CHIEF GODLOVE ALIVYOWADHALILISHA KINA MAMA WAMPIGIA MAGOTI/UMASKINI NI KITU KIBAYA HII NI AIBU JAMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • #diamondplatnumz #wasafi #harmonize

КОМЕНТАРІ • 9

  • @MwanahijaKimaro-le9fp
    @MwanahijaKimaro-le9fp Місяць тому

    Mungu tusaidie nn hki

  • @REUBENIMWAMBUJULE
    @REUBENIMWAMBUJULE Місяць тому

    Hatua ya hatariii kwenye kuchanganyikiea

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y Місяць тому

    Serikali weka jicho kwa huu utititiri kuna kitu nyuma ya pazia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 27 днів тому

    Hawa wote waliopo hapo ni wapumbavu na wanaanekana hawawezi kuzuiya matumbo yao pale njaa zinapo wauma sasa watu kama hawa huwa matumbo yao yanatoshelezwa na mchanga watakao fukiwa nao kwenye makaburi yao wamuogope allaah na watubu kwake bila hivyo wakifa kwenye hali hii wanaenda motoni

  • @clemxbbreezy1179
    @clemxbbreezy1179 Місяць тому

    bahat mbaya nimwone mke wangu hapo nyumban hapatalalika

  • @DM_15
    @DM_15 Місяць тому

    Binafsi sioni kama ni udhalilishaji kwani wameshikiwa fimbo hao mbona wana rahasana.

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Місяць тому

    Njaa syo udhalilishaji huo. Bali taifa limezalilika taifa lawatu wa njaa kali. Tan 5 watu wote hao

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому +1

      Wengine wala sio njaa wanachangamkia fursa pesa ya bajeti inaenda kwenye vikoba