Jay Melody - Nahodha (Official Music Lyrics)
Вставка
- Опубліковано 24 кві 2024
- Nahodha Track No 3 in the Therapy AlbumTherapy Album
LISTEN Therapy:
lnk.to/jaymelody
Connect: with Jay melody
instagram: / realjaymelody
Tiktok: / realjaymelody
@2024 Jay Melody All rights reserved
Learn more
#therapy #jaymelody
Wimbo mtamu jamani much love from Kenya🇰🇪
Hodari sana ❤❤❤❤hongera jay melody
Kwanza we ni mwandishi poa sana asee uandish kama ASLAY kaka na unajua kuimba kwa kuvaa uhusika Yani mziki unaujua 100%. Vipi Shem kadhamilia kukutenga mzee tuingilie 🤗
Yaani iwajuwa sanaaa ❤❤❤❤❤ tupendane mm nipate mremboo nitampendaa pka asinywe yaaani mwenyewe
huyu msanii anawasidi wengi sana mungu amlinde🙏🙏🙏
Hodari kwa mbali ya mbosso 🙌🙌 tamu sana hii❤❤
Siokweli
Brother jay melody nakupenda kaka wee mkali sana my role model one day lazima tufanye kazi na zizaboy official kenyan musician
ALBAM YA DUNIA NAOMBA LIKE ZENU JAMANA HATA KUMI
Umetenda Haki Kwa Magoma Yote🔥🔥✌️🔥🔥
Mashaallah mungu akuogoze na akulinde na mahasidi
From 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Nawaza hii ngoma ingekuwa feature mboso af mastering ya bit apige trones ila ni bonge la ngoma mwanangu ❤❤❤❤🎉
Nimetulia tuli kwa jay yani anajua😊😊😊❤
I need like here jmny🔥🥂..jay is fire akii tenaa💯💥
From Somalia 🇸🇴 keep going
Wa Kwanza nipeni like zenu jamani 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 ngoma mpya 💪🏻💪🏻💪🏻
Malawi 🇲🇼 mnajua kiswahili 😮😮
@@swafiya254😂😂😂😂wanaongea rugha tatu
tunaongea sana
@@LugyPlan ooh
@@RichMavoko-nx8cn wale wa mpakani
Hapa umenimaliza Sana jaymelody 🎉🎉🎉🎉very nice song ever ❤❤❤❤
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Nahodha beautiful song this year 2024
I'm from Ethiopia 🇪🇹 ❤❤
😊😊😊 nimetulia tuli nyie jay anajuwa anajuwa tena
Ni balaaa
noma sana wapi like za jay
Yuwapi nahodha🎉🎉🎉🙌
Unyama Ni Mwingiiiii Mamake Dogo Huyu😊
Therapy indeed 🔥🔥😍
Kaka jay ukifa huozi fundi nakubali kazi ❤
Mr love Jay melody na kukubali masha Allah yuo are alwayz on top fireeeeee
Unajua ww mkak ❤❤❤❤😢😢😢mpka basi
Wangapi tumerejea x 10🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mimi
This is fantastic
I like it. Jay keep the candle burning
Zuchu angekaa kwenye hii ngoma unyama
Hii can you give me my likes please
Aa zuchu angeua sana umu na kisaut chake kzr
Much love from 254🔥🔥
I like this song oohh jaymelody u kill it 🎉🎉
From soomli❤ faithful🎉
@ramla walal waa macaan album ka wallahi oh no no hhh
Chombo chaenda mrama yani wko mwenywe alafu unabakia kua abiria duh jay wewe ni. 🔥🔥🔥 Bro u are talented like yangu kutoka 🇰🇪🇰🇪
Mashaallah jaymelody❤❤❤❤❤
Unaweza bro🎉🎉❤
My favorite eating it 😋😍😍 much love from Kenya 🎉
Kazi nzr ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like it 😊😊😊
Jay wawaka broo from kenya001 tujuane Kwa like
Zizaboy official kenyan musician
Wimbo mtamu jameni
Ngoma Kali Sanaa unajua Jay✍️
Sifa kwake jey namkubali sana🎵🎵🎵🎵🎵🎵
❤❤❤ From kenya N shadenzy wema
Ok orna wer mar hanny❤
From mombasa🎉🎉🎉🎉
Jay we ni hatareee❤❤❤❤❤❤
Wow that's awesome ❤❤
Kazi nzr ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This album is so fu..ing good😜😜😜like daamnnn its sooo goood its indeed a THERAPY❤❤🎉🎉
Nataka collaboration with you Jay Melody
Jay hii melody na instrumental inamfaa chibu mwaambie tunamtaka hapa
Noma sana🔥🇰🇪
Ila uyu mwamba🔥🇧🇮
Nakubari mrisi wa chibu alafu unajua sana na hauringi
Sio kawaida,,,,😢
One of my best kwa ❤😢😊
Umeutoa mda mwafaka kwangu 😢
Ufundi kimuziki umepitiliza bro🔥🔥🔥
Jayyyyy
Naisikia mara mia sahi
From Kenya na enjoy🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤🎉waooo👍👍💃💗💓
Yuwapi nahodhaaa😢❤❤❤
Kubababake jey melody anajua tujuane kwa like.
🇰🇪 kenyaFatuma❤❤❤❤🇰🇪 🇰🇪 ❤❤
Kali
From cherrapunjee India...❤ 🇮🇳
Akipatikana mondi apo itakosha zaidi…. Ahaaaa hii album ni Noma 👊👊👊👊👊👊👊
Fundiii sana 🧏🧏🧏🧏
Dah hukosei mzee baba
Jay mwaka huu utakua wakwanza❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Daaah!!!! 😢😢😢
Big up bro
Nimeipenda mno congratulation
Nakubali ❤
wow this song is
so sweet
Therapy 💕 to the world 🌍.
Listening from Indonesia 🇮🇩
Tunao mkubali jeymelody tujuane kwa like ❤️
So far so good this is my best song 🎵 ❤️
. Jay once again
On top 5
One from USA 🇺🇸 ♥️
You're talent. Love from Vietnam.
Nice bro
From 🇪🇬 🇪🇬 🇪🇬
Jaman uyu jey❤
Nipo nasubiri kwa ham
Jay another level
Therapy to the world 🌍💯🔥
Kitoko vraiment 🇨🇩🙏🇨🇩🇨🇩
hongera jay!
Waliogundua upoaji wa hii ngoma wanipe like zng sio poa kabisaaaaaaaaaaaaaa
❤❤❤🎉 love song
Félicitations vraiment mon vieux
Naisubiri kwa ham ❤❤❤❤
Love from Egypt 🇪🇬 ❤
ILUX MONEY 🔥🌎
KIKUBWA DUWA TU 😌
POPOTE TUNAISHI 🙏
Jay once again
Wapi like za wekenya 🇰🇪wezangu 🔥🔥🔥💯
Jmnii mbn nazdi kufall in love mie 😂😂jay likes ztee chkua bnh
Jay melody ni mmoja tu wengine fekiiiii⭐❤❤❤ this is my Fav so far....though i haven't get the full picture of song....can Anybody interpret for me?!
❤❤jaymelody
jay wangu❤❤