Jmn movie inakua tamu alafu wengine hatujui albastini tunapoteana kp jmn😂😂😂😂sasa hapo nora kopa kisai mavi haya manake nn 😂😂😂 kweli akili nyingi nguvu kidogo
daa move ni nzur ila shida nikwamba mnachelewesha vipengele had tunasahau kuwa ALBASTIN ipo mtandaon hivo jitaidin kutoa chapu ili utamu uendelee kuwep sio kuach kwanz ladha yakipand inaish muda mref ndomnatoa tena
Aya Nyie Mnaojua maana ya "ALBASTINI" na "ALALAI" muwaelekeze wenzenu hapa chini nao waelewe 👇🏽😊
Ninge pendant kujiunga na nyinyi plz
Ningependa wewe ndo unielekeze super star wangu 💪💪🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏❤️❤️🇨🇩🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏
Hatujui jaman mfanye kutuambia😢
Tuambie wewe maana me najua 😂😂
😢umeanza kukosea sasa kupunguz muda
Jamani anaye amini house girl n police mpelelezi gong like tukisonga 😂
Naiman kp sio chizi bali alijifny ili kutaka kujua mbaya wake anaeamin kma mm agonge hapo🎉🎉🎉
kabisa
Kabiss@@allymwashambwa5920
Kabisa
Hiyo nikwer🎉🎉🎉🎉
na mimi pia nimeona ivo baada yaapo kumuonesha karata anu ndo nikagunduwa sio chizi na pale alipo sikiy noranga anaenda kuolewa na kakA yake
Wangapi tuna Amin mdada wa kazi wa kinakisai ni mpelelezi gonga like hapa🔥💯
Kumbe kp anajifanyisha tu nilihisi tu tokea mwanzo kp ukicha wap na wap 😂😂😂 yan hii movie inaonyesha ni balaa sana❤❤❤
Kama unaamini kisai hatafanikiwa kumuoa nora gonga likes
Aise kp nakukubali sana natamani ata epsode ziwe na saa moja au mnaonaje wapendwa
Hongera sana kaka Kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉 wakenya msipite bila like
Kumbe kp hujawa chizi
Mmmh Kp yupo makine sio kichaa
Kumeanza kuchangamka 😂😂😂😂 Kp mnyooshe kisai mbuzi huyo
Kp na zeb na tim nzima hongeleni kwakazi nzuli ila sasa ombi kazi iwe inatota kwa wakati mnachelewesha misondo jamani
Kisai kila filamu anakuaka paka mupinzani wa képi jamani❤
Képi ni mwalimu namutambua tu awezi fili kwenye mupa'go wake naipenda Sana izi karashika❤
Ukitoka albastini tuwekee makonzi😂😂
Nzuri sana❤❤❤❤❤🎉
Ila isichelewe sawa picha hii inatufunza sna bug up sana kp
Mnachelewa sana😢 sijapenda
Hii nayo ni KAZI smart 😅
Tunae amini kiwa KP SIO KICHAAAAAA TUJUANE APA❤❤❤❤❤❤❤
Nimemshtukia kitambo
Kp munachelewesha sana jaman tunasubir wee
Wakwanza msinibaniye🎉🎉❤❤❤❤
Extraordinary actor Mzee likoma🎉🎉🎉
🤣🤣🤣😁kumbe kp nimzima anajifanya jizi
Mungu awabariki sana wote mnaoangalia move hii 🎉❤
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉ila unachelewa saana
Jmn movie inakua tamu alafu wengine hatujui albastini tunapoteana kp jmn😂😂😂😂sasa hapo nora kopa kisai mavi haya manake nn 😂😂😂 kweli akili nyingi nguvu kidogo
Safi sana kp kumbe sio chili ❤❤❤❤😂😂😂
Hunaga kazi mbovu kaka ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kisai😮ww sikupendi utakua mchawi ww
Mbona kp anajua kuigiza Sana jmn 🎉 Nampa mauwa yake 🌸💐💮🌸💐
❤❤❤❤❤kazi zuri sn
Bora kp karudisha akili zake
Kp nimefurahi kuona ukiwa akili timamu,,, kumbe n karate tu unawachezea,,, yaani mwamba unajua sana👌👌👌💓💓
Anafanya kusudi huyo mm nilijua tu.atamuumbua kisai huyu😂
Ni mchezo wa kadi kama karata wa kumchanganya mtu akili wanaoshindaga ni wenye akili
GOOD JOB KP AND YOUR TEAM MAY GOD BLESS ALL OF YOU 🙏❤
Ambao hatimpendi kisai tujuane ana roho mbaya sana natamaa
Haha yan anaboa sana Kila movie yy n mpinzan tuu
Wao good job congratulations my kp nakupenda mpaka bas
Keita namkubali Kino kbx
😂😂😂safi sana kp🎉🎉🎉🎉❤
❤❤❤❤❤daaah hii kweli albastin ila kp usimtese sana kate😂😂
Kp 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yako tu sina lakusema tuendelee
Kp nakukubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Aiseee mwanzoni sikuwa naielewa ni bonge la picha aisee viva viva kp
Woow umejua kuicheza sana kp❤❤❤❤❤❤
Bien sana bwana kp unaweza sana❤🇧🇮
Safy sana uku tumeamka Kisai mavi ayo 😂😂😂 ntafurai zaid ukilia🏃♀️
🎉🎉🎉🎉Mnipee Maua yangu kwa kutangulia
Kazi nzuri sana Team kp na zebuu❤❤maua yenu hiyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉much love 💗💗 mungu awabariki sana 🙏🙏
Ni 🔥🔥🔥🔥 hii nayo safi kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ila KP noma Sana hongereni Kwa kazi nzuri pokea Maua yako 🎉🎉🎉❤
Nimefurahi sana kuona kp sio chizi❤❤❤❤
Umecheza saf san mzee
Oya msicheleweshe sanah ngoma imeanza kunoga
Mashallah ❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki
I appreciate your job🎉, congrats but unachelewesha san utam🎉🎉🎉🎉😂
Kp sitii neno kaka, kichwa nakielewaga sana hicho.🎉🎉🎉🎉
Tatizo unacherewesha Sanaa kp kitu nichamoto Sanaa
Jamani naombeni halata like 50 tu kwa leo .
