Nondo za Wakili Peter Madeleka Dhidi ya Matukio ya Kupotea Raia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024
  • #ijuesheria #section4wakilitv

КОМЕНТАРІ • 29

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 2 місяці тому +5

    Nakukubali sana braza "Akili nyingi"ujumbe umfikie huyooo bibi

  • @dojachomoka7643
    @dojachomoka7643 2 місяці тому +2

    huyu bro mungu ampe maisha marefu kwa kweli 🌹❤️

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 2 місяці тому +3

    Peter Madeleka Upo vzr sana Alafu nakupongeza Kiacha Kazi ya Police

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂 uyu jamaa akili nyingi sana

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 місяці тому +3

    Katika watu kumi tz wenye akili madeleka yupo%

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 2 місяці тому

    Respect bro

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 2 місяці тому +4

    Vichwa kama hivi vilitakuwa viwemo Bungeni

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 2 місяці тому +1

    Hongera mkuu

  • @JamaliAlly-zy1ff
    @JamaliAlly-zy1ff 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂 nakubali saanaa mkuu unajua sana kuongea

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 2 місяці тому +3

    Niwakati Sasa wakupata Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano kutokea upande wa Mawakili🎉🎉🎉

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 2 місяці тому

    Naku pongeza kuacha Kazi ya polisi

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 місяці тому +1

    Akili mingi

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 2 місяці тому +1

    Tanzania ukizungumzia Mawakili no 1 usipomtaja Piter Kibatara, Piter Madeleka,Wakil Msomi na Mwabukus wewe akil yako ikachunguzwe

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 25 днів тому

    Fumbo hilo la wakili Madereka.

  • @jamesonesmo3623
    @jamesonesmo3623 2 місяці тому

    Maneno yako ya nguvu ya uhalisia, barikiwa

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 місяці тому

    Hoja yako ina mantiki pana mno na inafikirisha. Tatizo lipo kwa hao wanaosema hawahusiki.Sijajua wanasubiri nini kwenye hizo nafasi zao maana wanawajibika moja kwa moja na usalama wetu

  • @cincreareuben1444
    @cincreareuben1444 2 місяці тому +1

    DD

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 місяці тому

    Nondo zilizoshiba

  • @bakarimashi848
    @bakarimashi848 2 місяці тому

    Unasifiwa huku unanangwa..😂

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 2 місяці тому

    Samia.mchague.peter.madereka.awe.i.g.p.atakusaidia.sana.achana.na.kina.murilo.wambula.na.msiba.bila.kumsahau.chawa.mkuu.kombo

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 2 місяці тому

    Tanganyika inawakili ambae anathamikubwa sana akiongea najiskia amani nikamavile magufuliyupo simwingine ni peter madeleka

  • @peterjohnbahhi1565
    @peterjohnbahhi1565 2 місяці тому +3

    Fumbo kwa serikali

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 місяці тому

    Wasomi na wazarendo kama hawa ndio walitakiwa wawe bungeni kutetea maslahi ya wananchi badala yake imekuwa kinyume chake bungeni wapo wa darasa la saba kazi Yao ni kutetea matumbo badala ya kuwatetea wananchi

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd 2 місяці тому

    NAONA HUYU RAIS WETU MAMA NCHI INAMSHINDWA KWA KUWA HANA WASHAURI WAZURI WANAMUONGOPEA ILI MAMBO YAO YAWANYOKEE NA HUYU RAIS WETU MAMA YEYE SIYO MFUATILIAJI KAMA VILE ALIVYOKUWA MWENZA WAKE MZEE JOSEPH POMBE MAGUFURI

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 місяці тому

    ✌️👊👍.

  • @RajeshiSanga
    @RajeshiSanga 2 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 2 місяці тому

    😂

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 2 місяці тому

    😃😃