WAZIRI MWIGULU ACHARUKA KUHUSU DENI LA SERIKALI/ MSIPOTOSHE WATU/ HAKUNA ATAKAYEDAIWA NYUMBANI KWAKE
Вставка
- Опубліковано 25 чер 2024
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Huyu mtu aisee anahisi watanzania ni wajinga sana aisee
Akasema farijianeni kwa maneno haya...akapita akaenda zake😊
sijui ni kwann ninamchukia sana huyu mwambaa
Sasa mnakopo iweje wakati tuna kila kitu
Hakuna atakae gongewa mlango lkn atagingewa tozo, mafuta ya petrol, diesel bidhaa za viwandani na nauli kupanda kupanda bei huko ndio kugongewa hodi
Tunakopa pesa tunapeleka wap? Je msururu wa kodi na tozo hapa tz niwann wakat tunakopa? Miradi gan ya maendeleo ambayo kwa tozo na kodi zetu zingeshindwa?
Kwani wafanya biasha si wengi akichukua moja moja si hela ni nyingi ase
Hebu angalieni nchi zingine zinavyo lipisha kodi na zime endelea kuliko sisi mbali sana
Na upende wa Rasilimali pia wanazo chache kuliko sisi wengine hawana kabisa
Huu ni upuuzi kabisa kwaiyo unawaaminisha watanzania kuwa ili uendelee lazima ukope????😂😂😂😂
Mwigulu sisi watanzania tunalipa kupitia bidhaa za kikodi mwigulu
Nan atakaye lipa kama sio maan ss ndio watowa kodi
Niniiii niiiiii lokhooo likooo mbwaa mmoja.. kwahiyo china inadeni kubwaaa
Achaneni na kukopa maana hatuna janga linalofanya watu waokolewe kwa hiyo
Kyanite hela mnazo toza TPA TRA bandari mnapeleka wapiiii kwanza ni nyingi
Nyie mme uza Rasilimali zote nchini sasa mna sumbua wafanyabiasaha
Waambie Hawa mapimbi yaaani Tanzania ni Nchi ya Nongwa ukiwa na fedha utaambiwa fisadi au freemason
Nakuelewa sana mchemba songa mbele
Akasonge kwenu labda