuleiman9627 День тому

    Huyu bacca hupenda sana kuchezaa faulo wezake sasa akipata refa kama Arajige atasumbuka sana

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 7 годин тому

    Yanga wenyewe hawajadili maana yamewaishia zamaaani, wanaangalia mechi ijayo

  • @YasinSheikika
    @YasinSheikika День тому

    We jemadari mpuuzi sana tunakuja unalipwa na hao wapuuzi ili uibomoe Yanga

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 21 годину тому

    ...ngumu mno kumuelewa JEMEDALI ukiwa hoya hoya..hadi Hans na ubishi wake kakubali..?..Hoya hoya wa UTOPOLO kama nawaona wanavyosonya😂😂

  • @YahayaHussein-m8j
    @YahayaHussein-m8j День тому

    Ma hio media asingekuepo jemedari hapo,ingekua wasafi namba 2

  • @IssaDavidIssaDavid
    @IssaDavidIssaDavid День тому

    Jemedari tunaitaji wachambuzi kama wewe Tanzania

  • @DouglasBilishanga
    @DouglasBilishanga 12 годин тому

    Jemadal ni mchambuzi pekee Tanzania ambaye hajui kingereza na ndo mitihani yote anayofanya anafeli tatizo lugha inamkataa

  • @EdwardNdinganya
    @EdwardNdinganya День тому

    Jemedar kafurahi

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb День тому

    Jemedari hapokei bahasha

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 День тому

    Ninyi wote wahuni tu Lea Jemadari mpaka mulipwe

  • @VictorLijaji
    @VictorLijaji День тому

    Nachelewa kuandika....naogopa ...ila lazima niseme....kwa nini waamuzi wa nchi hii hutoa kadi kiurahisi zaidi kwa Yanga kuliko kwa timu zingine?

    • @nassirnassor8603
      @nassirnassor8603 2 години тому

      Bora usingeandika kuliko huko kuchelewa .. maana hauna cha kukiandikq

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 День тому

    Jemedali hajielewi

  • @idrisakassim3533
    @idrisakassim3533 День тому

    Jemedali sawa na malaya wa buza na kuhusu jef tunamjua yeye ni simba damu

  • @YahayaHussein-m8j
    @YahayaHussein-m8j День тому

    Mkai unaonyesha kabisa huna raha,
    Jitahidi ukasomee urefa

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 День тому

    Muda wa kujadili red card ya Bacca ni USHAMBA WA MPIRA WA TANZANIA.

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r День тому

    HUYU JEMADARI SIO MCHAMBUZI BALI NI BEGE SUBIRI BWANA WAKO AONDOKE MADARAKANI UTAFYATA MATAKO YAKO UMEKAA UNAWASHWA UNASUBIRIA YANGA AHARIBU UJIKOJOLEE ACHA USIMBA WAKO KWANI UKIACHA KUISEMA SIMBA ITAKUKOSA NYAU WEWE UNATUKERA FAATILIA SIMBA YAKO ACHANA NA YANGA

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 День тому

    Wengi wa mashabiki wa soka hawajui sheria za mpira bali ni mihemko tu..!!Yaan kama wengi wangejua DOGSO ni nini wasingelalama kwa ujinga..!!Jemedari upo sahihi Sana japokuwa wajinga wengi watapisha..!!

  • @gsplundi1327
    @gsplundi1327 День тому

    Jemedari so mchambuzi huyo ni shabiki kama mashabiki uchwara wenzie.

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx День тому

    Huyo pia ni shoga kwani mnamuelewa wenzangu?

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 День тому

    Huyu mshama tu apuuzwe

  • @mjanthony4864
    @mjanthony4864 2 дні тому

    Hance utafikiri alikuwa anajua. Aliingia Chaka akawahi haraka haraka kufuta post yake.

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 День тому

    Jemedari sio mchambuzi bali nimjanja mjanja tu na Yanga walivyomnyima kazi ndio kabisa chuki zimemjaa

    • @HabibuMuhunzi
      @HabibuMuhunzi День тому

      Sasa jemedari hata ukinyimwa kazi na yanga awezi kuwa xaw na dingi yako kimaisha acha ushamba ww

  • @PonsianoNgaga-g4w
    @PonsianoNgaga-g4w День тому

    Tunakujua wewe mchambuzi wa ovyo

  • @hamoodhhamoodalsharji7584
    @hamoodhhamoodalsharji7584 День тому

    Huu ni ushamba wa wachambuzi wa bongo,

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 День тому

      Hua mnawalaumu wachambuzi wa bongo Hivi hua mnawafatilia wale wachambuzi wa supersports kina Thierry Henry, micah Richards, kina Roy Keane tena ni wachezaji wakubwa wazamani mkiwaskiA wale basi mtajua uchambuzi ni mawazo tofauti na si ajabu kuona mawazo tofauti maana wale hufika wakati kusema hawapendi Christiano Ronaldo na hajui mpira ila bahati tu

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 День тому

    Mimi siumwi na red card naumwa na kipigo.MICHEZAJI HAIJITUMI NA KOCHA HANA MBINU YOYOTE KELELE TUU