Anayeamin kuwa KP amejifanyish kuwa chiz aweke like apa
Wakwanza leo🎉🎉🎉
Unajua kuna vitu haviko pw mbn hatujawai paona keenye kampuni izo wala ata mfanyakazi wa kwenye izo kampuni
Story haijafika kwenye kampuni kama itaruhusu mandhari ya kampuni utaona 😅ila kwa hii story kampuni halina umuhimu saana kuonekana
Wow mashaalah kazi nzuri sana kp 😊❤🎉
Kaz nzur lkn jitaid kutuwaishia wadau unatukata moto
Nyie hebu nambien huyu n KP n kichaa au mchezo ndo umeanza
Hapa utakua mchezo umeanza😂😂😂
Wakwanza Leo Toka burundi 🎉🎉 like ata 3 nitatosheka😢
Nawapenda team kp kaz nzuriii
Kazi mzuri 🔥🇲🇿 Mozambique msumbiji
kp wa aqño unajuwa baba💛💛💛💛
Likes kutoka Kenya jamani ❤❤️❤️❤️
KIGOMA MOJA APA KP anafanya poa sana wapi like zake
Leo nimekua wa mwisho kabisaaaaaa😂😂
Wanaohisi kp sio kichaa tujuane hapa❤🎉❤❤
Kp huu mziki ULIO weka humu Kuna milio ya aajabu bna boresha
Ivi KP unatuchukuliaje😂😂😂sis tulijua mtu kashakuwa chiz😅😅 dah ila any way unajua sana hongera sanaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Woyo woyo woyooo🥳 💃 semen kuwahi😂😂 chezea mtu wa 79 wewe hebu mnipee hayo ma like sasa niyapeleke kule nyinyi munayapeleka😊😂😂😂😂
😂😂😂kp kazi nzuri kumbe sio chizii
Eti atamii nimependa kuwa cyo chiz😂😂😂
Nawapenda bule akiamungu tena KP umeuwa sana
Tunao hisi kp anaigiza lakin ukwel nikua bado kuchizi tujuane😢
Tunao hisi house girl n polisi na apo pamoja na kp tujuan❤
Napenda movie zenu San namtt wng wngu napenda sana kuigiza nipo mwanza
Kp umeweza tena umeweza sanaa aweee umekuja na idea mpya ya uigizaji🌹🌹🌹👑
daa move ni nzur ila shida nikwamba mnachelewesha vipengele had tunasahau kuwa ALBASTIN ipo mtandaon hivo jitaidin kutoa chapu ili utamu uendelee kuwep sio kuach kwanz ladha yakipand inaish muda mref ndomnatoa tena
Asant kp kwa kigongo kipya ila kisai una tamaa San.
Leo ndo nimeona utamu wa hii movie,,,, nakukubali sana kp
Sema nn series tamu kama hii msiticheleweshee bhn
House girl nampenda mno wallah
Mukosw kabisa
Waooo wapili leo naomba like 2✌️tuu na Moja kwaajili ya kp na Moja kwaajili ya mtoto wamzee likoma❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri sana
Yaani kp sna la kusema zaidi ya pongezi nyingi nyingi kupita maelezo.
Kp umeniumz San nikajuwa kwel umekuwa chiz
Nmemukuli sana keita❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉anafanya poa
Weee nzuri sana hope n kp atamwoa nora n c kisai naomba kp arudi then kisai ajulikane n hizo uongo zake pia kumteka kp c nawapenda bure 🎉🎉🎉❤🇰🇪
Haya mimi😂
Wooooow kp hongera kwa kua chizi fresh...❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂nawapendaa mimi mkenya jamanii 🎉🎉🎉
Albastini ni mchezo wa karata
Kp anajua kuigiza Sana Zaid ya Sana
Nimefulah xana kuona uyu msada wa uyu msichana
🎉🎉🎉 Yako kp nimependa ulivo mnyoosha uyo mpuuz na sio kichaa nimependa
Ila keta umebarikiwaaaa ❤❤❤🎉🎉🎉
Kaka we noma sana nimeielewa hii kazi 🎉🎉🎉
KAZI nzuri sn